BUNGE LA CCM LAMPA LUHANGA MPINA ADHABU HII, HIVI NDIVO MPINA ALIVOTOLEWA BUNGENI BAADA YA HUKUMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 62

  • @johnkitwima6963
    @johnkitwima6963 3 місяці тому +7

    Tuna bunge la hovyo sana, mbona katika mambo ya wizi serikalini huwa hawapo serious hivi😢

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 3 місяці тому +10

    Kuna mafisadi ambao walitajwa kwenye report ya CAG lakini hakuna userious huu kuwajadiri na kuwachukulia hatua,any way!!

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 3 місяці тому

      awo wanapewa ulinzi amna wa kuwagusa

  • @FrecoShirima-qb1qo
    @FrecoShirima-qb1qo 3 місяці тому +2

    Mbunge Mpina Hongera sana

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 3 місяці тому +6

    Hakuna bunge hapa! Huu ni upuuzi mtupu mtatukuta 2025 hamrudi ninyi mtashangaa sana na hivyo vikao hamtavipata tena maana mnalinda mfumo wA wezi ambao wanaripotiwa! Mkigundua kuna mbunge anapingana na mawaziri mnaokula nao mnanyanyuka juu kutetea uwizi unaofanyika

  • @edwardgafachu8932
    @edwardgafachu8932 3 місяці тому +1

    Wabunge hawana uhuru wa mawazo na maoni inasikitisha, pole sana Mpina

  • @samwelshepa8443
    @samwelshepa8443 3 місяці тому +1

    Pale misingi ya haki ilikwisha haribika wenye haki hawawezi kusikiwa tena hayo makofi ya kukipongeza bila tahadhali hivyo mwenye haki Wala Mpina hawezi fikiriwa. Poleni watanzania!

  • @salama1113
    @salama1113 3 місяці тому +3

    . Na ww ushakuwa chawa 😢😢😢

  • @ezekiakiwovele7794
    @ezekiakiwovele7794 3 місяці тому +4

    Ingekuwa ivyo kwenye rushwa tungefika mbari

  • @Luganoamos-jv5in
    @Luganoamos-jv5in 3 місяці тому +5

    Tunamsubili Kwa mapokezi makubwa ,njoo nyumbani mheshimiwa

  • @FrecoShirima-qb1qo
    @FrecoShirima-qb1qo 3 місяці тому +1

    Ipo siku Kenya ni cha Mtoto

  • @FrecoShirima-qb1qo
    @FrecoShirima-qb1qo 3 місяці тому +1

    CCM hawataki msema ukweli,ukiwa msema ukweli kidogo tu,yanakukuta hayo,lakini ipo siku Spika utakimbia hicho kiti kama Spika wa Kenya

  • @zuberihamisi460
    @zuberihamisi460 3 місяці тому +2

    Nyote munatetea ugali hakuna munacho kifanya ,tunawasubiri majimboni mtalipwa tu

  • @EmmanuelMagadula-f1y
    @EmmanuelMagadula-f1y 3 місяці тому +2

    Hatuna bunge hapa

  • @markoshem-ij6cf
    @markoshem-ij6cf 3 місяці тому +2

    Hapo hakuna mbunge nivichaa tu,

  • @SMG109L
    @SMG109L 3 місяці тому +2

    Kwani mafisadi wanasemaje!

  • @MarkoWMichael
    @MarkoWMichael 3 місяці тому +1

    Yaan wabunge wa CCM mwenzao akijitoa kutetea maslahi ya watanzania wanamshambulia atari Wanafiki nyie ....Gwajima kipindi cha corona walimshambulia atari saivi wote ni rafiki zake,,,,Ndugai alikua spika wa bunge akasema ukweli wote wakamgeukia yaan mh

  • @osiahmwakasala1646
    @osiahmwakasala1646 3 місяці тому +2

    Ivi niwapi waliko fauru kupunguza sukari mpaka 2800? Ila watanzania tuamke Hawa hawafai kutuongoza ccm wamevimbiwa kwani waofisadi nchi yetu Nani wamemwazibu?

  • @PaulMsema
    @PaulMsema 3 місяці тому +2

    Dawa Yako spika ni mwaka mmoja umebaki mbeya mjini,Sugu atamaliza mchezo

  • @DanielDeus-f1c
    @DanielDeus-f1c 3 місяці тому +1

    Daaaaaaah 😢

  • @halimagomez
    @halimagomez 3 місяці тому +1

    Mpina hoyeeereerrre wengineeeer hatariiiiiiiiiiiii8

  • @AthanasEvaristMahega
    @AthanasEvaristMahega 3 місяці тому

    Tanzania hovyo kabisa

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 3 місяці тому +1

    Ao ndo ccm ekeeni uchaguzi wa haki tuone kama mtarudi madarakani wananchi wamewachoka

  • @MsevenSaudisaidi
    @MsevenSaudisaidi 3 місяці тому +1

    Tukutane 2025 mweziwa 10 kama mtarudi tena bungeni

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 3 місяці тому +1

    Kazi ipo

  • @nellyjr396
    @nellyjr396 3 місяці тому

    Wanaume wapo Kenya tu Tz wote mazwazwa

  • @EmmanuelMagadula-f1y
    @EmmanuelMagadula-f1y 3 місяці тому +3

    Ujinga mtupu mnalinda masilahi ya wa kubwa ni akinanani hao?

  • @febby8308
    @febby8308 3 місяці тому +1

    Tumepigwa amna mmbunge apa

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 3 місяці тому +1

    Sukari imekuwa soo bei zinapanda km bei za gest,,,,mkaa bei juu kopo moja elfu mbili halitoshi kupikia hata ubwabwa

  • @YunisRichard
    @YunisRichard 3 місяці тому

    Bunge la kihuni huni tu majambazi ni mengi

  • @silasponeka1773
    @silasponeka1773 3 місяці тому +1

    Vichekesho naona

  • @mabulajoel1967
    @mabulajoel1967 3 місяці тому +1

    Na wewe kumbe huna akili ya Kitanzania Mpina yupo na wengi kama hamjui mpuuzi wewe

  • @freduallughano2301
    @freduallughano2301 3 місяці тому

    bunge la waporaji

  • @NdilanhaBoniphace
    @NdilanhaBoniphace 3 місяці тому

    Hata sielewi ngj nikatishe kusikiliza

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 3 місяці тому

    Niondolee ujinga

  • @boaziamos1224
    @boaziamos1224 3 місяці тому

    Kwenye mambo ya utawala tungefata sheria za kiislam

  • @godfreyisaac1665
    @godfreyisaac1665 3 місяці тому +1

    Ujinga tu. Vp pikipiki yule mama katoa wapi Hela za kugawa mikoa yote ya tz

  • @dismanManota
    @dismanManota 3 місяці тому

    Ongeza adhabu

  • @kazinaimwishehe-ec3xu
    @kazinaimwishehe-ec3xu 3 місяці тому +4

    Mmmmh bunge kazi ipo ukosema kweli adui

  • @DanielDeus-f1c
    @DanielDeus-f1c 3 місяці тому +2

    Hamna bunge hapa

  • @JansanMokiwa
    @JansanMokiwa 3 місяці тому +3

    Bunge la CCM Sio Tanzania

  • @emanweljohn1240
    @emanweljohn1240 3 місяці тому +3

    Kweli hili nibunge la ccm sio lawa wananchi

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 3 місяці тому +3

    Kwenye UFISADI,, RUSHWA,, UHAINI na UBINAFSISHAJI WA MALI ZA UMMA KINYUME NA SHERIA HUWA HAMCHUKUI MAAMUZI MAGUMU ila KWENYE SUARA ÐOGO LA MPINA MNAJIFANYA MPO SERIOUSLY Pumbavu BUNGE LA OVYO SANA HALIJAWAHI KUTOKEA YAANI "

    • @ROBERTMGOGOSI
      @ROBERTMGOGOSI 3 місяці тому +1

      Bunge la kishoga sijawahi ona hakia Mungu wa mbinguni

  • @Leeeeeeee-96
    @Leeeeeeee-96 3 місяці тому +1

    makofi kwa nguvu zote hoja za cag kila mtyu anufyata 😅

  • @josephbuddoh1577
    @josephbuddoh1577 3 місяці тому +2

    Wakati anahoji uzalendo wa mpina sisi tunahoji pointless zake hatuna bunge hapo nimeamini akili ni nywele kila mtu ana zake Yan wabunge wote waliopewa nafasi ya kuzungumza hakuna hata mbunge mmoja aliejibu hoja za mpina hata punje ya haradai zaidi ya kupiga kelele na kutoa maneno ya kejeli kumbeba Bashe

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 3 місяці тому +1

    Hivi TZS 2,800/= ni ndogo?

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 3 місяці тому +1

    Demokrasia gani yakuuuliza watu like school ili msipingwe hamna ktu hapo speaker atasema nn tofauti wakati mzee kapewa pande

  • @JOSEPHPETERMACHOTA
    @JOSEPHPETERMACHOTA 3 місяці тому +1

    Hiyo sukari tunaipata kwa bei gani sasa

  • @JohnMashamba
    @JohnMashamba 3 місяці тому

    Rais ni mmoja,Serkali moja,Bunge ni moja ni wapi mnahitirifiana au kutofautiana! 2Korintho2:7,Efeso4:32,Kolosai2:13 na Mathayo7-26

  • @chrismassawe2939
    @chrismassawe2939 3 місяці тому +1

    Hio sukari mbona ni gali sana

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 місяці тому +1

    Tukutane mwakan

  • @FadhiliMgalla
    @FadhiliMgalla 3 місяці тому

    Mmmmmmmmm sawa bwana ila ila ila ila ila ila ila 😢😢😢

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 3 місяці тому

    CCM siyo watu

  • @stevenfumbi9566
    @stevenfumbi9566 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 3 місяці тому

    Issue ya sugar sio uzalendo issue ya sugar n upigaji umeme ulikuwa hivi hivimkatudanganya kumbe ilikuwa upigajikila kona lkn mlibisha hivhivi bravo wananchi wakenya kwa misimamo yao na ndio maaana nchi ya iko mbele ss tuendelee na wanaupiga mwingi lkn maisha ya watanzania wengi n yaleyale