IGIZO LA UMASIKINI WANGU - ASANTE MWANAHAWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • Asante Mwanahawa ni Event ya kumuaga na Kumpa Heshima Bi Mwanahawa Ally kwa kutuburudisha na kutuelimisha kupitia sanaa ya uwimbaji wake wa Taarab
    Event hiyo itafanyika Tarehe 28 September 2024 katika viwanja vya leaders Club Kinondoni na Mgeni Rasmi was Event hii ni Mhe. Wanu Hafidh Ameir ambae ni Mbunge was Viti Maalumu kutokea Zanzibar na Founder wa Mwanamke Initiative Foundation
    Viingilio ni
    VIP - 100,000
    VVIP - 200,000
    MEZA - 2,000,000
    Tiketi zinapatikana:
    Ticket zinapatikana kwenye vituo vifuatavyo
    1. @beautypointdar - Mayfair Plaza Mikocheni
    2. @t_luxurywings - Sinza
    3. @2colections_dubai - Kinondoni
    4. @kitasahaircollection
    5. @directorjoan maduka yote ya Director Joan Store Tandale na
    Hananasif
    6. @jonijohairtz zote Kinondoni, Sinza na Kariakoo
    7. @zamaraditv - Mbezi Beach
    8. @fatnaramole Mbezi Beach
    9. @mwanaher vijora - Tandika
    10. @zimerudi - Kwa Da Huu Mwananyamala
    Na kama unahitaji MEZA basi Direct utaletewa ulipo kwa kupiga simu
    namba 0674 471847

КОМЕНТАРІ • 16