LAMATA - "MUNGU AMENILETEA KAJALA / ALINIVIMBIA LEO ANAOMBA TUFANYE KAZI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • LAMATA - "MUNGU AMENILETEA KAJALA / ALINIVIMBIA LEO ANAOMBA TUFANYE KAZI"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 40

  • @user-db7ju2fp6c
    @user-db7ju2fp6c 4 місяці тому

    Mungu akusaidie dada angu pambna kikubwa uzima tyu dada angu allihamdullilah!!!!🙏🙏🙏

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 Рік тому +11

    Wasafi nanyie Mmeanza kuandika kichwa cha Habari kingine kinachoongelewa kingine....Andikeni ninachoongelewa Msiwe kama Wengine wanaandika kingine Ukisikiliza story iko Tofauti na Alichoandika...Badilikeni...Tunawaamini nanyi Mjiaminishe kama Tunavyowaamini... Milad Ayo...Ana Longolongo ...fateni Nyayo Zake.

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 Рік тому +4

    Waache maneno jua Kali Iko vizuri Sana mpaka naona muda mdogo

  • @ibrahipupa6231
    @ibrahipupa6231 Рік тому

    Lamata ni mwanamke Alie barikiwa na mungu mungu azidi kumuongoza

  • @user-mz2yy6oo1l
    @user-mz2yy6oo1l 11 місяців тому

    Juakali is the best,if u love literature then u will never miss this

  • @gloriamwalongo3661
    @gloriamwalongo3661 4 місяці тому

    Jua Kali liko vizuri

  • @princesstinah
    @princesstinah Рік тому +4

    I really love this woman nakupenda mom

  • @janethmsogoti8677
    @janethmsogoti8677 Рік тому +3

    Wasafi mnapenda uchonganishi title na story n vitu viwil tofaut

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +4

    Kazur mwenyew

  • @muznarashid6301
    @muznarashid6301 Рік тому

    Aunty Lamata please uje kwenye fitness group yetu... nakupenda

  • @mwajabukaseke8710
    @mwajabukaseke8710 Рік тому

    Hilo ni kweli anachukuwa master tu

  • @Sai-th8ot
    @Sai-th8ot Рік тому +4

    I just love this woman🤭.her body just drives me crazy..

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 Рік тому +4

    Hivi hiyo caption na kilicho ongelewa humo mmekifuatilia au mie ndio cjaelew vzr??

  • @antimgaya566
    @antimgaya566 Рік тому +2

    Jamani tamthilia nzuri ila mastaa ndio waliojaa humo

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +8

    Lamata hv ume olewa 😍 🤣🤣ana ongea haraka haraka huyu 😇una watoto wangapi lamata??

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly Рік тому +3

      😂😂😂😂😂na ww umesema haraka haraka

    • @joycekaguo8476
      @joycekaguo8476 Рік тому

      Cheleani

    • @sofiyabakari9730
      @sofiyabakari9730 Рік тому +3

      ​@@joycekaguo8476 sio chelean na wew ni cherehani😄

    • @jumakhaji1620
      @jumakhaji1620 Рік тому

      Sasa nyinyi mnakosea sehem Moja yeye anaojiwa Kazi Maendeleo nyinyi mwataka kujua kaolewa ajazaa mtu mzima nini swala zima hapo Lamata anaongerea kazi sio maisha binafsi ehee wabongo mpime koment 🙏☝️😁😃😍😀😂😂🤣🤣🤣

    • @foodbasiccourt2028
      @foodbasiccourt2028 Рік тому

      Wewe mwenyewe umejiona

  • @wakatv3704
    @wakatv3704 Рік тому +3

    sija ona silizi nzuri tanzania story ni zile zile kuchukuliana ma bwana

  • @sajidabakari9809
    @sajidabakari9809 Рік тому +1

    Huo ndo ukweli, ikiwa unajua kuigiza hata ukimuomba Lamata nafas anakupotezea tu kama hakujui sabab haujulikani, hata nafac za kuwajarib watu scene huwa hatoi mpk ujulikane
    Huo ndo ukweli hata akatae

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 Рік тому +1

    Mpe sini huyo hajielewi. Acha kumpa hela

  • @hashymharun9337
    @hashymharun9337 Рік тому

    Tamthilia wamejaa watu maarufu tu ushuzi hata mtu hana kipaji ilimradi anajina basi anaigiza

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 Рік тому +3

    Libaya hilo 😂😂😂 nikajuag yul madam simb ndo lamata

    • @deniseliuter3002
      @deniseliuter3002 Рік тому +3

      Sawa wewe mzuri mwenzio mbaya vipi dada mrembo kichwani unazo maana wanaume tunaangalia kichwa

    • @fadhilarajabu9740
      @fadhilarajabu9740 Рік тому

      Sidhani kama wew unaruhusiwa kukosoa mja wa mungu kwasababu ya maumbile yake sio jambo zuri kwakua mungu katuumba wote kwa namna atakavyo na kwa mfano wake yeye

    • @rebeccamagita9174
      @rebeccamagita9174 Рік тому

      Duuuu mbaya kushinda ww

    • @baimarrajahbuayan6237
      @baimarrajahbuayan6237 Рік тому

      Kaa usubil uzur mwenzio anapiga pesa we danga

    • @baimarrajahbuayan6237
      @baimarrajahbuayan6237 Рік тому

      ​@@fadhilarajabu9740 Muache ajui Dunia mbwa huyo

  • @Willastitle
    @Willastitle Рік тому

    Serious watuangalie na sisi @willas yustin