Kiukweli Tamasha Limefana Sana. Kwa Tuliokua Tunafuatilia Mtanange Huu Live Azam. Tulikua Hatutaman Ata Kutoka Kwenda Msalani. Maana Mech Inaviwango. Sio Ile Ya Makolo Mpaka Unasinzia Mech Haina Ata Mvuto😂😂😂
Dis Is Dar Young African Punguza Makasiriko.😂 mbeleko Unaijua Wewe..? Jipange Tarehe Nane Uje Na Guard Laha sivyo Tutagawa Wastan Kwa Idadi. Na Hiyo SGR Yenu na Disconnect. Tuna Booster Energy Pale Mtakaa. 😂😂. Nyie Takbulisheni TU Family Zenu Viwanjan. C Boss Yanga Bingwa Tu😂😂🎉
Mudathiri kafunga goli zuri sana❤
Lamine yam.....
Wananchi 🎉🎉🎉🎉🎉 ❤❤❤
Ila MDA😊 ni baraaaa🤟
Hawa mikia wanajilinganisha na Yanga kitu ambacho siyo watachelewa sana tena sana
Nice💚💚💚💚💚
Mudathir Yahya Abass nakupendaaa san
Goli kali sana kuzawazisha
Mudathiri kwenye mechi ngumu zote yeye ndio anatulainishia ushindi,love u yanga.
Leo wa kwanza mm nipen like zang
Ila yanga wapo vizuri watfka salama
Yanga ni Bora siku zote❤❤
Hatimaye Daa yanga wabebwa
Nashukuruni jamani mmetueshimisha
Ricky Banda anakuja Simba mark my words
🔥🔥📞
Gori la Mudathir litawekwa kwenye page espn la liga au epl 😅😅
Wazeee wa Yanga hoyeeee referee kawabeba kuanzia red cad na na penalty mmebeba laaana ya tarehe 8/8/2024❤❤❤ Simba itawafumuaaa 4-0Yanga
Kanye ulale
Mambo gani hii😂 hio si penalty
But Tz mko juu🇰🇪❤
Bsi sio goli moja moja 😂😂😂😂
NI moja moja basi tumecheza na mabingwa wa kagame na sisi ni mabingwa wa Toyota Duniani.
Daymond-gold-yupowcb-anasubili-mzigo-wake-mama-lamama
Muda anajua bwana apewe maua yake 🎉
Mbereko ya mama Yako wariyokubebea utotoni
Supu fc wanabebwa hadi kwenye mechi za kirafiki nyokoo sanaa
Lete tako tareh 8
@@MidnightBlue-r2k 🤣🤣🤣🤣
Kufungwa afungwe red arrows,kuumia aumie kolo ni huku hawana hata undugu 😆😆
@@MidnightBlue-r2k nitaleta tako la mamako trh 8
@@terrence9477hapo sasa,!
Tatizo Jez red arrows
Muda usikomae saaana na ushangiliaji wa kupiga simu unawaboa wenzako wanapokuja kushangilia na wewe halafu kama huwaoni vile.....
ila Shemeji ki bana 😂 safi sana
Wakwanza like zenu Wana jagwani
Yanga imara
Acheni dhuruma mutafikambinguni mumechoka sana kwavituvisivyo namusingi
Kwanza nenda kajifunze kuandika kiswahili vizuri halafu urejee tena
Blood mchezo hauitaji hasira
Yanga ulimi nje
Ila yanga 😂🤑 I 🎉
Hii ndo clab ya taifa taifa, taifa La Tanzania.
Atari sana
Control✖️ goal ☑️
Kiukweli Tamasha Limefana Sana. Kwa Tuliokua Tunafuatilia Mtanange Huu Live Azam. Tulikua Hatutaman Ata Kutoka Kwenda Msalani. Maana Mech Inaviwango. Sio Ile Ya Makolo Mpaka Unasinzia Mech Haina Ata Mvuto😂😂😂
Acha kudanganya watu ww
kama vip tarehe 8 tuungize ile team ya bongo movie😁😁
Ingeen 2kutane agost 8🎉
Wamebebwa haoooooo😂
Yanga inaweza kucheza mechi mbili siku moja
Kafungwa red arrows wanaumia wengine
Wasiojua Sheria za soka watasema ii sio penati hivi inama mtu kachezewa rafu kwenye penati box mnategemea refa angeamua nini 🤔
Raf gan amepiga mbizi yule
@@Abonikekama ile tuu mulopiga nyie kwenye siki ya utambulisho wa Familly zenu😂😂😂 kaeni kwa kutulia asee
Achana na makolo walitaka tufungwe, tarehe nane tutawazika na sanda zao
Unyama sana
Bonge la gol
Mudathir Yahya Abbas
Tutakutan tareh 8 tujue nan bilaa mbeleko
Asante Mungu kwa ushindi maana siku ilisha anza kuisha vibaya
Kuna mbwa zinasema hii ni mbeleko Sasa mlitaka hapa isiwe penat
Makolo makolo mtakufa ama sio kuhiva
KAMA SIO MWENYEJI ANAUMBUKA NI BEBE SHUGHULI ILIKUWA PEVU
Fala wew
Kwa yanga hii mmmh
Makolo ngoja tar 8 mtajua hamjui
Manara alizingua kumuita mobeto Jana,ni ishu za faragha hizo hakupaswa sifa zikizidi ndo madhara yake,Aziz alimaindi
Yanga amebebwa
Hiyo Kona hakuna mchezaji aliyegusa Mpira
Mbeleko tupu eti redcard hhhh😂😂😂😂 ilimradi tu washinde vyura😊
Wenye nchiiiii
Myku
Nyiie oongeen sana tusbr mda utamua kama ss ndo yanga
Makolo turieni tarehe 8 mtaona
Jamani aibu hii mpaka mbeleko
Me na goli la mobeto tu🎉🎉😂
Angefunga hivyo mchezaji wa nje angeimbwa sana
Nafikiri tu,ingekuwa dube/nzengeli/balege/abue hakika mitandao ingepata moto
Kusema Yanga kabebwa ni dalili za uwoga Tu wa tarehe 8
Hahahahaha hamna lolote ushindi wenu umepoa sana
Yaan waoga mno kazi kusema mbeleko wanafikiri hii ni timu waliyocheza nayo wenyewe
8/8 tujuana..team ya wanaume vs watoto..
Unaambiwa Mobeto anakazi maalumu pale kwa Aziz 😊
Bilaa mbeleko sku ilikua inaharibikaa
Nane nane kuna VAR ...tutajuana vzr kama ni mbeleko hyo
Wewe mwenyew mbeleko ulishindwa kuitumia jana kaa kimya
Sasa magoli ya yanga unataka kufananisha na yale ya makolo jana, magoli ya kunong'oneza golikipa
😂😂😂😂nimecheka aisee
Dis Is Dar Young African Punguza Makasiriko.😂 mbeleko Unaijua Wewe..? Jipange Tarehe Nane Uje Na Guard Laha sivyo Tutagawa Wastan Kwa Idadi. Na Hiyo SGR Yenu na Disconnect. Tuna Booster Energy Pale Mtakaa. 😂😂. Nyie Takbulisheni TU Family Zenu Viwanjan. C Boss Yanga Bingwa Tu😂😂🎉
Mudathir mtu
Nyau walipigwa 5 walikuwa pungufu?
❤
❤❤❤❤❤
Tochi nyingi sana
Yanga mnabebwa hamna timu hapo ni msaada wa refa kwa kwenda mbele
Anaesema mbeleko asubili tarehe 8
Kumbe wamebebwa waha wazee tarehe nane maji wataita mma
Taleh nane watakubali, 😢😢😢😢 lazima
Tulishawazoea Hadi tuwapige tano nyingine ndipo mheshimu
Bila refa 😂😂
Mnabahati dk za nyongeza trh 8 tutawanyoosha mnachezesha wachezaji muda wote ili mshinde
Na badoooo hamjasema subili
Nitajue mchezaji wa rwanda anayecheza hata maji maji ...leo ndo ilikuwa match jana ilikuwa kama naangalia x
Yaani wewe una smart phone na huwezi kuangalia Wanyarwanda wanaocheza nje hasa Ulaya?😂 Sasa smart phone ni ya nini?
Ile kauli ya Manara kwamba ukitoa _ na _ yanga waobaki hamnazo kweli hamnazo 😂😂😂😂😂😂😂
Trh 8 itasema kama ni mbeleko au 5 zinarud tena
Yanga kabebwa
Ndonimeamini yanga ananunua mechi yanihawandowalikuwa wakimugusa inonga chalikamakashinda njaa mpira wabomgo dar
Tarehe 8 tunanunua namakalio yenu paka mwekundu ww😂😂
Yangaaaa
kweli nimeamin yanga n mbovu yanga wachezaji wote n wazee
Mbeleko ipi uliyoona apo ushabiki wa kinafki tu ile ya kwenu makolo mjaiyona
Tatzo la nyie makolo kila yanga ikshnda imebebwa mtaumia sana mwaka huu tengenezen timu
Falaaa we ndo mbeleko 8888 utajachom hiyo period yako
Naona kama awa wanapigwa week moja tarehe 8
Mnashinda kwa penalt mchongo mnashangilia dakika za lala salama????
Kiukwer nahic hatukuchez vzr ila tulifich mbn
Kama roho inauma usipongeze,kwan lazima?
Wamebebwa
baado ujasema
Utasema Sana subiri tukubebe na ww
Hamisa mobetto ako wapi ?😂😂
𝚢𝚊𝚗𝚐𝚊 𝚢𝚊𝚗𝚐𝚞 𝚙𝚒𝚐𝚊 𝚋𝚊𝚕𝚕 𝚝𝚞𝚖𝚎𝚣𝚘𝚎𝚊 𝚖𝚊𝚖𝚎𝚗𝚎𝚗𝚘 𝚢𝚊 𝚠𝚊𝚓𝚊😂😂 𝚊𝚝𝚊 𝚝𝚞𝚗𝚐𝚎𝚏𝚞𝚗𝚐𝚠𝚊 𝚠𝚊𝚗𝚐𝚎𝚜𝚎𝚖𝚊 𝚗𝚊 𝚝𝚞𝚖𝚎𝚜𝚑𝚒𝚗𝚍𝚊 𝚋𝚍𝚘 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚝𝚞𝚜𝚎𝚖𝚊 𝚔𝚒𝚣𝚞𝚛 𝚕𝚊𝚣𝚖𝚊.𝚔𝚒𝚜𝚎𝚖𝚠𝚎😂😂
Hata nyie kolo mlopigiwa tano hivyo mchezo kuwa hivyo
Endeleeni kubebwa kama magunia
Anae weza ku screenshot hii comment afanye mapema..huyu supu fc tar8 nampiga nyingi
kupnda supu za bule uwezo aaaahhh
Namba timu wazee hao
Goli kipa alikuwa na siku nzur sana jana kama sio yeye khamsa zingewahusu
Mutamasha mubovu kuwahi kutokea na ushindi wamuchongo
Mimi simba ila Yanga ni kiboko kwelikweli.
The time is not yet, wait until tarehe 8
Ni kiboko kweli ila simba ni mnyama ambae akiingia kwenye jiji kumbuka watu wanasitisha shughuli zao
Ukiboko gani mbeleko kubebwa, ile kadi ni ya nn
Ukweli usemweee hao yangaa kiboko tuseme kweliii