Asalaam alleykum warahmatulah wabaraqatuu Amiin ya Rabbil Allamin shukraan jazzakah Allahu kheir sheikh kwa ilmu hii Mwenyezi Mgu akupe kila lililo la kheir
Tatizo ya huyu shekh huwa anaungaunga aya na kuzitafsiri kwa mtizamo wake bila kutumia mtizamo wa quran. Mtu yeyote atakaye amini na akasimamisha swala na akatoa miongoni mwa alivyo ruzuqiwa siri na dhahiri. MTU HUYO ALLAH AMEMPA DARAJA YA IBADII (tazama surati Ibrahim aya ya 31) Wala kushiriki vita vya badri si kigezo pekee cha kuwa ibadii
Niko na ww ndugu yangu huyu sijui ni kishehe alisomea wapi elimu yake ya dini kaipata anavosema yy anaharibu ummah kabsa hiyo ni shirk halafu anaitetea inawezekana
Na shekhe alisema kua ni kigezo pekee !!? Tuwe bas tunaelewa mbona shekhe kafafanua vizur n aneona waz kua hawez mshirikish mungu n ametoa mfano wa shirk ww unamlazimisha kua anawapoteza watu dhid y shirk wale waliofinikwa n jabali walivyoomba kupitia mena walio fanya walifanya shirk tena kuna mmoja aliomba kupitia wema alio ufanya kwa wazaz wake hyo n shirk ok ALLAHU AALAM
Mola akuweke alhabib wetu na angalia wakti tunaoishi sasa compared 80s 90s kulivyokuwa na wachaji mungu barka rahaa masikizano natuangalie saahii twaishi tu kumaliza umri..
Sister plz utakosea ukimfuata huyo kishehe kweli usiombe kwa kumtia mjaa wowote kati halafu ndio iyende kwa Allah no ways like that usijaribu anakuwapotezeni bila yy kuifahamu dini vzri
Shukrani jazila sheikh ila unakuwa mtu anakuja kwa Allah kupitia tawasulu saasa mara nyingine unakuwa japo hivo Marhaba mkubwa unakuwa kwa kitu mtu alico tawakali zaidi ya Allah japo hajaakiomba hivo Napo hiyo Allah atamcukulia aje
Alhamdulillah umefafanua kiasi cha ufahamu wako. Ela maswali makuu yanayo tutatiza ni; 1) Kati ya Mitume na maswahaba ni gani wako naukaribu kwa Allah kutia nguvu kumuomba Allah kupitia kwao? Kuwa mbona tusitafute connections kwa allah kupitia kwa Mtume (SAW) 2) Nini maana ya matumizi ya ndimu, vijembe, sindano mbegu saba, chumvi katika usomaji wa albadri? 3) Maana ya kuchinzwa kwa mnyama wakati wa kusomwa albadri ni ipi? 4) Ipi dalili ya kuwa Mtume (SAW) alifanya hicho kisomo cha Albadri? *PLEASE EXPOUND ON THESE ISSUES*
Kweli sheikh anatupoteza lakini simlaumu kwa sababu kila mtu ana upungufuwake. Unapomuomba Allah usitoe mashart kwa Allah. Unamwomba allah kupitia kwa watu waliopigana Badr. wao wana daraja lao kubwa peponi. Allah amesema niombeni ,mimi niko karibu kuliko mshipa wako wa damu.
Yahe muogope Allah ,msimtengenezee washirika haifai,omba msamaha na ulisahihishe hili,hayo unayoyatafsiri ni kupotosha,Allah anatosha,haelekezwi,huogopi kutengeneza Mshirika,hayo ndiyo yaliyowapoteza waliopita,stahafiru.
Kitu kimoja nampendea sheikh izzudin hata kama ameikhtilafiana n mtu hamwiti majina ya kiajabu lakini kuna wengine utasikia huyo ni jahil n.k. mashaa Allah izzudin mungu akupe mazuri ya duniani n kesho akhera.
Ustadh salam alykum,,,, wakati wa jahilia watu wa makka walkua wakiabudu masanamu kwakisingizo cha kua masanamu hayo yanawaeka karibu na mungu ,,,je hio nayo ilkuaje haramu?
Hatujaelewa ahlil Badr isomwe au isisomwe, lakini si kwa kuibiwa chupi, kwa mambo ya maana kama mtu kukukosesha raha kwa nguvu za giza ambazo zinabainika kisha mkosaji akakataa, Naomba nijibiwe tafadhali.
nguvu za giza ni lugha ya shirk...... haifai kutumia nguvu za giza lasawa ni kumuomba Allah. alafu tusiwe wepesi kuwaombea laana wanaoiba vitu vyetu...... tumuombe Allah awaongoze katika njia salama
@@khamisissa252 nguvu za giza ni sawa sababu wanafanyia watu kwa kificho uadui, Na ziko sababu kubwa za kuomba laana zao ziwarudie mtu anakuandama tangu utotoni hujui mpaka umekwisha kwa tutasoma madua makali makali na wao yawarudie kama ni mazuri kama tudiin tudaan roho kwa roho nafkiri iko katika dini hii inajulikana, kama inavyosemwa tukitaka kitu kwa mungu, niombeni nitawajibu, hata tusipomumba anatupa Alhamdulillah.
Mimi najua familia inayodhulumiwa zaidi ya miaka 10 hawana raha kwa kuandwa na Majini yakutumwa na mchawi, na wakisomewa ruqya hao majini hujigamba kwamba kwamba twatoka na tutarudi paka tuisambaratishe Hii familia, na kweli kila wakisomewa hutoka na kuwarudia, Sasa hapo suluhisho ni nini kama sio albadiri tu,
Mashallah mashekhe wetu huogopa na ilhali ndio tuko kwa haki, wao misikiti ya kisunni hutoa darsa kina abu qatada hutoa darsa kaloleni marembo obo akatoa kishada Raashidina lakini ole wako Izzu ddin au ust Abudi luttah ama azhar, uthman maalim akitoa darsa Buxton lakini mmoja na uduktur wake kamkataa. Mashekhe wetu amkeni hakuna uzuri kwa watu hawa.
Mrejee nguzo za Imani ndgu zangu!zmepangwa kwa mtiririko ndipo elewa.Hyo habari ya ubora no kpi inakujaje tna.emu rejeeni baada ya kuamini Allah inakuja nguzo ipi?
Hivi Waislam tumerogwa na nani, hatukubaliani kwa lolote! Mimi naamini mbele ya Mungu hatupo sawa wapo wenye daraja kuliko wengine. Dua ya Mtume Muhammad SAW na yangu sio sawa.
Sheh nimekuelewa Sana Mimi nilisoma alali albadil Kwa mikono yangu mwenyewe na ikatiki niliweke kinga kwenye eneo Lang lipo Zanzibar imenisaidia Sana tena majangili watu wanao taka zukunizulumu walishindwa kunizulumu
Kwahivo kuna waja wake wasofanya dhambi? maana binadamu wote ni wakosa na mbora nimwenye kutubia, sasa asiepitiwa na shetani hawezi kufanya dhambi, washirikina wakuu.
Hiyo hadithi mbona kama umeiweka sehemu ambapo sipo mahala pake mtume amesema wale watu watatu walielezea matendo yao sasa wewe kuomba kwenye kaburi la shekh wako alikufa miaka iliopita sasa hapo kuna uhusiano gani?
Jamani na mimi nieleweshwe vyema. Yaani tuombe kupikia kwa watu wema. Haya tofauti na hao wanaoomba kupitia bwana yesu nasi tuombe kupitia wana albadiri ni ipi?
Tafauti ni kuwa sisi twa muomba yeye allah kupiya wajawake wema na wasio kua waislamu wanamuomba yeso mwenyewe hawapitii kwayeso namuomba yeso mwenyewe.
0:50 - Ustadh Izudin hebu rudi nyuma na utafakari vipi utaomba kwa kupitia mja kama wewe ilhali maombi ni baina yako na Mola wako Ambaye ni mwingi wa rehma na kusamehe
Shekh soma zaidi unafahamishwa kuhusu ahlulbadri lakin ww bado unashikilia wanaomba mait maiti yupi aliombwa apo ? Hebu soma vizuri usikurupuke tu Anza mwanzo Hadi mwisho halafu Angalia wapi ameombwa mait?
Amin sasa huyu shekh Mtoto Bachu wapi hujafaham ndo shida ya kutafsiri neno kwa neno, ambayo wanayo vijana wengi wanaopenda kukurupuka na kutumia mitandao
(البخاري: كتاب الجهاد والسير، باب الجاسوس [2845]، ومسلم: كتاب فضائل الصحابة، باب من فضائل أهل بدر [2494]). [4]- (مسلم: كتاب صلاة المسافرين وقصرها، باب جامع صلاة الليل ومن نام عنه أو مرض، [746]، وأحمد [25341]، واللفظ له، وقال شعيب الأرناءوط: "إسناده صحيح على شرط الشيخين"، والبخاري في الأدب المفرد [308]). رابط المادة: iswy.co/e12hfr
Kwanza hakuna amjuaye mja mwema utanijuaje kama afanya mema mchana usiku ni mwanga we usitunganye shehe Albadri ni haramu unavyozidi kuelezea na kushawishi tukubaliane na Albadiri ndo nazidi kukuona hufai kabisa unapotosha jamii
Maana ya neno ibadi ni mtu yeyote anaemtii Allah. Unapomtii Allah kikweli sheitani atakuchezea lakini hawezi kukupoteza kwasababu Allah anakulinda. Sasa Sheikh unatufanya tujione sisi sio ibadi wa Allah kwahiyo lazima tufanye tawasul. huu ni mtihani ndugu yangu katika imani. mimi nakupenda ndio maana nakutaka ujisafishe maana humu ndani waopenda mambo ya halbadiri wamefurahi washapewa ruhusa .
Sheikh Ali kama nimemfaham sheikh hiyo hiyo asmaau Ahlulbadri ina nidham yake, Ufaham m_baya wa baadhi yetu huitumia vibaya kwa kuwasababishia madhara wengine badala ya kinga ya uadui. Watu huitumia kwa maangamizi, marogo nk.
Mtu kakuibia kiatu Ukienda kwa Sheikh anakuuliza unataka Albadiri ya aina gani. tumtie kichaa ? au tumuuwe? Kuna albadiri za kuua kutia watu vichaa, kusafirisha watu kwa wapumbaza akili na kuna za kukinga aidha mwili nyumba eneo la biashara. Alafu Sheikh wangu unasema Halbadiri sio Shirk. ??????? Ndugu yangu jiondoe kwenye dhima hiyo, uwe msafi .
Shukran sheikh jazaka Allah kulu kheyri
MaAshllh sheikh Allah akujaze...
Kafanya nini mpaka unamsifia?
MashaAllah shukran ya sheik for the elim
Shukran shekhe Allah bless u
Allah akupe Kila Lakheri Sheikh Wangu, Akupe Umri Mrefu tuzidi kustafid kutoka kwako.
Asalaam alleykum warahmatulah wabaraqatuu Amiin ya Rabbil Allamin shukraan jazzakah Allahu kheir sheikh kwa ilmu hii Mwenyezi Mgu akupe kila lililo la kheir
Amiiin yaa Allah
@@Yussuf3145 Amiin ya Rabbil Allamin
السلام عليكم شيخ عزالدين شكرا بسعة علمك نفعنا الله بعلمك يزيد الله علمك دائما آمين
@@isaamokoli9555 wa alleykum salaam warahmatulah wabaraqatuu amiin ya Rabbil Allamin
Jazakallah khayran
MashaAllah. Shukran jazeela sheikh
Masha Allah sheikh langu mungu akupe umri mrefu tuzidi kunufaika na wewe
Amin ya Rabbi
مشاالله
MashaAllah Mungu akuhifadhi sheikh izudin
Tatizo ya huyu shekh huwa anaungaunga aya na kuzitafsiri kwa mtizamo wake bila kutumia mtizamo wa quran.
Mtu yeyote atakaye amini na akasimamisha swala na akatoa miongoni mwa alivyo ruzuqiwa siri na dhahiri. MTU HUYO ALLAH AMEMPA DARAJA YA IBADII (tazama surati Ibrahim aya ya 31) Wala kushiriki vita vya badri si kigezo pekee cha kuwa ibadii
Niko na ww ndugu yangu huyu sijui ni kishehe alisomea wapi elimu yake ya dini kaipata anavosema yy anaharibu ummah kabsa hiyo ni shirk halafu anaitetea inawezekana
Ndo tatizo ilo mlionalo mamluki wap hamjaelewa Allah anaombwa mpaka kwa majina
@@omarykyutta6681 tatizo ni yako kaka.omba mungu,stop being lazy and wake up in the middle of the night just like prophet Muhammad ( saw).
Na shekhe alisema kua ni kigezo pekee !!? Tuwe bas tunaelewa mbona shekhe kafafanua vizur n aneona waz kua hawez mshirikish mungu n ametoa mfano wa shirk ww unamlazimisha kua anawapoteza watu dhid y shirk wale waliofinikwa n jabali walivyoomba kupitia mena walio fanya walifanya shirk tena kuna mmoja aliomba kupitia wema alio ufanya kwa wazaz wake hyo n shirk ok ALLAHU AALAM
Tattoo ni msingi aloinukia ,ilikua ya maulid na al Badr @@abusalam7036
Mashaallah Sheikh izudin kazi nzuri
Thanks 66776⅞66 to 76
Mola akuweke alhabib wetu na angalia wakti tunaoishi sasa compared 80s 90s kulivyokuwa na wachaji mungu barka rahaa masikizano natuangalie saahii twaishi tu kumaliza umri..
Subhaanallah hiyo ni fikra yako Shekhe mungu atuongoze hakuna kuomba kwa maiti je maswahaba waliomba kupitiya kwa ahlulbadr hawakuomba hiyo nishirk
Kasome
@@dulaseif5001 kasome wewe usiejua chochote
Allah akusamehe sheikh wapoteza watu,ombeni Allah direct.
Ameen kwa sote na wee ulokua na elimu chache
Shukran Sheykh
Mwenyezimungu ana majina mazuri MUOMBENI kwayo....
MashaAllah sheikh nime pata Elmu kubwa kupitiya wewe....Baraka Allah fee kumm
Sister plz utakosea ukimfuata huyo kishehe kweli usiombe kwa kumtia mjaa wowote kati halafu ndio iyende kwa Allah no ways like that usijaribu anakuwapotezeni bila yy kuifahamu dini vzri
@@abusalam7036 toa ujinga wako hapa
@@omarykyutta6681 ujinga Gani,mbona usimuombe mungu wewe? Salatul leyl ni ya nini?
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh.
Bangi mbaya...
Shukrani jazila sheikh ila unakuwa mtu anakuja kwa Allah kupitia tawasulu saasa mara nyingine unakuwa japo hivo Marhaba mkubwa unakuwa kwa kitu mtu alico tawakali zaidi ya Allah japo hajaakiomba hivo Napo hiyo Allah atamcukulia aje
Alhamdulillah umefafanua kiasi cha ufahamu wako.
Ela maswali makuu yanayo tutatiza ni;
1) Kati ya Mitume na maswahaba ni gani wako naukaribu kwa Allah kutia nguvu kumuomba Allah kupitia kwao? Kuwa mbona tusitafute connections kwa allah kupitia kwa Mtume (SAW)
2) Nini maana ya matumizi ya ndimu, vijembe, sindano mbegu saba, chumvi katika usomaji wa albadri?
3) Maana ya kuchinzwa kwa mnyama wakati wa kusomwa albadri ni ipi?
4) Ipi dalili ya kuwa Mtume (SAW) alifanya hicho kisomo cha Albadri?
*PLEASE EXPOUND ON THESE ISSUES*
Bd unaudhaifu wa ilmu kasome utjua
Ndo maana ya kuomba ufafanuzi. All the same, can I get a list of the relevant books I can refer
@@omarijuma854 Msomeshe sasa.
Ameuliza kwa hoja mjibu kwa hoja.
@@omarijuma854 Ameuliza kwa hoja mjibu kwa hoja usilete ujanja ujanja.
@@omarijuma854 udhaifu wa elimu au swali gumu mzee
Maaashallah kwa ufafanuzi mzuri wa albadiri allah karrima
Wallahi badri nihistoria nzito sana, na wale waislamu wallahi wana Iman yaku beba Dunia nzima, nani,? Kama wao
Hao waja wema watatu walitawassul na matendo yao mema, kwa sheria yaruhusiwa
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh, mashaallah tabarak allah mungu akuzidishie kila la kheir shekh wangu
Amiiin yaa Allah
جزاك الله خيرا وبعد الخير جنة النعيم
Swadaqta Sheikh Izzudin...
Kweli sheikh anatupoteza lakini simlaumu kwa sababu kila mtu ana upungufuwake. Unapomuomba Allah usitoe mashart kwa Allah. Unamwomba allah kupitia kwa watu waliopigana Badr. wao wana daraja lao kubwa peponi. Allah amesema niombeni ,mimi niko karibu kuliko mshipa wako wa damu.
Yahe muogope Allah ,msimtengenezee washirika haifai,omba msamaha na ulisahihishe hili,hayo unayoyatafsiri ni kupotosha,Allah anatosha,haelekezwi,huogopi kutengeneza Mshirika,hayo ndiyo yaliyowapoteza waliopita,stahafiru.
Kitu kimoja nampendea sheikh izzudin hata kama ameikhtilafiana n mtu hamwiti majina ya kiajabu lakini kuna wengine utasikia huyo ni jahil n.k. mashaa Allah izzudin mungu akupe mazuri ya duniani n kesho akhera.
Kukhitalifiana sio sababu ya kumwita mtu jahili . Lkn ni haki mtu akiwa jahili kumwita jahili.
Atamuita nani Jahili wakati Yeye anaongea Ujahili hapa??
We waona atetea Shirik wazi wazi hapa
@@abuuayubuassalafiyu3642 hata kama mtu ana upungufu kwanini umtukane dini imeruhusu kutukanan na utajuaje mtu jahil kama wewe si jahil
@@alqaasim_a_tz2412 vile utakavyomuhukumu mwenzio ndivyo ulivyo si mtetei izzudin lakini muhsawahi kumfuata ukamrekwbish
ماشاءالله
Huyo Sahaba aliyeandika barua kwenda Makka anaitwa Khatib Ibn Abi Balta'a
Wallah aalam
Barakallah feek
shukran habib
Mashaallah somo zuri kwa wale wenye akili.
Ustadh salam alykum,,,, wakati wa jahilia watu wa makka walkua wakiabudu masanamu kwakisingizo cha kua masanamu hayo yanawaeka karibu na mungu ,,,je hio nayo ilkuaje haramu?
Maswali mengn lzm tuangalie tukiuliza hivi sanam limefany ibada gani kw Mungu atauseme namuomb Allah kw niaba ya Sanam hilo sio sahihi kw waja wem wamefny yanomridhi Allah nd unawez kufny hvy
YAHYA AHMED IBRAHiIM war na SOMALILAND TUGU TAFASHA WACHOKOZL AND MASHOGA.
Masheikh wa kisufi wako kinyume na tawheed! Masufi mtapotezwa sana na masheikh zenu
@Michelle Selenge jisufi
Na vipi kuhusu hii Ayah
وقال ربكم ادعوني أستجب لكم
Jee hapo Rabbu ni wa watu fulani???
Sheikh afwan tafseer ya ayah umeitafsir ki AMU !!!
Mtu Akiibiwa huwa amedhulumiwa na hadithi ya mtume sallahu allaihi wassalam yasema mwenye kudhulumiwa haina pazia.
hao wamekwisha fariki dunia wanahitaji kuombewa duaa
ingekua bado wako hai hata mm ningewaomba waniombee dua
Allah akubaarik. kwa kuelewa. wangekua hai tungewaambia watuombee lakini hawapo sasa
upo sahihii dada
Wapo hai
Watu Wema hawafi wanaoumzika tu, wanaokufa ni wenye dhambi
ALLAHU AKBRA ,MASHA ALLAH.
Masufi huelewana wao kwa iweje utoe mada nyingine alaf unatoa aya hazina munasaba na mada yako huu ndio usufi .
Jibu lishatolew izo nyengn kw faid tu n upan wa kueleweshw watu km usuf unao ww
We salafi mbovu tu
Hatujaelewa ahlil Badr isomwe au isisomwe, lakini si kwa kuibiwa chupi, kwa mambo ya maana kama mtu kukukosesha raha kwa nguvu za giza ambazo zinabainika kisha mkosaji akakataa, Naomba nijibiwe tafadhali.
nguvu za giza ni lugha ya shirk...... haifai kutumia nguvu za giza
lasawa ni kumuomba Allah. alafu tusiwe wepesi kuwaombea laana wanaoiba vitu vyetu...... tumuombe Allah awaongoze katika njia salama
@@khamisissa252 nguvu za giza ni sawa sababu wanafanyia watu kwa kificho uadui, Na ziko sababu kubwa za kuomba laana zao ziwarudie mtu anakuandama tangu utotoni hujui mpaka umekwisha kwa tutasoma madua makali makali na wao yawarudie kama ni mazuri kama tudiin tudaan roho kwa roho nafkiri iko katika dini hii inajulikana, kama inavyosemwa tukitaka kitu kwa mungu, niombeni nitawajibu, hata tusipomumba anatupa Alhamdulillah.
Mimi najua familia inayodhulumiwa zaidi ya miaka 10 hawana raha kwa kuandwa na Majini yakutumwa na mchawi, na wakisomewa ruqya hao majini hujigamba kwamba kwamba twatoka na tutarudi paka tuisambaratishe Hii familia, na kweli kila wakisomewa hutoka na kuwarudia, Sasa hapo suluhisho ni nini kama sio albadiri tu,
Mashallah mashekhe wetu huogopa na ilhali ndio tuko kwa haki, wao misikiti ya kisunni hutoa darsa kina abu qatada hutoa darsa kaloleni marembo obo akatoa kishada Raashidina lakini ole wako Izzu ddin au ust Abudi luttah ama azhar, uthman maalim akitoa darsa Buxton lakini mmoja na uduktur wake kamkataa. Mashekhe wetu amkeni hakuna uzuri kwa watu hawa.
Hawa hawana kheri uvamia misikiti na kusema eti misikiti yote ni ya Mwenyezi mungu lakini yao ya Kiwahabi hawataki shirika za watu wajuwa kuzivamia
Ifatwe hakki sio ushabiki wengine sio waislamu wanataka kuvuluga waislamu
Nataka kusomewa al badir nipeni connection pls.
Swadaqta🎉🎉🎉🎉🎉
Alhamdulillah rabbghalami darasa zuri sanaaa
Waja special ni masharifu na mamwenye😂😂😂😂
Hapo kuna mushkel
kaeni mbali saaana..huu ushirikina ukifa nao motoni milele
Mtajuana tu kama mnafanya uchawi au la!! ........bishaneni vizuri .......@bwana mmoyaaa
Qur'an maneno ya Allah ni bora kuliko mtume sheikh hapo mimi sijaelewa hembu nieleweshe tafafhali
Kweli kabisa na jibril kamshushia mtume salah Allah aleyhi wasalam kwa sababu ni bora .
Mtume Muhammad SAW nae ni wa Allah pia.
Rejea nguzo za Imani kwa mtiririko wake utapata jibu.
Quran ilikuj kwa ajili ya mtume hapo unadhan kipi bora kati ya aliyofatwa na alieifata
Mrejee nguzo za Imani ndgu zangu!zmepangwa kwa mtiririko ndipo elewa.Hyo habari ya ubora no kpi inakujaje tna.emu rejeeni baada ya kuamini Allah inakuja nguzo ipi?
Wameelewa shekh. Hawataki tu kukubali. Tuachanae nao wasoikubali ahlul badr
Ahsante SHEIKH
mashaAllah
Wewe shekh hufai kusikizwa utapoteza watu.
Hivi Waislam tumerogwa na nani, hatukubaliani kwa lolote! Mimi naamini mbele ya Mungu hatupo sawa wapo wenye daraja kuliko wengine. Dua ya Mtume Muhammad SAW na yangu sio sawa.
Weka mtume saw Kando,we wajua VP mtu amekushinda darasha? Wapima na nini haswa? Mtu anaweza kuwa muovu na akawa swala tano anaswalisha msikitini.
Sheh nimekuelewa Sana Mimi nilisoma alali albadil Kwa mikono yangu mwenyewe na ikatiki niliweke kinga kwenye eneo Lang lipo Zanzibar imenisaidia Sana tena majangili watu wanao taka zukunizulumu walishindwa kunizulumu
Naomba namba yako nataka huyo alokusomea maana kuna mwanamke anataka kunidhulumu nimechoka nae
Sheikh wale watu walitawasul Kwa mema Yao ..
Kutawasal kwa vitendo zako yafaa ..lkni haifai kutwasul kwa mtu
Alhamdulillah
Hata nasikiaga kuwa mtu kama yupo kwenye kundi na watu wanao fanya mkutano wa Allah hata kama ame lala nayy ana pata thawabu... Na dambi vile vile
Amina
Aa vpi naomba number yako sheikh
+254772611120
Kwahivo kuna waja wake wasofanya dhambi? maana binadamu wote ni wakosa na mbora nimwenye kutubia, sasa asiepitiwa na shetani hawezi kufanya dhambi, washirikina wakuu.
Hiyo hadithi mbona kama umeiweka sehemu ambapo sipo mahala pake mtume amesema wale watu watatu walielezea matendo yao sasa wewe kuomba kwenye kaburi la shekh wako alikufa miaka iliopita sasa hapo kuna uhusiano gani?
Jamani na mimi nieleweshwe vyema. Yaani tuombe kupikia kwa watu wema. Haya tofauti na hao wanaoomba kupitia bwana yesu nasi tuombe kupitia wana albadiri ni ipi?
Tafauti ni kuwa sisi twa muomba yeye allah kupiya wajawake wema na wasio kua waislamu wanamuomba yeso mwenyewe hawapitii kwayeso namuomba yeso mwenyewe.
ALLAH ATUHIFADHI INSHALLAH
0:50 - Ustadh Izudin hebu rudi nyuma na utafakari vipi utaomba kwa kupitia mja kama wewe ilhali maombi ni baina
yako na Mola wako Ambaye ni mwingi wa rehma na kusamehe
Ibaadii piya ni hata Wale wanaokosa sheikh. soma Zumar 39:53. Siyo tu Wale Wale ambao shetani hawezi kuwapotosha.
Wewe hujamuelewa anamaanisha wale waja ambao wenyekujibiwa hapo hapo niwale wasiopotoshwa na ibilis ndomaana yahizo aya mbili alizozitoa
ustadh mbona wajichanganya, maneno yako yakowazi wacha kuyakunda maneno
Masha Allah 💗💖👌
Shekh soma zaidi unafahamishwa kuhusu ahlulbadri lakin ww bado unashikilia wanaomba mait maiti yupi aliombwa apo ? Hebu soma vizuri usikurupuke tu Anza mwanzo Hadi mwisho halafu Angalia wapi ameombwa mait?
Amin sasa huyu shekh Mtoto Bachu wapi hujafaham ndo shida ya kutafsiri neno kwa neno, ambayo wanayo vijana wengi wanaopenda kukurupuka na kutumia mitandao
Hiyo khabar ipo Kitabu gani shekh?hiyo ya barua ally alioichukua kwa huyo dada,nisaidie kwa faida zaidi🙏
(البخاري: كتاب الجهاد والسير، باب الجاسوس [2845]، ومسلم: كتاب فضائل الصحابة، باب من فضائل أهل بدر [2494]). [4]- (مسلم: كتاب صلاة المسافرين وقصرها، باب جامع صلاة الليل ومن نام عنه أو مرض، [746]، وأحمد [25341]، واللفظ له، وقال شعيب الأرناءوط: "إسناده صحيح على شرط الشيخين"، والبخاري في الأدب المفرد [308]).
رابط المادة: iswy.co/e12hfr
@@IzudinAlwyDin shukraan shekh
Wasiopotezwa na Iblis Ma'asumin peke yao nao ni Mitume. Je, hao ahlul badr ni Ma'asumin?
Shukran
Wacheni SHIRK ENYI MAKHURAFI....MUOGOPENI ALLAH.....SHIRK YAANGAMIZA JAMAAAAAA
MashaAllah
Shukran Jazakallahu kheir
Waambie watu wamwombe Allah direct wasipitie kwa watu au kwa mashart fulani. Tuifuate kwanza Quran, tusipoelewa tuangalie kwenye Hadith.
Kwanza hakuna amjuaye mja mwema utanijuaje kama afanya mema mchana usiku ni mwanga we usitunganye shehe Albadri ni haramu unavyozidi kuelezea na kushawishi tukubaliane na Albadiri ndo nazidi kukuona hufai kabisa unapotosha jamii
Aslam alayku
Maana ya neno ibadi ni mtu yeyote anaemtii Allah. Unapomtii Allah kikweli sheitani atakuchezea lakini hawezi kukupoteza kwasababu Allah anakulinda. Sasa Sheikh unatufanya tujione sisi sio ibadi wa Allah kwahiyo lazima tufanye tawasul. huu ni mtihani ndugu yangu katika imani. mimi nakupenda ndio maana nakutaka ujisafishe maana humu ndani waopenda mambo ya halbadiri wamefurahi washapewa ruhusa .
Sheikh Ali kama nimemfaham sheikh hiyo hiyo asmaau Ahlulbadri ina nidham yake, Ufaham m_baya wa baadhi yetu huitumia vibaya kwa kuwasababishia madhara wengine badala ya kinga ya uadui. Watu huitumia kwa maangamizi, marogo nk.
Mashaallah
Sasa hivi wananiita muchawi mkubwa Sana
Mashallah
Izdun hakika nakukubali sayd
Mtu kakuibia kiatu Ukienda kwa Sheikh anakuuliza unataka Albadiri ya aina gani. tumtie kichaa ? au tumuuwe? Kuna albadiri za kuua kutia watu vichaa, kusafirisha watu kwa wapumbaza akili na kuna za kukinga aidha mwili nyumba eneo la biashara. Alafu Sheikh wangu unasema Halbadiri sio Shirk. ??????? Ndugu yangu jiondoe kwenye dhima hiyo, uwe msafi .
Sasa hiyo ndo shirki kabisaa unayoyasema.
Naam Mwalim ni kweli
HAIFAI KUSOMA.ALBADIRI
Tutajue Swahaba mmoja au Tabii alyethubutu kuomba kuptia Ahlu badri wacha upofu wa lazima
Kwa hivyo wanao omba kupitia Yesu wako sawa?
acha kupotosha watu
Sheikh mkali leo
Kumbe na ww umemuona eeh...
Amiiiiiiiiin
Kina Nani hao sheikh tuoneshe ambaye hawapotezwi na shetwaniii
Shekhe nilikuwa nakuamini umejiharibia kabisa kumbe unasomea watu Albadiri shehe
Mahakama stop full stop