MBUNGE KHATIB AICHANACHANA BAKWATA, AULIZA MASWALI MATATU MAZITO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Maswali mazito aliyouliza Mbunge wa Konde, Khatib Said Haji alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya waziri mkuu kwa mwaka wa fedha 2018/2019, mjini Dodoma.

КОМЕНТАРІ • 203

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 3 роки тому +3

    Allah azidi kukurehem na kukuweka ktk daraja la waja wema katika pepo ya firdaus INSHA ALLAH.

  • @sudidoto9759
    @sudidoto9759 3 роки тому +2

    Rais niwenu kwassa Zanzibar itakuwa tuuh

  • @bilalikambo7202
    @bilalikambo7202 6 років тому +14

    big up Khatib, khasidi kweli mtu mbaya, wa2ache na dini yetu

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 3 роки тому +4

    Allah akulipe pepo maalimu wangu na alifanye kaburi lako kuwa ni viwanja miongoni mwa viwanja vya pepo

  • @mohamedishabani717
    @mohamedishabani717 6 років тому +13

    inatiya sana uchungu kwa kweli sioni faida ya muungano hapo.

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 6 років тому +5

    yan she Khatib unanifrahisha kweli si wanasema kama kuna muungano wa Tanzania Na Zanzibar kwa nn wasiwe pamoja ktk biashara ili tusaidiane wao hawaitaj tuendelee kbs lkn wapo wanatukandamiza.

  • @jumachilundajr4853
    @jumachilundajr4853 3 роки тому +4

    Kweli wema hawadumu innallillahi wainnallahi rajiuni

  • @Rastamuslim
    @Rastamuslim 3 роки тому +2

    Innal llai khatib allah akuepushe moto

  • @swaiseif2989
    @swaiseif2989 6 років тому +13

    Dah ameongea kwauchungu sana nchi yetu inapoelekea sasa nipabaya...

  • @abuubakalmtangenange4389
    @abuubakalmtangenange4389 3 роки тому +2

    Allah akulipe kheri kwa mcmamo wako wadhati kwa kuitetea dini yako na nchi yako ya Zanzibar kwa dhulma mnayofanyiwa

  • @joshuasamson4174
    @joshuasamson4174 6 років тому +12

    bakwata si ya waisilamu bakwata ni taasisi iliyoundwa na serekali bakwata ibaki Kama bakwata waisilamu wabaki na uisilamu mzuri

    • @hechechacha4032
      @hechechacha4032 6 років тому

      Joshua Samson sahihi

    • @destiny4life439
      @destiny4life439 6 років тому

      kak unaakili sana muislam wa kweli anaamin allahu na kufany yatakayomsaidia baada ya kufa suo bakwata

  • @harunakony2012
    @harunakony2012 3 роки тому +1

    Kwakweli maswali haya sijui Kama watakuwa namajibu mamb meng yaakiislam yanahusishwa sana naserekali serekali na wiislam inahusika vp yani

  • @istambuliahmedi8203
    @istambuliahmedi8203 3 роки тому +4

    اللهم ثبته بالقول الثابت في الحياة الدنيا وفي الآخرة

  • @jumakessy7560
    @jumakessy7560 6 років тому +6

    hilo swala la hija serikali imeona ni fursa ya biashara kwahiyo kuachia ni ngumu Na ndio maana wanatumia BAKWATA kama idara ya serikali

  • @khamisdaima1455
    @khamisdaima1455 6 років тому +11

    Mh, khatibu big up wape kweli hao ving'ang'anizi.

  • @dullatanga7811
    @dullatanga7811 6 років тому +5

    Yuko sahihi sana mh Khatib

    • @Hassan-vn6nn
      @Hassan-vn6nn 6 років тому

      They know what they are doing....they don't want to see Zanzibar and it's people exist...
      We are rising up and no will stop us...Time is due ...

  • @musamusahshafi1496
    @musamusahshafi1496 3 роки тому +1

    Nakuunga mkono sema baba sema maana bakwata wanajiona wao ndio viongoziwetu

  • @dinhomdullah2965
    @dinhomdullah2965 3 роки тому +3

    mashaallah wewe ndio mbuge wakwanza kuongea pwenty na kuongea ukweli

  • @hamisidd2805
    @hamisidd2805 6 років тому +3

    BAKWATA si chombo cha waislam kama wanabisha serikali ipigwe kura ya maoni kuhusu BAKWATA hii ilianzishwa na mkatoliki hakiwezi kuwa chombo cha kiislam

    • @sharkbinaally3381
      @sharkbinaally3381 5 років тому

      Mimi muungano siupendi hata kuusikiya ungekufa hasa uwo muungano

  • @juniordilema1097
    @juniordilema1097 5 років тому +4

    Hakuna haki nje ya qur-ani rudini ktk sheria ya Allah

  • @machinjashabani5331
    @machinjashabani5331 6 років тому +4

    Mm naona Bakwata ni chombo cha serikali, c chombo cha waislam

  • @othmanalnabhany3208
    @othmanalnabhany3208 3 роки тому +1

    Allahumma ghfirlahu warhamhu waskannahu filjannah ... Mola akupe pepo ya juu kabisa marhum kiongozi wetu maalim khatib umefanya jihadi wallahi hiyo ni miongoni mwa jihadi Umeitetea sana nchi yako na wananchi na umewatetea sana masheikh wetu na ndugu zetu wa uwamsho ni jihad hata kutetea au kuchukia uwovu,, Mola akulipe kheri huko uliko

  • @wardajoseph6909
    @wardajoseph6909 3 роки тому +2

    Chema hakidumu Tanzania nchi ya ajabu sana mtu akiwa mzuri na msema kweli anafariki

  • @kulthumhaji6928
    @kulthumhaji6928 3 роки тому +1

    Bora umeliona hili jambo ni kero.

  • @mtindikoja8837
    @mtindikoja8837 Рік тому

    Hajatokea Wala hatatokea mbunge zaidiyake

  • @eddysaid9611
    @eddysaid9611 3 роки тому +2

    Hakuna marefu yasiyo na ncha inshaallah allah atawateketeza wote wanayoifanyia ubaya nchi yetu ya zanzibar allah humma aamin

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 3 роки тому +2

    innaa lillah wainnaa ilaih rajiuun

  • @ashamwandu6572
    @ashamwandu6572 3 роки тому +2

    Nakupenda bule Mungu akupokee katika jaanat,fidaus

    • @ashamasoud122
      @ashamasoud122 3 роки тому

      Mungu akuhufadhi ulipo shujaa wetu

  • @chagulaniadams3965
    @chagulaniadams3965 6 років тому +23

    BAKWATA ni jukwaa kuu la waganga wa kienyeji Tanzania maana lipo kurudisha nyuma maendeleo ya waislamu.

  • @rashidsuleiman2663
    @rashidsuleiman2663 6 років тому +10

    tema cheche kaka
    majeneza tunashare maumivu ndugu zetu kibao wa jwtz wamekufa congo lkn biashara ambayo itainufaisha zanzibar inaekewa kikwazo alafu tunaambiwa znz hatuutaki muugano lohhhhhhh.

    • @victorygadiel5084
      @victorygadiel5084 6 років тому

      rashid suleiman Mh Khatibu hao ni waongo wafanyao magendo ni watu wao na kama wanabisha wamuulize mkuu wa mkoa Tanga au mkuu wa wilaya ya Pangani wanauza mafuta ya kula ni wanzanzibari ? toka wawatafunishe pweza wabichi kama siwatanzania kwakweli wanzanzibar wameacha shughuli zote ziusiazo bara wachilia mbali magendo , hivi nikwanini mnawaonea sana Wazanzibar hasa wewe mzee Aly Kessy mimi ningekua na uwezo nikutafuta ili unijibu maswali yangu ila pindi mwakani

    • @omalliddy212
      @omalliddy212 6 років тому

      rashid suleiman ...
      ....

  • @abdallahmsham-eb7jz
    @abdallahmsham-eb7jz Місяць тому

    alhamdulilah mungu atakulipa wema wako kamanda heshima kubwaa kwako mpambanaji safi sana duuuu

  • @mozamansour7912
    @mozamansour7912 6 років тому +6

    Asante sana umeongea point 👏👏

  • @kishingokishingo1840
    @kishingokishingo1840 3 роки тому +1

    Hii hutuba iliwauma Sana baadhi ya watanyika na ni ukweli mtupu tunamuomba Allah akupe nuru kubwa ktk kabri lako inshaalah

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 6 років тому +8

    Safi kabisa kamanda

  • @slemansaid7213
    @slemansaid7213 3 роки тому +1

    Mh.... kwel jmn

  • @SumaLTD
    @SumaLTD 6 років тому +3

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 keshokutwa utaskiya keshatekwa shauri zake langu jicho

    • @saidaliy1567
      @saidaliy1567 5 років тому

      Suma Spain hahahah wacha zako

    • @ismailabbas4197
      @ismailabbas4197 6 місяців тому

      Kishafariki tayari,, aisee wanaadam ni viumbe hatari sana

  • @anjunurdin2392
    @anjunurdin2392 3 роки тому +1

    Hongera khaatibu .umeongea kweli

  • @hamadmasoud3919
    @hamadmasoud3919 6 років тому +4

    Dah kiongozi umetisha........... Big up , five stars to u 👍

  • @maryamshuraim4163
    @maryamshuraim4163 3 роки тому

    huyu sijui km kifo chake....

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 5 років тому +1

    Tunahitaji wabunge wanaojielewa Kama huyu.

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 3 роки тому +1

    Allah alitie nuru kaburi lako na akusamehe makosa yako na akupe kauli thabit

  • @omarynassor6313
    @omarynassor6313 3 роки тому +1

    Inatiashaka

  • @istambuliahmedi8203
    @istambuliahmedi8203 3 роки тому +1

    اللهم اجعل قبره روضة من رياض الجنه

  • @rayanalhabsi8029
    @rayanalhabsi8029 6 років тому +1

    zanzibar amkemei madawa ya kulevya sisi kwetu bara tunapiga malufuku madawa ya kulevya

  • @machinjashabani5331
    @machinjashabani5331 3 роки тому +1

    ALLAH akuzidishie kila jema
    huko uliko

  • @nassirnassor8603
    @nassirnassor8603 3 роки тому +1

    Inna lillah wainna ilyh rajiuun Mungu akulaze mahala pema pepon amin

  • @amanichanzi1824
    @amanichanzi1824 3 роки тому +1

    Daah!! Aise mashaallah ni ukweli mtupu

  • @maryamshuraim4163
    @maryamshuraim4163 3 роки тому

    bakwata ni unafiki2

  • @arbaab9337
    @arbaab9337 6 років тому +1

    Muungano mukiuvunja basi tuachieni misambawanda tafadhali watanganyika...✍

  • @adamkatet274
    @adamkatet274 6 років тому +3

    Jamaaa ameongea point Sana

  • @MasudiAli-o8q
    @MasudiAli-o8q 4 місяці тому

    Swali lako ni zuri sana

  • @hadijamagufuli2661
    @hadijamagufuli2661 3 роки тому +1

    Doh nasikia naye kaondoka 😭😭

  • @mako331
    @mako331 6 років тому +1

    Sasa nyie waislam siasa zenu za ndani zimalizeni huko. Mtuletee chombo ambacho tutakitambua

  • @AdijaSelemani
    @AdijaSelemani Місяць тому

    Allah akurehem

  • @zahorsalum663
    @zahorsalum663 3 роки тому +1

    Allah akupe kauli dhabiti.

  • @allypharahani2168
    @allypharahani2168 3 роки тому +1

    Innalillah wainnailayhi raajiun

  • @abdallahhemed3527
    @abdallahhemed3527 6 років тому +3

    Mungu atakulipa kwa kusema hakhi .uko sawa kabisa

    • @jaafarwibonela7402
      @jaafarwibonela7402 3 роки тому

      Ndugu yetu leo 20/05/2021 ametangulia mbele ya haki. Mungu ampe makazi mema peponi aammyn

  • @bakarhamad4751
    @bakarhamad4751 3 роки тому

    Mwenyezi mungu akurehemu na akupe mwangaza kwenye kaburi lako

  • @rajabngai5150
    @rajabngai5150 3 роки тому +1

    ALLAH AKUHIFADH NA AKUSAMEHE MADHAMBI YAKO PIA AKUPE KAULU THAABITI

  • @tumahamza8972
    @tumahamza8972 6 років тому +2

    Kwakweli swala la muungano kizungumkuti. Sijui kwann wanabanwa wa zenj.

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 5 років тому +1

    Ameongea Mambo muhimu yamsingi.

  • @mengicacoconut8144
    @mengicacoconut8144 6 років тому +5

    Uko sahihii@khatibu

  • @AdijaSelemani
    @AdijaSelemani Місяць тому

    Mashaalah

  • @ibrahimisack1765
    @ibrahimisack1765 6 років тому +1

    M.mungu akusimamie ppte ulipo , na km mtu hana comment bora akae kimya maana ana commentless

  • @khadijahilal3016
    @khadijahilal3016 3 роки тому +1

    Mashallah allah akulinde muheshimiwa

  • @madiyaahmad2749
    @madiyaahmad2749 6 років тому +1

    In sha Allah Mungu atawalaani hao laanatullahi inauma kwelu watakufa vinywa wazi wametuganda tu Mungu atawafarikisha wafe huku wakinya hasbiyallahu waniimalwakil Mungu awalani laaana hao

  • @oscarjohn5039
    @oscarjohn5039 6 років тому +4

    nice point

  • @elenestjackson129
    @elenestjackson129 6 років тому +1

    Mashehe wrote wabakwat ninawanafiki wote

  • @mohdabdi4157
    @mohdabdi4157 5 років тому +1

    mh ALLAH akuzidishie uzidi kutetea haki na akufanyie wepesi

  • @chachamadini9372
    @chachamadini9372 6 років тому +3

    Duh huyu mmbunge kaongea pwent sana yaani sina neno hapo umemaliza,waruhusu bidhaa ziingie huku tununue maflat kwa bei poa banaaaaaa

  • @mumybhay4984
    @mumybhay4984 5 років тому +1

    kweli kabisa

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 3 роки тому

    اللهم غفرله ورحمه واكرم منزله ووسع مدخله وغسله بالماء وثلج والبرد.....nililia nilipo sikia amefariki maana ok ilikuwa taarifa ngumu mno kwangu na kwa familia yangu na tulimfaham kupitia clip yake ya ramadhani ya 2021 akizungumza kuhusu hukumu ya masheikh

  • @achiliadinan430
    @achiliadinan430 3 роки тому

    Mheshimiwa Khatibu kwa hili nakunga mkono kwa nn mtu wa bara akiwa Zanzibar hata kununua Tv kuja nayo bara ni isue sukari hata kg moja ni shida kwa hili lazima liwekwe sawa tuwe huru kununua chochote ndani ya muunganano hiyo ndo utakua muungano wa kweli

  • @kaishaame7948
    @kaishaame7948 3 роки тому

    Xyi

  • @narlonabuu4665
    @narlonabuu4665 6 років тому +4

    Sisi waislam a2itaki bakwata lkn serikal inaing'ang'ania bakwata 2 kwann?

  • @hijasaid7814
    @hijasaid7814 3 роки тому

    Kwani huyu mbunge haijui Bakwata ni CCM?

  • @pemdumi
    @pemdumi 5 років тому

    Anasema Nchi haina dini anapozungumzia BAKWATA,sekunde moja mbele anakwenda kuzungumzia OIC ambayo ni taaisisi ya dini per se.Taasisi ya kidini,ina objectives zake,ukijiunga unajiunga jumla sio nusu nusu!

  • @ibrahimmagambi61
    @ibrahimmagambi61 6 років тому +1

    mm binafsi siijui bakwata

  • @dizodi_vituko
    @dizodi_vituko 6 років тому +2

    Kweli umeongea ukweli

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 6 років тому +1

    Hongera muheshimiwa
    Allah akusimamie

  • @masoudsaid5488
    @masoudsaid5488 3 роки тому

    Innalillahi wainnailaihi rajiun .. kesha ifanya kazi keshaondoka Allah kaiyona kazi yake..

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 3 роки тому +2

    Allah atakulipa kwayalemema ulioyafanya napia kuombea Allah akusemehe kwayaleuliokosea Akuhifafadhi maharapema peponi amen🙏

  • @husenially8649
    @husenially8649 6 років тому +1

    umesema kweri mh

  • @nainasmash6966
    @nainasmash6966 6 років тому +1

    mh hongera sana wallah umenifurahisha sana

  • @kibelaame5178
    @kibelaame5178 6 років тому +1

    Hongera sana allah atakulipa

  • @narlonabuu4665
    @narlonabuu4665 6 років тому

    Alafu cha kushangaza bakwata waislam weng hawaitak kwann nyinyi bakwata mnang'ang'ania hamuon hyo ni zhulma?

  • @AliHussein-lk2gw
    @AliHussein-lk2gw 3 роки тому +1

    R.I..P. 😭

  • @aboudmsonde2890
    @aboudmsonde2890 6 років тому +1

    Mh umeuliza swali zuri kuhusu bakwata oac big up

  • @mangulymanguly139
    @mangulymanguly139 5 років тому

    Wote waislam tulio wengi tunawajua mashekhe wa bakwata walivyo

  • @salehlofy4251
    @salehlofy4251 6 років тому

    Udugu mwisho tunawapenda wao lakn wao hawatupendi muungano hatuutaki

  • @madiyaahmad2749
    @madiyaahmad2749 6 років тому

    Tatizo kuwa choyo kimewatawala na dhulma lkn iko siku yote yatakwisha hayo generation itakayokuja itakuwa si ya mapunguwani au mahasidi au mibichwa vifuu wasomi ndio watakaokuwa wengi ln sha Allah mambo yatabadilika

  • @pettermasika9120
    @pettermasika9120 6 років тому

    shida Udini wewe haujuii Wewe daima unaonekana haupendi Muungano, ila Leo umeubariki bila kujuwa, Tanzania moja Milele Hakuna tena cha Zanzibar wala Tanganyika sote Nchi moja Tanzania,

    • @gavanaimrani6777
      @gavanaimrani6777 3 роки тому

      BABA MUNA HASAD NA ROHO MBAYA HAMTUTAKIII MEMA NYIE MBONA NYIE WAKOROFI SANA NYIE MNAROHO MBAYA SIJAPATA KUONA SISI WAZANZIBARI HATUONI FAIDA YA MUUNGANO

  • @likandapahasani3139
    @likandapahasani3139 6 років тому +1

    Ukweli kabisa mheshimiwa

  • @princenyakurungwi6925
    @princenyakurungwi6925 5 років тому

    Hawa ndo wabunge tunao wataka cyo hao kina masauni wapo kwa maslahi ya kumtetea mtawala tu

  • @twilindeissa4505
    @twilindeissa4505 5 років тому

    Bakwata vibaraka waserekali ni mashehe wanafiki wapendaela

  • @akramsayjr591
    @akramsayjr591 6 років тому

    Hi nchi ni Shida.....na Wananchi ndio bado hawajitambui...maendeleo tutayaonaga kwenye T.v. tu...

  • @abuathumani1955
    @abuathumani1955 6 років тому +2

    Umeongeakweli KuhusuBakwata

    • @adnanshaban2660
      @adnanshaban2660 6 років тому

      Abu Athumani
      Hapo kwenye swala la bakwata kweli waeleze hasa wanacho king'ang'ania ni nini?

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 6 років тому +6

    Asante Mh umeongea ukweli.

  • @jumaothman9164
    @jumaothman9164 5 років тому

    Wmbie hao washez huu mungano haun faida yyte

  • @MSKTVOnline
    @MSKTVOnline 6 років тому

    kwa kupata vidie mbalimbali zinazohusiana na dini tafadhali tembelea haqqi tv