TAZAMA VITUKO VYA BWEGE KATIKA MKUTANO WA ACT-WAZALENDO KILWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

КОМЕНТАРІ • 162

  • @poulvictorkwayu505
    @poulvictorkwayu505 4 роки тому +7

    Mbunge wangu wa ukweli 😂😂😂bwege kwa vituko..na akili kichwani zimo..za kutosha... Hhaha kama unamkubal bwege gonga like..

  • @mligogodfrey8882
    @mligogodfrey8882 4 роки тому +14

    Ulisikia wap?!! Watu wa kilwa nawaomba musimuache bwege ni mpambanaji

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 4 роки тому +11

    Sichagui, sibagui atakayenizika simjui dadeki bwege wewe 😬😬😬😬😬😬😬😬🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @kamugishajackson5501
    @kamugishajackson5501 4 роки тому +10

    Hahaha kwa bwege at a ningekua jmbon kwako apo nngekupigia kura sababu tu we nikiungo mzuri Bingen unafraish ila kwa urais magu kama kawida

    • @zach4068-c9e
      @zach4068-c9e 4 роки тому

      😂😂😂 chukua like yangu t bure

  • @kenchege88
    @kenchege88 4 роки тому +12

    Akujee Kenya tumpe ugavana

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 4 роки тому +33

    Ukisikia jina bwege usijue bwege kweli😂😂liko serious lijamaa matendo na jina lake tofauti

  • @mashakamalimi7363
    @mashakamalimi7363 4 роки тому +26

    Mm Naomba Huyu jamaa arud Bungeni Napenda vitu vyake

  • @shansancho698
    @shansancho698 4 роки тому +11

    WE ULISIKIA WAPI?!...ETI MHESHIMIWA BWEGE..WE ULISIKIA WAPI?!😂🤣🤣🤣

  • @abrahamm.mcharo3097
    @abrahamm.mcharo3097 4 роки тому

    Bwege Wewe ni kiboko yao,hata Ndugai anakufahamu. Mwakilishi imara haogopi. Ungegombea ------ kura yangu -----.

  • @simondogtrainer7498
    @simondogtrainer7498 4 роки тому +27

    ''We ukiskia wap'' amekuwa maarufu huku Kenya

  • @reginagitahi7563
    @reginagitahi7563 4 роки тому +11

    Tunamkaribisha Kenya sawa sawa!!!😂

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 4 роки тому

    KITU NNACHOPENDA WAKENYA WENGI SANA WANAPENDA KUFUATILIA MAMBO YA TANZANIA,ILA WATZ HATUNA MDA NA MAMBO YA KENYA.HII INAONYESHA KUWA WAKENYA WENGI SANA WAPO INTERESTED SANA NA TZ KULIKO NCHI YAO,PIA WANAJUA KABSA WAKIFUATILIA YA TZ WANAJIFUNZA MENG SANA KULIKO WAKIFUATILIA YAO.
    Pia wakenya wengi ni washamba sana wanachotuzidi sisi ni kingereza tu ambacho ni lugha kama lugha zingne.Karibuni wakenya Mjifunze Tanzania🤗

  • @majaliwamsigwa3974
    @majaliwamsigwa3974 4 роки тому +7

    Mi mwenyewe nakukubali,labda wawaibie kura,kihalali ushapita wanaNchi wamekukubali

  • @WSC335
    @WSC335 4 роки тому

    Napenda Bwege sana ni comedian mzuri sana pia kiongozi mzuri
    ua-cam.com/video/Ud9Fe0W-cj8/v-deo.html

  • @mokermoxh6313
    @mokermoxh6313 4 роки тому +8

    Bwege kam bwege...mchampakaZ...cChagui cbagui atakae nizka cmjui...

  • @japhetkavishe2347
    @japhetkavishe2347 4 роки тому +13

    Hahaaa tano tena kwa bwegeeeee

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 4 роки тому +1

    💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪🌎🇹🇿 A CT SHUJAA ALIEFUKUZWA ANAKUJA KUWAONDOSHA MADIKTETA WA CCM AU MCC NA UNYANI WAO WASIKUILE ILE ILE WALIOUONDOWA WAGOMBOZI WETU WAZANZIBARI TANZANIA MPYA YA SHUJAA MEMBE A C T WAZALENDO HII HAPA 💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿💪❤️🌎🇹🇿

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 4 роки тому +7

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂nampenda huyu

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 роки тому +2

    Ase uyu yuko poa Sanah mpeni tena mitano

  • @innocentbugomola549
    @innocentbugomola549 4 роки тому +2

    Mmh Rudi Kweny uchekeshaji unaweza

  • @hojamathias9989
    @hojamathias9989 4 роки тому +7

    We ulisikia wapi ? Mchagueni bwege

  • @christianluvanga8148
    @christianluvanga8148 4 роки тому

    Kumbe ni chizi hili atakae msifia huyu kua ni kiongoz bora bac uyo ayawan

  • @nelsonkisiaswaras9714
    @nelsonkisiaswaras9714 4 роки тому

    Watanzania msipompa huyu jamaa Kura basi mtupe huku Kenya tutampea kura.

  • @barakalukosi2251
    @barakalukosi2251 4 роки тому

    Huyu jamani ccm wenzangu arudi bungeni hana roho mbaya huyu babu anaakili sana

  • @mpondamedia2416
    @mpondamedia2416 4 роки тому

    safi nakukubali baba la baba

  • @drg9710
    @drg9710 4 роки тому

    Bwege karibu kenya jamani...uko na umaarufu huku

  • @rashidyhassan4679
    @rashidyhassan4679 4 роки тому +5

    Namkubali bwege ni kiungo bungeni

  • @patrickmuchiri4080
    @patrickmuchiri4080 4 роки тому

    Watu wa Kilwa kusini saa nne asubuhi Bwege awe amepita

  • @mwitajackson1157
    @mwitajackson1157 4 роки тому

    Naomba alud bungen komedy kwel

  • @jumamohamed3168
    @jumamohamed3168 4 роки тому +3

    Bwege arudi tena anafurahisha na anasema ukweli kabisa akiwa mjengoni.

  • @abdulmwangu1298
    @abdulmwangu1298 4 роки тому +1

    Huyu mzeee noma San haogopi kitu huyu

  • @saidkilwa8765
    @saidkilwa8765 4 роки тому +4

    Bwegeee mbungee wakudum kilwa kusini

  • @charitywanjiru4520
    @charitywanjiru4520 4 роки тому

    Karibu kenya uli sikiya wapi

  • @mansourmkanakuta6641
    @mansourmkanakuta6641 4 роки тому

    Jina lake na mambo yake hayafanani ni soja

  • @amosmoses7800
    @amosmoses7800 4 роки тому +2

    Ŕ
    Kwako Mh.Magufuli
    Mheshimiwa mimi kula yangu utaipata iwapo tu utajibu masuali yangu haya -
    Kwavile wewe ni msema kweli. Na unadai unamuogopa Mungu : ___
    1. Uliahidi milioni 50 kila kijiji. Je! Ututajie kijiji Angalau kiMoja ulizowapelekea.
    2. Utuambie hizo ndege. Ni nani alieizinisha ununuzi? Na zimenunuliwa kwa Kiasi gani. Na hadi muda huu zimeingiza faida Kiasi gani.
    Utuambie sababu za kuzuiliwa ndege zetu mala kwa Mala zikienda nje. Mbona zinaMADENI $ 133 milioni ?
    Utuambie wanaozipanda hizo ndege ni akina nani?
    3. Utuambie Uwanja wa Chato wa kiMataifa ulijengwa kwa Kiasi gani. Nani alieizinisha . Na hela ya ujenzi imetoka wapi? Na kwanini Uwanja huo ujengwa kijijini CHATO ?
    4. Utuambie zile Trilioni 1.5 mfuko wa hazina ya selikali zimepotea wapi? Au zimetumika vipi ?
    Na kwanini Ukamtumbua CAG Mzee Musa Asadi?
    5. Mh.Laisi Utuambie kwanini vyombo vyako vya Dola vimeshindwa kuwatambua Na kuwakamata " KIKUNDI CHA WATU WASIOJULIKANA " .?
    kilichokuwa kinawanyonga Laia zako. Wengine kutekwa. Wengine kupigwa lisasi.
    Kama bado kipo inchini . Unawakikishiaje laia zako usalama wao?
    Ili Mo Dewji aondokwe Na hofu.
    6. Utuambie wale " mafisadi wawili wa ccm " walioekeza nje ya inchi. Uliwachukulia hatua gani? Mbona hatukukuona ukifatilia miHela yao iyo kwenye Account za nje ya inchi?
    7. Mh. Laisi unapoongelea COLONA. Kila kwenye kampeni zako. ivi ni Wapinzani ndio walioileta ? Na Je ! Imeondoka kwa Nguvu za mungu wa Chato au Mungu Mkuu wa mbinguni baada ya maombi yaliofanywa kanisani Na misikitini?
    8.Mh Laisi ulidai uchaguzi huu utakuwa wa haki Na hulu. Mbona tayali tunaona wagombea wengi tu wa ccm Na wale wa upinzani wakienguliwa ?
    9. Mh.Laisi uliahidi Utajenga mashule na MaHospitali hadi wilayani. Ni hospitali ipi iliojengwa hadi muda huu?
    10. Mh.Laisi ulisema inchi yetu ni tajili sana. Mbona laia wako wanaishi maisha duni. Hela haionekani. ?
    Tunaowaona wakifaidika ni vigogo vya ccm / vigogo vya selikali na watu wa usalama taifa. Wanaozi kujenga majumba ya kifahali kila sehemu Bila ya wasiwasi.
    11. Kwanini unawatumia wasanii kwenye kampeni zako zote.?
    Utuambie hiyo mikataba uliofanya na wasanii. .wanalipwa na hela za nani?
    KULA YANGU MHESHIMIWA NI KWAKO. UKINIJIBU VISUALI VYANGU IVO.
    BWANA YESU ASIFIWE !
    CCM OYEEE !!

    • @chiefmahucha6847
      @chiefmahucha6847 4 роки тому

      Habari yako mkuu...
      Me Naomba nikusahihishe mambo machache tu;
      (1) ukitaka kumtumia mtu SMS hakikisha "message sent & delivered"
      Namaanisha kuwa, uliemkusudia akujibu hoja zako hawezi kuziona..! Kwanza umetumia uwanja wa ACT WAZALENDO na sio CCM. Pili; ukiwa na maswali yako, ni vema ukawasubiri wagombea katika maeneo wanakokuja kuomba kura then utawauliza na utajibiwa pia vizuri sana. Kuliko ambavyo ume-comment kwenye mkutano Wa Act-wazalendo , labda tu kama ulitaka tujue na wew pia una hoja za kuwauliza wagombea.
      (2)Naomba nikusaidie kujua baadhi ya hoja zako No. 6, 7, 8 na 11, nikianza na ya (11) " pesa wanazolipwa wasanii/ au mtu yeyote yule ili mradi ni gharama za kampeni na uchaguz au hata kama sio kampeni ili mradi tu ni shughuri za chama, hulipwa na chama husika. Maana nimegundua kuwa usichokijua ni kwamba, kila chama cha siasa, hupewa RUZUKU na Serikali kila Mwezi. Ila sas chama chenye Wabunge wengi ndicho hupokea RUZUKU nyingi kuliko chenye Wabunge wachache au kisichokuwa na Wabunge kabisa. Mfano CHAUMA, kisichokuwa na mbunge Kinapata kiasi kidgo sana ukilinganisha na ACT WAZALENDO chenye mbunge mmoja. Sasa hizo RUZUKU ndo kila chama kinatumia katika kampeni zake ukilinganisha na budge.
      (6) Kuhusu Mafisadi:
      Kwanza nimegundua hujui kuwa kuna baadhi ya nchi ukiwa na fedha zako huko hakuna mtu yeyote mwenye mamlaka ya kuzijua mbali na kuzichukua. Zinaitwa Tax Haven countries mfano Panama, Bermuda n.k. Sheria za nchi zao haziruhusu MTU kupekuliwa ama kuchunguzwa kwa namna yeyote ile Accounts zake, na inasemekana ndiko walikoficha akina Membe, Chenge akina TB Joshua wa Nigeria n.k Sasa hapo Magufuli atafanya nini kuzirudisha au kuwakamata hao Mafisadi wakati hawezi pata ushahidi Wa kutosha ama ushirikiano wowte kutoka katka nchi walikozificha..!!? Au unataka kumuonea tu Baba wa watu..!!.?
      (7) kuhusu Corona;-
      Magufuli kampeni zake lazima zitajikita kwenye mambo aliyoyatekeleza akilinganisha na Ilani ya chama Chake (2015) ilivokuwa inamuelekeza sambamba na kuinadi Ilani mpya (2020) ikiwemo na mambo yaliyojitokeza kama yapo. Mfano kama Ilitokea VITA Kazima aseme amepambanaje na je, alishinda ama alishindwa? Magonjwa ya mlipuko kam COVID 19 lazima aseme kwa wapiga kura kapambanaje..!? Issue ya corona haikwepeki kuzungumzia...! Hasa kwa jinsi wapinzani walivokuwa wameichukulia hata kufikia hatua ya kususia Kuingia Bungeni eti wanaogopa corona wakati huohuo wakisaini POSHO na kusepa zao huku wananchi wao wanakosa wawakilishi
      Ila sasa WAPINZANI ndo wanapiga kampeni zao kwa kumponda na kumkejeli Magufuli maana hawana hoja za msingi za kuwaeleza wananchi walichokifanya.
      (8) Kuhusu uchaguzi kuwa huru na kuenguliwa kwa wagombea. Wagombea wa CCM walioenguliwa Ni kwa mujibu Wa taratibu zao na techniques za kiuteuzi, hilo huwezi waingilia kwa 7bu ni ndani ya chama. Na wapinzani pia wameenguana wenyewe kwa mujibu wa taratibu zao, sasa hilo swali wawezaje kumuuliza Mh.Rais?
      Suala la uchaguzi kuwa Huru & Haki tunalisubiri tarehe 28 kwenye kupiga kura, kuzikusanya, kuzihesabu na kutangaza matokeo , sasa waulizaje hoja ambayo hata muda wake haujafika ndugu..!!??
      (9) hivi ni kweli hujaona Hata hospital moja ikifunguliwa??? Ama shule ??. Ama wataka ligi tu ndugu yangu...!!? Kwa takwimu za harakaharka; zahanati ,vituo vya na hospital za Rufaa jumla ni zaid ya 1600 kwa nchi nzima...(naona wewe una lako jambo..!)
      Hapo Me nimemaliza..! Ila bado nakuja na comment ya Pili maalumu kwa ajili tu ya kukurekebisha lugha...maana naona unatuharibia lugha yetu adhimu ya kiswahili.

    • @chiefmahucha6847
      @chiefmahucha6847 4 роки тому

      Yafuatayo Ni makosa yaliyojitokeza katika uandishi wako
      Kwa ufupi hujui kiswahili, bora uandike lugha nyingine uiwezayo ila si kiswahili.
      Tizama upande "A" ni makosa yako na "B" ndo usahihi wake,
      "A". " B"
      Kula. = Kura
      Masuali. = Maswali
      Alieizinisha =Alieidhinisha
      Mala kwa mala =Mara kwa mara
      Selikali = Serikali
      Laia = Raia
      Laia zako= Raia wako
      Lisasi = Risasi
      Unawakikishaje = una wahakikishiaje
      Walioekeza = waliowekeza
      Ukifatilia. = Ukifuatilia
      iyo = Hiyo
      inchi = Nchi
      Laisi. = Rais
      ivi. = Hivi
      Hulu. = Huru
      Tayali = Tayari
      Mashule = Shule
      Mahospital = Hospital
      Tajili. = Tajiri
      Vigogo vya =
      Vigogo Wa.
      Kifahali. = Kifahari
      Utuambie. = Utwambie.!
      Kila la kheri katika kujifunza vema lugha yetu adhimu ya kiswahili......!

    • @mwinyiabdallah1817
      @mwinyiabdallah1817 4 роки тому

      @@chiefmahucha6847 Hahaha kwa kweli umenifurahisha sana kuna watu wana macho lakini hawaoni wana Masikio lakini Hawasikii sasa sijui tuwaiteje watu hao

    • @butondodavid2105
      @butondodavid2105 4 роки тому

      @@chiefmahucha6847 upo vizur kaka utakuwa mchambuzi naona fact zakutosha na evidence asipokuelewa hatoelewa tena

  • @annmutindi7633
    @annmutindi7633 4 роки тому

    Oooliskia wapi?😂😂😂

  • @tsumiduwe1406
    @tsumiduwe1406 4 роки тому +3

    HUYU JAMAA NI MOTOOOOOO DAHHHHHHH
    NJO KWA MKUTANO WA CDM HATA MARA MOJA MAANA UNAJUAAAAAA

  • @ngwanashija2667
    @ngwanashija2667 4 роки тому +5

    Huo nmkutano wa mgombea urais au kikao cha msiba

  • @wilsonkimaro6375
    @wilsonkimaro6375 4 роки тому +2

    Bwege kweli wewe ni mashine mingine mitano kwa bwege

  • @joymsupagladysijeya8384
    @joymsupagladysijeya8384 4 роки тому

    Niko apa kucheka na kufurai🇰🇪🇰🇪😍😍😍😍😍👌👌👌👌Bwenge comedy unayo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @xinyingmiao4996
    @xinyingmiao4996 4 роки тому

    bwege wapi unapiga gym

  • @yothamkimito6381
    @yothamkimito6381 4 роки тому +1

    Nakufatiliaga Sana ww sio bwege Bali wew ni Super

  • @johnanyango9204
    @johnanyango9204 4 роки тому

    Ooolisikia wapi????

  • @mansourmkanakuta6641
    @mansourmkanakuta6641 4 роки тому

    Uyu bwege noma

  • @saimonelias3187
    @saimonelias3187 3 роки тому

    Anazingua huyo

  • @pascalmakondo2290
    @pascalmakondo2290 3 роки тому

    Huyu bwege kweli

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 4 роки тому +2

    Hata kichaa akianzisha kanisa hakosi wafuasi🧐🧐🧐🧐🧐🤨🤨🤨

    • @abdulkidebe7982
      @abdulkidebe7982 4 роки тому

      Kweli kabisa wapiga kura wengi hawajui wanampigia kura kiongozi ili iweje na awaletee nini kwenye jamii inayowazunguka bali wanamchagua mtu kwa mapenzi yao tu au maneno yake tu si utendaji. Sasa huyu bwege toka awe mbunge kawafanyia nini Wananchi wake?

  • @benardgati5292
    @benardgati5292 4 роки тому

    Kuja 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 tukupe ugovernor wa Nairobi mweshimiwa...CCM Walisikia wapi hautakua mmbunge??

  • @kanjanjamwimikes9228
    @kanjanjamwimikes9228 4 роки тому +3

    Ushapita kamanda

  • @benjambesseltdltdt.v.shiny9457
    @benjambesseltdltdt.v.shiny9457 4 роки тому +1

    Halud ten bwege

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 4 роки тому +1

    Salam zangu kutoka USA marekani nduguzagu wa African sasa basi nduguzagu

  • @omarjumanne6744
    @omarjumanne6744 4 роки тому +4

    Bwege kiboko

  • @samxongwambiye4217
    @samxongwambiye4217 4 роки тому +1

    Aaaahuyuu jamaa napenda vitu vyakeeee💪

  • @juniormwendwa2974
    @juniormwendwa2974 4 роки тому

    Karibu Kenya Mheshimiwa 🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @irakizanelson3350
    @irakizanelson3350 4 роки тому

    Huyo anakisukari mjue asiwapeshida ya kumkimbiza hospital

  • @esaumakele7476
    @esaumakele7476 4 роки тому +1

    Haa haaaa, anafurahisha

  • @festochimulimuli8229
    @festochimulimuli8229 4 роки тому

    Viwango Vya Ubora wa siasa Duniani Ime Baini kuwa Bwenge nimbunge Mwenye Akilikubwasa Tanzania lipoti ya BBC Tazama Mbaka Mwisho
    ua-cam.com/video/VV7P56bjYHM/v-deo.html

  • @ramadhanijuma4204
    @ramadhanijuma4204 4 роки тому +3

    Hahahahahaha kupatwa kwa mbunge.

  • @samuelmatheri4394
    @samuelmatheri4394 4 роки тому

    Apa kwetu Nairobi Kenya ,utasikia adi watoi wakiuliza oolisikia wapy ..🤣🤣🤣

  • @yudatadeshayo4434
    @yudatadeshayo4434 4 роки тому +2

    Bwege hatari sana

  • @bishoptvalbert4112
    @bishoptvalbert4112 4 роки тому +2

    umepita

  • @corneliobaynit4277
    @corneliobaynit4277 4 роки тому +2

    Yuko vizuri

  • @Johnmasanja27
    @Johnmasanja27 4 роки тому +2

    😂😂🤣🤣🤣 weee ulisikia wapi😂😂😂

  • @francisodhis5643
    @francisodhis5643 3 роки тому

    Kenya we love you

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 4 роки тому

    Huyu jamaa anatumia saikolijia ya hali ya juu kuwawini wananchi.. Duuh

  • @swaumumohammed5710
    @swaumumohammed5710 4 роки тому +1

    Kurayngu chukua 😂😂

  • @kingcobra9238
    @kingcobra9238 4 роки тому

    Heshima kwako mbunge wa nyumbani umepita hauna mpinzani

  • @collinsobonyo6560
    @collinsobonyo6560 4 роки тому

    Mulisikia wapi.....

  • @theprayingcitizen7441
    @theprayingcitizen7441 4 роки тому

    Bwege for kiambu governor hoiyee

  • @marrybonephacy5245
    @marrybonephacy5245 3 роки тому

    2takupaa

  • @peterkibuga401
    @peterkibuga401 4 роки тому

    bwege kweli ww

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 роки тому +1

    4000 Sasa kura za diwani au

  • @patrickmkoma6960
    @patrickmkoma6960 4 роки тому +1

    Mnaweweseka

  • @hassanbinally7127
    @hassanbinally7127 4 роки тому

    Namkubali sana huyu bwege

  • @kipokendirangu2572
    @kipokendirangu2572 4 роки тому

    Chama cha vibabu dunia inaenda mbele vibabu vinataka kurudisha nyuma

  • @mulhatyyakub7144
    @mulhatyyakub7144 4 роки тому +2

    Kbko yahooooooo

  • @samuelndosi9577
    @samuelndosi9577 4 роки тому

    Hawa wanchi wako kama mgombea wao, hakuna kitu hapo.

  • @husseinshaban7181
    @husseinshaban7181 4 роки тому

    Kenya inakutamani 😂🤣🤣🤣🤣

  • @saidbinbakar9725
    @saidbinbakar9725 4 роки тому

    baba hilo jimbo n lako hakuna cha ccm wala nani hapo.

  • @emmanuelshashi9805
    @emmanuelshashi9805 4 роки тому

    Bwege ni mtu aisee huyu ukimuachia mke wako anapita nae

  • @shaibumandova6108
    @shaibumandova6108 4 роки тому

    Hii inaitwa kampeni shirikishi.

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 4 роки тому

    Jaman elim,elim, muhim sana hv hizo kauli anazosema anaweza kuzinadi kwenye mikoa kama kagera,Kilimanjaro na mwanza au kwenye vyuo ambapo watu wanaangalia Sera

    • @jofreymartin5801
      @jofreymartin5801 4 роки тому

      mmmh hiyo mikoa wengi pia mbna hawaeleki si bora ata huyo anasera japo ni comedy 🙄🙄

  • @ramadhanrajabu4194
    @ramadhanrajabu4194 4 роки тому +4

    Nakukubari
    sana

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 4 роки тому +1

    Kama umeskia Nchagueni! Like!

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 4 роки тому

      Hiyo ni moja ya lahaja za Kiswahili, wasikilize pia wanavyotamka baadhi ya watu wa mwambao wa Kenya, na Kusini mwa Tanzania na hata baadhi maeneo yake mengine ya mwambao kama maeneo ya visiwa vya Unguja na Pemba, Mafia na hata baadhi ya sehemu za Tanga wapo watu wanatamka hivyo.

  • @meddymushimaz4998
    @meddymushimaz4998 4 роки тому +3

    Mbuge asiekuwa na woga, sisi woga hautusaidii, shida yetu ni mbunge mwenye kuleta mabadiliko ya MAENDELEO nasio maneno

    • @globalcitizentv7467
      @globalcitizentv7467 4 роки тому +1

      Maendeleo yanaletwaje kama mbunge wenu ni muoga kuuliza mambo ya msingi? Ujasiri ndio la kwanza mambo mengine yafuatie

  • @khamismussa9294
    @khamismussa9294 4 роки тому +3

    Mzee wewe unafaa sana 5

    • @khamismussa9294
      @khamismussa9294 4 роки тому +1

      Hana woga kama wabunge wetu wa pemba

    • @khamismussa9294
      @khamismussa9294 4 роки тому

      Wabunge wetu pemba utzani hawakukujua lilipo jengo la bunge hatuwaoni kabisa

  • @irenekaondo925
    @irenekaondo925 4 роки тому

    ningekua uko ningekupaaaa😅😅😅

  • @hassanbinally7127
    @hassanbinally7127 4 роки тому

    Dah mi napenda nicheke tu na huyu jamaa

  • @jarsaduba2626
    @jarsaduba2626 4 роки тому +3

    We ulisia wapi???! Mangufuli hoyee

  • @allyngogomi6088
    @allyngogomi6088 4 роки тому

    Hili kweli bwege na bwabwa

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 4 роки тому +1

    We ulisikia wap

  • @kapondamsita476
    @kapondamsita476 4 роки тому +1

    Bwege safi

  • @halifasaid8718
    @halifasaid8718 4 роки тому

    Mzee wa ulieikia wapi?mp comedian

  • @samsontabu4524
    @samsontabu4524 4 роки тому +1

    So they are electing a comedian. He talks too much

    • @chizerobungubuliho1489
      @chizerobungubuliho1489 4 роки тому

      He is not a comedian! He has his natural way of presenting facts! He comes from the costal areas Mswahili in Tanzania! Don't be confused!

  • @suleimanmohammed5337
    @suleimanmohammed5337 4 роки тому

    In shaa Allah bungeni Tena babayo tunakuwlewa sana

  • @ashabaracka4053
    @ashabaracka4053 4 роки тому

    Safi sana

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 4 роки тому

    Hili bwege kweli hata sela hakuna

  • @kosmasymahenge1322
    @kosmasymahenge1322 4 роки тому

    Mbona wanaosema hapo kama wanafunzi hivi

  • @azizisalimu8119
    @azizisalimu8119 4 роки тому +1

    Bwege muelew

  • @emmydzoo8729
    @emmydzoo8729 4 роки тому +2

    🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂