Mtume swalah allahu alaihi wasalam amekataza kula thamani ya mbwa yani kuuza mbwa hata paka amekataza kuuza hawa watolewa zawadi wanyama hawa na kuweka mbwa katika nyumba kila siku mtu anapunguziwq thawabu sawa na mlima wa uhudi ila mbwa aina 4 wa ulinzi wa kuwinda wa kuchunga wanyama na wa kumuongoza kipofu na huyu mbwa wa mwisho wa kumuongoza kipofu ndio kapewa kipaumbele sana
Eleweni mada msilete mihemko ya kidunia, mmeambiwa swala la malaika kuingia ndani ya nyumba, ujaambiwa swala la mafanikio, na tulivyokuwa na usheutwani, kila mtu anasema nafuga mbwa naweka Picha, lakini mambo yangu, Safi, mnawaza ela na mali tu, hata mugu amumsamini,, swala la kufanikiwa ni mipango, ya mungu, malaika ni kiumbe nacho kimeumbwa, kifupi masa hiyo ni sawa na mgonjwa majerui aliyekunywa pombe, akiperekwa hospital atibiwi mbaka pombe , itoke. Kwahiyo, ujaambiwa kufanikiwa, umeambiwa kuingia Kwa maraika NDANI ya nyumba. Na malaika huwa anatumwa na mungu.
Assalaam aleykum Shehe, nina maswali, kadhaa 1.Mbwa wa ulinzi, na wajua wezi wanavyosumbua, hapo inakuwaje? 2:Mimi nina fuvu la nyati na Kingoni , ambavyo nimevilipia leseni kabisa kuvimiliki, navyo ni sehemu ya mapicha na vinyago? Shukran
Wapo wasio na dini kabisa na wanamafanikio makubwa kuzidi ata mm na wew lkn neema na ya mafanikio ya kipato ni tofauti na neema ya Allh kwamana kunakutengeneza neema ya kesho kwa Allh pia zipo za aina nyingi sio mali
Yaani nina mbwa kama wote na riziki sikosi mbwa wana nguvu ya kuzuia ubaya Katika viumbe ukifuga unapata riziki ni mbwa na Ng'ombe..yaani hawa viumbe wanavuta riziki hatari.
Malaika haingii inamaana shaitwani/mashaitwani hujazana kwenye nyumba hyo. Na ndio unakuta mttzo baada ya mttzo kwenye majumba kwa sbbu mashaitwani mara zote hututakia maovu, machafu na mabaya. Mfano utasikia wtto hawasikii, mke na mume kutwa ugomvi, kulewa, uzinifu, miziki, upendo hamna, heshima haipo au kupungua nk
Anaefaham naomba anijibu Kama mm hiyo ya pombe Kuna siku mojamoja ndugu wa mume anakuja kusalimia akiw amekunywa pombe hap ipoje malaika Hawain gii pia
Ila hili jambo mtu mwenye janaba hana malaika sio kweli mana kila mtu anamalaika wake kila siku anakua nao hata wale wene siku zao pia wanamalaika ingekua hawa wanawake wenye siku zao kwanza ndio wangekaliwa mbali na malaika lakini hapa wapo sababu wanakazi wamepewa na mola wao ya kuandika amali za binaadam na kumkinga binaadam na balaa nyingi sana
Kuna mtu namjua ni mcha Mungu mzuri sanaa anatimiza nguzo zote za Uislam ila katika nyumba yake moja kuna sebule hiyo ina masanamu ya kila aina yaani yakuchonga yakuchora kuna mpka mapembe na mafuvu ya wanyama yaani ukiingia mpka kunatisha, hii nayo vipi Sheikh? Na ndio sebule ambayo wageni wake wa kiume wakija wanakutana huko na hata kusali kuna muda wanasali.
Makafir lazma wapinge maneno ya Mtume S.A.W. Sheikh amenukuu kwa kusema Malaika haingii, wameshika mm nafuga mbwa wangapi, nguruwe na mapicha napachika na nna hki kile, hv mmefaham kilichoelezwa au mnapinga tu? Ww pata upatacho lkn malaika haingii kwa maana shaitwani hutawala pahala hapo. Au mmefahamu kua malaika km haingii pahala ndio rizk hamna?
Pesa ina picha sawa lkn pesa haibandikwi ukutani , hta ww una picha kwenye simu yko sio tatizo tatizo ni picha ya kiumbe kuibandika ukutani au kuchora kich y kiumbe ukutani ndio ivo alivomaanisha
@salummtumbukie8873 Siku hizi mawazo yenu yalisha kalili kila mafanikio ya mtu ni shetani manaake siku hizi mungu hajalii watu siku hizi ila shetani ndo anatoa kiziki basi hayo ni mawazo finyu ,
Hvi unafikiri baraka ni pesa? Pahala ukiambiwa malaika haingii inamaana shaitwani hutawala. Na shaitwani akitawala pahala ndio utakuta pengine unapesa tele lkn amani hamna, kila siku mnagombana, pengine wtto hawakusikilizi, pengine hamuaminiani mpaka mnaachana, ndani miziki kwenda mbele, hamna upendo, pengine kila siku hasara leo kimeungua hki kesho kile, magonjwa yanajuandameni, pengine wtto wanatabia mbaya nk, haya ni baadhi ya mambo ambayo yanatokezea majumbani mwetu malaika wanapokosekana na kusabbisha kuja kwa mashaitwani. Mashaitwani maisha yote wanapenda mabaya,machafu,hasara, khofu, waswas, lawama zisizonassbu nk Lkn kwa rizki tu utapata. Watu wanauza bia, wanauza watu nk na wanapata rizk ije kua ww unaeeka picha na kufuga nguruwe na mbwa? Fahamuni anachokisema na sio mnakurupuka tu.
Kumbuka Kuna watu wanatoa makafara wanawatoa wazazi, wake ndugu na watoto na wanapata pesa za kutosha hai si kipato Cha MUNGU hivyo usiseme sheikh ni muongo Bali pata DARASA na ubadilike ndugu yangu.
MASHAALLAH
ALLAH AKUIFADHI SHEKH WETU ILI TUENDELEE KUPATA DARSA NZURI NA ZENYE MAFUNDISHO.
Mungu akubariki na akuinue zaidi
Mungu akulipe shekh umenizindua
Allhamdulilah sheikh umenifundisha hili funzo nitawa ambiawenzangu inshallah Allah atakulipa kwa sadaka hii inshallah
Shukran mii alhamdulilah..nipo safi..%
Ma-sha-Allah. Asante sanaa
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 shieh nimekuelewa Allahmdulillah
Ahsante
Allah akulipe shekhe
Masha'Allah ya sheikh khabiiiiiiiiiiir depuis D.R.Côngo
Mashallah ubarikiwe sana
Shukran sana sheik
Swadaqta kweli kabisa JazakaAllahu❤ khairan
Nimekuelew shekh❤
Shukran sheikh
Ahsante sana sheigh wetu ALLAH akulipe kwa mafundisho yako
Jazakallah kheir
Shukran jazzakallah kheir
Jazaakallah
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
Shukrani sana shekhe
Mtume swalah allahu alaihi wasalam amekataza kula thamani ya mbwa yani kuuza mbwa hata paka amekataza kuuza hawa watolewa zawadi wanyama hawa na kuweka mbwa katika nyumba kila siku mtu anapunguziwq thawabu sawa na mlima wa uhudi ila mbwa aina 4 wa ulinzi wa kuwinda wa kuchunga wanyama na wa kumuongoza kipofu na huyu mbwa wa mwisho wa kumuongoza kipofu ndio kapewa kipaumbele sana
Nimeelewa inshaallah
Eleweni mada msilete mihemko ya kidunia, mmeambiwa swala la malaika kuingia ndani ya nyumba, ujaambiwa swala la mafanikio, na tulivyokuwa na usheutwani, kila mtu anasema nafuga mbwa naweka Picha, lakini mambo yangu, Safi, mnawaza ela na mali tu, hata mugu amumsamini,, swala la kufanikiwa ni mipango, ya mungu, malaika ni kiumbe nacho kimeumbwa, kifupi masa hiyo ni sawa na mgonjwa majerui aliyekunywa pombe, akiperekwa hospital atibiwi mbaka pombe , itoke. Kwahiyo, ujaambiwa kufanikiwa, umeambiwa kuingia Kwa maraika NDANI ya nyumba. Na malaika huwa anatumwa na mungu.
andika Mungu herufi ya kwanza iwe kubwa au herufi zote kubwa ukipenda
2:27 😂❤❤❤❤😂 2 3:08 😂😂😂😂❤ 3:09 ❤:36 ❤❤😂😂 2❤❤:36 ❤❤ 2😂😂😂😂😂😂😂😂😂 3:46 ❤❤ 4:05 4:13 4:20 ❤❤rrz😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😢😢😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😢😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😢😢😢😢😢😮😢😢😢😢😢😮😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😢😢😮😢😢😢😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😢😢😢😢😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😢😢😢😢😮😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😢😢😢
Mungu
Assalam alaykumu walhama tullahiwa barakatuh
❤
Mashaallah
Kweli shekh Wala si uwongo
As slm sheikh shukran Mungu akubariki
Allahumma amin
Shukran
Good
Ahsante
Mubarikiwe sana wa Mungu nawapata vizuri sana nikiwa Oman sur
Alhamdullah sheikh nimelewa shukurani
Hapana s kweli shekh Sasa ukifanya zinaa autapata zambi kwakua malaika aingii jeeh ukiweka picha au midoli jeeh malaika mtoa loho hataweza kuingia 😢
Mi namuunga mkono shekh nikweli haifai kufuga mbwa wala kueka mapicha shekh allaa ukubarik sana
Hapana shekh s kweli kwaiyo ukifanya zinaa ukiweka picha izo autapata zambi kwakua malaika hataweza kuingia alafu Sasa basi tukiweka picha hatutaweza kufa kwakua malaika mtoa loho hataweza kuingia kwakua nayeye ni malaika
Fact shekhe na xio mafanikio 😢
Binadamu Kila anapo tembea Basi Yupo Na Malaika Sheikhe Ungefafanua Malaika wepi Ambao Hawaingii..
Shetani hataingia anaogopa Mbwa
halafu kma ikiwa hivyo, je ukifuga mbwa hutakufa?? mana mtoa roho hatoingia
Assalaam aleykum Shehe, nina maswali, kadhaa
1.Mbwa wa ulinzi, na wajua wezi wanavyosumbua, hapo inakuwaje?
2:Mimi nina fuvu la nyati na Kingoni , ambavyo nimevilipia leseni kabisa kuvimiliki, navyo ni sehemu ya mapicha na vinyago?
Shukran
Sheikh Mimi ni mkristo,,,ninafuga mbwa na nimebandika picha ya Yesu ukutani,,utashangaa lakini Malaika na Nguvu za !Mungu zinashuka kwa kasi ya ajabu
Sasa yule uliembandika ni Yesu au mzungu alie cheza filam ya Yesu?
😂😂😂😂😂😂😂 iza@@zainabzanzibar1518
@@zainabzanzibar1518haelewi chochote amekaririshwa ,hakuna picha ya Yesu , yule ni mzungu Yesu hakuwa mzungu
Hiyo picha ya yesu uliipatia wapi nani alimpiga picha yesu
Wapo wasio na dini kabisa na wanamafanikio makubwa kuzidi ata mm na wew lkn neema na ya mafanikio ya kipato ni tofauti na neema ya Allh kwamana kunakutengeneza neema ya kesho kwa Allh pia zipo za aina nyingi sio mali
Yaani nina mbwa kama wote na riziki sikosi mbwa wana nguvu ya kuzuia ubaya Katika viumbe ukifuga unapata riziki ni mbwa na Ng'ombe..yaani hawa viumbe wanavuta riziki hatari.
Nakupa Pole Ndugu
Kwani uliambiwa utakosa rizk? Watu wanauza bia, watu kuwatumikisha kingono, nk na rizk wanapata vzr tu ije kua ww unaefuga Mbwa na kueka mapicha?
Malaika haingii inamaana shaitwani/mashaitwani hujazana kwenye nyumba hyo. Na ndio unakuta mttzo baada ya mttzo kwenye majumba kwa sbbu mashaitwani mara zote hututakia maovu, machafu na mabaya. Mfano utasikia wtto hawasikii, mke na mume kutwa ugomvi, kulewa, uzinifu, miziki, upendo hamna, heshima haipo au kupungua nk
Absolutely, na mie siamini mlinzi binadamu
Ushautwa bite tulia tafadhali
Shukran shekhe wangu je nikibqndika picha zangu mm na familiya yangu je??
Picha yyte haifai
@@Fear_Allah394 Heee picha ni ukumbusho kwa wale watakaobqkia duniani kwa kuambiwa huyu alikuwa fulani.
Unaweza kuzihifadhi sio kuweka ukutani au kuweka kama pambo@@NamiriNamiri-oz4xs
Kwani kufuga mbwa ni haramu naomba fatwa tafadhli kuhusu kufuga mbwa asante
Ni picha za watu, wanyama na masanamu ndio haifai.
Anaefaham naomba anijibu Kama mm hiyo ya pombe Kuna siku mojamoja ndugu wa mume anakuja kusalimia akiw amekunywa pombe hap ipoje malaika Hawain gii pia
Ujumbe umefika shekh
Kwri
Fact ,sheikh umeongea kuhusu nyumba yenye malaika haiigi na sio mafanikio
Sio kweli
Nakupa Pole Ndugu
Mmmmh🤔
Ila hili jambo mtu mwenye janaba hana malaika sio kweli mana kila mtu anamalaika wake kila siku anakua nao hata wale wene siku zao pia wanamalaika ingekua hawa wanawake wenye siku zao kwanza ndio wangekaliwa mbali na malaika lakini hapa wapo sababu wanakazi wamepewa na mola wao ya kuandika amali za binaadam na kumkinga binaadam na balaa nyingi sana
Kuna mtu namjua ni mcha Mungu mzuri sanaa anatimiza nguzo zote za Uislam ila katika nyumba yake moja kuna sebule hiyo ina masanamu ya kila aina yaani yakuchonga yakuchora kuna mpka mapembe na mafuvu ya wanyama yaani ukiingia mpka kunatisha, hii nayo vipi Sheikh? Na ndio sebule ambayo wageni wake wa kiume wakija wanakutana huko na hata kusali kuna muda wanasali.
Labda hajuwi kama kuweka si vizuri
Sasa mkristu unahusika nin jaman
kama sijui kusoma nifanye nini.
Makafir lazma wapinge maneno ya Mtume S.A.W. Sheikh amenukuu kwa kusema Malaika haingii, wameshika mm nafuga mbwa wangapi, nguruwe na mapicha napachika na nna hki kile, hv mmefaham kilichoelezwa au mnapinga tu?
Ww pata upatacho lkn malaika haingii kwa maana shaitwani hutawala pahala hapo. Au mmefahamu kua malaika km haingii pahala ndio rizk hamna?
Kwahiyo nikifuga nyoka safi
😅😅😅😅😂
😂😂😂😂😂😂
Mbona kwarabu uku omani wanaweka ndan
Mtu anaweza kuwa mwarabu na asiwe mwislam. Na pengine anaaweza kuwa muislam na asifate uislam na pombe anakunywa
Hizi amri ni kwa wafia dini pekee, sisi tulio huru hatuwezi kuishi kwa hofu hivyo!
Nikweli jmn. Ila shekhe km unafuga mbwa ulinzi je
Mlinz Mungu pekee
Lakini kuna Israeli sheikh huyo popote kambi😅😂😂😂
Lkn ameshindwa kuwapata mateka wao
Kwahiyo hizo pesa ulizoweka ktk kanzu zinapicha ya mwalimu Nyerere inakuaje🤔🤔🤔🤔🤔
Pesa ina picha sawa lkn pesa haibandikwi ukutani , hta ww una picha kwenye simu yko sio tatizo tatizo ni picha ya kiumbe kuibandika ukutani au kuchora kich y kiumbe ukutani ndio ivo alivomaanisha
Nimechega❤
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Habar yako naomba namba yako
0740503454
@@msimbutvmalaika wana faida gani ndani ya nyumba? Tupe darsa la hii shekh. Shukran
Please sheikh fafanuwa mapicha ya aina gani???
Hii ni kwaniba ya kitabu Cha Kur an sio biblia Sasa mkrito sikilizatu
Acha uongo mungu anasababu kuwaleta hawa viumbe duniani kma wwe huwapendi usiwaweke unaongea hvyo na kwako nyumbani pc zimejaa
Sheikh shukran kwa ukumbusho
Tunaambiawa tusigusane na pua zao si kufuga.
Binafsi siamini mlinzi binadamu kabisa, naomba utoe recitations ndani ya Quran si hadidh.
Hapo kwa picha je kama ni picha ya binadam labda kama mm nieke picha yangu kwaukuta aifai
Hilo jambo nalo ni mtian
Huu ni uongo mtupu mie nafuga mbwa nguluwe na picha za kila aina kwangu ndo usiseme na balaka nyingi kupita mfano eti
Baraka sio kuwa na kipato ndugu yangu icho kipato inaezakua ndo chanzo cha kupotea
Lakini ukumbuke vipato upatikana kwa njia nyingi Ata Shetani pia Anaweza kukupa kipato na miujiza ya kila Aina
@salummtumbukie8873 Siku hizi mawazo yenu yalisha kalili kila mafanikio ya mtu ni shetani manaake siku hizi mungu hajalii watu siku hizi ila shetani ndo anatoa kiziki basi hayo ni mawazo finyu ,
Hvi unafikiri baraka ni pesa? Pahala ukiambiwa malaika haingii inamaana shaitwani hutawala. Na shaitwani akitawala pahala ndio utakuta pengine unapesa tele lkn amani hamna, kila siku mnagombana, pengine wtto hawakusikilizi, pengine hamuaminiani mpaka mnaachana, ndani miziki kwenda mbele, hamna upendo, pengine kila siku hasara leo kimeungua hki kesho kile, magonjwa yanajuandameni, pengine wtto wanatabia mbaya nk, haya ni baadhi ya mambo ambayo yanatokezea majumbani mwetu malaika wanapokosekana na kusabbisha kuja kwa mashaitwani. Mashaitwani maisha yote wanapenda mabaya,machafu,hasara, khofu, waswas, lawama zisizonassbu nk Lkn kwa rizki tu utapata.
Watu wanauza bia, wanauza watu nk na wanapata rizk ije kua ww unaeeka picha na kufuga nguruwe na mbwa? Fahamuni anachokisema na sio mnakurupuka tu.
Kumbuka Kuna watu wanatoa makafara wanawatoa wazazi, wake ndugu na watoto na wanapata pesa za kutosha hai si kipato Cha MUNGU hivyo usiseme sheikh ni muongo Bali pata DARASA na ubadilike ndugu yangu.
Hata picha za maua tu
Laa, ni picha za viumbe.
Picha za wanyama na watu yaani Ya viumbe vyenye roho.
Swadaqta kweli kabisa JazakaAllahu khairan ❤
Mashaallah