Allah awape umri mrefu wote wanaolingalia Dini ya kiislam n awape nguvu n subra n awaondolee kisiki njiani n pingamizi llote , awape uzma n afya njema n awaondolee maradhi .n maisha marefu n rizki y kila siku z huai wao inshaallah Aamin .💞💓😍
Mashallah wallahi najivunia kua muislamu na Allah awalipe mema wote wanao pigania dini ya Allah kwa hakika uislamu ni dini ya haki na wakristo wana mkufuru mungu sana haswa huku nchi za ulaya Astakafirul Allah wanamtukana Allah vibaya walakini dini ya Allah itasimama kwa uwezo wake Allah na in shall Allah uislamu utasimama mbele ya nchi zote
Mashallah Allah awalipe kila la kheri Wahadhir wetu dah uislam ndio dini ya kweli Big up profesa Mazinge unatisha mzee Doctor of Divinity kiboko ya makafiri Allah akupe umri mrefu
@@aishairakoze9129 Hapana Mazinge hajaelewa thiolojia ya ukristo vizuri. Kwa wakristo Yesu kwa kweli ni Mungu Mwana. Hata Biblia nayo iko wazi Wafilipi 2:6-11 Yeye, kwa asili alikuwa daima Mungu; lakini hakufikiri kwamba kule kuwa sawa na Mungu ni kitu cha kungangania kwa nguvu. Bali, kwa hiari yake mwenyewe, aliachilia hayo yote, akajitwalia hali ya mtumishi, akawa sawa na wanadamu, akaonekana kama wanadamu. Alijinyenyekesha na kutii mpaka kufa, hata kufa msalabani. Kwa sababu hiyo Mungu alimkweza juu kabisa, akampa jina lililo kuu kuliko majina yote. Ili kwa heshima ya jina la Yesu, viumbe vyote mbinguni, duniani na kuzimu, vipige magoti mbele yake, na kila mtu akiri kwamba Yesu Kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Mungu awape nguvu zaid, ili muweze kututoa kwny giza n amuwezeshe mutufikie n ss huku Mombasa upande wa kalolen I Maan waliokafirika n wengi mno, Allah awali de zaid n zaid.
Allha.Awape nguvu wahubir Na subra kuendelea kuhubir Dn y Allha.kwan Hata mitume wote walipata Balaa kubwa kwa watu wao kwa Ajili y dn tu.Hata huyo yesu.Alitaka kuuwawa kwadlsabb yahio dn.
Na leo ni Ramadhani ya pili 2020 nimesikiliza na mdada wangu wa kazi anashangaa kwamba hee kwanini kanisani hawafundishwi haya? Nikamwambia nitakuwa naendelea kukupa darasa! Mazinge Mungu akuweke miaka dahari! Naakumbuka kuna siku Mwanza ulikuja muhadhara na sheikh Shariff na Mwaipopo ukasema umefikisha miaka 60 na ndo unaisogelea ahera wallah niliumia mnoo nikaomba Mungu asikuchukuwe bado tunakuhitaji nasi unatusaidia side na wakristo pia! Inshallah uishi miaka miaa
hakika utukufu wa mungu ni mkubwa.maana leo mumetambua kuwa bwana ni mungu.mungu aendelee kuwapa ufunuo na kutambua kuwa yesu kristo ndie mkombozi wa dunia
Mohammad Abdulkariim nakuombea kwa Allah akupe kila la kher duniani na akhera. wallah unaelewesha kwa dalili kweli maasha Allah. Allah akulipe ujira wako mwemaaa amiiiiiin yarabb!!!!
wallah wakristo wamepotea kabisa ,wana maco hawaoni ,masikio hawasikie wanaendelea kupinga tu maneno yanayo eleweka hata motto mchanga anaelewa ,wallah uislam ndo dini ya hakhi na ukristo sio dini sijui wanaisoma bibilia
Ufunuo 3:9 Ufunuo 3:9 BHN Sikiliza! Nitawapeleka kwako watu wa kundi lake Shetani, watu ambao hujisema kuwa ni Wayahudi, kumbe sivyo, ila wanasema uongo. Naam, nitawapeleka kwako na kuwafanya wapige magoti mbele yako, wapate kujua kwamba nimekupenda wewe. BHN: Biblia Hao ni wakristo wanajifanya Wayahudi.. Maana Yesu ameletwa kwa ajili Wayahudi, Wayahudi fake wako wengi.
@@suleymanally4729 wewe ni maamuma.uisilamu ni tendo sio dini na ili upate wokovu au ufufuke lazima ufanye matendo mengi nayo ni upendo huruma unyenyekevu kusamehe hekima busara na mengine kama hayo sasa kuwa muisilam tu kwa maana ya unyenyekevu haitoshi kumuona Mungu.MUngu aendelee kuwa roho mtakatifu na pia awape jicho la rohoni ili muwe kumtamua Yesu Kristo kwamba ni bwana na mokozi wa maisha yenu
Yesu ni Nani sasa nyie mtachomwa bure Tu nyie enedeleeni kuabudu binadamu Tu ....Yesu ni Mtu kama wew Yesu alikula samaki wew uliskia wapi Mungu anakula...
Haiwezekani uulizwe swali yesu ni nani ukajibu vitu tofauti au umeulizwa swali na ww unauliza swali hapo hapo?hapo unaweza kuwa na akili timamu?Mtu timamu anajibu alichoulizwa sio kwamba Mazinge alishindwa kujibu maswali yake huyo jamaa!
Allah awape umri mrefu wote wanaolingalia Dini ya kiislam n awape nguvu n subra n awaondolee kisiki njiani n pingamizi llote , awape uzma n afya njema n awaondolee maradhi .n maisha marefu n rizki y kila siku z huai wao inshaallah Aamin .💞💓😍
Tungeomba sheikh wetu mazinge Allah amzidishie umri mingi kama angeweza kufika sehemu za eastleah nairobi kama angeweza i.a Allah amfikishe
Mashallah wallahi najivunia kua muislamu na Allah awalipe mema wote wanao pigania dini ya Allah kwa hakika uislamu ni dini ya haki na wakristo wana mkufuru mungu sana haswa huku nchi za ulaya Astakafirul Allah wanamtukana Allah vibaya walakini dini ya Allah itasimama kwa uwezo wake Allah na in shall Allah uislamu utasimama mbele ya nchi zote
J
Aameen
Fatuma Meyer mashallaaaa
Jamaniii
Swadakt nkweli kbsaa usemayo ahsante
Maashaa Allah Mola akuzidishie Ndugu Mohammed Abdulkarim Akasha Kwa Juhudi zako hizi Nzuri
MashAa Allah mazinge kiboko ya wakiristo
Doctor of Divinity... MashaaAllah
Allah ya'teek el afyeh ustadh mazinge
Adc
Mashallah Allah awalipe kila la kheri Wahadhir wetu dah uislam ndio dini ya kweli Big up profesa Mazinge unatisha mzee Doctor of Divinity kiboko ya makafiri Allah akupe umri mrefu
mashaallah jazaka llah Mungu awape afya njema na awape nguvu zaidi ya makafiri na awajaaliye kila la kheri inshaallah
Mashaallah mungu awazidishie ma sheik wetu...Mungu akuwekee mazinge na kupe moyo huo huo wa ujasiri na akuwepushe na hasad..🙊🙏
Mashallah
@@aishairakoze9129 Hapana Mazinge hajaelewa thiolojia ya ukristo vizuri. Kwa wakristo Yesu kwa kweli ni Mungu Mwana. Hata Biblia nayo iko wazi
Wafilipi 2:6-11
Yeye, kwa asili alikuwa daima Mungu; lakini hakufikiri kwamba kule kuwa sawa na Mungu ni kitu cha kungangania kwa nguvu. Bali, kwa hiari yake mwenyewe, aliachilia hayo yote, akajitwalia hali ya mtumishi, akawa sawa na wanadamu, akaonekana kama wanadamu. Alijinyenyekesha na kutii mpaka kufa, hata kufa msalabani. Kwa sababu hiyo Mungu alimkweza juu kabisa, akampa jina lililo kuu kuliko majina yote. Ili kwa heshima ya jina la Yesu, viumbe vyote mbinguni, duniani na kuzimu, vipige magoti mbele yake, na kila mtu akiri kwamba Yesu Kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Mashaallah, namshukuru Allah kwa kuniajalia kuijua dini ya kweli na kuifuata.
Assalam Aleikum.. Shukran kwa wale wote wanaotuombea dua kwa kazi ngumu tunayoifanya.. Allahu Baarik
duh pamoja na kuwaeleza yote hayo lkn hawakubali kweli wakristo mashetani
wallahi Mohammed unajitahidi sana kuelimisha nafatuatilia sana midaharo yenu. kwakweli mnajitahidi sana mungu awazidishie
Muhammad Abdulkarim Assalamualeikum shekh muhammad kwanza nikupongeze kwa vitu vyako. pili naomba namba yako ya simu tuwasiliane zaidi insha-Allah
Muhammad's Abdulkarim
Muhammad Abdulkarim
Mashallah shehk habib mazinge Allah subhaana watahaalah atujalie khery nyinyi amiin
Jazaka Allah kheri Sheik Habib kwajuhudi zako za kueneze jina la ALLAH
Mungu awape nguvu zaid, ili muweze kututoa kwny giza n amuwezeshe mutufikie n ss huku Mombasa upande wa kalolen I Maan waliokafirika n wengi mno, Allah awali de zaid n zaid.
Sheekh madinge naomba mwenye iziimungu akupe afyaa naumri, insha allaah.
Mazinge mungu akupe umri mrefu uzid kuwaelimisha wakiristo.
duguzangu tuna bahati kubwa sana ya kuwa waislam
thomas san kwel
Mazingr mungu akulehe inshalah
Ni kweli
Masha Allah .
Love it !!!
Baarak Allahu feekum for sharing.
Aniga 9pm
mashaAllah nafrahika wallahi nikisikilizaaga mhadhara wa mzinge nawenzake
NADYA FROM OMAN
Allha.Awape nguvu wahubir Na subra kuendelea kuhubir Dn y Allha.kwan Hata mitume wote walipata Balaa kubwa kwa watu wao kwa Ajili y dn tu.Hata huyo yesu.Alitaka kuuwawa kwadlsabb yahio dn.
Shukran sheikh mazinge Allah akulinde na mabaya akuruzuku pepo,kwa kazi yake ya da'waa
Amiin
wallahi nimebarikiwa kuwa Muislamu - Alhamdulillah
Takbiiiiir
Shukran Sheikh wetu Mazinge
Mashallah mashallah shekh mungu akupe maisha marefu njoo morogoro tukuone mm nimependa sanaaaa mdahalo wenu nakuomba uje 🙏🙏
Ustadh Mazinge nakuombea heri na mwenyezi Mungu akujalie Jannah Fir Daus....Napata hoja mingi sana kuwafundisha wenzangu.🙏🙏🙏👍
amiiin amiin yarabbyallamiinna🗣
Mwenyezimungu awaongoze wahadhiri wote inshaallah
Aamiin Yarabb
Allahumma amiin
Masha Allah, mungu akuzidishie umri
AKASHA DAWAA kwani tulioko nje ya kenya tunafarijika sana.
I love u mazinge,wanyooshe makafiri,,,ukweli wanaujua
Na leo ni Ramadhani ya pili 2020 nimesikiliza na mdada wangu wa kazi anashangaa kwamba hee kwanini kanisani hawafundishwi haya? Nikamwambia nitakuwa naendelea kukupa darasa! Mazinge Mungu akuweke miaka dahari! Naakumbuka kuna siku Mwanza ulikuja muhadhara na sheikh Shariff na Mwaipopo ukasema umefikisha miaka 60 na ndo unaisogelea ahera wallah niliumia mnoo nikaomba Mungu asikuchukuwe bado tunakuhitaji nasi unatusaidia side na wakristo pia! Inshallah uishi miaka miaa
Jazaaka Allah
Yeye dada wa kazi alikua mkristo au
Allah awazidishiye kila lakheri awawekeye wepesi in shaa allah
Allah Akbar.
Ho Allah, help these our shehs that are doing good job. Olso, it's not easy so help them to proceed, insha allah.
Mashallah
Mashallah mungu awabaliki san kwa ku2pa dahaawa ya Allah subuana wA tahala
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh Allah awape janatul filidaus Kwa kazi mnaoifanya
m.mungu awalipe pepo mawadhli wetu In sha Allah
Sheikhs habib mazinge wekiboko
Allah awazidishiye kher tunawapatavizursana,allahbarik
mashalaà mazinge munguakuzidishiye. kilalaheri
Allah atuongozee
AlhamduliLLAH kuw muislam ukristo nibiashar naukafr tu InnaliLLAH wainnailairajiun
Wallah mazinge wanimaliza Kwa maneno mawili tuu hebu subiri na mpe huyu
Heroes of Muslim thank you
Mashallah TANZANIAN mazinge
amina
mna kazi enyi wa sheikh lakini Allah awa neemeshe na makubwa na madogo! Kwani si wanadamu hatuna la kuwa lipa!
Naona raha sana kuzaliwa muisilaam
Alhamdulillah kwa Kua Muislamu
mashaa ALLAH jazakumullah kheyr
Asw chehe wangu mazing kwanini Congo haufike ? Tulichukuru Allah kwakumuona chehe doctor sule apa GOMA CONGO naweye vipi kuja bwana tunakupenda sana chehe
A.alykum hahahaa Wanataka wapewe supu mbinguni wataiona supu ya moto km hawatatubia allahu aqbar
Mbona chekh mazing simusikiye 2020 ukowabi muzehewetu tunataka mihazara
Mashaallah zidi kuwaelimisha makafili wapate kuelewa
Waislamu hio haitakiwi kutoa matusi haileti picha nzuri kwa dini yetu tueni na subra Enshalah
prince ado 9 sawa Awadhi
Subhanallah
hakika utukufu wa mungu ni mkubwa.maana leo mumetambua kuwa bwana ni mungu.mungu aendelee kuwapa ufunuo na kutambua kuwa yesu kristo ndie mkombozi wa dunia
Acha uduwanzi wewe.Leta andiko kuwa Yesu ni mkombozi.
Sas mkomboz vip namwasem mkimtundika, yey mwenyew anatak kukombolew hahaaha nashkur Allah kua muislam
da. mazinge balaaaa
Mashallah kheir
naomba andiko na uyo padri mwenzioo😁😁😁
King Rojo hahahaaaa
Nice video
Takbirr Allahu Akbar
Allah amuweke mazinge 🙏
Mashalla Allah Allah
Na papa hasogeleyi coroani😆😆mazinge nikiboko wamakafiri nazamiyaga sana mihazara kwa simu makafiri nikupindisha manenotu
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Love it
I lov it to
Follow it
Allahu Akbr
Assalam Aleikum ikhwaani. Tunaomba tupate mfadhil ambaye ataweza kutununulia viombo vya da'awa. kwa mawasiliano zaidi +254725432304
Asalam alaikum
M npo tanzania,nakuchangia kupitia namba gan?????
Swadakta
INSHAALLAH.....IKIDHAMINIWA NITAIWEKA
Mohammad Abdulkariim nakuombea kwa Allah akupe kila la kher duniani na akhera. wallah unaelewesha kwa dalili kweli maasha Allah. Allah akulipe ujira wako mwemaaa amiiiiiin yarabb!!!!
kaka nisaidie Namba za mazinge
As.alkm nice video mashaall lakin nifupi ipo inayoiendeleza
khaa ni hii ni fupi? yakaribia 3hrs wasema fupi
2HR46MIN HIYO NI FUPI KWELI???
hii mubarikiwe nayingojeya na kiwi kabisaa
Uislam ni dini ya haki mbele ya Allah (s.w).
mazing nibalaa mungu akusaidie mazing
wallah wakristo wamepotea kabisa ,wana maco hawaoni ,masikio hawasikie wanaendelea kupinga tu maneno yanayo eleweka hata motto mchanga anaelewa ,wallah uislam ndo dini ya hakhi na ukristo sio dini sijui wanaisoma bibilia
alichaguliwa na askofu lakini so mungu
Mashaallah
Didi tupe hayikuoni
Doctor of Divinity
mshallh
mazinge kiboko
🙏
Naangalia Zama za corona
Masharaa
Kumbe auna kitu mazinge
Unaje bendegeza enibele ya watu wako
Ukty dini yawayahudi wanaabudu jmamos ,wislam ijumaa
Umeisha hiita dini ya Mayahudi kwahiyo ni dini iliyotokana na watu wenyewe yaani dini ya kikabira sio ya mwenyezi mungu!
Ona yule kijana alikuja wa pili mwanzo alikua na pupa mwisho alivyosikia mbele nyuma kulia kushoto kimyaaaaaaa
Huyo mjamaa ni mpumbavu hajui anachosema
As alkm video ya burundi tuwekee inshaallah
Mmy
Sijawahi ona wakiristo wanashinda dibeti sijui kwanini!!
Amen allahbarik
mh
Waisilam wajanja saaana maswali walioulizwa hawajibu sikia maswali ya kwanza na wanako endeleza wajanja tena wajanja wana wa shetani kabsaa.
Kafir hakos sababu...muombe Allah akurudishe kwenye din ya haki
Uyo kafiri hajasilimi tu eti mutume MUHAMADI SIO WAKE IPO SIKU ATAONAKAMA A ALIKUA WAKE
Hata wewe mazinge hujaelewa Soma ufunuo 3:9 masinagogi kuna kiti cha shetani.
Ufunuo 3:9
Ufunuo 3:9 BHN
Sikiliza! Nitawapeleka kwako watu wa kundi lake Shetani, watu ambao hujisema kuwa ni Wayahudi, kumbe sivyo, ila wanasema uongo. Naam, nitawapeleka kwako na kuwafanya wapige magoti mbele yako, wapate kujua kwamba nimekupenda wewe.
BHN: Biblia Hao ni wakristo wanajifanya Wayahudi.. Maana Yesu ameletwa kwa ajili Wayahudi, Wayahudi fake wako wengi.
Pumbavu zako ww ndo unajua sana kuliko mazinge au kafiri mkiristo moto unakuhusu
Yesu aliingia sinagogi lakini....😂😂😂
Ninyi wahazili wa kiislam niwaongo maana kwenye bibilia hakuna wislam sinagogi msikiti wawayahudi sio wawaislam
Mayahudi sio dini ni kabila
Mbona hawakusema "kanisa la wayahudi"?
haya sawa,bora kuna neno msikiti lakini sio kanisa,pwahahah si mufute muandike kanisa la wayahudi
Google
Je kuswali nikuabudu, nakama ndio basi , huwa nasikia tumu swalini mtume
Katungu Kitambala "kaakimya kafiri, mkubwa, mwanaaram mbwa, kumamaako, ngurue shuain.
umekosea.kaka.kumtukana.katungu.hajiele.mwenyez.mungu.awasamehe
Qafiri tuuu Huyo Kiziwi, bubu kipofu 2 Huyou
Kwaiyo kuswl c kuabdu,katungu naomb unjb
nivibaya kutukana uliyetukana omba msamaha pili katunguu hajui chukua fursa kumuelimisha
Allah nishetani bila kupinga. hyo pastar yuko vizuri tatizo lenu hamjibu anachouliza. na mtume ni mbakaji wa watoto someni vizur quran
Sikweli kaka
Innalilahi..yani mola wako alo kuumba ni shetani??? Akusamehe maaana hujielewi na hjui usemalo..kafir mkubwa ww
Zeinab Mboka alla ndo kafiri soma quran 98-17
@@tambaboy7922 sura gani katka kuran kakangu nifahamishe..
Kaka angu unakufuru sanaaa kutukana mungu na mtume huogopi stakhfirulaah
yesu kapewa kutabu kinachoitwa injili au habari njema.muhamad kapewa furkani sio msahafu.acha kudanganya watu
Hahahahahaha sasa furqan nijina ktk majin ya qur an, albyaanu, alkitaabu, alqur ani, adhdhkru, hahahaah uislam raha sana
@@suleymanally4729 wewe ni maamuma.uisilamu ni tendo sio dini na ili upate wokovu au ufufuke lazima ufanye matendo mengi nayo ni upendo huruma unyenyekevu kusamehe hekima busara na mengine kama hayo sasa kuwa muisilam tu kwa maana ya unyenyekevu haitoshi kumuona Mungu.MUngu aendelee kuwa roho mtakatifu na pia awape jicho la rohoni ili muwe kumtamua Yesu Kristo kwamba ni bwana na mokozi wa maisha yenu
Mpumbavu wewe mijikenda gani hao waliambiwa wasiende msikitini ?
Waongo wakubwa isa sio yesu
weee ndo hujui ndugu yesu ninani kasome usimamishe mada na mimi muache profesa mazinge apunzik kwangu hutoki bwana mdogo
Yesu ni Nani sasa nyie mtachomwa bure Tu nyie enedeleeni kuabudu binadamu Tu ....Yesu ni Mtu kama wew Yesu alikula samaki wew uliskia wapi Mungu anakula...
Mazinge nimekufuatilia sana na nimegundua kuwa uijui bible vzuri ww unaisoma kma gazeti kuwa makini sana na ukipatkana unakwepa kwepa maswali
Ww ndio hujui hata kidogo km hujui
Bora anyamaze
Haiwezekani uulizwe swali yesu ni nani ukajibu vitu tofauti au umeulizwa swali na ww unauliza swali hapo hapo?hapo unaweza kuwa na akili timamu?Mtu timamu anajibu alichoulizwa sio kwamba Mazinge alishindwa kujibu maswali yake huyo jamaa!
Nenda uko huna mpya we
ببب
Fakeeee
Fakee