Wamekufanya uwe sugu, tena Mungu akubariki. Nakumbuka utekwaji wako mwanangu, nilipokuona ulivyoumizwa, nililia sana. Nilitoa kamchango kwa ajiliya matibabu kwa kushirikiana na watu wenye mapenzi mema. Sasa umekuwa imara kuliko mwanzo. Aluta continue.
Wakipatikana kama ninyi 100 watanzania wote watarudi nchini na nchi itakuwa paradiso ndogo....kila mtu ataifurahia nchi...watanzania washachoka....ujinga wote ushawatoka....hakuna kisichokuwa na mwanzo kikakosa kuwa na mwisho
Mdudee 👏👏👏👏🖐️🖐️🖐️
Haki ni muhimu kuliko madaraka Mungu awapiganie mlio mstari wa mbele God be with you guy
Duuuu. . . . ! Hii kiboko chao ❤❤❤
Mdude we jembe bna piga kazi kaka👏👏👏👏
Wamekufanya uwe sugu, tena Mungu akubariki. Nakumbuka utekwaji wako mwanangu, nilipokuona ulivyoumizwa, nililia sana. Nilitoa kamchango kwa ajiliya matibabu kwa kushirikiana na watu wenye mapenzi mema. Sasa umekuwa imara kuliko mwanzo. Aluta continue.
Mdude oyeeee!🎉🇹🇿
hehehehe, kumekucha tayari.ahsante kwa kupata asubuhi njema
Kumekuchaaaaaaaaa, 😂😂😂😂😂😂mdude bhana
Vivaaaaaa
Mwambie baba uziogepe tuko pamoja
Huyu ndo mdudeeee sumu ya nyigu saba mara sabiniii
Ndio Mdude mwenyewe!🎉
Pameanza kuchangamkaaaaaaaaaa
Wakipatikana kama ninyi 100 watanzania wote watarudi nchini na nchi itakuwa paradiso ndogo....kila mtu ataifurahia nchi...watanzania washachoka....ujinga wote ushawatoka....hakuna kisichokuwa na mwanzo kikakosa kuwa na mwisho
Mdude uwa namkubali mwenyekiti mbowe siku akiachia kiti mdude akichukuwe
Mdude pmj mkuu
Sasa m ona unatishia uhai wa watu na wew
Chadema nikubwa kuliko ccm ccm nijalala msiwe wahuni
Kweli wewe ni mdude
MUNGU AKUBARIKI MDUDE
Kumeanza kuchangamkaaaaaaaaaa😢😮
ASANTE SANA BWANA MDUDE NYANGALI
Kumeanza kuchangamkaaaaaa
🌹🌹🌹🌹🌹✌️✌️✌️✌️✌️✌️
wanyanyasaji waende zao
Mdude wewe ni mwamba
Huyu mwamba natamani siku awe RAIS tu
@@humphreyroberty8982 raisi wa aina awe
KIBOKO YA WACHAWI WOTE
Hahahahaha pamenoga
😛😛😛😛🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥