NANI ALIESOMA VIZURI KATI YA MANARA, MWIJAKU NA ANKO ZUMO QUR -AN TUKUFU??

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 бер 2024
  • Kwa mahitaji ya Qaswida Mpya, Tenzi, Mawaidha, Nasheed, na matukio mbali mbali ya kijamii, usisahau ku SUBSCRIBE, LIKE, COMEENT, SHARE ili uwe wa mwanzo kupata matukio hayo kila yanapotoka kwa wakati sahihi.
    Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia simu No.
    Whatsapp. +255772285543
    Call. +255772285543
    ASANTENI NA KARIBUNI.

КОМЕНТАРІ • 70

  • @katore1982
    @katore1982 3 місяці тому +4

    Nibora zaidi kushinda Kwa jambo la kheir, Masha Allah TabarakaAllah

  • @Raihanfirdausimohammad
    @Raihanfirdausimohammad 3 місяці тому +3

    Ispokua niseme tu ukweli wote wamesoma ila (alhaj manara kita jwidi yuko juuu nakupa kipao mbele Masha Allah ❤

  • @AliHassan-ib8lq
    @AliHassan-ib8lq 3 місяці тому +3

    Mashallah! Sheikh Haji katika hukmu za qur ani tajwid, makharijlkhuruf yuko sahihi

  • @nasramohd9924
    @nasramohd9924 3 місяці тому +5

    Safi sana kw wote jambo zuri mungu atawalipa kw sababu ujumbe umefk

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo 3 місяці тому +4

    MaashaAllah nmependa woote ni khery vijana wa kiislaamu wakiwa wanadhihirisha iimaan zao waz waz Allah atulipe khery soote❤❤❤❤❤❤

  • @abedsaidy7263
    @abedsaidy7263 3 місяці тому +2

    Mashaallah wote wamesoma vzuli ila mwijaku anasait zuri sana maashaallah

  • @luluwabinthamed2860
    @luluwabinthamed2860 3 місяці тому +1

    Wooote mashaalah acheni mambo ya mtandao hasa manara na mwijaku dunia ni tombola bovu manara anashabikia uzinifu wa zuchu tizama vizuri kesho maswali utakayo kwenda ulizwa na mwijaku acha umbea mimi frm oman 🇴🇲

  • @laylatabdallah2796
    @laylatabdallah2796 2 місяці тому +2

    Mashaallah allah akuongozeni ktk kheri maovu kuyaacha na mema kuyakimbilia

  • @Raihanfirdausimohammad
    @Raihanfirdausimohammad 3 місяці тому +1

    Aslm alkm warahmatullah wabarakaatuh ndugu zanguni katika imaan kumsema ukweli nijambo la kheri na lafuraha kuwaona wasani wetu wana shinda kusoma qur aan mungu awalipe kila lakheri ❤ amin

  • @Nuru_ya_sunnah.official
    @Nuru_ya_sunnah.official 3 місяці тому +1

    maa shaa Allah, wote Allah awaongoze katika nyia ya sawa

  • @maulidmsangule3598
    @maulidmsangule3598 3 місяці тому +2

    Maashaallah Haji yupo fiti hata Makhaariji llhuruufi yuko vizur

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 3 місяці тому +1

    Mashaallah watu nyie wa maana sana hiyo ndio kheri inatakiwa

  • @MapembeProduction86
    @MapembeProduction86 3 місяці тому +5

    manara kaweza sana zaid ya sannah

    • @Niget-us1np
      @Niget-us1np 3 місяці тому

      Sas yeye si alikuwa mwalimu wa chuo

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 3 місяці тому +1

    Bitiko yupo vizuri mno

  • @user-pv3rj5yk5n
    @user-pv3rj5yk5n 3 місяці тому +1

    Mashallah Manara ni mwalim anaweza kuongoza kundi la watoto wetu na tukapata wasomaji bora wa Qur-an tukufu

  • @Allymbaruku991-lj1om
    @Allymbaruku991-lj1om 3 місяці тому +1

    Ma sha Allah

  • @z34-kp9qq
    @z34-kp9qq 3 місяці тому +1

    Manara maashaa allaah yuko juu

  • @lhabibysheikhyahya
    @lhabibysheikhyahya 2 місяці тому

    Mashallah manara ANAJUA sana wallah huyu ni Mwalimu kiongozi

  • @mrsab303
    @mrsab303 3 місяці тому +1

    Both they are good ❤❤❤❤

  • @dasadremandad9208
    @dasadremandad9208 3 місяці тому +3

    Mwijaku lafudhi bado haji yuko vizuri sana

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 3 місяці тому +1

    kwenda ihdi nasiratwaah mustakeem bilaa Alhamdulillaah swamahaani

  • @thanijuma4208
    @thanijuma4208 3 місяці тому +1

    Manara ❤❤❤

  • @kamalmreh8473
    @kamalmreh8473 3 місяці тому +1

    Manara mashaallah

  • @DatuBakary-in3ut
    @DatuBakary-in3ut 3 місяці тому +1

    Unajuwa la manala kiboko😊

  • @user-jv5dq2zf2o
    @user-jv5dq2zf2o 3 місяці тому +1

    Haji manara kaitendea Haqi kila herufi tafkhimu zake zipo vizuri hawe wengine wamejitahidi

  • @mchabonde370
    @mchabonde370 3 місяці тому +6

    Wote harfu munazikata xn ila Manara amejitahidi zaid

  • @user-dm6qd3po4q
    @user-dm6qd3po4q 2 місяці тому

    Mashallah wote wamesoma vizuri ila Manara mahraja lhurufu yupo vizuri sana mashaallah,

  • @MapembeProduction86
    @MapembeProduction86 3 місяці тому +5

    Manara kaweza

  • @user-yn1nm9ih1g
    @user-yn1nm9ih1g 2 місяці тому

    Hajji amesoma vuzuri maashaallaah....lakini marembo ni mengi mpaka anaharibu. Kuna sehemu za kuibia tu namna Fulani ukisoma na sanuquriuka...wa abukaa...sikiliza utaelewa namaanisha nini

  • @AliKhalid-we4qn
    @AliKhalid-we4qn 3 місяці тому +2

    Sijawahi ku comment kama hivi ila nimefurahi MAASHALLAH KWA WOTE ila haji Yuko vizur zaidi Yao anajitahidi kuotowa makhrajil-khurufi maashallah Allah atujaaliye kwa sote tuwe watu WA Qur-an kuisoma vizur na kuifanyia kazi yaliyomo ndani yake

  • @Snuky54
    @Snuky54 3 місяці тому +1

    Anko zumo Masha Allah sauti

  • @mfungonishauri4234
    @mfungonishauri4234 3 місяці тому +1

    ALLAH ALLAH ALLAH

  • @yussufali8883
    @yussufali8883 3 місяці тому +4

    Uyo wa tatu yupo juu kuliko wote awo

  • @khamissaid5525
    @khamissaid5525 3 місяці тому +1

    Bro Hajii umewafunikaa wote bilaa upendeleo

  • @TatuMussa-ps2ui
    @TatuMussa-ps2ui 3 місяці тому +1

    MaNala yup juuu san

  • @HassanMohamed-vs4re
    @HassanMohamed-vs4re 3 місяці тому +1

    Haji mwalimu achana nae kabisa yaaani

  • @safiamohamed635
    @safiamohamed635 3 місяці тому +1

    Wote mmefanya vizuri lkn kaka Haji kaua sauti sio kikwazo

  • @user-kd7kh1io9k
    @user-kd7kh1io9k 3 місяці тому +1

    Manara hukua nabwebwe ila hukmu unazijua

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 3 місяці тому +1

    Anko zumo yuko sawa

  • @omarykibunta4950
    @omarykibunta4950 3 місяці тому +1

    Wamejitahidi ila haji manara anakitajidi kuliko wote hao haaaswa kwenye herufi kuzitamka ana kaaasilimia kidogo

  • @MaulidHaji-ol1no
    @MaulidHaji-ol1no 3 місяці тому +1

    Mwijaku

  • @mohamedronka8793
    @mohamedronka8793 3 місяці тому +1

    Anko zumo sema tu kasoma kipande kido sana ila yuko vizuri

  • @user-xg7jn5sn9c
    @user-xg7jn5sn9c 2 місяці тому

    Manara amesoma vzr

  • @ibrahimsaad617
    @ibrahimsaad617 13 днів тому

    Manara ni mwalimu

  • @DatuBakary-in3ut
    @DatuBakary-in3ut 3 місяці тому +1

    Haji

  • @Maryam-kl6gj
    @Maryam-kl6gj 3 місяці тому +1

    Msikosowane.

  • @aishaaisha4549
    @aishaaisha4549 3 місяці тому +1

    Manara kawwza

  • @user-yi4ob5lb8v
    @user-yi4ob5lb8v 3 місяці тому +2

    Ww mwijaku mbna unapenda ugomvi kua hbu mtu mzima kila sku ww tu unaboa

  • @user-qs4ed9xu8r
    @user-qs4ed9xu8r 3 місяці тому +1

    Mwijaka anavuta sehemu nyengne hazivutwi

  • @HadijaChango
    @HadijaChango 18 днів тому

    Manara safi and zumo

  • @abdallah2676
    @abdallah2676 3 місяці тому +1

    Manara yuko juu

  • @issaibrahim8796
    @issaibrahim8796 2 місяці тому

    Anko zumo ni msomaji mzuri kuliko waote

  • @TawhidaDhurqarnayn
    @TawhidaDhurqarnayn 3 місяці тому +1

    HAJI MANARA KAPATIA

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 3 місяці тому +2

    Kumbe wanajua mola awaongoze atuongaze

  • @yusufuiddy1064
    @yusufuiddy1064 3 місяці тому +1

    Manara babalao

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 3 місяці тому +1

    Manara kajitahid

  • @SoudShuraim
    @SoudShuraim Місяць тому

    Mwijaku hamna kitu..

  • @user-fy6gt1nm9n
    @user-fy6gt1nm9n 3 місяці тому

    Hapana hapo mwijaku amekosea
    Sio arjii ni irjiii

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l 3 місяці тому +1

    Zeruzeru kaua

    • @Snuky54
      @Snuky54 3 місяці тому

      Jina lake haji sio zeruzeru

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l 3 місяці тому

    Wote mafirauni wakubwa

  • @subiralema
    @subiralema 3 місяці тому +2

    Shida manara mlevi

  • @user-ct2nw8br1o
    @user-ct2nw8br1o 2 місяці тому

    Watu waliokulia kariakoo. Na vijana wengi waliolelewa hapo. Kko. Lazima wajue kusoma.