Solo Thang Feat Jay Moe & Soggy Doggy | Simu Yangu
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2024
- Solo Thang Feat Jay Moe & Soggy Doggy | Simu Yangu
DISCLAIMER:
No copyright infringement intended.
I do not own the audio in this video. They belong to their rightful owners.
Hili dude nililitafuta siku nyingi sana...daah sema solo kawameza wenzake vibaya mno hapa😆
🤣kaimba verse 2
Mtu aliyeharibu humu ni Soggy. Alitoa mashairi mepesi sana katika hii ngoma hasa ukilinganisha na mistari ya watangulizi wake. Ni kama kuangalia pambano kuu la masumbwi then yanakuja mapambano ya utangulizi (solo thang ndio main event hapa)
Amna anaesemaga kama Chidi benzi alimkopi Solo big time na solo hajawai mletea bifu yeyote
Kuna swali moja najiuliza kila siku...hivi huu wimbo ulipata tunzo yoyote...maana daah ni bonge la joint. Live long solo mo n soggy
Haukuwahi kupata
p funk majani maua yako beat kali sana hii #majani
Hili dude nlikua nalitafuta sana,jamaa walitulia mnoo!!old iz gold
Humo ndani walitulia vilivyo
Solo thang ni noma sana alafu kaua na jmoe na sogg dog
Solo Thang kitambo sana
Jay moe nimkali sana nakumbuka enzi zile za girlfriend 🔥
2024 still hit
Ukipata dem akili kichwani......
Solo noma sana 🔥🔥🔥
Here 2024 still rock
old is good aisee
Duuuu song hili nimelitafuta muda saana nilijuwa ni la j moo hatar hii ngoma
mzee wa vina utata
2024
1:12 Ubitoz haufai ya nin unabeba toi?
Ili masista du wasijue wew mlala hoi
Nishafanya sana hiyo michezo way back na nimewala sana dada zao 🤣🤣
🤣🤣🤣
Ulikuwa baharia wa level za field marshal
P funk apewe tunzo bit hii ni hatari
Yaan we jamaa kunywa soda kokote ntalipa yaan unaweka ngoma kali sanaa
Unadeni dukani kwa Mangi😄
Wakati haurudi, Noma sanaaa
Soggy kazingua
Kazingua kvp
Sana kama
@@wastartz mbna kachana fresh sana
❤❤❤❤❤ solo mziki unao ishi
Ngoma Kali sana
Dah izo cm aztumiki ckuizi
Wote wametisha mno lkn
Soggy hajui
@@stanslausmteme8455 hajui nini Mzee?
Soggy hamna anachojua
Mmmmh
Walicopy wimbo Wa wakimbizi kutoka Kenya.hellohello
Tuma link