TBC safari - Usipojua kuogelea PEMBA unachekwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • Kuogelea na matumizi ya ngalawa kisiwani Pemba ni sehemu ya maisha. Utamaduni huu umekuwa ni sehemu ya michezo kwa wakazi wa kisiwa hicho. Shuhudia mbio za ngalawa na mashindano ya kuogelea mwaka huu wa 2017 yaliyofanyika pwani ya vumawimbi kisiwani PEMBA #TBCsafari.

КОМЕНТАРІ • 9