VIDEO KUTOKA OMAN: NDANI ya BASI za SULTAN - NI YULE ALIYEAJIRI WATU 350+ WABONGO WAPO...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 89

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Місяць тому +1

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO 🔥🔥 chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo Місяць тому +5

    Ma sha allah
    Zari ushungi umekupendaeza usiache kujistiri unapata dhambi
    Kujistiri ni amri kutoka kwa mungu sasa usivae kwa vile uko oman
    Hapana hata ukirudi tz uvae ushingi hutaki hy utaenda kujionea mwenyewe

  • @kisagentabirage6693
    @kisagentabirage6693 Місяць тому

    Da Zari habari za leo, naomba unisaidie kuniombea kazi ya udereva wa Kampuni ya Sultan huko Imani tafadhali sana naomba msaada wako mungu akubariki

  • @imranmohammed3785
    @imranmohammed3785 Місяць тому +3

    MashaAllah BISMIALLAHI MashaAllah 🎉

  • @MaimonaSaid-u5h
    @MaimonaSaid-u5h Місяць тому +4

    Mashalla umependeza

  • @JamilaMohammed-n8n
    @JamilaMohammed-n8n Місяць тому +3

    mashallaah ushungivwependeza

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 Місяць тому +2

    Masha-allah ❤

  • @reallyman9836
    @reallyman9836 Місяць тому +5

    L na R bado ni shida kwa watangazaji wengi kutoka Tanzania bara......naomba mjifundishe kuzitamka hizi herufi mnatangaza vzr ila mnaharibu kwenye L na R

    • @kasibalisaid7036
      @kasibalisaid7036 Місяць тому

      Wapatiwe darsa

    • @JemaMhagama-oz6me
      @JemaMhagama-oz6me Місяць тому

      Maswali mengi hajamuuliza.

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 Місяць тому +1

      Shida ni nn hata wewe kwenye kuandika hauko sawa angalia kwenye matumizi ya L umeweka R. 😂

    • @RahmaOmar-k3c
      @RahmaOmar-k3c Місяць тому

      😢😢😢😢

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl Місяць тому

      Sisi ambao tulisoma MADRASA,ni vigumu kutumia L badala ya R, hata ndugu zetu WAKRISTO walizungumza Kiswahili Fasaha. Kwa bahati mbaya sana hata Waislam hivi sasa hawapitii MADRASA na wanazungumza kiswahili Kibovu. Tafuta kwenye Kamusi ya Kiswahili...... hupati neno " NANILIU au MKAKA au LISAA LIMOJA na maneno mengi ambayo Sio Matamshi tu hata LAFUDHI ni shida tupu. Na hata vituo vya TELEVISHENI na RADIO wanashida ya Kiswahili fasaha.

  • @Byme6434
    @Byme6434 Місяць тому +1

    Kawape Salamu Bongo Wenzetu Wameendelea Bwana Sie tuendelee kuibia Wanyonge tuuu

  • @HalimaMichael-x6x
    @HalimaMichael-x6x Місяць тому +2

    Jamani niko na bwana yangu muoman mpeni kazi iyo ya udereva anauweza maana aliumwa sasa kazi ya mwanzo kapoteza nawaomba msaada wenu watu wa oman 😢

    • @reynaaalrawahi4137
      @reynaaalrawahi4137 Місяць тому +1

      Mwache akaombe. Atapata inshallah wanachukuwa wa oman na watanzania pia wapo wanaendesha haya mabus.

  • @maase2023
    @maase2023 Місяць тому

    Hawa mabulushi wa oman malimbukeni mno ! Dah

  • @salmaalsharji8205
    @salmaalsharji8205 25 днів тому

    Hili Basi Lina ennda wapi.

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 Місяць тому

    Mabulishi waomani rimbukeni jee nyee mnokwenda ulaya kwenye makasino mkadhalilishwa nani mshamba

  • @AihmAli-d8x
    @AihmAli-d8x Місяць тому +2

    Sasa ww umetoka tz kuhoji matajiri

    • @Mwanah-cg3ie
      @Mwanah-cg3ie Місяць тому

      😅😅😅😅

    • @AminaKassim-ni9wd
      @AminaKassim-ni9wd Місяць тому

      Kosa nn si vibaya mm naona kwa wenye ujuzi wait kazi wanaweza kufatilia kazi swanage pata

  • @Mwanah-cg3ie
    @Mwanah-cg3ie Місяць тому

    Babu yangu ❤❤😂

  • @hamidahnassoro-12
    @hamidahnassoro-12 Місяць тому +1

    Angerudi tu haina maana

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan Місяць тому

    We hujarudi tu ? Utapata bwna huko

  • @zainab8251
    @zainab8251 Місяць тому

    Anataka hela za nini?😂😂😂😂😂

  • @kassimkasi846
    @kassimkasi846 Місяць тому

    Hamis mandonga mtu kazi😅

  • @yusufsaid8911
    @yusufsaid8911 Місяць тому

    NADHANI HAPA NI NIZWA. MSALIMIE ALTAF NA MACHAPATI

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 Місяць тому

    Da Zali huyu ndy Abdallah unaemtajaga sana kwenye kipindi akuchangie nauli yakwenda Zanzibar mara kumtafuta Warda Arusha yaani Mdau wako mkubwa wa Mapito au sie huyu?

  • @ConfusedClipperButterfly-rk1gz
    @ConfusedClipperButterfly-rk1gz Місяць тому +1

    Hahaha Sasa hao NDio wafanyakazi wa ndani au???je Hawa NDio watu wa ubarozi au??je hao NDio maboss wanaomiliki wafanyakazi za ndani??dah maneno na vitendo tofauti. Zarina Sasa ulivyokuwa unawataka wafanyakazi wa ndani Oman wakupe pesa kwa kz hii muogope mungu da zari .😅😅😅😅

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 Місяць тому +1

      Mbona mpumbavu sana wewe wacha kuona Watu Wajinga hiyo ni DHARAU na UNAFIKI bora Nyamazaaaaa kabisaa

  • @MichaelMaro-hj7yo
    @MichaelMaro-hj7yo Місяць тому +1

    MTANGAZAJ PUNGUZA UPAMBE

  • @hamidahnassoro-12
    @hamidahnassoro-12 Місяць тому

    Uyu dada yuko bize na wafanya biashara sio wadada wa kazi za ndani

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 Місяць тому +1

    Sasa huyuuu Zari kaenda kuhoji matajiri au changamoto za wafanyakazi wa ndani? Mara watu wa saloon wara vile upo kinyume nyume ila ukiwa Tz unachonga mdomo kuwasema maagent haya we nae umeeenda huko unafanya mengine kbs, fyuuuuuuuu

    • @ShukranMwakyambo
      @ShukranMwakyambo Місяць тому

      Labda kapewa orodha na wakuu watu wa kuwahoji

    • @binseif2216
      @binseif2216 Місяць тому

      Nyie ndo mliwqchukia matajiri wakat wa magufuli lkn hamkumbuki kuwa rais wawanyonge ni yule anaewajali wawekezaji ili wanyongewapate ajira

    • @binseif2216
      @binseif2216 Місяць тому

      Mnaakili za utumwa ndomana hampati maendeleo hata mwendo kasi bado mnaipinga tu

  • @altentic8616
    @altentic8616 Місяць тому +3

    Oman iliwafanya watumwa watu weusi kisiwani Zanzibar kwa zaidi ya miaka 1,000 na unaendelea kuwaabudu majambazi hawa... hata inaonekana unasumbuliwa na ugonjwa wa Stockholm.

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f Місяць тому

      Hivi hii dhana ya waarabu walifanya utumwa Hua ni kwa waarabu tu au na kwa wazungu America yakusini na kaskazini na visiwa vya karibiani kuanzia Cuba, Jamaica, Barbados etc walienda watumwa zaidi ya milioni kumi na mpaka Leo vizazi vyao vya watu weusi viko nakule walikua wazungu ndo wenye kumiliki na kuendesha utumwa hiyo vipi inakua

    • @umsulaiman7468
      @umsulaiman7468 Місяць тому +6

      Mungu akushinde na roho mbaya ya kuwachukia woman yamehusu Nini watu wanauliza wewe unauleta habar ya utumwa mjinga wewe

    • @umsulaiman7468
      @umsulaiman7468 Місяць тому +5

      Wale wafrica walioenda india alio kwenda America alio enda brazili walibpelekwa na Oman mashallah umejaliwa chuki haitokusaidia kitu

    • @anwarabdallah1301
      @anwarabdallah1301 Місяць тому +2

      Msimshagae huyo demu wa wzungu

    • @shamzone388
      @shamzone388 Місяць тому +3

      Bado utakufa na chuki zako zisizo na maana
      Sisi tunachapa kazi na tunanufaika kimaisha tumejenga kwetu tuna somesha watt wetu tuna mashamba na maduka wazee wetu wamenufaika sana juu yetu KAZI IENDELEE
      UTAKUFA NA CHUKI ZAKO UPO😂😂😂