Siku moja nilienda Airport terminal 3 dar es salaam,kuna kampuni inaitwa Tanzania Air Services nikakutana na mzee wa kitasha nikaanza kumuongelesga kingereza akacheka sana kumbe yeye anaongea kiswahili kizuri kuliko mimi tena rafudhi ya uswahilini kabisa akaniambia yeye amezaliwa na kukulia hapa hapa bongo na ni mtanzania halisi.
Mzee yupo vizuri sana.. hang over hio.. somewhere in northern tanzania.. #tanzanitesource
Shukran PMTV Tanzania 🙏🏼
Land rover ni gari nzuri na ngumu. Ni mnyama wa kazi.
Toyota stout je?
Mzee Yuko juu sana huyo
Nendeni kwenye migodi mtaona mengi sana
Niunganishe na huyo mzee tufanye biashara
Wananchi wa Arusha ni matasha... tupu. Only State in Tz
Defender ni land Rover.
Land cruiser ni Toyota .
Land Rover gari pendwa kwangu na ni kali
Ukitaka ujue utamu wa hii gari tizama movie ya The God must be crazy
😂😂😂
Kiswahili asilia kama mzaramo
Hatamimi nimeshangaa Fluent
Siku moja nilienda Airport terminal 3 dar es salaam,kuna kampuni inaitwa Tanzania Air Services nikakutana na mzee wa kitasha nikaanza kumuongelesga kingereza akacheka sana kumbe yeye anaongea kiswahili kizuri kuliko mimi tena rafudhi ya uswahilini kabisa akaniambia yeye amezaliwa na kukulia hapa hapa bongo na ni mtanzania halisi.
Naomba number ya mzee nimpe 12 million
😂😂😂😂
Naomba number
Gari zuri ila kwa kuingiza mavumbi ndani ndo yenyewe
Inachafua ndevu na nyus.
Mzee uko siliazi nikutumie 12 chap
"Siliazi" kaka? Ni siriaz bwana. Duh, Jamani 😢😢
Hawezi kukaa hata mil 40, wanapenda Magari sana hao
Dada anaita "Rand Lover" mara moja moja anashtuka na kurudi kwenye Land Rover😅
Kibaya zaid akajichanganya kusema kama co land cruser..akizan cruser ni rover pia
watangazaji wa Dar wataijuaje Land rover
@@obeydmwemezi3663 cruser ndiyo baba lao
mtangazaji punguza ujuaji unaongea km cherean km unaongea kila kitu hakuna ulazima wa kumuhoji huyo mzee
Kwanza amesema fsv ya landrova na cruser😂😂