UKIOTA NDOTO HIZI 5 JUA MAOMBI YAKO YOTE YAMEJIBIWA ILA BADO HUJAJUA- Apostle Johaness John

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @ElizabethWafula-d4p
    @ElizabethWafula-d4p 8 місяців тому +1

    Amina

  • @JaneKatambachi
    @JaneKatambachi 25 днів тому

    Amina mtumishi kuna siku niliota nimeokota pesa nanikaweka kwapocket ya nguo na nitahesabu baadaye naomba mungu afungue mlango wabaraka in Jesus name

  • @Judy-is4pn
    @Judy-is4pn 8 місяців тому +1

    Amen

  • @Judy-is4pn
    @Judy-is4pn 8 місяців тому +1

    Pray for me man of God ,,nko na spirit ya kunirudisha nyuma

  • @Judy-is4pn
    @Judy-is4pn 8 місяців тому +2

    Nlikuwa na biashara ikaisha ,,nlikuwa na gari na pikipiki zikaisha zote

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  8 місяців тому +1

      Anza kumwamini Mungu zaidi. Kuna vitabu na mafunzo ya kiuchumi USIACHE kunitafuta Kwa ushauri +255768275795

  • @trizashanelly
    @trizashanelly 8 місяців тому +1

    Nilipokuwa nataka kuja Saudi nikaota kuwa nikifika Air port nilipo shuka kwa ndege nikaokota pesa kwa karatasi pesa nyingi sana nahapo boss alikuwa amekuja kunijukua air port Kisha boss akaniambia nibadilishe pesa Kisha nirudi Kenya cox mm nishakuwa tajiri nilikuwa naenda kubadilisha pesa nikiwa kwa foleni watu walikuwa wengi sana kabla nifikiwe mm hapo ndio niliamkia

  • @Judy-is4pn
    @Judy-is4pn 8 місяців тому +1

    Nmebaki maskini

  • @josephmeleki3984
    @josephmeleki3984 6 місяців тому

    Kweli niliota nikiwa nimevaa suti nyeusi nashati nyeupe na biblia yangu maana yake nini???

  • @CarolineOside-s5q
    @CarolineOside-s5q 8 місяців тому +1

    Na ukiota watu wanakufukuzia motor waking sema tunataka ufunguo inamanisha nini

  • @evarnafula2898
    @evarnafula2898 8 місяців тому +1

    Amen