- 53
- 179 908
Vaileth's Kitchen
Приєднався 30 бер 2019
KARIBUNI NDANI YA VAILETH'S KITCHEN ILI KUJIFUNZA TIPS ZA MAPISHI MBALIMBALI, UJASIRIYAMALI, DIET NA MAMBO MENGINE KEDEKEDE. Usikubari kupitwa SUBSCRIBE ili kila ninapo post video uwe wa kwanza kuiona
Відео
CUP CAKES KWENYE JIKO LA MKAA | Ni rahisi sana
Переглядів 657 місяців тому
CUP CAKES KWENYE JIKO LA MKAA | Ni rahisi sana
Kwa yule aliyetaka kujua rangi nanayotumia kwenye ubuyu ndo hiyo hapo
Переглядів 172Рік тому
Kwa yule aliyetaka kujua rangi nanayotumia kwenye ubuyu ndo hiyo hapo
TAMBI KUKU NA VIAZI MVIRINGO | TAMBI TAMU SANA | Subscribe!
Переглядів 365Рік тому
TAMBI KUKU NA VIAZI MVIRINGO | TAMBI TAMU SANA | Subscribe!
Maandazi haya ni ya tofauti | JIFUNZE ufanye biashara
Переглядів 756Рік тому
Maandazi haya ni ya tofauti | JIFUNZE ufanye biashara
Cup Cakes kwenye jiko la MKAA | Rahisi sana
Переглядів 185Рік тому
Cup Cakes kwenye jiko la MKAA | Rahisi sana
MAANDAZI YA MVUKE | Maandazi ya Korea na China
Переглядів 293Рік тому
MAANDAZI YA MVUKE | Maandazi ya Korea na China
Hautatamani kula chakula kingine ukila hivi viazi
Переглядів 61Рік тому
Hautatamani kula chakula kingine ukila hivi viazi
MAANDAZI YA KISHUA / KITAJIRI...Subscribe!
Переглядів 66Рік тому
MAANDAZI YA KISHUA / KITAJIRI...Subscribe!
Juice ya Parachichi Tamu mnoo. SUBSCRIBE!
Переглядів 43Рік тому
Juice ya Parachichi Tamu mnoo. SUBSCRIBE!
Usimwage WALI uliolala. Fanya hivi. Subscribe!
Переглядів 236Рік тому
Usimwage WALI uliolala. Fanya hivi. Subscribe!
Pika Mboga kwa kutumia Mayai. SUBSCRIBE!
Переглядів 16Рік тому
Pika Mboga kwa kutumia Mayai. SUBSCRIBE!
Keki ya Chocolate kwa kutumia Biskuti. SUBSCRIBE!
Переглядів 12Рік тому
Keki ya Chocolate kwa kutumia Biskuti. SUBSCRIBE!
Uji Mzuri kwa Afya Nzuri ya Mtoto. SUBSCRIBE!
Переглядів 19Рік тому
Uji Mzuri kwa Afya Nzuri ya Mtoto. SUBSCRIBE!
MAANDAZI YA MAZIWA AINA YA 8. Subscribe!
Переглядів 21Рік тому
MAANDAZI YA MAZIWA AINA YA 8. Subscribe!
CHAPATI KWA NJIA RAHISI SANA. Subscribe!
Переглядів 30Рік тому
CHAPATI KWA NJIA RAHISI SANA. Subscribe!
chapati za kusukuma RAHISI SANAAA / Subscribe!
Переглядів 28Рік тому
chapati za kusukuma RAHISI SANAAA / Subscribe!
Jinsi ya kutengeneza mchanganyiko wa keki bila vifaa maalum. SUBSCRIBE!
Переглядів 61Рік тому
Jinsi ya kutengeneza mchanganyiko wa keki bila vifaa maalum. SUBSCRIBE!
Uza Juice ya Aina hii Upate wateja wengi | SUBSCRIBE
Переглядів 16Рік тому
Uza Juice ya Aina hii Upate wateja wengi | SUBSCRIBE
Jamani ubuyu wangu haukauki, shida iko wapi?
Mimi pia
@christinemunira Nimeambiwa ety ni kwa sababu sukari haikuiva,leo nikapika zingine zikawa ngumu tena nikaambiwa sukari imeiva excess
Iyo back powder lazima iwe kama iyo au
Asante
Shira ni sukari
Ahsante sana nimependa mafundisho yako
Asante Dad ira me naswali yakiwa ya biashara unayaje
Mia tano kwa shilingi elfu moja unamaanisha nini hapo hapo sijakuelewa.
Yaan unaweza kufunga package za kuuza mia Tano mia Tano na package ZINGINE zikawa kubwa kidogo ukauza kwa elfu mojamoja
You teach well
Dada up vzr sanaaa
majina ya baadhi ya malighafi hatujaelewa mfano alipoweka zesta beaking powder hatua inayofuata ameweka nini na mwsho kumalizia vip
Hongera sana mungu abarik Kaz ya mikono yako
Asante dada nilikua nawaza nikafundishwe
Shira ni kitu gani???
Asante Kwa hudum
Tafadhali toa mziki maana sauti yako iko chini hatuskii nu mziki tunaskia tu
Ubuyu unapitikana wap
Jamani me nihitaji namb yk mamy me nikijaribu nashinwa
Iv tried everything my mabuyu never dries
Me too its not drying sijui mbona
Sasante kwa .maelekezo my sister mungu akubariki ila nlikua naomba kujua ubuyu unakauka kwa muda gani
Mimi nataka kupika unga wa mabuyu pekeyake
Nimejifumza kidogo
Hongera sana Dada Kazi nzur sana MUNGU akubaliki ❤❤❤
Asante sana❤❤❤
Ahsant dada nimepend unafundish vzr na mm ntatengeneza
Tuelekeze na ubuyu wa vipande
Ahasante Mungu akujaalie sana Kwa moyo ulionayo❤❤❤
Hivi rang gn huwa azina chumv
Dada mm nikipika unakauka sijui nakoseha wapi jaman
Video zuri lakini kelele nyingi huku nyuma sauti kwa mbali unasikia la msemaji....
Shila ndo nini dada
Sukar ambayo unaipika na maji ndo shira
Ule mchanganyo wa maji na sukari vinapichemka ndio inaitwa Shira nyie mnatamka shila
Baking powder ina saidi nin kpenz kweny karang
❤
Jmn naomba nisaidie mm ubyu wang ĥaukaukiiii
Ubuyu kilomoja natumia maji kiasi gani nasukari kiasi gani
Shukran sana my sister ❤❤
Mi ni mwanafunz wako leo ndo nataka nijaribu naomba tu samahani uniandikie vipimo nifuate ikibidi na muda hasa wa kuchemsha shila
Karanga ni mbichi??
Asante mamy
Kilo moja unatoa pakt ngapi
Hiyo Bakinpoda inakua ya ubuyu tuu au
Maashaallah una elekeza vizur
Samahani,mm nimepika ubuyu ila umezidi maji nifanyaje
Mie ubuyu wangu haukauki shida n nn
Ahsante kwa darasa
Nimependa sana ...ila hayo maji vikombe vinne ni lita ngapi kwa kusaidia zaidi please
unga wa ubuyu unapatikana wapi jamanii?.
Unaeleza vizuri asante
Asnt nitajifunza kipenz
Ukiwa na ubuyu debe moja sukari kiasi gan? Na unga wa ubuyu kiasi gan!
🎉🎉🎉🎉I love this Mungu Akuzidishie