- 122
- 64 364
msimbu online tv
Приєднався 6 жов 2024
Msimbu online tv ni chanel inayojiusisha na dua (maombi) nasaha (mawaidha) na matukio ya kiislam.
Відео
Dua za kinga ,nitawapa watu 50 buree
Переглядів 5020 годин тому
OMBA DUA KILA IJUMAA ISIICHE
Переглядів 151День тому
mshindi atapata vocha ya sh{=10,000
Переглядів 72День тому
HII NI PASSWORD(3) ISHIKE SIRI YA AYA 7
Переглядів 772 дні тому
hii ni dawa ya maradhi yote sugy
Переглядів 1313 дні тому
Ishike siri ya sura hizi 3 katka kutawasali kwa haja zako
Переглядів 2553 дні тому
DUA KWA WAFANYA BIASHARA
Переглядів 1843 дні тому
HII PASSWORD(NO2) YA DUA YAKO,SIRI YA NENO LAAILAHA ILALLAH
Переглядів 2954 дні тому
HUTOKUFA LAZIMA UTAMUONA MTU,UKISOMA SURA HII X 1000 KILA SIKU
Переглядів 2675 днів тому
HII NDIO PASSWORD YA DUA YAKO,LAZIMA UTAJIBIWA
Переглядів 7606 днів тому
chukua zawad hii
Переглядів 1296 днів тому
USIACHE SURA HIZI KILA BAADA YA SWALAT SUBUHI,UTAZISHIWA RIZIQ,
Переглядів 8516 днів тому
ukiitikia dua hii amin Allah atafungua rizik zako.
Переглядів 1176 днів тому
pesa utapata kwa dua hii, داوم عليها ٣ اليلة
Переглядів 2187 днів тому
Asalm alykm ya mawlana umzima barakah LLAH fiiqum Ameen tuandikie hbbi Afwan
Je kma Nipo mbali na familiar yngu nafanyaje?
Hapo mtian labda kama itakua wanaweza kusoma wenyewe
Aslm alkum. Sheikh. Tunaomba utwambie hiyo dua iko ktk sura gani na Aya ya ngapi tafadhal sheikh. Shukran
Mashallah ❤❤
MTUME ALIPEWA MJAKAZI NA DAKTARI LIMKATA ALIMREJESHA DAKTARI
Assalam alykum. Alipewa zawadi ya myama nyumbu, mtumwa(suriya) na madaktari wawili. Hawa madaktari ndio aliwarejesha.
Asalaam alykum warahmatullah wabarakatuh mm nko na mtoto ako na shida ya ngozi sheikh nimetibu mpaka nimeshindwa lakufanya na maziwa na mkojo ya ngamia naweza kuipata vipi kwetu n nadra sana
Itakuwa vzr uwe unaandika pia hapo kwenye commented hiyo dua
Shukran maalim, nikama umenilenga mm jina langu hamisi😂
Namba 59
Mm pia😂
Sheikh mimi naitwa khamis numba yangu ningapi?
Shekhe mm naitwa mwanakher
Ya naby yunus unairudia mara ngapi
Shukran sana je Kwa wanaofanya mitandaoni ?
Asalamu Aleikum,Kwa mwenye sukari anatumia vipi?
Mwenye sukar atakunywa glas 2 za maziwa na glas 2 za mkojo wa ngamia asbui 1 na jion 1 yaani glasi 1 maziwa na glas 1 mkojo na jion hivyo hivyo
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh Naam akhi Wallah hiyo dua ya nabii Yunis. Ni hatari Wallah. Maana niliifanya nilikua na jambo zito sana sana sana mwaka jana ila nilivyotawasali kwayo Wallah hadi leo nipo sawa hadi watu walioshudia hilo jambo hawaamini kama nilivuka huo mtihani
Amiina
Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatul shukran sana jambo la kuchangia pamoja na madarasa mazuri ya kujifungua na kufungua Riziki .mtupe na madarasa ya kujikinga na sihr na hasad maana wenye husda ukifanya ya kheri na wao wanapambana kuyaondoa
Ameen
Shukrani kwa darsa unazotoa sheikh, ombi langu ni kuwa wakati unataja dua fulani kwa ajili ya tiba au rizq naomba kama ni aya ya quran basi uwe unataja ni aya namba fulani ktk sura fulani, hiyo itasaidia kwa sisi wafuatiliaji ktk kuiandika kiufasaha.
Sawa
Amiin Amiin
Shukraan bi l afia sheikh Jazakallah l kheyr
Shukuran kwa kuzidi kutu elimisha mabo ya kheri
Mashallah Shekhe tunashukuru kwamafundisho Allah akulipe dunia na kesho Akhera
Ustadh haujibu msg
Sio mutaqabbila ni mutaqabbal,,
Shukran sana shekh
Shukran ya shekh kwa ukumbusho Allah akujaze kheri nyingi na baraka
inshaaAllah, shukraan jazakallah khayra 🙏
Aamin Aamin Ya Rabbiy
🙏🙏🙏
Mashallah ❤❤❤❤
🙏🙏🙏
Amin
Maashaallah,shukran Shaikh!.
Shekh Aswamad sijaisikia ukiitumia, na ulisema dua utailizia na aswamad
Allah atuwezeshe kwa huruma wake
mashallah ❤❤❤❤
Shukran maalim,jazzakah wajallah
Assalam alaykum. Sheikh, naomba zichapishe kwa lugha ya kiswahili na utupatie. Allah atakulipa neema zako za kheri.
shekhe naomba nambaya ko pless
MashaAllah InshaAllah nitasoma❤❤
InshaAllah jazzak Allah kheir
Asalam alaikum nazipenda lakini sijui kiarabu
Nini tafsir yake shekhe
Unaongea saana
Hahaha nyie em acha hiyo mambo
Thank you sheikh may Allah reward you from uk
Sheikh mbona unasahau kutaja hizi aya zinapatikana sura gani na niaya yangapi
Ilo jambo ni jema sheikh
Ktk hvo vitabu tuwekee na swala za Mtume S.a.w
Sawa sheikh tupatie hvo vitabu
Masha Allah
Sheikh mm naomba kwa wasap
Hata kwakiarabu hakunashida
Jambo jema sheikh mimi nahija kwa English or Kiswahili