JENGO REFU ZAIDI LA BURJI KUJENGWA ZANZIBAR, LITAKUA NA UBUNIFU WA KIPEKEE DUNIANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 гру 2023

КОМЕНТАРІ • 21

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 7 місяців тому +5

    Jengo la pili kwa urefu Afrika Domino Tower limeishia wap maana tuliambiwa linajengwa Zanzibar ila mwaka wa 3 sasa ila hamna liwalo eeh jaman nyie kuna Mungu tu mujue
    CCM haina jipya ifanye iondoke Zanzibar maana wameigeuza Zanzibar kuwa ni mlango wa duka

  • @jumasaleiman
    @jumasaleiman 4 місяці тому

    Sioo kweli

  • @user-op2ed5cy5q
    @user-op2ed5cy5q 6 місяців тому

    Safi sana jengeni tu zanzibar ibadilike

  • @omyguy2002
    @omyguy2002 5 місяців тому

    Mmh atokua hai ataona in sha Allah

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 6 місяців тому +1

    Domino tower tumeishia kuona renders tu, tena mnatuletea hadithi ingine

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 7 місяців тому +1

    Kila cku maneno mengi hamjengi

  • @maase2023
    @maase2023 7 місяців тому

    Mmmhhh jengo gani hili halina hata sura

  • @hafidhyakoub8369
    @hafidhyakoub8369 7 місяців тому

    Semeni kweli

  • @hafidhyakoub8369
    @hafidhyakoub8369 7 місяців тому

    Hiyo ni hoteli ya mwinyi

  • @user-gd2xj3xd1b
    @user-gd2xj3xd1b 6 місяців тому

    Hawana nia yakuleta maendeleo CCM zanzibar

  • @zolongOne
    @zolongOne 6 місяців тому

    Bei za apartment ipo juu mno

  • @AfricabeyondtheLimits
    @AfricabeyondtheLimits 7 місяців тому

    Sasa burji ndo nn??

  • @richardbegga6679
    @richardbegga6679 7 місяців тому

    😂😂😂 hilo Mbona kwa Bongo ni fupi sana

  • @FatmaSalum-tr9qk
    @FatmaSalum-tr9qk 7 місяців тому

    Mud

  • @PROGRESS-PULSE
    @PROGRESS-PULSE 7 місяців тому

    Acheni kutudanganya bhana😂😂😂

    • @abedomar5183
      @abedomar5183 7 місяців тому +1

      Kitu gani sasa wanakudanganya hapo wewe useless stupid person

    • @PROGRESS-PULSE
      @PROGRESS-PULSE 7 місяців тому

      @@abedomar5183 😂😂😂 thanks mr useful smart minded person.

    • @Mamodel-Park
      @Mamodel-Park 6 місяців тому

      Kwan kipi kisichowezekana shangazi? Kisa ni Tanzania??

    • @user-ji7sy2wi7b
      @user-ji7sy2wi7b 2 місяці тому +1

      Hujui kuwa serkali ina danganya? Ile domino tower ya 221Mita iliishia wapi?​@@abedomar5183