MAMA BONGE AANGUA KILIO AKISIMULIA KUPEWA MIMBA MANZESE, MTOTO KUFA na KUMZIKA MWENYEWE BILA BABA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 чер 2023
  • MAMA BONGE AANGUA KILIO AKISIMULIA KUPEWA MIMBA MANZESE, MTOTO KUFA na KUMZIKA MWENYEWE BILA BABA #MPAKA HOME
    kipindi chako pendwa MPAKA HOME ambapo wiki hii tumepiga stori na mfanyabiashara mashuhuri wa Kariakoo @Sinyalikimambo1972 ambaye amefunguka mambo mengi usiyoyajua kuhusu yeye.
    Mjengo wake anaoishi ni balaa, changamoto za utafutaji maisha, unajua yeye ni kada wa chama gani? ....
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 406

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Рік тому +8

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

    • @janethkessy7146
      @janethkessy7146 Рік тому +2

      ninashida na dada sinya kaka tafadhali naomben mawasiliono yake

    • @sikitujuma4866
      @sikitujuma4866 Рік тому +1

      Ni keili kabisa uyo sinya ukimuona utasema mkorofi lakini hana hiyana anaroho nzuri na nimtu wa kusaidoa

    • @pastoraile7195
      @pastoraile7195 Рік тому

      Kwel sugar sio poa

    • @NicodemusKithi-xe7mg
      @NicodemusKithi-xe7mg 4 місяці тому

      Kweli mama nakukubali

  • @catherinemichael1275
    @catherinemichael1275 Рік тому +29

    Mnao msema huyu mama mjiangalie je mfanana nae ki maendele unachonga inao yesha huna kitu Mimi Bado nasema mama nakupa 5 star ❤❤❤

  • @neemamboya99
    @neemamboya99 Рік тому +48

    Huyu mama hatafuti Kiki ila Kiki ndo ilimfuata. Yeye anachofanya ni kuitendea haki nafasi alopata. Nmependa mtoto wake hapendi media

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 Рік тому +15

    Huyu mama ana maumiv machungu sana ana machozi ya karib na ni mwepes wa kutabasam Mungu ambarik sana

  • @sarhiabenson2683
    @sarhiabenson2683 Рік тому +7

    Nilichogundua huyu mama nimchangamfu sababu anamoyo mzuro sana🥰🤲Na ana hakili njema kuliko mnavyo waza

  • @jackiefredrick586
    @jackiefredrick586 Рік тому +29

    Pole dada. Moyo wako umejaa maumivu hadi najiona ndani yako

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 Рік тому +18

    Nakupenda Sana mama yangu nakuombea mungu akuponye uishi miaka Mingi umenitia Sana moyo wakupambana

  • @jacklinmacha2964
    @jacklinmacha2964 Рік тому +20

    Jamn huyu dada ni mzury sana ila mnaomponda hamjielew

  • @Kidotii
    @Kidotii Рік тому +8

    Ni kwelii una roho nzuriii, watu wenye roho nzuri wanaliaa na machozi yankaribu!

  • @eunicejohn5520
    @eunicejohn5520 Рік тому +10

    Huyu mtoto wake nataman asome koment hii plz USIMSUMBUE MAMA YAKO

  • @shanifesto9037
    @shanifesto9037 Рік тому +31

    Huyu mama kila akihojiwa analia ,inaonyesha kina kitu anacho na aliyoyapitia ni magumu na kuna familia nyuma yake ambayo inamtegemea na anawajali ,dahh ila iko siku machozi yake yatafutika,,,naamini

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 Рік тому +10

    Mungu Akulinde mabaya yasikupate mtu yyte ataejaribu kutaka kukuharibia mungu amlaani mara 10000000000000000

  • @farahfrooha9715
    @farahfrooha9715 Рік тому +11

    Pole dada shukuru mungu machungu sio pekeyako tupo wengi wenye machungu kuliko ya kwako tuwe pole

  • @marymathew6529
    @marymathew6529 Рік тому +17

    Story ya mtoto imeniuma sana,pole sana dada jamani.

  • @lisavictor4736
    @lisavictor4736 Рік тому +4

    Da sinyaa nakupenda Sana. Ulisoma na mama yangu Kiboriloni nimeonyeshwa na kwenu ulipokuwa unakaa na mama yako zamani nakumbuka na ule msiba wa mwanao aisee Kama ulifanya mwenyewe Basi Mimi nakuita Superwoman wasiojua ule msiba ulikuwa umepambwa kwa heshima utasema anaenda kuzikwa ni Mtoto wa raisi.
    God bless you

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Рік тому +12

    Najua unamengi moyoni umepitia mengi lakini mpaka hapo ulipo mshukuru Mungu sana kwani wewe ni shujaa sana na jaribu kusahau yaliyopita .Weka ujasiri wako mbele wewe ni Jasiri sana.Shukuru unabint kwani huyo kijana angeweza ata kukupa stress kwa hivyo shukran unabint au tuseme unamtoto hata huyo mmoja

  • @sammushi1512
    @sammushi1512 Рік тому +6

    Nampenda uyu mama anaonekana n mama mwenye huruma sana na anamoyo mzur sana mungu anijalie 😎

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 Рік тому +17

    Pole mama uclie sana naelewa nijinc gan moyo wako unamaumivu makali,lkn unafuraha sura yako nitabasamu muda wote,Mungu akutie nguvu

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 Рік тому +8

    Ukisikia mwanamke wa shoka ndiyo huyu Mimi nikupe 💐🌹🌹 yako mapema

  • @hosianaeliud243
    @hosianaeliud243 Рік тому +25

    Nakupenda dada sinya....ww ni super woman... Mungu akusaidie sukari iishe....

  • @olivabutoyi434
    @olivabutoyi434 Рік тому +5

    Global nawakubali!! Mmetishaaa! Big up dada Sinyaa! Wewe ni Simba jike, hongera sana kwa kuwa mfano mzuri kwa wanawake. Mungu azidi kukubariki na kukuinua. Nimependa myumba yako ilivyo safi, classic na very well organised 🎉❤. Big up sis 👏

  • @maryamkassim3188
    @maryamkassim3188 Рік тому +2

    Heri kumsikiza huyu mama mara mia moja unajifunza kitu katika maisha haya kwa kweli wanawake tujitume tulale pazuri kwa nyumba zetu pesa yako ya halali ni tamu sana asikwambie mtu ❤❤❤❤❤

  • @ashudahiza7871
    @ashudahiza7871 Рік тому +5

    hongera mama nilikua nakata tamaa lakin naanza kusimama sasa

  • @beatricelewanga1376
    @beatricelewanga1376 Рік тому +5

    Ni vizuri Sana anavyo ongea anapona Moyo wake .Sinyaaa anaongea vizuri

  • @loisendungu5983
    @loisendungu5983 Рік тому +7

    Mm ni mkenya lakini huyu mama nampeda yagu yote everything will be fine mama

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 Рік тому +6

    Huyu mama ni mtu mwenye roho nzuri mno

  • @janetdundul3858
    @janetdundul3858 Рік тому +3

    Mamashikamoo shikamoo nimekupenda buleeee,,,kwa mwamposa ndiyo kanisa letu hilo 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 Рік тому +3

    Weka pulizo kwenye tumbo mama bonge linyonye mafuta utakuwa kiportable tena na sukari itaisha. Nakupenda le super woman❤❤❤

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Рік тому +9

    Hongera mwanamke mpambanaji chukua maua yako 💐💐🌹🌹

  • @MwigaKatumpula-mi3zt
    @MwigaKatumpula-mi3zt Рік тому +3

    Napenda kufuatilia interview za huyu mama kibonge, hakika Kuna cha kujifunza hapa 👏🙏😀

  • @joycemlay187
    @joycemlay187 Рік тому +5

    Mwenyezi Mungu akutunze mama, na akuondolee uchungu moyoni akutie faraja uendelee na mapambano ya kutafuta 🙏🙏

  • @halimaoman8726
    @halimaoman8726 Рік тому +4

    Pole sana mama bonge unanyoongea hizo changamoto uliopitia mama yangu imenikumbusha mbali sana nimejikuta natowa machozi sana

  • @zainabukivale9571
    @zainabukivale9571 Рік тому +5

    Mama unafanana na Mimi yangu makubwa zaidi dada naangaiga usiku na mchana lakini nimepoteza pesa zaidi ya milioni 70 kes ipo maakamani haishi na uyo Diwani wa temeke namdai mwaka wa Tano Sasa milioni tatu anasema nimpeleke popote hawezi kunilipa nimetembea kwenye maofis bila mafanikio jamanii uwiiiii mungu nisaidie natafuta namba za shelawado

  • @sharommiriam2674
    @sharommiriam2674 Рік тому +7

    Uyu dada kichwa Sema ndo ivo hira mbaya za watu wasyopenda maendeleo yawezie wanapenda ufeli kimaisha

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +9

    Wowow hongera sana dear mama ❣️najifunza mimi

  • @roseurio503
    @roseurio503 Рік тому +4

    Hongera Dear kweli mwamke na nusu yaani huna makuu wangekua hawa wakushoboka walai balaaa kweli usiwai dharau mtu hadi nimetani kuongea naye walau anifungue macho ❤

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 Рік тому +36

    Sweet usiwe unalia. Unajua ww ni jembe sana. Yaani your super woman. Jipe moyo mkuu bhana usiwe unalia. Ujue Yesu anakupenda sana wewe na atakuponya. Ww upo real sana kipenzi. Ipo sb ya yy kuondoka jipe moyo darling. Usikonde yatapita Sinyaa na utapata
    Achana na wasema ovyo mpz. Hata ungekua kimya wangesema tu. Hiyo ni asili ya wanadamu na wasingekusema ningeshangaa sb hata Yesu alisemwa. Usikondeshwe na maneno ya wapitaji kwn wanakupa nn dada
    Big up kipenzi changu, kazi nzuri

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 Рік тому +2

      Kulia ni haki yake kama atajihisi kulia. Machozi tumewekewa na Mungu kulia siyo dhambi.

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 Рік тому +1

      @@damariszuckschwert9489 sio dhambi kweli lkn naumia anavyolia. Mm natamani kulia alie sirini na Mungu wake akiwa kwa maombi. Kulia ni kutoa sumu najua ila alie kwa Mungu wake tu

    • @floridanyabikwi9304
      @floridanyabikwi9304 Рік тому

      Jamani watu wanatoka mbali sana hasa sisi wanawake 😭😭😭😭pole mumy umeniliza na mm

  • @janelyatuu1135
    @janelyatuu1135 Рік тому +6

    Mdada wa kibrloni nakupata sana ndugu yangu unapambana kweli kweli nakumbuka miaka hiyo mtoto wako alivyo fariki uliumia sana pole sana mungu atakupigania hatukuwacha

    • @editorfrank7471
      @editorfrank7471 Рік тому

      Inauma sana sikuwahg kujua story ila huku mosh watu walisema alimtoa kafara ,bora sinyaa kaongea mwenyewe

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Рік тому +8

    Hongera sana Sinyaa unaishi pazuri 👌🔥💖pole kwa changamoto za maisha

  • @asumaathuman6094
    @asumaathuman6094 Рік тому +4

    Nimelia sana jomoni...huyu mama nimzur mcheshi alafu nimwepes kufurahi

  • @malila4582
    @malila4582 Рік тому +5

    Mashaallah mama umeweza umeweza umeweza tena

  • @user-ee3to8eq3g
    @user-ee3to8eq3g Рік тому +2

    Namjua sinyaa vizuri hana kiki kaaza maisha zamani Wala haogopi mtu hongera sinyaa wangu

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 Рік тому +2

    Hongera sana mdogo wangu nimekupenda Bure wewe ni mwanamme shujaa Kwa kweli na ni mkweli sio Muongo unayoyaongea ni ya kweli kabisa

  • @user-wk1ix1gm1p
    @user-wk1ix1gm1p Рік тому +10

    Pole sana mama, Na hongera pia

  • @Sifa_film_tv72
    @Sifa_film_tv72 Рік тому +5

    Love you Sinyaaa,Kweli wanawake Tuna mengi mioyoni tunatamani pa kusemea🙏

  • @dottohami
    @dottohami Рік тому +8

    Kweli nimejifunza kuto mzalau nisie mjua masha Allha mama kaweza sana nimejifunza kupitia yeye nakupenda kwa jili ya Allha ❤️

  • @nasrafadhili7408
    @nasrafadhili7408 Рік тому +8

    Mm nimegundua huyu mama marafiki ndowamemuangusha

  • @EricaSimon-zd1wl
    @EricaSimon-zd1wl Рік тому +3

    Hii si hadithi ni live Mwanamke huyu anafaa kuigwa na jamii hasa wanawake tusilale jamani tuamke wanawake maisha ni mapambano na siku hizi Dunia imebadilika Sana wanawake ndo watafuta pesa na si vinginevyo

  • @graceshirima6072
    @graceshirima6072 4 місяці тому

    Pole sana Sinyaa, hakika nimeuona uchungu ulionao moyoni, mwombe Mungu auondoe huo uchungu upone my dear, huo uchungu unakusababishia magonjwa mpendwa, ❤❤

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 Рік тому +2

    Mama wewe jembe nimekupenda ❤hongera sana nimejifunza mengi Mungu akubariki sana.

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 Рік тому +3

    Story yake inaumiza mungu akupe subra mamangu
    Dunia inamambo mengi sana

  • @ndohoriomsacky445
    @ndohoriomsacky445 Рік тому +6

    Huyu mama nimpole Sana Bali alipitia machungu Sana

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Рік тому +11

    Hongera sana Mungu akujaalie afya na furaha tele

  • @ummyhoza4495
    @ummyhoza4495 Рік тому +4

    Dada nakupenda sana sana mungu akufanyie wepesi ktk kazi yako

  • @aishachiyarata1362
    @aishachiyarata1362 Рік тому +13

    Nimempenda mama haongezi masifuri kwenye Bei zake

  • @waheedaw1953
    @waheedaw1953 Рік тому +5

    POOLE sana sister Allah atakupa zaidi za Halali

  • @user-zt8vf9nf3u
    @user-zt8vf9nf3u Рік тому +21

    Mama sinyaa, Ongera sana na pole mimi nakuomba mpenzi achana na uyo baba, wewe umeangaika kulea mtoto wako mpaka amekuwa na kusoma ongera sana, uyo achana naye.Pia nakuomba towa dukuduku lako la uyo baba msamehe, kumsamehe haimanishi aje nyumbani kwako au kuwa naye pamoja, Mtowe moyoni mwako msamehe ili uje kuona mbingu, kuna mabaya ambayo tunamfanyia MUNGU lakini bado anatusamehe. Pia nimefurahi sana kwa kupenda kwako kusali, ila naomba fanya maombi ya siku tano au tatu Muombe MUNGU akuonyeshe uko unapokwenda kwa mwamposa upo sahihi kweli plz plz plz fanya maombi . Nakupenda

    • @jacklinesangu3294
      @jacklinesangu3294 Рік тому

      Hongera sana mama

    • @sikudhanimohammad7692
      @sikudhanimohammad7692 Рік тому

      Ww naye hujui hata matumizi ya h na a

    • @chuchudorice8531
      @chuchudorice8531 Рік тому

      ​@@sikudhanimohammad7692Bora umeelewa😂😂

    • @CatherineKimoso
      @CatherineKimoso 7 місяців тому

      Mandiko yanasema akija kutaka msamaha msamehe at *770.huyo baba anatakiwa kumumba msamaha mama na mtoto Ili kumponya dada yetu.

  • @zaramunir8238
    @zaramunir8238 Рік тому +6

    Nampenda huyu mama jamani asaidiwe kwakweli amepitia magumu leo nyumba take ime mstiri lakini ana mateso ya ndani ya moyo na kisukari inamtesa maskini naamini mama samia ata liona hili

  • @peterkaale6977
    @peterkaale6977 Рік тому +1

    Huyu mama she is so real jaman yani mungu amuepushe tu na hio mikopo afanye vyema kwa biashara zake she is so r

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Рік тому +8

    Nilikuwa naangalia kila muda aise alhamdulillah nimeikuta mudaa huu pole sna mama Yangu kipenzi unapambana mno sna sna

  • @aishamansoor7374
    @aishamansoor7374 Рік тому +4

    Dada mm nakupenda Sana natamani tuonane mm naww nakupenda Sana mungu atakuhifadhi

  • @marciawambui1965
    @marciawambui1965 Рік тому +2

    😅😅 hongera sana mama,ila huyu ndugu mtangazaji is very funny,

  • @CatherineKimoso
    @CatherineKimoso 7 місяців тому

    Dada. Yangu sinyaa ni mkweli sana na ni mwema sana ningeomba asikilizwe .❤❤❤sana dada yangu kipenzi. Mungu akutie nguvu .uishi maisha marefu🙏

  • @user-hw1vd8qk1q
    @user-hw1vd8qk1q Рік тому +1

    Mama sinya a Kim ambo ni Super women pole Sana na mitihani iliyokupata usichoke kupambana mungu atakusimamia inshaallah.

  • @friminershayo5325
    @friminershayo5325 Рік тому +13

    Mama mtafute Dr Boaz Mkumbo ,atamaliza ugonjwa wako wa Kisukari na kupunguza uzito.
    Utaishi maisha marefu zaidi.Uzidi kui enjoy zaidi.

    • @ladyr.hamsini2311
      @ladyr.hamsini2311 Рік тому

      Dada huyo Dr Boaz anapatikana wapi?uko na namba za mawasiliano?

    • @alsam4881
      @alsam4881 Рік тому

      ​@@ladyr.hamsini2311 ingia UA-cam andika dr. Boaz mkumbo utapata namba yake kwenye video zake.

    • @magrethmanintveld5477
      @magrethmanintveld5477 Рік тому

      ​@@ladyr.hamsini2311 Dk Boaz office yake ipo mkabala na Mwananyamala hos

    • @mirrykirungi5078
      @mirrykirungi5078 Рік тому

      Friminer shayo anasaidia presha?

    • @siamnyone8403
      @siamnyone8403 Рік тому

      We nawee Kwan alikwambiaa anaumwaaa

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 Рік тому +12

    Natamani wasanii wakuchukue pamoja na makampuni uwasaidie kufanya matangazo, pia nakupenda mnooooooooo

  • @DEEP.WORSHIP
    @DEEP.WORSHIP Рік тому +3

    Okoka Dada Yesu anakupenda umtumikie ..

  • @rebeccakagemro3166
    @rebeccakagemro3166 Рік тому +1

    Maisha yako yameniumiza.ila nimetoa shule.hongera sana kipenzi changu.ikikupendeza uniruhusu nikufikie.kuna mengi natamani nijifunze kako.

  • @khadijamwenda1851
    @khadijamwenda1851 Рік тому +4

    Jamani huu mwili ni kawaida mh!😢sinya pole sana kwa magumu uliyopitia

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому +1

    Alhamdullillah, kiukweli nampenda bure. Mwenyezi Mungu akulinde dada.❤❤❤

  • @Felister-br6km
    @Felister-br6km Рік тому +4

    Ana moyo wa uchungu aikemee kwa jina la yesu

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 Рік тому +2

    Daaah poleee😢😢😢 uyo mtoto hakuw ridhiki mamy ,wanasema si kila ukipotezacho, Wala ukipatacho ni chako ,vingine acha viondoke tu 😢

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 Рік тому +10

    Ndio maaana mimi nilizaa nje ya nchi na libaba lenyewe mawasiliano sina.inauma umezaa na mtu yupo mtaani halafu halina time na mtoto

    • @allymoshi2053
      @allymoshi2053 Рік тому

      Mpka kuzaa s mnapanga wote au unajiamulia mwanamke peke yako

  • @augeniamasha4626
    @augeniamasha4626 Рік тому

    Pole sana mdogo wangu. Mungu anakupigania no matter what. Keep it up. Jitahidi kuchemusha majani ya maembe unyewe Kama chai au maji. Kila siku.

  • @Hedva255
    @Hedva255 Рік тому +4

    Mungu abariki wale watu waliompa products za kutengeneza usoo hasa dada junaithar uso umeanza kukaa poaa....

  • @stelamwakatulile2455
    @stelamwakatulile2455 Рік тому +3

    Unapenda kulia unaniangusha bwana wewe jeshi kubwa❤

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 Рік тому +6

    Mtangazaji 😂😂😂mbn umeng'ang'ania kipodoz Cha mama

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 Рік тому +7

    Jamaaan😭😭😭😭huyu mama anitafute Mimi niwe mfanya kazi wake wa ndani tutafarijiana mno nahisi Ana huruma na watu

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 Рік тому +7

    Nimekupenda na hongera kwa nyumba nzuri

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому +7

    Pole sana Dada sinyali, Tunakupenda sana, Allah akutimizie hitaji lako 🙏kiukweli hata mimi namchukia sana Mzazi mwenzangu, yani hapa namuelewa sana Dada sinyaa.

  • @EutropiaMinja-rx8sv
    @EutropiaMinja-rx8sv 4 місяці тому

    Mdogo wangu umeniliza sana. Maisha magumu uliyopitia yanafanana sana na ya kwangu. Naomba tuonane kama itawezekana.

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 Рік тому +3

    MashaAllaah MashaAllaah Allaah Akubareek na Akuhefadhi

  • @shazygeofrey1237
    @shazygeofrey1237 Рік тому +2

    ❤you sinya😂... May God bless you more dear

  • @user-vv4er8ok3u
    @user-vv4er8ok3u Рік тому +3

    Mama unayepambana Mungu aendelee kukuinua

  • @aishakondo5434
    @aishakondo5434 Рік тому +6

    Mnafata fata sana huyu mama mnataka nini machozi yake yanajambo mnataka kuyajua ili iweje sibasi muacheni

  • @rizikisuleiman2139
    @rizikisuleiman2139 Рік тому +3

    Nampenda sana huyu mama ni mpambanaji sana

  • @sheilajuma8963
    @sheilajuma8963 Рік тому +2

    mashaallah huyu mama nampenda ni mkweli

  • @rosekasambale2521
    @rosekasambale2521 Рік тому +4

    Mama nimekupendaaaa❤❤❤❤

  • @user-wl7ii1yt5g
    @user-wl7ii1yt5g Рік тому +1

    Mungu akuondolee maradhi ya sukari dada uyafurahiye maisha

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 Рік тому +2

    Pole mam nimekupendraaa sana

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 Рік тому

    Usijali mungu akutangulie mtoto hamekua mungu hatakusaidiaAnty yangu nimekupenda kwasabu unapambana Kama sisi usilie mungu hatamtunza mtoto umejitahidi jikaze usilie

  • @GetrudeRashid-be8bs
    @GetrudeRashid-be8bs 4 місяці тому

    Kiukwel huyu mama nimfano wakuogwa,,,nimejifunza mengi,, sinta kataa Tamara kwamwe,,Mungu Wa mbinguni akutunze

  • @hadijasharifu1463
    @hadijasharifu1463 Рік тому +2

    Jamani pole na hongera sana kwa kupambana na maisha

  • @BarnabasAbel
    @BarnabasAbel Рік тому

    Mama Yetu S, ongera Sana,unaupiga mwingi,Mama Naomba no yako ya simu,nahitaji kukuona mama yangu .Nimekuelewa Sana mpendwa wangu.

  • @nishamwenendi-vh4wk
    @nishamwenendi-vh4wk Рік тому +6

    Nampenda sana huyu mama ❤❤

  • @happyfaniabatromeo8010
    @happyfaniabatromeo8010 Рік тому +5

    Huyu Mama anahitaji msaada wa MUNGU akutane na watu sahihi wakumsaidia kwa AFYA na UCHUMI wake kuimalika zaidi pia anakitu kikubwa chakusaidia Mabinti na Wamama kwakuwapa Mafunzo 🙏🔥❤️💪

    • @annamussa185
      @annamussa185 Рік тому

      Haya makanisa ya Sasa akienda ndo watamfirisi watamla pesa mpaka ashangaye

  • @zamalisaide3209
    @zamalisaide3209 4 місяці тому

    MashaaAllah MashaaAllah honger san mama mpambanaji

  • @rukiamziwanda7458
    @rukiamziwanda7458 Рік тому +3

    Sinyaa hongera sana nyumba nzuri

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 Рік тому

    Nimekupenda sana Mama Sinyaa Respekt🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️🙌🙌🙏 ntakutembelea dukani kwako Anty mzuri l nimekumind mno

  • @SophieSpira
    @SophieSpira Рік тому +1

    Nimekupenda sana... Kutoka 🇰🇪 Kenya.