Dawa Ya Shetani Jini Na Mtu / Dawa Ya Wasiwasi / Darasa la mwezi 15 Mfungo Saba/ Sheikh Walid Alhad
Вставка
- Опубліковано 3 гру 2020
- Dawa Ya Shetani Jini Na Mtu / Dawa Ya Wasiwasi / Darasa la mwezi 15 Mfungo Saba / Sheikh Walid Alhad
Sheikh Walid Alhad Omar akieleza kwa uzur na ubora wa hali ya juu katika darasa la kila jumanne masijid Kichangani Magomeni Mapipa tizam video zetu mpaka mwisho usisahau kushare kwa wingi uwezavyo
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / darsatv
► LIKE DARSA TV on Facebook: / darsatv
Subscribe
Comment
Like
And share
Thanks - Розваги
Mashaallah nashkuru kwa mafunzo nkpnd kwa ajili ya Allah
Shekh nakupenda sana kwaajili ya Allah!!unajua kutuelimisha sana
ALLAAH ampe kheri nYingi sheikh Letu
Masha Allah jazzaka llahu kher hakika sijasoma madrasa ila kupitia ww najua kusoma japo kwa kichwa
Mashaallah shekh Walid
Allah ibarek feek ya sheikh walid alhad
Allah akulipe mara dufu na akulinde na shalli za dunia inshaallah
Baaraqallahu fiyqum sheikh Walid
Jazakallah kheir sheikh walid
MashaAllah Allah barik
MashaAllah Sheikh wetu Allah azidi kukuhifadhi
M/mungu akupe afya njemaa, akupe furaha akupe umri mrefu ili uzidi kutupa darsa nafurahia sana mawaidhaa yakoo hakika nakupendaa sana kwa ajili ya Allah
Masha Allah Taabaraka Allah shukran sheikh
Masha Allah
Mashallah
Mashalaah shekh upo sahihi kabisa
Maashaa Allah nakupenda Sana kwa ajili ya Allah
Allah atupe sote jannat 🤲
Mashaallah kwamafundisho mazuli ❤🤲🤲
Mwenyezi mungu akuujalie
Allah amhifadh san shekh walid
Aamiin
Mashallah shukrain sheikh wetu allah akujalie afya njema akuifaidhi alhmdullah kwa kutufuza Allah barqi
Mashaaalll
Allah akuhifadhi yaa shaykh
Allah akulipe kheri duniani na akhera
Allha.akupe..maisha..maziri
Mashallah Kwa mafunzo yako
Shekhe nakukubali sana haipiti siku bila kukusiliza mwenyezi mungu hakulinde
Mashaallah nakupenda sana kwa ajili ya Allah ❤❤❤
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
Allah akupe umri mrefu
Allah akulipe jazza njema from Iraq
Mashaala naomba udumu na ari hiyo
Mashallah
One day yesss
Jazakallah
Ma sha Allah, shukran sh Mungu akupe umri mrefu
Mashaallah !Somo zuri sana.Sheikh wetu kwanini somo la dini lisiwe la kwanza mashuleni.Kuna maustadhu wengi wapo wanaitaji kazi,Ingetusaidia sana wazazi.
One day yess
Mashallah
Jazakallah
Jazakallah
One day yes. Hawakuwezi..mashallah
Shukran shehe wetu Allha akulinde
Shukran kwa Ukumbusho
Ma Sha Allah
Allah Akupe Maisha Marefu ili utupe Darsa inshallah
Manshaallah
Shekh walid
Allah akuzidishie ilmu sheikh
بارك الله فيك...
asalaam alaikum nashkuru Allah jazah wajallah nime slimu na wanifunza dini Allah akupe Tawfiq
Naomba kuuliza unaweza swali ukasoma qur'an kimoyomoyo bila kutoa sauti?
shukran
Asante kwa Elim
Aslm alkm ww... Jazakallah kheir 🙏
Naomba nambari ya mpesa nitoe mchango wa madras
Mashallah Allah akuifadh
Mimi...nafaidika...kwakuwa.....nawekasikioni....hivi hivi..sisikii
Assalamu aleikum sheikh Mm nawazo kama ritakupendeza,
Kwa nini usiandae App ukaiweza Playstore ikawa tuna doawload kupata Dawa Ki halisi zaidi.
Shukraan
Sawa inshallah tutalifanyia kazi hilo
@@DarsaTV. vv
Mombo
@@DarsaTV. Asalam ghaleikmu naomba namba za shekhe tafadhali na matatizo mazito angalau nipate msaada 😢
Hakika Unawaka Unanuru Katika Nyuso Yako. Tunamuomba ILLAH KARIM Nasi Atupe Kutoka Kwako Sheikh Letu NAFAHAT Zako.
mashaAllh
Masha Allah