TANROADS YAKAMILISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MABASI YAENDAYO HARAKA AWAMU YA PILI (BRT II)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 88

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 Місяць тому +2

    safi sana Tanroads....itaongeza mapato na mapato yataboresha mifumo

  • @noelngowitechnicalsolution
    @noelngowitechnicalsolution Місяць тому +1

    Kazi nzuri

  • @AbdallahMatola-c3y
    @AbdallahMatola-c3y Місяць тому +3

    SAFII SANA MKUU SAMIA OYEEEEE

  • @mosesjacksonkarashani2642
    @mosesjacksonkarashani2642 Місяць тому +20

    Wasimamizi wa hii miradi tunaomba barabara za njia nyingine ziwe tatu na siyo mbili. Experience ya Kimara imeonesha kuwa mbili hazitoshi, mtakuja kutuingiza kwenye gharama nyingine za upanuzi wakati hatujamaliza deni! Vituo vya mbagala vimejengwa chini ya kiwango, tunaomba mtoe maelezo, shida ni nini au pesa haikutosha? Tunaomba wanaofanya uharibifu wa vizingiti na njia za waenda kwa miguu wachukuliwe hatua kali, gharama za marekebisho zinafanya deni litulemee!

    • @georgeedwardmwakyembe6969
      @georgeedwardmwakyembe6969 Місяць тому +2

      Watu wengi katika jiji la Dar Es Salaam wanataka upanuzi wa barabara ili kupunguza msongamano wa magari, lakini je, kweli ni suluhisho linalofaa na muhimu? Ingawa kuongeza njia za magari kunaweza kupunguza msongamano kwa muda mfupi, mara nyingi husababisha ongezeko la magari barabarani, hivyo kuzidisha msongamano kwa muda mrefu.
      Upanuzi wa barabara zinazotumiwa na magari mseto katika Dar es Salaam unaweza kutoa nafuu kwa muda mfupi katika kupunguza msongamano wa magari, lakini si suluhisho endelevu kwa muda mrefu. Hapa kuna uchambuzi kutoka kwa mtazamo wa kitaalamu:
      Faida:
      1. Kuongeza Uwezo wa Barabara: Kwa kuongeza njia za magari, magari mengi yanaweza kupita kwa wakati mmoja kwenye sehemu ya barabara, ambayo inaweza kupunguza vizuizi katika maeneo yenye msongamano mkubwa wa magari kwa muda mfupi.
      2. Kupunguza Muda wa Safari: Mwanzoni, upanuzi wa njia za magari unaweza kusababisha mtiririko wa haraka wa magari, hivyo kupunguza ucheleweshaji na muda wa safari kwa wasafiri wakati wa saa za kilele.
      Changamoto:
      1. Mahitaji Yanayosababishwa na Barabara Kubwa: Jambo la kawaida katika usimamizi wa trafiki ni kwamba upanuzi wa barabara unahamasisha watu wengi kutumia magari, na hivyo kusababisha kurudi kwa msongamano au hata kuongezeka kwa msongamano kwa muda mrefu. Hii inajulikana kama "mahitaji yanayosababishwa na barabara kubwa."
      2. Ukosefu wa Suluhisho za Usafiri wa Aina Mbalimbali: Dar es Salaam inakabiliwa na idadi kubwa ya magari ya kibinafsi pamoja na usafiri wa umma, pikipiki, na watembea kwa miguu. Kuongeza tu njia za magari bila kuboresha miundombinu ya usafiri wa umma au kuunda njia maalum kwa mabasi (BRT) na waendesha baiskeli hakutatatua mizizi ya msongamano wa magari.
      3. Kuenea kwa Jiji na Mipango Duni: Kupanua barabara bila kudhibiti ukuaji wa mijini kunaweza kuhamasisha ukuaji wa maeneo yaliyo mbali, na hivyo watu zaidi kuishi mbali na kutegemea magari kwa usafiri. Hii inasababisha msongamano mkubwa zaidi wa magari na kufuta faida za upanuzi wa barabara.
      4. Masuala ya Usalama: Barabara pana zaidi zinaweza kusababisha magari kwenda kwa kasi zaidi, jambo linaloongeza hatari ya ajali, hasa katika mazingira yenye matumizi mseto kama vile watembea kwa miguu na waendesha baiskeli kushiriki barabara.
      Suluhisho Mbadala:
      1. Kuboresha Usafiri wa Umma: Kuwekeza katika na kupanua mfumo wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT) au mifumo ya reli nyepesi inaweza kutoa suluhisho endelevu zaidi kwa msongamano wa magari kwa kusafirisha watu wengi kwa ufanisi na kupunguza kutegemea magari binafsi.
      2. Mikakati ya Usimamizi wa Trafiki: Kutekeleza mifumo ya usimamizi wa trafiki ya kisasa, taa za trafiki zinazoendana kwa wakati mmoja, na kuhamasisha kupanda pamoja au ada za msongamano kunaweza kupunguza msongamano bila hitaji la upanuzi wa miundombinu ghali.
      3. Miundombinu ya Usafiri wa Nje ya Magari (NMT): Kujenga njia za watembea kwa miguu, njia za baiskeli, na kuhamasisha kutembea kwa miguu kunaweza kupunguza msongamano kwa kutoa njia salama za usafiri kwa umbali mfupi.
      Hitimisho:
      Upanuzi wa barabara zinazotumiwa na magari mseto unaweza kutoa nafuu ya muda mfupi kwa msongamano wa magari, lakini ni vigumu kutatua tatizo la msongamano wa Dar es Salaam kwa muda mrefu. Njia shirikishi inayolenga kuboresha usafiri wa umma, usimamizi bora wa trafiki, na miundombinu ya usafiri wa nje ya magari itakuwa suluhisho bora na endelevu zaidi.

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 Місяць тому +1

      ​@georgeedwardmwakyembe6969 safi sana

    • @georgeedwardmwakyembe6969
      @georgeedwardmwakyembe6969 Місяць тому

      @@lulanjamd3886 Asante sana

    • @richard2218188
      @richard2218188 Місяць тому

      @@georgeedwardmwakyembe6969 Kimara imefanya kazi. Tuanzie hapo

    • @abdulrahimsimba9057
      @abdulrahimsimba9057 20 днів тому

      Kweli kabisa, pia hizo zebra crossing zao zinafutika kwahiyo wachore tena

  • @jameswissa9981
    @jameswissa9981 Місяць тому

    Kazi nzuri TANROADs

  • @unforgettablesightings3160
    @unforgettablesightings3160 Місяць тому +2

    Tanroads hamko serious njia mbili za magari ya kawaida hazitoshi jengeni kuanzia njia 3 kuokoa foleni mfano mbagala kuna foleni sana hasa jion

  • @FredrickBusanya
    @FredrickBusanya Місяць тому +1

    Nasikia raha sana kuona vitu kama hivi ndani ya nchi yangu pendwa Mungu endelea kuwasaidia viongozi wa nchi yangu wawe na hofu yako ili pesa za miradi kama hii zinapotoka zifanye kazi iliyokusudiwa na kwa viwango vya juu kama ilivokusudiwa.kila mzalendo wa nchi hii na aseme amina

  • @fredyjunior6961
    @fredyjunior6961 Місяць тому +1

    GOOD JOB TANROADS

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 Місяць тому

    Congratulations tanrod bado mumelala kwenye miundo mbinu ya Rong distance dar to mtwara 🛣️🛣️🛣️🛣️. Dar to Moro 🛣️🛣️🛣️🛣️ dar to Tanga 🛣️🛣️🛣️🛣️ wapi tunaferi tz ukishakua na Port jua kira dk10. Zinaongezeka gari 20

  • @KibwayaMsouth
    @KibwayaMsouth Місяць тому +5

    Kwanini msitanue barabara ziwe pana jamani sasa ivi kila mtu anataka kumili gari lake sasa tuata2mia njia zipj hali yakua kila kukicha mnajenga vichochoro bmg bwana amna wivu wamaendeleo kabisa yani igeni hata kwa majirani kenya

    • @MubarakaCloud
      @MubarakaCloud Місяць тому +2

      Mm pia nashangaa km nyerere road side walk ni pana sana c Wangeek road ingine ila ngoja watakuja kujenga tena km walivyofanya barabara ya ubungo hadi kimara

    • @corrolesscps
      @corrolesscps Місяць тому +2

      Wanaiona hiyo Comment lakini watajifanya kama hawaioni hata kukomment hawataki, barabara ni finyu tuendane na wakati

  • @richard2218188
    @richard2218188 Місяць тому +2

    Kipande cha Round about Kigogo to Msimbazi Center vipi?

    • @jeremiaaugustino7187
      @jeremiaaugustino7187 Місяць тому

      SIJUI KUNA NNPALE...AU PAMESAHAULIKA.....hahahaaaaa

    • @omaryboman6629
      @omaryboman6629 Місяць тому

      ​@@jeremiaaugustino7187 pale lile daraja la msimbazi litavunjwa lijengwe lipya kubwaa

    • @frankmlelwa1073
      @frankmlelwa1073 Місяць тому

      @@jeremiaaugustino7187 nadhani panasubiria mradi wa bonde la mto msimbazi , labda usanifu wake unategemeana kimiundombinu maana mradi wa mto msimbazi unajumlisha barabara na eneo la mto, kingo na maeneo yaliyopitiwa na eneo la mradi. Watakuja waseme lakini lakini pia hapazuii mabasi kupita na kuendelea sehemu zilizokwisha kamilika.

    • @frankmlelwa1073
      @frankmlelwa1073 Місяць тому +1

      nadhani panasubiria mradi wa bonde la mto msimbazi , labda usanifu wake unategemeana kimiundombinu maana mradi wa mto msimbazi unajumlisha barabara na eneo la mto, kingo na maeneo yaliyopitiwa na eneo la mradi. Watakuja waseme lakini lakini pia hapazuii mabasi kupita na kuendelea sehemu zilizokwisha kamilika.

    • @richard2218188
      @richard2218188 Місяць тому

      @@frankmlelwa1073 Inawezekana, sikufikiria hiyo kitu, lakini maana yake, kipande cha Boma - Msimbazi na Magomeni - Kigogo hakitakuwa na kazi sasa hivi

  • @salumalriyamy
    @salumalriyamy Місяць тому +2

    Nauliza pale kigogo mpaka msimbazi centre Kuna mpango tofauti?

    • @mbwizax87
      @mbwizax87 Місяць тому

      Ni phase 5 ambayo baada ya round about itaelekea njia ya mabibo mpaka Tabata segerea na pia kuanzia ubungo flyover mpaka daraja la Kigamboni, na kuna kipande cha kuingia temeke kutoka karibu na uwanja wa taifa

    • @salumalriyamy
      @salumalriyamy Місяць тому

      @@mbwizax87 what was the point of leaving it to phase 5?. Seems like it Doesn't make sense?

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 Місяць тому +1

    Tegeta msituwekeee vituo kama vya mbagala jamaniiii tunaombeni sana

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 27 днів тому

    TANROAD hebu tuondolee foleni ya Malori pale Tazara Mchicha maana hata Japan iliyotoa msaada wa kujenga Flyover ya Mfugale inatushamgaa kwa uamuzi wetu wa kujenga ICD pale mchicha na kuondoa kabisa umuhimu wa Flyover ya Mfugale.

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 Місяць тому +1

    Hivi hizi daladala zinazopita kwenye barabara za kawaida kimara - Posta hazina vituo. Hii barabara imeisha zamani lakini ni vurugu tupu.

  • @section8ight174
    @section8ight174 Місяць тому +3

    TANROADS, what are your plans regarding RESIDENTIAL roads? Why not use cheaper methods ie cement, cobblestones or bricks 🧱 to get rid of the dirt roads? How’s Nairobi able to tarmac their residential areas including sidewalks? Need someone from TanRoads to address these public concerns as we are TAYAD of walking around in dusty roads in 2024!!!

    • @mosesjacksonkarashani2642
      @mosesjacksonkarashani2642 Місяць тому +1

      Which part of Nairobi are you referring to?

    • @section8ight174
      @section8ight174 Місяць тому +1

      @@mosesjacksonkarashani2642 Do you work for Tanroads?

    • @mosesjacksonkarashani2642
      @mosesjacksonkarashani2642 Місяць тому +1

      @@section8ight174 How’s is this relevant to the question I asked?! I am in Nairobi right now I want to know which part of Nairobi are you referring to!

    • @section8ight174
      @section8ight174 Місяць тому +1

      @@mosesjacksonkarashani2642 Read my question again and the CAVEAT included.

    • @mosesjacksonkarashani2642
      @mosesjacksonkarashani2642 Місяць тому +1

      @@section8ight174 I’m not here to address your question, I’ve just asked a totally different question, which part of Nairobi are you referring to?! It’s that simple man, answer the question.

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 Місяць тому +1

    kila phase ingekua na DESIGN yake ya Vituo...ingependeaza sana...vinakua havichoshi macho

    • @emmanuelmatare9058
      @emmanuelmatare9058 Місяць тому +2

      na kila phase mabas yawe na rang zake pia

    • @jeremiaaugustino7187
      @jeremiaaugustino7187 Місяць тому

      @@emmanuelmatare9058 yes ni sehemu ya kuongeza utalii...ila wabunifu hakuna TZ

  • @josephmartin292
    @josephmartin292 Місяць тому +1

    vituo vya mjini vibadilishwe muonekano wake kwani mjini katikati ya jiji vituo viwe vina muonekano tofauti

  • @geofreypiusy4718
    @geofreypiusy4718 Місяць тому +1

    Nahiyo yakimara iwekwe mataa kama hii ya kilwa road isaidie na huko kwa usalama

  • @anoldrwehabura7795
    @anoldrwehabura7795 Місяць тому

    Hongereni, eneo la Mivinjeni daladala zinapita upande wa watembea kwa miguu hivyo paving zimeharibiwa sana. Ni vema mkaweka vizuizi vya magari na bajaji upande wa watembea kwa miguu.

  • @fortidaskashaigili7496
    @fortidaskashaigili7496 Місяць тому

    Inatakiwa muweke bypass watu wapande waende kushukia kati kati ya kwenye kituo cha mwendo kasi, taa zimezidi, acheni kuchakachua plan ya barabara,

  • @kisrahcogar8538
    @kisrahcogar8538 Місяць тому +3

    Vituo vya mbagala km mabanda ya kuku 😂😂

  • @DavidSemu-gu6wp
    @DavidSemu-gu6wp Місяць тому

    Hongera sana Tanroads work well done, Sasa mabasi yako wapi au ndio mpaka desember? Si vituo vitakuwa vime n'golewa mabati, this is bongo.

  • @helpers10
    @helpers10 Місяць тому

    Toa taa weka underground tunnels kwenye Kila kituo. Of course mnachelewesha muda kuweka taa Kila sehemu. Kama Unajenga mradi wa mabilioni kama huo je unafikiri kuongeza tunnels kwenye Kila kivuko kinashindikana Nini? Na unadhani Kuna utofauti gani wa budget kama mngeweka tunnels?? Kuweka njia za juu itakua ni uchafu.

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 Місяць тому +1

    Barabara nyembamba sana mmekariri kila barabara njia mbili tu kwani haziwezi kuwa 3 au 4

    • @alistairelias536
      @alistairelias536 Місяць тому

      Nashangaa mipango ya nchi yetu. Highway za kutoka nje ya mkoa zilipaswa kuwa ni tatu tatu au hata zaidi. Lakini watakwambia hela tulikuwa hatuna, wakati zingeweza kujengwa kwa PPP.

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 Місяць тому

    Mbona Kigogo Kuelekea mburahati bado hakujaguswa?

  • @rahimmajid2826
    @rahimmajid2826 Місяць тому +1

    Kilwa Road imekuwa Mataa Road kila hatua Taa.

    • @omaryboman6629
      @omaryboman6629 Місяць тому

      Waliwashaga siku moja hyo foleni yake mbona walikuja zima fasta

  • @OdhiamboLazaro-y8o
    @OdhiamboLazaro-y8o Місяць тому

    Jamani mbona Bado Barbara za pembeni ni 2 ways mna mpango Gani wa baadaye.

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 Місяць тому

    Mzee elezea mabasi yatakuja hiyo ndio muhimu watanzania tunataka kujuwa

  • @gervasally6979
    @gervasally6979 Місяць тому

    Mhandisi. Tunaomba mtusaidie Nelson Mandela road kutoka Bandari Foleni ni kubwa mno sisi madereva wa Truck tunakaa foleni masaa 6 kutoka Uhasibu hadi Buguruni. Em tusaidieni hata Fly over jamani yaani masaa 6 kutoka Port hadi Buguruni ni hasara sana. Sjui wataalamu hamulioni hilo? Tunaomba mtusaidie

  • @omaryngitu2443
    @omaryngitu2443 Місяць тому

    Ni wakati sasa watanzania tuelimishwe kupaka rangi mabati yetu ya nyumba,ni uchafu

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km Місяць тому

    Jitahidini mjenge barabara za njia 12 kushoto 6 kulia 6 hapo baada ya miaka 20 mtaanza kuhaha kupanua barabara

    • @georgeedwardmwakyembe6969
      @georgeedwardmwakyembe6969 Місяць тому

      Watu wengi katika jiji la Dar Es Salaam wanataka upanuzi wa barabara ili kupunguza msongamano wa magari, lakini je, kweli ni suluhisho linalofaa na muhimu? Ingawa kuongeza njia za magari kunaweza kupunguza msongamano kwa muda mfupi, mara nyingi husababisha ongezeko la magari barabarani, hivyo kuzidisha msongamano kwa muda mrefu.
      Upanuzi wa barabara zinazotumiwa na magari mseto katika Dar es Salaam unaweza kutoa nafuu kwa muda mfupi katika kupunguza msongamano wa magari, lakini si suluhisho endelevu kwa muda mrefu. Hapa kuna uchambuzi kutoka kwa mtazamo wa kitaalamu:
      Faida:
      1. Kuongeza Uwezo wa Barabara: Kwa kuongeza njia za magari, magari mengi yanaweza kupita kwa wakati mmoja kwenye sehemu ya barabara, ambayo inaweza kupunguza vizuizi katika maeneo yenye msongamano mkubwa wa magari kwa muda mfupi.
      2. Kupunguza Muda wa Safari: Mwanzoni, upanuzi wa njia za magari unaweza kusababisha mtiririko wa haraka wa magari, hivyo kupunguza ucheleweshaji na muda wa safari kwa wasafiri wakati wa saa za kilele.
      Changamoto:
      1. Mahitaji Yanayosababishwa na Barabara Kubwa: Jambo la kawaida katika usimamizi wa trafiki ni kwamba upanuzi wa barabara unahamasisha watu wengi kutumia magari, na hivyo kusababisha kurudi kwa msongamano au hata kuongezeka kwa msongamano kwa muda mrefu. Hii inajulikana kama "mahitaji yanayosababishwa na barabara kubwa."
      2. Ukosefu wa Suluhisho za Usafiri wa Aina Mbalimbali: Dar es Salaam inakabiliwa na idadi kubwa ya magari ya kibinafsi pamoja na usafiri wa umma, pikipiki, na watembea kwa miguu. Kuongeza tu njia za magari bila kuboresha miundombinu ya usafiri wa umma au kuunda njia maalum kwa mabasi (BRT) na waendesha baiskeli hakutatatua mizizi ya msongamano wa magari.
      3. Kuenea kwa Jiji na Mipango Duni: Kupanua barabara bila kudhibiti ukuaji wa mijini kunaweza kuhamasisha ukuaji wa maeneo yaliyo mbali, na hivyo watu zaidi kuishi mbali na kutegemea magari kwa usafiri. Hii inasababisha msongamano mkubwa zaidi wa magari na kufuta faida za upanuzi wa barabara.
      4. Masuala ya Usalama: Barabara pana zaidi zinaweza kusababisha magari kwenda kwa kasi zaidi, jambo linaloongeza hatari ya ajali, hasa katika mazingira yenye matumizi mseto kama vile watembea kwa miguu na waendesha baiskeli kushiriki barabara.
      Suluhisho Mbadala:
      1. Kuboresha Usafiri wa Umma: Kuwekeza katika na kupanua mfumo wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT) au mifumo ya reli nyepesi inaweza kutoa suluhisho endelevu zaidi kwa msongamano wa magari kwa kusafirisha watu wengi kwa ufanisi na kupunguza kutegemea magari binafsi.
      2. Mikakati ya Usimamizi wa Trafiki: Kutekeleza mifumo ya usimamizi wa trafiki ya kisasa, taa za trafiki zinazoendana kwa wakati mmoja, na kuhamasisha kupanda pamoja au ada za msongamano kunaweza kupunguza msongamano bila hitaji la upanuzi wa miundombinu ghali.
      3. Miundombinu ya Usafiri wa Nje ya Magari (NMT): Kujenga njia za watembea kwa miguu, njia za baiskeli, na kuhamasisha kutembea kwa miguu kunaweza kupunguza msongamano kwa kutoa njia salama za usafiri kwa umbali mfupi.
      Hitimisho:
      Upanuzi wa barabara zinazotumiwa na magari mseto unaweza kutoa nafuu ya muda mfupi kwa msongamano wa magari, lakini ni vigumu kutatua tatizo la msongamano wa Dar es Salaam kwa muda mrefu. Njia shirikishi inayolenga kuboresha usafiri wa umma, usimamizi bora wa trafiki, na miundombinu ya usafiri wa nje ya magari itakuwa suluhisho bora na endelevu zaidi.

    • @georgeedwardmwakyembe6969
      @georgeedwardmwakyembe6969 Місяць тому

      Watu wengi katika jiji la Dar Es Salaam wanataka upanuzi wa barabara ili kupunguza msongamano wa magari, lakini je, kweli ni suluhisho linalofaa na muhimu? Ingawa kuongeza njia za magari kunaweza kupunguza msongamano kwa muda mfupi, mara nyingi husababisha ongezeko la magari barabarani, hivyo kuzidisha msongamano kwa muda mrefu.
      Upanuzi wa barabara zinazotumiwa na magari mseto katika Dar es Salaam unaweza kutoa nafuu kwa muda mfupi katika kupunguza msongamano wa magari, lakini si suluhisho endelevu kwa muda mrefu. Hapa kuna uchambuzi kutoka kwa mtazamo wa kitaalamu:
      Faida:
      1. Kuongeza Uwezo wa Barabara: Kwa kuongeza njia za magari, magari mengi yanaweza kupita kwa wakati mmoja kwenye sehemu ya barabara, ambayo inaweza kupunguza vizuizi katika maeneo yenye msongamano mkubwa wa magari kwa muda mfupi.
      2. Kupunguza Muda wa Safari: Mwanzoni, upanuzi wa njia za magari unaweza kusababisha mtiririko wa haraka wa magari, hivyo kupunguza ucheleweshaji na muda wa safari kwa wasafiri wakati wa saa za kilele.
      Changamoto:
      1. Mahitaji Yanayosababishwa na Barabara Kubwa: Jambo la kawaida katika usimamizi wa trafiki ni kwamba upanuzi wa barabara unahamasisha watu wengi kutumia magari, na hivyo kusababisha kurudi kwa msongamano au hata kuongezeka kwa msongamano kwa muda mrefu. Hii inajulikana kama "mahitaji yanayosababishwa na barabara kubwa."
      2. Ukosefu wa Suluhisho za Usafiri wa Aina Mbalimbali: Dar es Salaam inakabiliwa na idadi kubwa ya magari ya kibinafsi pamoja na usafiri wa umma, pikipiki, na watembea kwa miguu. Kuongeza tu njia za magari bila kuboresha miundombinu ya usafiri wa umma au kuunda njia maalum kwa mabasi (BRT) na waendesha baiskeli hakutatatua mizizi ya msongamano wa magari.
      3. Kuenea kwa Jiji na Mipango Duni: Kupanua barabara bila kudhibiti ukuaji wa mijini kunaweza kuhamasisha ukuaji wa maeneo yaliyo mbali, na hivyo watu zaidi kuishi mbali na kutegemea magari kwa usafiri. Hii inasababisha msongamano mkubwa zaidi wa magari na kufuta faida za upanuzi wa barabara.
      4. Masuala ya Usalama: Barabara pana zaidi zinaweza kusababisha magari kwenda kwa kasi zaidi, jambo linaloongeza hatari ya ajali, hasa katika mazingira yenye matumizi mseto kama vile watembea kwa miguu na waendesha baiskeli kushiriki barabara.
      Suluhisho Mbadala:
      1. Kuboresha Usafiri wa Umma: Kuwekeza katika na kupanua mfumo wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT) au mifumo ya reli nyepesi inaweza kutoa suluhisho endelevu zaidi kwa msongamano wa magari kwa kusafirisha watu wengi kwa ufanisi na kupunguza kutegemea magari binafsi.
      2. Mikakati ya Usimamizi wa Trafiki: Kutekeleza mifumo ya usimamizi wa trafiki ya kisasa, taa za trafiki zinazoendana kwa wakati mmoja, na kuhamasisha kupanda pamoja au ada za msongamano kunaweza kupunguza msongamano bila hitaji la upanuzi wa miundombinu ghali.
      3. Miundombinu ya Usafiri wa Nje ya Magari (NMT): Kujenga njia za watembea kwa miguu, njia za baiskeli, na kuhamasisha kutembea kwa miguu kunaweza kupunguza msongamano kwa kutoa njia salama za usafiri kwa umbali mfupi.
      Hitimisho:
      Upanuzi wa barabara zinazotumiwa na magari mseto unaweza kutoa nafuu ya muda mfupi kwa msongamano wa magari, lakini ni vigumu kutatua tatizo la msongamano wa Dar es Salaam kwa muda mrefu. Njia shirikishi inayolenga kuboresha usafiri wa umma, usimamizi bora wa trafiki, na miundombinu ya usafiri wa nje ya magari itakuwa suluhisho bora na endelevu zaidi.

  • @salumalriyamy
    @salumalriyamy Місяць тому

    Kwa ninavyojua wabongo walivyovurugwa, kuna vijamaa vitakaa pale kwenye taa kubonyeza bonyeza

  • @hssn2020
    @hssn2020 Місяць тому

    Mimi darasa la 4B, nilikuwa najiuliza kwa nini barabara za mwendokasi zisingekuwa kwa nje halafu gari za kawaida zikapita ndani? Halafu maeneo ya vivuko watembea kwa miguu wanapita chini ya barabara yaani Underpass?

    • @filamupictures9349
      @filamupictures9349 Місяць тому +1

      Hiyo ni ili kuokoa muda, zingekuwa pembeni kila mara kungekuwa na gari zinaingia na kutoka. Lengo la brt ni kuokoa muda ndio maana nauli unalipa nje kabla hujapanda, kupanda kwake ni kwenye kituo kilichoinuka juu ili muda wa kupanda msipoteze muda mkiwa mnatafuta ngazi za basi. Lengo ni kuokoa muda ndio lengo.

    • @Myplusbee
      @Myplusbee Місяць тому

      Hiyo ingesababisha FOLENI ya kufa mtu! Hebu pata picha magari yanayotoka town halafu yanafika Mapipa, karibu nusu yake yanataka kuingia Kawawa RD kuelekea Kinondoni! Sasa Mwendokasi ingetakiwa kusimama mara ngapi kupisha hayo magari?!

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 Місяць тому

    Ayo matuta ifike mahara msiwe mnaweka uo ujinga

  • @tester-kf5re
    @tester-kf5re Місяць тому

    italeta foleni

  • @nguruwekikwete1635
    @nguruwekikwete1635 Місяць тому +1

    Vituo kama nabanda yq kuku no improvement no creativity vituo vilitskiwa kuwa na muonekano wa kisasa tofauti na phase 1

  • @babyafricaevents8905
    @babyafricaevents8905 Місяць тому

    Awamu ya sita itaanzia wapi na kuishia wapi? Na vipi mipango ya kujenga miundo mbinu hii kwenye majiji mengine kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma?. Kuliko msubiri msongamano uwe mkubwa ndo muanze kujenga? .

    • @mkude
      @mkude Місяць тому

      Gharama hizo ni kubwa sanaaa hata Africa ni nchi chache sanaa zenye BRT kwahiyo usichukulie rahisi tu eti zijengwe na kwenye miji mingine,kuna vitu muhimu vya kufanya kwenye hiyo miji mingine kama bara bara za bijinini,maji,mashule, mahospitali .

  • @LuckymusyokiMueni
    @LuckymusyokiMueni Місяць тому

    Kwani hamgeweza kuweka njia za juu za wapita kwa miguu,,mataa zinaleta jam tena mnaona kama manapunguza jam nyinyi watu

    • @LuckymusyokiMueni
      @LuckymusyokiMueni Місяць тому

      Hiyo Barabara penye muliweka mataa nyingi mbn kama ya zamani Sana imechakaa na mnasema ni mpiya ,jengeni kama huku Kenya na rwanda

    • @mkude
      @mkude Місяць тому

      ​@@LuckymusyokiMueni Kenya nyinyi bakini na siasa tu,kwenye kwenye infrastructure hamuwapati kabisa Tanzania,hamuna BRT system,matatu kwenu zimejaa Fujo fupu,train yenu ya gari moshi😮😂😂,imeishia Naivasha,angalia Electric train ya Tanzania ni ya world class.

    • @mkude
      @mkude Місяць тому

      ​@@LuckymusyokiMueni Kenya mnapenda sanaa siasa,naona sasa hivi mnataka kumtoa your Dp president, Tanzania inakuwa haraka sanaa kimaendeleo nyinyi siasa zitawarudisha nyuma sanaaa

  • @FranscioliNumbulelo
    @FranscioliNumbulelo Місяць тому

    @bertin

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 Місяць тому

    Uongo, kipande cha kisichozidi 1 Km Kigogo hadi Msimbazi ujenzi umesimama kwa miaka 2 sasa hivi then mnasema mmekamisha, hivi nyie watu mpe seriously?

    • @alistairelias536
      @alistairelias536 Місяць тому

      Hicho kipande ndo kinasubiri phase ya 5 kutoka Segerea kuunganisha hapo...

    • @michaelrweyemamu1068
      @michaelrweyemamu1068 Місяць тому +1

      Sio, kipande hichi kimeanzia pale Ilala mpaka Msimbazi kutoka Msimbazi mpaka Kigogo kimesimama kwa miaka 2 sasa na kutokea Kigogo mpaka Magomeni kumeshajengwa. So hichi kipande hakifiki hata Kilometer 1

    • @abdallahselemani6423
      @abdallahselemani6423 6 днів тому +1

      Kuna ujenzi wa daraja hapo la mto msimbazi linakuja

  • @LuckymusyokiMueni
    @LuckymusyokiMueni Місяць тому

    Kakivuko tu ya kufuka hadi hapo stendi ya mabasi imewashinda

  • @allyseifu4627
    @allyseifu4627 Місяць тому

    Wakwanza mimi

  • @FranscioliNumbulelo
    @FranscioliNumbulelo Місяць тому

    @explore with bertin