Nampenda mama kelvin anavyojua kuigiza kulia kachukua nafasi ya marehemu tesa kama mnanikubali basi nilikeni hata moja basi😢 mama kelvin maua yako🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Tabu kama jina lako tabu na Una tabu nyingi Sanaa pole utapona Tu ila ukipona uwache umalaya na kuiba waume za watu hongeleni Sana kwa kutupatia mafunzo mazur 😂❤❤❤🎉🎉
mama na mtoto wake wamefunzwa na ulimwengu maana mama hakutaka kumwelewa mtoto wake wa kiume aliyemwona hana kitu , tuendelee kujifunza ya duniani, na mwenyezi mungu atupiganie sisi waja wake
Ama kwel asiye funzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu, na lisemwalo lipo na kama halipo laja, tinnah amefunzwa adabu, mama hakumskiliza kijanake, sai yamemkuta
Love shoga yangu sitamani kukuona ukiwa na vitu hivi ku sura yako uza cotri utiye ndani ya mafuta yako yaku pakala wende kwenye pharmacie bitakusaidiya maman
Lkn jamani huyu Zuu hakukurupuka tuu. Alimfata mama Tabu na kumfahamisha kuhusu bint yake. Ila Mm Tabu hakutaka kuckia. Kwa hivyo mwache apambane na hali yake.
Ama kwel asiye funzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu na lisemwalo lipo na kama halipo laja tinnah amefunzwa adabu mama hakumskiliza kijanake sai yamemkuta,
Nampenda mama kelvin anavyojua kuigiza kulia kachukua nafasi ya marehemu tesa kama mnanikubali basi nilikeni hata moja basi😢 mama kelvin maua yako🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Huyu mama kiukweli ni kama tesa mwingine aliyeibuka Kwenye filam🎉
Hakika
Mama uko vizur unajuwa kuingiza nakupa🌹🌹🌹🌹🌹
Mimi zuu nimewanyoosheeni Tabu kisawa sawa wanakubaliana na mimi like hapa😂😂❤❤
😂😂😂😂❤❤❤
Umemkomeshaa 😅😅😅😅
Weeeeeeh ila umemnyoosha sana zuu❤❤❤❤🎉🎉🎉
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndo akome😂😂😂😂😂
Nimempenda Docta❤
❤❤❤❤ From Kenya weka likes
Nimefrahi kukuona mayasa wetu napenda sauti yako kipini mwaya yani uko vizuri nakupenda sana mayasa🎉🎉🎉🎉
Doctor ndo nimemuelewa hapo kak unajua upo serioux ufke mbal broo✌✌✌✌✌
Mama tabu pole san mtoto mleavyo ndivo akuavyo🎉😂😂😂
Kabisaa
Kelvin tunamutaka neli n'a Victoria tunawaitaji tuwaone watu wa maana sana mu donta 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kwel
Na shanaiza nae
@mwanamisimwapula8392 tunawaitaji sana tu kama atubaoni batakuwa banatukoseya sana tu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kwa kweli Victoria na Neli walienda wapi? Tunaomba warudi tunawamiss sana
@MaurineNyaboke-el6sx ndio tunawaitaji sana tu 🙏🧑🚀
Jamani kabadilishe nguo ndimu😅😅😅
Wakwanza Leo ❤❤❤❤❤
Tabu kama jina lako tabu na Una tabu nyingi Sanaa pole utapona Tu ila ukipona uwache umalaya na kuiba waume za watu hongeleni Sana kwa kutupatia mafunzo mazur 😂❤❤❤🎉🎉
Niuwe jamani 😅😅😅
@@NadzuaMrema😂😂😂😂😂😂nimecheka
Zangu like🎉wa.wakenya
Ndimu jaman ❤❤❤😂😂😂😂
mama na mtoto wake wamefunzwa na ulimwengu maana mama hakutaka kumwelewa mtoto wake wa kiume aliyemwona hana kitu , tuendelee kujifunza ya duniani, na mwenyezi mungu atupiganie sisi waja wake
❤❤
0:00
Amin
Very true mama alikua mbishi sana hatimae amepata alichokitaka
Ama kwel asiye funzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu, na lisemwalo lipo na kama halipo laja, tinnah amefunzwa adabu, mama hakumskiliza kijanake, sai yamemkuta
Kumbe nimechelewa jameni 😭😭😭.Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮
Uyo doctor ako single?😂😂😂😂😂
😅😅😅😅ushamkufia tayar
😂😂😂😂muachane Na kijana Wa wenyewe
Kwani umemwaja yule wako😅
Kafunzwa na walimwengu huyooo👍👍
Kabisaa
Jmn huyo dokta mzuri mpk nimepagawa
Kwaiy uwezi kuishi bila yeye😂😂😂 au siyo
Rehema kwaiyo Dokta ni Shem wetu mtarajiwa sio
@@SantaJumaa😂😂
@@JeannetteManirambona-o6m 😀😀😀😀
🤣🤣🤣🤣🤣 mmbo yasiwe mengi
Mama tabu kayakanyaga,huyo aliechukuliwa mume ss,nimempenda bure kachangamka hatareee anajua kusuta huyo balaa
@@MaryamIsmaeel-v3i 😂😂😂nakupenda pia darling yani watanikoma kina tabu
@sishamusic tuko pamoja,kazi nzuri mpendwa
Yuko vizr anaitendea haki sing' yke
❤❤❤❤❤❤ donta tv
Mm tabu kimekuramba mwisho Wa kicheko kilio😭😭😭😭😭umbuka sasassss 📢
Yani wana donta hamjawahi kufeli❤❤❤❤ 🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Doctor handsome iv anapikana wapi ❤au ndo anatibia donta tyu😮kelvin nakuja kutibiwa na mm
Doctor anashauri upande wa pili 😂😂nnamashaka hajamalzia Taaluma Yake 😂❤but thanks Donta for this work 🎉
Shukrani kwa part 3
Mtoto umleavy ndivy akuavy😂muach dunia imemfunza mume wa mtu sumu
Kweli ❤
@@AminaNgumba haswaaa nimemnyoosha😂
@@sishamusic 🤣🤣🤣
Mama ulishindwa kumfunza mwanao, ulimwengu umefunza nahuo ushundani wako mama😂😂😂😂😂😂❤❤❤
Kazi nzuri sana ❤❤
Wa tano Leo nigeieni like bc wadau
Asiyefunzwa na mamae atafunzwa na walimwengu
jmn ñilimmisi maya more love❤
Nimeipemda iyo ya Tabu kukomeshwa ❤❤❤
Dokta aanaajuaa kinomaaa💯💯💯💯💯
Siwez kuishi bila doctor 😊
wa kwanza leo
Kazi nzur nawapenda
Kafunzwa na ulimwengu huyu tabu
Nyie nanyiii mnapenda kutoa vitu nusu nusuuu
❤nmekuelewa wez wawaume wawatu waachee mara mojaaaa
Iam waiting part 04 film for beautiful
❤❤❤❤ from Burundi naomb likes
🎉🎉🎉🎉 kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Uyo doctor siwezi kuishi Bila yye 😂😂
Mimi naitajii huyu dokta❤
Mama Tabu Unalia nn pambana
Courage ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Naikubal mwali
Love shoga yangu sitamani kukuona ukiwa na vitu hivi ku sura yako uza cotri utiye ndani ya mafuta yako yaku pakala wende kwenye pharmacie bitakusaidiya maman
Sjawah kubahatika kuwa wa Kwanza jaman
Docta uk vizur utafika mbali
Ukiitwa tabuu lazima upitie tabuu 😅😅😅 manaa mama akoo hasikii yakwambiwa yamemukuta sasa😅😅 wanaokubalia na mm gonga like❤❤
Siwezi ishi bila Doctar nisaidie plz😂😂😂
Walimwengu washamfunza huyo kigego
Tuliyo miss Maya gongeni🎉🎉🎉 alikuwa amejifungua ndo mana atukumuona😂😂😂😂
Lkn jamani huyu Zuu hakukurupuka tuu. Alimfata mama Tabu na kumfahamisha kuhusu bint yake. Ila Mm Tabu hakutaka kuckia. Kwa hivyo mwache apambane na hali yake.
Upo nyonyo😂😂
Mwisho wa kukimbia ni kusimama Tabu kula chuma icho
Nimeipenda huyo bro❤❤❤
Laana kaipanjua daah ndimu bhna
Mama tabu uliyiyataka mwenye
Jmn macho ya Doktr miee nk hoiii
nawapenda nyote ❤
Mafunzo Tele 🎉😘
Uyo tabu akipona ataanza na docta uyoo 😅😅😅
Nmempenda zuu anajua apewe maua yake🎉🎉❤❤
@@Wardarajab 🙏❤️asante kipenzi
@sishamusic nakupenda piah dada ang🥰🥰
😂😂😂somoe mim nimepatikana na wamama wa tabia hii wakome
Kazi nzuri ila imepoaa❤
asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na walimwengu(ubaya ubwela)
Love umepatwa na nn sura yako
Kszi nzuri sana 😂😂😂😂😂😂
Huyu mama mbishi saana. Mpaka yakimkuta ndio anakua mpole. Km kwenye “MTT WA BOSS”
😂😂😂😂😂😂 pia we umeonaa
@ Nimeona dear.
Mwali kigego mwenye nyota ya mitato
Umalaya utakuua ndo hivo
nimempenda loveness anavyoigiza
Na mm nikuchukuliwa mme wangu natoa mtu kizazi🎉🎉
Kakaake tabu handsome mashallah 😘
Tujifunze mzazi unapoletewa kes chunguza fanyia kaz siyo utukane watu
Kweli tabu na tabu yake sasa kawa mwali kigego ypo kitandan tujuane from Tanzania 🇹🇿
Kabla niangalie movie naanza na comment 😅😅😅huniacha hoi
Mama tabu nadikiya ucungu
😊❤❤😂umalaya
Ama kwel asiye funzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu na lisemwalo lipo na kama halipo laja tinnah amefunzwa adabu mama hakumskiliza kijanake sai yamemkuta,
Ndimu uko powa sana😂😂😂😂😂
Zuu kama zuu😂😂😂
@@Raïssalaboss Ni mmoja tu nimemkomesha tabu❤️❤️😂😂😂
mama watu walilalamika kuhusu mwanao lakini hukusikia ulimunga mukono sasa vuna ulisho panda 🤷♀️
Amefuzwa nadunia mume wamut sumu
Huyu mama nae kwakulia tuuu😂😂😂😂😂😂
Wanyooshe many ❤❤😅😅😅
Yani Tabu ameyakanyaga jamani pole sana…Zuu amefanya ile kitu😂
Shukuru mama ulizaa kokoto jengea nyumba uishi🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂ndimu 😂😂Asante nakupenda bure 😂😂
Kiboko ya wez wa mumu zawatu
Mama tabu noma sana
❤❤❤❤pole sana
Laveness akili huna umeshaambiwa mwenzako kalogwa lini hospitol waone uchawi
❤❤❤❤
asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na walimwengu(ubaya ubwela
Jaman napenda mnavyoigiza
Asiye funzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu, mama Tabu hukutaka kumfunza mwanao Tabu tabia njema hivyo basi acha ulimwengu umfunze atiwe adabu kias
Sawa sawa zuu😂
Mashallah ❤❤❤❤❤❤
Tatizo mama tinaaa mbishii😊