Ma shaa Allah Ahsantum walimu wapendwa, Allah awalipe kwa kazi ya kuitangaza dini yake. Akasha Yuko wapi Mazinge atuletee mada mpya mpya haswa aje Mombasa natamani kumuona live in shaa Allah
Umenifanya niifuatilie kwa takribani Miaka isiopungua 5 bibilia na nilipata faida kubwa kubwa yao ni mtu Muhammad s.a.w. kutajwa ndani yake allah atuongoze
ua-cam.com/video/zepGhuz3UiI/v-deo.html Ma Sha Allah kaka zangu na dada zangu tizameni video yenye ujumbe mkali kuhusu Hijab by Brother AbuThaaqib Deen
Mashllh masheikh Allah awajalie kila la kher
Allah awaongoze masheikh wetu kwa kazi ya la ilaha ila Allah!
MASHA ALLAH AL AKHIII HABBU MZNGE ALLAH AKUBARK
shukrani Akasha kwa kutuletea midaharo ya kiislamu m.mungu akuongoze Insha Allah
mbarikiw sana mashekh wet tunawapend kwa ajil ya ALLAH
AlhamduliLLAH kuzaliw muislam polen san mlopotea ktk ukafir hakun wakuabudiwa kwahakki ispokua ALLAH pekee na Muhammad nimtume wake
Ma shaa Allah Ma shaa Allah Barakalahu Fik Allah awahifadhi ktk kazi Adhimu ya Daa-awah
sheikh mazinge Allah awe nawe ktk kila jambo Amina Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah Allah akupe Afya uzidi kuwazindua waliyo lala inshaaAllah
Sheikh Mazinge na wenzako mungu awaziidishie umri mrefu
mashaAllah nmekua wa kwanza ku coment
Mazinge na crew yako nzima Allah awape jannatul firdaus
hivi hawa watu wataamini lini kua uislamu ni dini ya mwenyezimngu
mpaka kaburini ndipo wataamini
kaburini ni mbali wataamini pale roho inatoka
twaibu abdul marombwa Amiin
Dini Ni mmoja
mbele ya Allah
Ma shaa Allah
Ahsantum walimu wapendwa, Allah awalipe kwa kazi ya kuitangaza dini yake. Akasha Yuko wapi Mazinge atuletee mada mpya mpya haswa aje Mombasa natamani kumuona live in shaa Allah
mashallah mola awape umri mrefu masheikh wetu Inshallah
hakika dini ya kweli mbele ya mwenyezimungu ni uislamu,m.mungu awalipe kila la kheri masheikh wetu
Masha allah mazinge i say uko sawa jo na iyo kiswahili nmetiiii naje m n msee wa slando takbirrrrr
Mashaallah, mwenyezi mungu awajalie
Ma shaa Allah
Shukran
Mashallah. Dua ya kumtoa umul Leyl
Masha Allah penda sana hii dini
She mazinge Allah sijui akulipe nn ili iwe sawa na kazi yako unayofanya allah akulipe kila la heri inshallah
Ameen thumma Ameen
Mashallah
Inshallah
takbir Allah awaongoze
Umenifanya niifuatilie kwa takribani Miaka isiopungua 5 bibilia na nilipata faida kubwa kubwa yao ni mtu Muhammad s.a.w. kutajwa ndani yake allah atuongoze
mashallah Allah atawalipa
Masha'Allah
Masha Allah mwenyezi mungu awape umri mrefu inshaallah
Masha Allah mbarikiwe ln shaa Allah, Aamiin
WISLAAM NIDINI YA KWELI
kafiri ata deal na mazinge mwachieni jaman waislamu Takbir
Asalam Aleikum.Baarakallahu fikum
ALLAHUAKBAR
naombeni.naombeni .nambazao mashehe jamani Mimi wanitibu
Allah akbari
Shekh saraf upooo
Mazinge Ni Kifaru
Sababu tulipewa Quran
sheikh mazinge umetaja msambweni Lkn hujafika kufanya muhadhari tafadhali twaomba umetembea sana ukunda Lkn msambweni hujafika
naombeni mnisaidiye Tiba. wapenzi
masha Allah
lipo kanisa Halis la MUNGU BABA
wambie mazinge
Hasa kusema kua mafuta kuyaweka nyumbani yanazuia vitu vibaya hio ni SHIRKI
Ndoro anatabu kweli
wakrsto hamna lolote wala hawana hoja
AKASHA UTUEKEE DAY2
ua-cam.com/video/zepGhuz3UiI/v-deo.html
Ma Sha Allah kaka zangu na dada zangu tizameni video yenye ujumbe mkali kuhusu Hijab by Brother AbuThaaqib Deen
ntampata uyu shekh aongeleae madhaithani namuhitaji
Ameen ya Rabby
Mambo ya mafuta yanaharibu midahalo