Valeriana Simon
Valeriana Simon
  • 253
  • 851 277
Maua Yanavyomsifu Bikira Maria || Sehemu ya 2
Kipindi hiki ni mwendelezo wa sehemu ya kwanza. Tafadhali tazama sehemu hiyo ya Kwanza utapata utangulizi mzuri sana. Pia itakusaidia kuelewa vizuri zaidi kwa nini tumetumia majina haya ya kigeni.
Maua huamsha tafakari juu ya ukuu wa Mungu. Viumbe vinakusaidia kumkaribia Muumba.
@KANISAKATOLIKITANZANIATEC @thegalaxypro6219
@BernardMukasa @kmkmakuburi @lucidtv95 @vrcthika4649
@HOLYTRINITYSTUDIOS
@rajopro @St.GasparMedia @mutongoreprostudios
@despinae.mdende
@anastaciamuema
@JohnPaulIIMbeyachoir
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi
Переглядів: 127

Відео

Maua Yanavyomsifu Bikira Maria
Переглядів 473День тому
Maua ni zaidi sana ya vile unavyoyaona machoni. Kama labda wewe ni mmoja ya wale ambao ukiona maua ulikuwa unajiskia namna fulani nzuri ambayo huwezi ukamwelezea mtu mwingine, basi ujue hukukosea kitu.... maana maua huongea zaidi ya maneno tuyajuayo. MAUA NA WATAKATIFU Swala la maua linajidhihirisha zaidi na tunasikia sana katika Maisha ya watakatifu mbalimbali. mfano Mt. Yosefu, Mt. Fransisko ...
ALELUYA (Nakuabudu Yesu) G. KAYETA-VALERIANA & FRIENDS
Переглядів 2,5 тис.14 днів тому
Karibu Kutazama Wimbo huu mzuri wa kumshangilia Yesu wa Ekarist , Tukimwabudu katika maumbo ya Mkate na Divai Mtunzi: Gregory Kayeta Audio: The Galaxy Pro Organist: Peter Perfect Video: Director Mdete Tm #catholicsongs #kwayakatoliki #gospelmusic #africangospelmusic #virginmary #rosary @KANISAKATOLIKITANZANIATEC @thegalaxypro6219 @BernardMukasa @kmkmakuburi @lucidtv95 @vrcthika4649 ‎@HOLYTRINIT...
Njia 12 za kukusaidia Kuanza na kuimarika katika kusali Rozari Takatifu
Переглядів 57821 день тому
TUSALI KWA BIDII
Jinsi ya Kushika Matendo ya Rozari takatifu ya Fatima || Valeriana Simon
Переглядів 51421 день тому
TUSALI KWA BIDII, Hii ni mojawapo ya njia ambazo zitakusaidia kuyashika kichwani matendo ya rozari takatifu. Ni muhimu sana kuyashika matendo haya.
MAOMBI KWA MAKUNDI TISA YA MALAIKA
Переглядів 634Місяць тому
Hii ni sala nzuri sana na ya pekee mno. Tuitumie mara nyingi iwezekananvyo kwa kuwaomba mahitaji mbalimbali. ni makundi haya haya pia ambayo tunakimbilia maombezi yao katika rozari ya Mt. Mikaeli. Malaika wote wa Mungu mtuombee.
LITANIA YA MT. MIKAELI || Valeriana Mayagaya
Переглядів 1 тис.Місяць тому
Karibu tusali pamoja litania hii ya Mtakatifu Mikaeli malaika mkuu. Pia pitia kwenye channeli hii kusali pamoja nasi rozari ya Mt. Mikaeli cheki link kwenye sehemu ya comments. Tujenge tabia ya kuwa na ibada kwa malaika watakatifu. pia kuna sala nyingi humu na nyimbo nzuri sana, karibu rafiki.
ROZARI YA MT. MIKAELI malaika mkuu || Valeriana Mayagaya
Переглядів 1,4 тис.Місяць тому
Sala: Rozari ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu. Rozari hii ni kipekee sana. Japokuwa inaitwa ya Mt. Mikaeli, lakini kiuhalisia ni kwamba ni rozari inayohusisha makundi yote tisa malaika. hivyo kila unaposali rozari hii unayaheshimu makundi yote tisa ya malaika na kupata maombezi yao. ni rozari yenye nguvu sana sana. kama hujaelewa namna tulivyosali hapa, basi nakusihi uangalie kipindi ambacho nimeele...
NJOO KWANGU || D. KALOLELA || Valeriana Mayagaya
Переглядів 10 тис.Місяць тому
NJOO KWANGU || D. KALOLELA || Valeriana Mayagaya
SALA MOJAWAPO YA SAA TISA ALASIRI || Valeriana Mayagaya
Переглядів 9582 місяці тому
SALA MOJAWAPO YA SAA TISA ALASIRI || Valeriana Mayagaya
NUKUU 20 ZA MISA TAKATIFU || Valeriana Mayagaya
Переглядів 6002 місяці тому
NUKUU 20 ZA MISA TAKATIFU || Valeriana Mayagaya
SALA KWA ROHO MTAKATIFU VALERIANA MAYAGAYA
Переглядів 1,7 тис.3 місяці тому
SALA KWA ROHO MTAKATIFU VALERIANA MAYAGAYA
Litania Damu Azizi ya Yesu Kristo || Valeriana Mayagaya
Переглядів 3,1 тис.3 місяці тому
Litania Damu Azizi ya Yesu Kristo || Valeriana Mayagaya
Sala kwa Kichwa Kitakatifu cha Yesu Kristo || Valeriana Mayagaya
Переглядів 1,7 тис.3 місяці тому
Sala kwa Kichwa Kitakatifu cha Yesu Kristo || Valeriana Mayagaya
NOVENA (Sala) ya Mt. Yuda Tadei, kukabiliana na shida kubwa || Valeriana Mayagaya
Переглядів 4,6 тис.4 місяці тому
NOVENA (Sala) ya Mt. Yuda Tadei, kukabiliana na shida kubwa || Valeriana Mayagaya
Litania ya Kuwaombea Mapadre Wote || Valeriana Mayagaya (MwanaSayuni)
Переглядів 1,5 тис.4 місяці тому
Litania ya Kuwaombea Mapadre Wote || Valeriana Mayagaya (MwanaSayuni)
Njia 8 za Kukua Katika Ibada kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu
Переглядів 9114 місяці тому
Njia 8 za Kukua Katika Ibada kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu
Sala ya Mt. Antoni wa Padua, kutafuta kilichopotea
Переглядів 1,6 тис.4 місяці тому
Sala ya Mt. Antoni wa Padua, kutafuta kilichopotea
Je, Wajua? (1) _ Kuhusu Litania ya Moyo Mtakatifu wa Yesu || Valeriana Mayagaya (MwanaSayuni)
Переглядів 3074 місяці тому
Je, Wajua? (1) _ Kuhusu Litania ya Moyo Mtakatifu wa Yesu || Valeriana Mayagaya (MwanaSayuni)
Litania ya Moyo Mtakatifu wa Yesu || Valeriana Mayagaya
Переглядів 1,6 тис.4 місяці тому
Litania ya Moyo Mtakatifu wa Yesu || Valeriana Mayagaya
NUKUU ZA EKARISTI TAKATIFU || Valeriana Mayagaya
Переглядів 5844 місяці тому
NUKUU ZA EKARISTI TAKATIFU || Valeriana Mayagaya
LITANIA YA UTATU MTAKATIFU || Valeriana Mayagaya
Переглядів 7175 місяців тому
LITANIA YA UTATU MTAKATIFU || Valeriana Mayagaya
Sala kwa Heshima ya Utatu Mtakatifu1
Переглядів 3895 місяців тому
Sala kwa Heshima ya Utatu Mtakatifu1
NYIMBO ZA ROHO MTAKATIFU || Valeriana Mayagaya
Переглядів 7 тис.5 місяців тому
NYIMBO ZA ROHO MTAKATIFU || Valeriana Mayagaya
WAIPELEKA ROHO || JOHN MGANDU || Valeriana Mayagaya
Переглядів 2,3 тис.5 місяців тому
WAIPELEKA ROHO || JOHN MGANDU || Valeriana Mayagaya
UKAJA UPEPO || G.F. Kayetta || Valeriana Mayagaya
Переглядів 7355 місяців тому
UKAJA UPEPO || G.F. Kayetta || Valeriana Mayagaya
Nukuu za biblia kuhusu Kupaa Bwana Yesu
Переглядів 3825 місяців тому
Nukuu za biblia kuhusu Kupaa Bwana Yesu
Kujiweka Wakfu kwa Roho Mtakatifu || Valeriana Mayagaya
Переглядів 8705 місяців тому
Kujiweka Wakfu kwa Roho Mtakatifu || Valeriana Mayagaya
LITANIA YA ROHO MTAKATIFU | Valeriana Mayagaya
Переглядів 1,5 тис.5 місяців тому
LITANIA YA ROHO MTAKATIFU | Valeriana Mayagaya
Nukuu za Rozari takatifu (II) Tukisali kifamilia / Wengi | Valeriana Mayagaya
Переглядів 6095 місяців тому
Nukuu za Rozari takatifu (II) Tukisali kifamilia / Wengi | Valeriana Mayagaya