MTANZANIA ANAYEFANYA KAZI za GEREJI OMAN - AFUNGUKA - ''TUPO WATANZANIA 50 HAPA''...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 64

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Місяць тому +1

    MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.

  • @SahimSalim-l5f
    @SahimSalim-l5f Місяць тому +8

    Mnajua Nyinyi huwa mume bezi sana ohh watu wanapata mateso, sjui wadada wa kazi wanaonewa, kwenye kutafuta maisha mateso hayakosi Ata bongo mateso yapo

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 Місяць тому +1

      Tena kwao ndio tele basi tu anataka kujua wadada wakazi wanateswa aende mirej baa usiku atawakuta tele wametoroka makazini na sasa wanakodi nyuma wamejazana basi watupe hilarious mbaya tu paspori paspoti lazima aishike sponser ukiiba ukakimbia ukiua ukatoroka waongo eti hawapewi chakula jamani tumuogope mungu bado washukuru zamani pasport inakaa Airport

    • @AishaAisha-q4t
      @AishaAisha-q4t Місяць тому

      Kweli kabisa ​@@saleemadhiyabalkhatri7800

    • @sleeprelaxation8431
      @sleeprelaxation8431 Місяць тому

      sasa kama bongo yapo ndo kitu cha kawaida. kumtesa na kumnyanyasa mfanya kazi ni kinyume cha haki za binadamu, sema tu watu wanafanya wakijiona wao miungu

    • @majaliwamussa9268
      @majaliwamussa9268 Місяць тому

      Watu wengine wazushi, wanapenda kutangaza mabaya tu

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc Місяць тому +6

    Karibu omani tupo na omani yetu Alhamdulillah

  • @Awaasha-cn6bx
    @Awaasha-cn6bx Місяць тому +4

    Karibu sana. Oman da zai mimi ni Mtanzania niko Alhery mwaka wa 10 nafanya kazi hapa

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Місяць тому

      Vipi hali yako bro Awaasha? Naomba nikutafute kwenye FB unatumia jina gani?! Kuna mambo yanayohusu huko nataka nikuulize.

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 Місяць тому

      ​@@rayisadesigns2646sasa ni balozi si uwende ubalozi😂

  • @SaidSaid-wh4ky
    @SaidSaid-wh4ky Місяць тому +7

    Hiyo garage hiyo ni kampuni ya sultan's
    Sultan Al sheidhani
    Na humo wa tz kibao wengi wao wako desert (jangwani)

  • @issaal-busaidi4479
    @issaal-busaidi4479 Місяць тому +4

    uwandish wako umeshinka changamoto tu, changamoto kila moja anapitia hata ww mwandishi, hata huko Tanzania wafanyakazi waulizeni ,hawana changamoto, kila kitu ktk maisha kuna changamoto km huna jihesabu maiti

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani Місяць тому +9

    Ndio msitukane watu kabla hujajuwa uhakika mwisho wake ni aibu

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 25 днів тому

    Hongera brother wang kwa uelewa mpana...❤

  • @NurdinOzil
    @NurdinOzil Місяць тому +6

    Aiwa Aiwa Jamaa kiarabu kimemkaa mpaka anaitikia kiarabu

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 21 день тому

    Mashaallah mashaallah

  • @bongo39
    @bongo39 Місяць тому +11

    Huyu dada yeye nia yake ilikuwa aambiwe tunanyanyaswa ili apate cha kusema yani ni fitna tuu

    • @shabanponera2895
      @shabanponera2895 Місяць тому +2

      Namjua huyo, nafikiri hatoshi kufanya kazi hiyo maana hata maswali anashindwa kuzipangilia

    • @GraceMarine-vo9hu
      @GraceMarine-vo9hu Місяць тому +6

      Ni mfitinishi sana huyu dada hawajamjua tu, hakuna kazi isiyokuwa na changamoto, yeye kabezi kwenye mataifa yakiarabu tu, mbona Tanzania changamoto kibao wanazopitia wafanyakazi hasa wa ndani ninyingi tu lakini anazifumbia macho ila anakodoa macho arabuni

    • @111dudi
      @111dudi Місяць тому +3

      Fitina

    • @saidhemed6360
      @saidhemed6360 Місяць тому +2

      Ndo zao ila angekuwa ulaya apo aaaaah😂😂😂😂😂

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 Місяць тому

      ​fitna sana nasasa kashushuka aibu itampata mwenyewe nabado muache aende mabaa akawaone walivyojazana huko ndio atajua kama anawalqzimisha waseme uongo nakuuliza mishahara wallahi wangine wanafanyakazizao vizuri tu hawa wenyekuruka ruka wanawaharibia wenzao

  • @khadijaa815
    @khadijaa815 Місяць тому +3

    Dada karibu nipo alhel

  • @jjjhhb4300
    @jjjhhb4300 Місяць тому +5

    Mm ni mwanamke nipo Omani na paspoti yangu ninayo mwenyewe

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 Місяць тому +2

    Mashallah nami nipo humu omani alhamdullah

  • @SahimSalim-l5f
    @SahimSalim-l5f Місяць тому +3

    Wafanya kazi wingi wao kazi za majumbani utaskia wanasema wanaonewa, wakat wingi wanapochukuliwa oman Hao wadada wa kazi kwanza huwa hawataki kufanya kazi wa nataka kufanya umalaya, mtu haendei lengo LA kazi a nataka kufanya umalaya

  • @Sidsnake11
    @Sidsnake11 Місяць тому +2

    Waandishi wa habari tanzania 🇹🇿 naona wanapeana kazi kwa kujuana, wengi wao waitaji kurudi shuleni.

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 Місяць тому

    Hiyo kampuni kubwa sana, baadhi ya gari zake zimekodiwa na Oman air

  • @SwaumuMohammed-w2l
    @SwaumuMohammed-w2l Місяць тому +1

    Dad njoo sohar upaone ninapo lala ndio utajus changamoto tunazopita

    • @saidalhabsi9257
      @saidalhabsi9257 Місяць тому

      Pole mwaya kikubwa kuomba uzima ipo siku utatoka watu wanao bahatika kupata nyumba nzuri wanaongeaga wanavyo jiskia kunawatu tunalitia magum

  • @sophiaselemani2474
    @sophiaselemani2474 Місяць тому +2

    Ningekuwa nao passport yngu ningejikatia tiket mwenyewe

    • @Aisha-o4v
      @Aisha-o4v Місяць тому +1

      Upowapi kwani natatizo nn

    • @sophiaselemani2474
      @sophiaselemani2474 Місяць тому

      @@Aisha-o4v nmechoka Yaan changamoto nyingi tu

    • @Aisha-o4v
      @Aisha-o4v Місяць тому

      @@sophiaselemani2474 upo sehemungani

  • @111dudi
    @111dudi Місяць тому

    Kama hawataki, kinawaweka nini Oman? Si warudi kwao wakalime? Anauliza maswali anataka mtu alalamike. Nyie watangazaji wachochezi sana. Kama unawapenda warudishe Tanzania.mtapumzika na waomani watapumzika

  • @SahimSalim-l5f
    @SahimSalim-l5f Місяць тому +2

    Na wew Dada una hoji huna taaluma yako Ata moja, na wala hujui kuhoji mtu mnapewa kazi kwa kushikwa mkono, wala hmna mlichosomea wewe ushajua wanaonewa kwanin msiwajir Nyinyi kwenye TV yenu, Ila hakuna tajir Ata mmoja at akae kubali huo ujinga wanaofanya Hao madada wa kazi, tajir ashakutolea hela ya ticket na viza halafu dada wa kazi akifik kule hataki kufanya kazi a nataka kufanya umalaya

    • @111dudi
      @111dudi Місяць тому

      Mchochezi

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 Місяць тому +1

      Kabsa wanatuharibia kaz wengine tulikuw hatuna nyumba sai nyumba tunazo na zakupangisha aende zake huko hapo kachangiw ndo kaja kuhoj ujinga huo

    • @111dudi
      @111dudi Місяць тому

      @@omanoman2044 hasidi huyu mama

    • @111dudi
      @111dudi Місяць тому

      @@SahimSalim-l5f kweli kabisa.

  • @JamilaMohammed-n8n
    @JamilaMohammed-n8n Місяць тому +1

    dazari karibu kwetu

  • @saidhemed6360
    @saidhemed6360 Місяць тому

    Unalazimisha waseme tunateswa shenzi kabisaa hakuna muandishi hapooo

  • @Kizotta
    @Kizotta Місяць тому

    wanawake wana kuja na mambo 2 umalaya kwao ni number 1

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 Місяць тому +1

      Kabisa nasasa wanakodi nyumba utawakuta wamejazana maabela hawaishi kuingiliwa napolisi juzijuzi kcoconut wamekamqtwa tele

  • @fatamaalhabsi3464
    @fatamaalhabsi3464 Місяць тому

    Hata mimi na sikiya mbwa

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 Місяць тому

    Changamoto zipo mimi sina pass wa bataqa wameninyanganya

  • @Vumi99-w1r
    @Vumi99-w1r Місяць тому +2

    Njoo mi nipo Al nsab

    • @christaoman8890
      @christaoman8890 Місяць тому

      Kumbe tupo pamoja my karibu nawe Al ansab

    • @Vumi99-w1r
      @Vumi99-w1r Місяць тому +1

      @@christaoman8890 ahsant kipenz , karibu pia,zai na aje huku atuhoji,wagongwe tupo

  • @mohdalwaili5289
    @mohdalwaili5289 Місяць тому

    Company bovu kinoma

  • @asmaalghafri449
    @asmaalghafri449 Місяць тому

    Kelele zanini na matsusi wakataxeni wasije wakae huko wafanye kazi waarabu hawapendi matusi ya kihuni

  • @aishasalum4159
    @aishasalum4159 Місяць тому +1

    Shida yake ajue changamoto 😂😂 aangalii mazuli sasa uyo makenika atesekevip

  • @yusufsaid8911
    @yusufsaid8911 Місяць тому +2

    SULTAN NIZWA MSALIMIE MZEE MACHAPATI

  • @SahimSalim-l5f
    @SahimSalim-l5f Місяць тому +1

    Utaskia tunaonewa, tumepokonywa paspot, wewe ushajua unaonewa unaenda kufanya nini, kaa kwenu ule muhogo na ugali, mnasema wanaonewa wakati wakirud Omani, wanakuwa washajenga nyumba Tanzania, baniani mbaya kitu chake dawa

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 Місяць тому +3

    Makataba au bataka ??? Hapo Kuna vitu viwili tofauti

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 Місяць тому +3

    MATUNDA YA MAPINDUZI !!!!......HATA HAYA HAMNA KENGE WAKUBWA !!!!

  • @RoseAmilet
    @RoseAmilet Місяць тому +3

    Dada zari huyu hawez kuongea changamoto za wadada

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt Місяць тому +2

      Kama wee unazo toa!si lazma aongee yeye!alafu nyie wa upande wa pili sijui muarabu amewakosea nn!?hata mfanyiwe mema mtasema tu kuwa waarabu ni wanyanyasaji!cha kushangaza lakini bado tu mnawafuata huko kwao

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari Місяць тому +2

      ​@@IbniAbbas-yz3kt changamoto zipo na neema zipo basi watu hupenda kukaa upande mmoja

  • @salama1113
    @salama1113 Місяць тому

    Wanaume ijaza wanazo ila wanawake ndo mtihani kupewa ijaza

  • @MiahSaid
    @MiahSaid Місяць тому

    Uyu mwalabu. Wamempa adhabu yakusimama

  • @HamduniYasir
    @HamduniYasir Місяць тому

    Sijui umepataje hii kazi aisee maana ht kuhoji ujui unaohoji vitu vya kijinga arafu vinajiludia baada ya kuhoji vitu vya maana aisee