TAZAMA MSANII WA WASAFI D VOICE AKISOMA QUR-AN NDANI YA GARI - MASHA'ALLAH.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Hii ni hatari sana.

КОМЕНТАРІ • 27

  • @alizanzibar1586
    @alizanzibar1586 8 місяців тому +1

    Bro nakuombeya DUA ALLAH AKUTOWE KWENYE HUO UJAHILI

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 7 місяців тому

    Wengi wa washirikina nawaona, wanga wamo humu, wachawi pia, kijana hana kosa lolote, kajifunzeni Quran muijue msimshambulie wanafiki nyie. Mnasali na hirizi viunoni.

  • @abduawesu9165
    @abduawesu9165 7 місяців тому

    Kijana upo vizur rudi katika mstari ulio nyooka usije ukafa nje ya Mila ya nabii Mohd s.a.w

  • @HaulaSaid-p5p
    @HaulaSaid-p5p 6 місяців тому

    Yaani jitu linasfanyia mchezo maneno ya allah halafu ukilitukana uambiwe unakosea ckieni nyinyi endeleeni kufanya uchafu wenu tafadhalini sana msifanye mchezo na quraan kareem mnatukera sana tunashindwa kujizuia

  • @HaulaSaid-p5p
    @HaulaSaid-p5p 6 місяців тому

    Hamjui kusoma quraana hata kuelekeza hamjui acheni quraan imeshushwa kwa ajili ya kulingania wwatu sasa hivi mnavyoifanyia mchezo nani atavutiwa nayo na kuifata jaman tunawaombq sana mnatukera quraan ukikosea nukta tu ushabadilisha maana je ww unaekosea yote ushabadilisha maana nzima acheni mchezo kuna kufa jaman

  • @MulkuMassos-um1ix
    @MulkuMassos-um1ix 7 місяців тому

    Angesoma ALIKIBA kusingekua na maneno mabaya kama haya tunapaswa kumuombea sio kumuhukumu wala kutukana kwakuwa kil binadamu ana madhaifu yake mbele za Allah waweza jiona wewe mwema sana machoni mwa watu kumbe ndio mwanga mkubwa

  • @fahadKorit
    @fahadKorit 6 місяців тому

    Allah mungoze kwenye njia ya kheri

  • @fahadKorit
    @fahadKorit 6 місяців тому

    Nurdini kishki angalia kijana wako ana kushika madevu

  • @JidaAthuman
    @JidaAthuman 7 місяців тому +1

    Sub'hana-llah 😭😭😭😭 Allah akuhifadhi

  • @UmyMasud
    @UmyMasud 8 місяців тому +1

    Wewe kijana mashallah lakin unamchezea Mungu atakufunza

  • @SalmaTelkom
    @SalmaTelkom 8 місяців тому

    Na mbn mnamchezea ALLAH nyieee na mnajua hakika mziki n haramu ASTAGHFIRULAH 😢😢😢😢

  • @qaseemayoub6758
    @qaseemayoub6758 8 місяців тому +1

    Ikiwa ni editing au ni mwenyewe hakika...Basi futen hii clip hii quran ilosomwa imekosewa sana maneno mengine yameachwa mengne yamebadilishwa..
    Quran ni ya mungu mtukufu lazima iheshimiwe na lazima isomwe kama ilivo

    • @Ramadhwan7
      @Ramadhwan7 8 місяців тому

      Hi ifutwe tena haraka

    • @harounhamis7659
      @harounhamis7659 7 місяців тому

      Ni kweli kabisa

    • @abubakarngao6549
      @abubakarngao6549 7 місяців тому

      Wala hawawezi ifuta maana kila kitu kwao Ni Kiki THUU 😢Hawa watu SUBHANALLAH

  • @suleimankhalid5978
    @suleimankhalid5978 8 місяців тому

    Ndg zangu mulokaribu mtoeni kijana wetu kwenye ujahil

  • @fatihazubery9496
    @fatihazubery9496 8 місяців тому +1

    ❤❤❤

  • @Ramadhwan7
    @Ramadhwan7 8 місяців тому

    Msiba wallah, Allah atuongoze wote

  • @khalimafahim1934
    @khalimafahim1934 7 місяців тому

    Subhannalllah

  • @apolomasterapolomaster5666
    @apolomasterapolomaster5666 7 місяців тому

    Tatizo maokoto

  • @SalmaTelkom
    @SalmaTelkom 8 місяців тому

    SUBHANALLAH

  • @Mamy199
    @Mamy199 8 місяців тому

    Nyoo

  • @margaridaagostinhoacaciona3656
    @margaridaagostinhoacaciona3656 8 місяців тому

    Bismilahi Rahman raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi yake Amin Amin Amin yaraab Amin alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kuwa mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokuaa na Shaka juu yake alhaamdulilaah achana na nyimbo za kimashoga usimchezee mungu achezewi

    • @hakizimanaomar8055
      @hakizimanaomar8055 7 місяців тому

      Allah Akbar Allah akurinde kbx

    • @mohamedmanga8391
      @mohamedmanga8391 7 місяців тому

      Wewe ndie unayemchezea mungu nenda kajifunze Quran, hutatusi mtu tena,

  • @ZenaKarisa
    @ZenaKarisa 8 місяців тому

    ❤❤❤❤❤