Hii ndio ngoma pekee ambayo haina dislike hapa UA-cam...Jamani Tupac angezaliwa Afrika Mashariki bila shaka angekuwa Profesa Jay...Aluta Continua, Machozi Jasho na Damu, Mapinduzi halisi ndizo album zangu pendwa toka kwake
"Yule yule ni jay na jay ni yule yule , wanga niwekeni kikao kisha mnifanye msukule, domo langu ni hela linatoa ushauri wa bure ila ma Mc wengi wa bongo hampendi kwenda shule
Kuna ngoma ya proffess kipndi bado anajiita niga j nimeipotea jina niliwaikuskia ikipgwa clouds tena kwenye ile project yao ile ya nyimbo hamsini bora za bongo

2024 kama unapita hapa sema yeyooo kwa Prof na Moe😊
Ngoma Kali 🔥 weka like apa Twende sawa. J Haule
"Wengi wenu hampendi kuchambua,tamasali za semi,matokeo ndio vile ngoma zenu Mwali hanemi".
" Prof J ni msanii bora wa Bongo fleva wa muda wote"
2019 still is my great song...J kama vipi piga remix ya hii album yote kwa Pfunk urudishe mziki wetu
Bro nalia sana na hbc funga kaz album, ziweke tafadhali bro atuna seem ya kuipata ile album
Prof jay ndyo mwana hiphop bora kabisa wa muda wote kwangu
Ngomq imekaa chonjo! We still here 2023. Much love from KE
Naahidi kuwa makini mpaka siku nafukiwa chini, salute mwanalizombe
2020 bado tunaisikiliza katika ubora wake much respect brother jay ur really hip hop artist 4ever.
mzee baba zipndishe zote youtube ngoma zako za zaman
Pride of Tanzania.
Kazi nzuri
Hii ni sawa nakupanda ngazi kwenda mbinguni, tungo zilizoshiba congratulations niga jay
Wapi bank majanjala mzee tupo pamoja Prof 2021
safi bro tuna wish kuona wasanii wengine wafanye kama ulicho kifanya
Vunjamifupa mr jey wlcm burundi
Ngoma zilikua zimesimama hatareee......
Dah kipindi hiki unatoa audio hakunaa haja ya video kutokana na umakini wa mistari najivuniaa kuwaa sehemu kuwaskiaa akinaa J wakiwa ktk ubora wao
Hii Album si yazamazi? Lakini nikali ! Ma Legend wataendelea kuwa ma Legend kabisa! Big up kwa MH. P Jay the name!
Ma goats 🐐 🐐
Kuna ngoma ya proffess kipndi bado anajiita niga j nimeipotea jina niliwaikuskia ikipgwa clouds tena kwenye ile project yao ile ya nyimbo hamsini bora za bongo
Kubwa kuliko, una
Jay Moh !!! My favorite Rapper!!! Still listening 🎧 🎧 2021 December!! Jay na Jay moh
🔥🔥🔥🔥
Noma sana! Beat kali + mistari conc = unexpirable hit!
Shikamoo brother!
joseph hauleeee
Pro.J zile ngoma za HBC zote tutazipataje!!?..tunazihitaji sana bro..!
Wasanii bora kwangu wa muda wote
Kama zimetoka jana
2021
Jaman nani mkali kati ya prof na jey mo
Kali sana
Ooh nimekuta view 1 tu. What a time
Goosebumps
Wasanii Bora sio Bora wasanii
Kazi nzuri sana...Big up Prof
2023 nakusikiliza prof
🎉
Jay Moe
Huyu ndo GOAT
Noma
Bolingo inafuka Moshi,” Jay moe mbakiaji
Jay
Bado tunaskliza jay
Zamani Patamu sana
2023 kazi kubwa hii
2023 tuko pamoja
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
WA 3 GONGA LIKE
This is Big
When music was music
Jay wa mitulinga
Dah 😢😢
🌹🌸🍀
Big up Prof.
✌️👊👍.
Sawa kaka Jose
MC kamili! 2023
duh! MC mpumbavu anarapu apate nini.............??
2023
Hii kichwa hatari
Heavy weight