B2K Haiwezekani (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • Follow B2k on
    Facebook: / b2kmnyaa
    Instagram: / b2kmnyaa
    UA-cam: / @b2kmnyama
    Asante kwa kutazama video zangu, Tafadhali subscribe.

КОМЕНТАРІ • 1,2 тис.

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 Рік тому +66

    Huyu ndiye msanii pekee ambaye nyimbo zake zinapigwa na kusilizwa mtaani kuliko hao mastaa wenu. Big up sana

  • @faudhiashaban789
    @faudhiashaban789 17 днів тому +1

    Nahivyoo nyumaa umecholwaa we ndo ulimalizaa udongoo thic lineeei hoiiiiiiii❤❤❤🎉🎉🎉

  • @kelvinkitomo2783
    @kelvinkitomo2783 Рік тому +5

    Sawa bwana uchebe 😁😂
    Sema kichupa kikalii mwanangu👏🏼👏🏼

  • @nehzreal7445
    @nehzreal7445 Рік тому +2

    B2k nakukubali outer +254 kisumu ngoma freshi,ila luku kidogo iyo heirestyle na ndevu ni mbaya we kijana bro 🇰🇪

  • @HaruniOfficialchilambo
    @HaruniOfficialchilambo Рік тому +8

    Daaaaah 🙏🔥🔥🔥❣️ hakika najivunia sana uwepo wako

  • @alainmbusa993
    @alainmbusa993 Рік тому +2

    natokea Congo❤b2k nakupenda Sana sana, endelea mbele

  • @dr.bonye1
    @dr.bonye1 Рік тому +7

    Nishalipitisha hili goma hatariiiiii 🔥🔥🔥

  • @EliudySanga-xr8jj
    @EliudySanga-xr8jj Рік тому +2

    Sana home boy . Hii nyimbo duu sijui ulinilenga mm Yaan sisem

  • @soundstereorecod1
    @soundstereorecod1 Рік тому +7

    Kuimba tunajua ila sema hatupendani

  • @happymwagike7636
    @happymwagike7636 6 місяців тому +1

    Kljana mungu akufikishe mbali kwakweli unaweza sana

  • @Seckmponela
    @Seckmponela Рік тому +6

    @B2KMnyama since day one unawakilisha vizur kusini mwa Tanzania ila muzik wako unashindwa kupenya Tanzania nzima kwa ukubwa u naotakiwa nadhani ni wakati wa kuwekeza sana kweny promotion.... next time Wish to see U in next level........

  • @omidopatrick9029
    @omidopatrick9029 4 місяці тому +1

    walioko hapa 2090 jueni huyu babu wenu alitesa miaka 2010 kuendelea akawanyima vijina usungizi africa mtawalia biup b2k

  • @simonayoi8144
    @simonayoi8144 Рік тому +6

    B2k on the next world, nakubali saana

  • @janeth8933
    @janeth8933 Рік тому +2

    Naipendaa ii nyimbo Sana love u❤❤❤❤❤

  • @MtotoWaJemo
    @MtotoWaJemo Рік тому +4

    Mambo mbayaaa 🔥 kaka❤️‍🔥 u never let you. Fans down bigup🤛🔌

  • @PeterOsiemo-y2f
    @PeterOsiemo-y2f 2 місяці тому +1

    Daaaa huyu mnyama...b2k mapenzi tupu

  • @marionmumbe1352
    @marionmumbe1352 Рік тому +4

    How I love this man ni God tu anajua❤🔥🔥

  • @spaceonedigital254
    @spaceonedigital254 Рік тому +2

    Kazi nzuri bro Mombasa twakukubali sana 🔥💯💯

  • @malataogtz2080
    @malataogtz2080 Рік тому +3

    Star beat boy salute...

  • @mwanapili1430
    @mwanapili1430 Рік тому +2

    Umenona B2k mashallah😘😘😘

  • @Vinnoflavour
    @Vinnoflavour Рік тому +6

    favourite musician outta TZ 🎉🎉👏👏🤝

  • @OmbenMnemele-hv2bm
    @OmbenMnemele-hv2bm Рік тому +2

    Huna kazi mbaya kaka na wew ndo 7bu yamm kuanza kupambania mzki so niite ZP nakuja na ngoma yangu soon ya kwanza B2k ndo mfalme

  • @zegamblersmusicteam2035
    @zegamblersmusicteam2035 Рік тому +5

    Good job homeboy keep it up 💪💪🇹🇿🇹🇿

  • @braycetz99
    @braycetz99 Рік тому +1

    Inshallah nami nitakua kama b2k naimba saan

  • @Jastin-rodin
    @Jastin-rodin Рік тому +6

    Broo, Mpaka hapa sioni kama unahitaj promo sanaa kufanya mambo mazuriii.. Sometimes ukitembea mwenyew unafika mbali sanaaa.. watu hawalitambui hiloo, na ukiish kwa kutegemea promo sana utashindwa kufanya kazi vzurii kwa akili yako kakaa.. lazma fulan attasema kazi n yako ila ifanye hvii... Unaelewa nn namaanishaa??
    With this hit song, na zile nying zilizopitaa unaweza kakaa..
    #WHEN YOU HAVE SOMETHING TO ACHIEVE.. DON'T GIVE UP ON IT🔥💥

  • @MusaJunior-v4e
    @MusaJunior-v4e 2 дні тому

    Umetisha kaka kazi nzuri mapambano yaendelee

  • @Davidjoseph1990
    @Davidjoseph1990 Рік тому +16

    King of southern Highlands
    Never disappoint 🙌

  • @officiallyclassic4600
    @officiallyclassic4600 Рік тому +8

    Brother you kill it respect to B2K

  • @dekayoadrinizer9173
    @dekayoadrinizer9173 Рік тому +1

    Nakubal Kaka kazi nzr
    B2K myama Sana.
    By dekayo Adrinizer from songea tz 🇹🇿

  • @goddenmass736
    @goddenmass736 Рік тому +6

    king on the beat
    🙌🙌🙌🙌

  • @PandaBoe_
    @PandaBoe_ Рік тому +1

    kweli unabahati mpaka kitumbo kaka😁🙌🙌🙌7

  • @kesheninaftal
    @kesheninaftal Рік тому +4

    We are waiting 👩‍🦼👩‍🦼 brother b2k

  • @ismailgerald8339
    @ismailgerald8339 6 днів тому

    Nakubali sana b2k Huna kazi mbaya ngoma zako karibia zote nazielewa sana

  • @rashowshine7849
    @rashowshine7849 Рік тому +24

    B2k never disappoint 🙌🇰🇪

  • @stevenbonoskapugi8001
    @stevenbonoskapugi8001 Рік тому +1

    Njombe boy piga kaz kaka

  • @sillyme3009
    @sillyme3009 Рік тому +5

    I love this

  • @Wycoh254
    @Wycoh254 Рік тому +1

    Naipenda jamani I keep on repeating the song like every hour ❤❤❤❤❤

  • @shabaniyahya5786
    @shabaniyahya5786 Рік тому +9

    So talented

  • @MussaKitulanya-ys5ez
    @MussaKitulanya-ys5ez Рік тому +1

    Kweli kutoboa sioo mpaka dar tu unatufunza sana mwanetu mamba wa #MAKAMBAKO

  • @Pshine255
    @Pshine255 Рік тому +18

    Likes za wa Tanzania 🇹🇿 weka hapa

  • @Omma_Lee
    @Omma_Lee Рік тому +1

    Sema tu ndiyo hivyo lakn b2k mi nilikua namuamini tokea enzi nasoma🤝

  • @amayotti_ke
    @amayotti_ke Рік тому +37

    Likes za Kenya weka hapa 🇰🇪🇰🇪

    • @jamesthomas4969
      @jamesthomas4969 Рік тому +1

      Ppp

    • @betumaliga1463
      @betumaliga1463 Рік тому

      B2k noma Sana utafika mbar kinyama nakuombea endelea kutuwakilisha wakukaye salute sana

    • @dollarmusic546
      @dollarmusic546 Рік тому

      mentor wangu huyoo penda sna mziki wakoo❤❤

  • @RusiKomba
    @RusiKomba Рік тому

    Hongela mdog wangu

  • @amayotti_ke
    @amayotti_ke Рік тому +6

    B2K to the world

  • @CatherineSadick
    @CatherineSadick Рік тому +2

    ❤ ilove you b2k mmwaaaaah❤❤❤❤❤

  • @jeanfilmskenya860
    @jeanfilmskenya860 Рік тому +6

    the beat is wow

  • @jaywiztheboy7051
    @jaywiztheboy7051 Місяць тому

    Dah! B2K mwamba fundi sana wa uandish sijui kwann hachezwi sana kwenye media zao au kwasabab sio msanii wao

  • @erishatz
    @erishatz Рік тому

    Semah Asaivi Jamaaa ana Kitambiii Fezaa Ipooo @b2kmnyama 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤗🤗

  • @charlesedward2072
    @charlesedward2072 Рік тому +1

    Unatisha sana kk we noma sana ❤️❤️🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️

  • @KajoStarTz
    @KajoStarTz Рік тому

    Mnyama B2K uwezowako Unakua kilasiku
    Hujawahiniangusha mimi Nipo upandewako sikuzote

  • @Mosticedanty
    @Mosticedanty Рік тому

    Nakuamini sana maana unaga bifu huna majivuno ila kazizako ndo zina kuteteleya style zako nazipenda sana maana huna yule ambaye anataka kuiga style zako na yule ambaye anataka kuiga Styles zako hawezi kamwe ❤❤❤❤

  • @dastanjrk1811
    @dastanjrk1811 Рік тому

    Naweza kosa nyimbo zote lakin sy za wewe mk boy mnyama sikupingi Kaz zako dam yetu✊✊✊

  • @johnmathew4051
    @johnmathew4051 Рік тому +1

    Nakubali mnyama ujawai kosea🙌🙌🙌

  • @margaretkole5516
    @margaretkole5516 Рік тому +1

    Ww ni Star, napenda sana nyimbo zako nkiwa Kenya, much lov B2

  • @augustinomasanje6
    @augustinomasanje6 Рік тому +2

    Since tokea ngoma ya uhakika mpaka leo kwenye hii ngoma ume maintain na kuprove watu kua una flow na unaelewa mziki unataka nini kwa mashabiki. Big up b2k mnyama 💥💥💥💥👊👊👊

  • @benikayange2605
    @benikayange2605 Рік тому +1

    Mnyamaaaa

  • @liam_sinigar_mitangalo9619
    @liam_sinigar_mitangalo9619 Рік тому +2

    Congrats 👏 B2K..Ngoma ni kali sana.

  • @NassoroKigwio-p7k
    @NassoroKigwio-p7k Місяць тому

    Tisha sana mzee by.young mst❤❤❤❤

  • @Anna-sn3ei
    @Anna-sn3ei 9 місяців тому +1

    nakubalii sana

  • @yustochitema1131
    @yustochitema1131 Рік тому

    Huyu bwana mdogo anajua sana kuimba....naamini maisha kuna wakati lazm uwe na bahati,

  • @jboy9813
    @jboy9813 Рік тому +2

    Tisha sana broo

  • @yusterenosy6606
    @yusterenosy6606 Рік тому

    Huwa nakukubar sanaaaaaaa sanaaaaaa kaka. Haiwezekan

  • @techking254
    @techking254 Рік тому +2

    Kila siku lazima niskie hii ngoma❤️

  • @bennahtz
    @bennahtz Рік тому

    Nakubal bro napenda namimi niwe Kama wewe b2k mnyama

  • @bembestarsedimonda2154
    @bembestarsedimonda2154 Рік тому +1

    Kwaniaba ya bembe kapany tv online 🤝 tuko pamoja na bembe stars Edimond inatowa comment umeuwa sana kijana ❤❤❤nimwendo wamoto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎵 mungu hakulinde kijana chapakazi tu

  • @Mosticedanty
    @Mosticedanty Рік тому

    Kaka Na kukubali sana mimi Niko Congo DRC nikuambiyetu mimi ni shabiki wako asili miya miamoja 💯% kwasababu ume baki pekeyako Star Tanzanie ambaye unaimba nyimbo ambazo naweza kuzisikiliza ata mbele ya wazazi ❤❤❤❤❤❤

  • @bosconjoroge8985
    @bosconjoroge8985 Рік тому +2

    I swear I never knew this guy till last year after a friend told me about him,,and yees,,💪,,,hata Mimi nimekubali,,B2k uko sawa kaka,,Ngoma Kali quality yake,,😄😄 mob love 💗,,from 254 🇰🇪 to the 🌎

  • @betumaliga1463
    @betumaliga1463 Рік тому

    Nakubar mazima bonge la goma b2k mungu akutie nguvu unaweza kinyamaaaaaaaaa

  • @SautiyaSimbah-kz5mb
    @SautiyaSimbah-kz5mb Рік тому

    Noma sana mwamba umetisha kama kawaida yako

  • @yonamhumba2080
    @yonamhumba2080 Рік тому +1

    Unajua sana jomba

  • @deusmkalava7761
    @deusmkalava7761 Рік тому

    Hakuna siku ulishawahi kutuangusha Wana nyanda za juu kusini 🙏👊👊

  • @magomtanzania2558
    @magomtanzania2558 9 місяців тому

    anajua sana sema wanambania sana na wanamtiapini sana huyu b2k sio wakuwa ivyo anajua sana huyumtoto

  • @laxmajor
    @laxmajor Рік тому +2

    Uñyma mwingi b2k🤩

  • @yustomwaisomania2587
    @yustomwaisomania2587 9 місяців тому

    Mwamba wa Makambakoiii🔥🔥🔥🔥💯

  • @obligaz7kipangajr207
    @obligaz7kipangajr207 Рік тому

    Hujawai kuniangusha hata siku moja in South 🇿🇦

  • @geffdepoet5974
    @geffdepoet5974 8 місяців тому

    Wimbo ambao toka mwanzo hadi mwisho mkali

  • @LackisonkisomaLackisonju-gs9ft

    Tegemeo la ilinga tunakuomba sana bro usije ukapowa mbele kwa mbele hiyo

  • @ponsianorichard317
    @ponsianorichard317 Рік тому

    Huyu jamaa ni noma nakubal kjana

  • @mariandamu7379
    @mariandamu7379 Рік тому

    Napenda sana kazi zako hongera sana

  • @erasmussimwinga5770
    @erasmussimwinga5770 Рік тому

    I think diamond platnumz should sign this boy please he is a good singer

  • @missaotv2671
    @missaotv2671 Рік тому

    Huyo mshika kiooo ameaharibu bhana...video mzuri ila kioo kuna mazingira mmekifosi

  • @fedhabanks
    @fedhabanks Рік тому

    nakupenda sana msanii mwenzangu

  • @evamwashilindi4023
    @evamwashilindi4023 Рік тому

    Gogoooooo kijana 🙌🙌🙌🙌

  • @YvesTreize
    @YvesTreize Рік тому

    Huhu wimbo umenihingia kabisa b2k ww ninamba moja wawatu hambao nawahamini saaaan❤

  • @immahvannilah892
    @immahvannilah892 Рік тому +1

    Wewe jamaa unajua adi sio poa sijui kwann ngoma zingine hazitoboi kama tunaendana ebu fanya ata rmx ya tunendana mshilikishe star mkubwa

  • @LatoBoy
    @LatoBoy Місяць тому

    Nakukubali sana kaka

  • @Lionize_Tz
    @Lionize_Tz Рік тому

    Video safiii kazi mzurii saan

  • @princemikky
    @princemikky 10 місяців тому

    Malavidavi tu🥳🥳🥳🥳

  • @YvesTreize
    @YvesTreize Рік тому

    Namimi leo nime mpata ni ❤❤ sana 0:51

  • @AzizaJonasi
    @AzizaJonasi Рік тому

    Unaimb vizur sana B2K

  • @jacklumah8806
    @jacklumah8806 Рік тому

    Ngoma kari 💥💥🔥🔥

  • @DadyMaombi
    @DadyMaombi Рік тому

    safi sana kaka chapa kazi

  • @ukweri2ebiyati661
    @ukweri2ebiyati661 Рік тому

    Hahahhaa kasheshe kasheshe b2k naskia kwamashoga zako ukiongea mi mme wa ndoa yako nmepotea hahahahah unaweza unaweza npo zambia ngoma inapigwa kitaa changu ni bara

  • @jafarimadenge2347
    @jafarimadenge2347 Рік тому

    Mzigoo umetuliaaa

  • @EsromTibu
    @EsromTibu Місяць тому

    Nakupenda sana b2k

  • @mosesmwakweja8743
    @mosesmwakweja8743 Рік тому

    Wazi B2K 👍👍👍👍👍👍👍👍👍

  • @evamwashilindi4023
    @evamwashilindi4023 Рік тому

    🙌🙌🙌nyimbo yangu pendwaaaa 🙏

  • @HanceIsumaily-jk1ur
    @HanceIsumaily-jk1ur Рік тому

    B2k namkubali kinoma yanii

  • @ruthchiluba4932
    @ruthchiluba4932 7 днів тому

    Much love from zambia❤

  • @mareofficiel1949
    @mareofficiel1949 Рік тому +1

    HAIWEZEKANI FT HARMONIZE REMIX HIT 🔥🔥🔥