KIVUMBI! MSUKUMA AMLIPUA MBOWE HADHARANI UNAMUHUJUMU SANA LISSU KILA KITU WEWE MSIGWA NAE AMLIPUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 63

  • @ProsperReuben-fg6uh
    @ProsperReuben-fg6uh 2 місяці тому +1

    Msukuma ulisema mnamlipa msigwa avuruge chadem

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 2 місяці тому +4

    Msukuma Hana hoja ni porojo tu na mwenzake Msigwa

  • @ulimbagakipole3971
    @ulimbagakipole3971 2 місяці тому +2

    😢Njaa haina heshima kumbe umaskini ni dhambi. Msigwa anatia huruma sana kukisifia alichokipiga mateke siku zote.

  • @erickmsigala138
    @erickmsigala138 2 місяці тому +3

    Jamaa huyu Msigwa anatia aibu yaani anasurubishwa kama Samsoni kwa Wafilisit walipo faulu kujua sili ya nguvu zake kupitia Derila, wanamdhihaki lakini hajitambui aibu!

  • @AnthonyKomba-o5f
    @AnthonyKomba-o5f 2 місяці тому

    Eti Paulo!! Ila njaa mhhhhhhh!!

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 2 місяці тому +1

    CCM tuache kuchagua darasa la saba maana kichwani hamna kitu, bungeni lazima waende graduates maana ni sehemu muhimu sana.

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 2 місяці тому +2

    CCM SI CHAMA CHA KIKABILA WALA KIKANDA NI CHAMA CHA WATZD WOTE.

  • @jaydenkaleshi
    @jaydenkaleshi 2 місяці тому +3

    Chama tawala inamana kazi ya wananchi mlishamaliza mpaka kazi mliyobaki nayo ni Mbowe, please tuzubgumzie maji na umeme na hali ya hospitali

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 2 місяці тому +1

    kituo cha police kwa pesa zake za mgao wa rasili mali za tanzania walizoziuza awam hii msukuma kawa nyoka wa nchi hii kisa tamaa ya mahela ya dhulma Mungu atawalipa kwa haya 😢

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 2 місяці тому

    Msigwa ni kweli la saba

  • @MiltonSatte
    @MiltonSatte 2 місяці тому +1

    Msigwa unaendelea kuwafungua macho watanzania ni kweli tulitegemea demokrasia toka chadema lakini ni ufisadi mtupu akaunti ya chadema inasoma kenya kweli?

  • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
    @yosephatMasanyiwa-oh1rl 2 місяці тому

    Litakufa vibaya sana li msigwa

  • @YussufAme-k8z
    @YussufAme-k8z 2 місяці тому +1

    Ongea sera za chama Cha ccm. Yani upo hapo kutia ftina chadema husifii maendeleo ya nchi acha unafki wew mchunga mbuziii pumbavu.

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 місяці тому +1

    Unafiki ni igonjwa husio natiba.Msukuma unampenda Lissu.midomo yetu tuangalie yale ya Cuf ya Sharif Ahmad na Lipumba ndo mnayatemgeneza Chadema.nyi wachonganishi wa kibwa.

  • @MzeeMponda
    @MzeeMponda 2 місяці тому +2

    Tangu lini mkawa na huruma na lissu mlitaka kumuuwa ni Mungu tu alimnusuru

    • @Kalunirashidi
      @Kalunirashidi 2 місяці тому

      List baba yako mbona mwaume unajidekeza

  • @SephaniaMsigwa
    @SephaniaMsigwa 2 місяці тому

    Unalaana ya mungu nafisi inakususa

  • @leoncebenjamin8107
    @leoncebenjamin8107 2 місяці тому +1

    Hiv we msigwa Kila ukisimama ni chadema

  • @amosmangura
    @amosmangura 2 місяці тому

    Tuwe mbowe Naona shida kwa ccm

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 2 місяці тому

    KEEP IT UP MSIGWA

  • @yassinkimolo2943
    @yassinkimolo2943 2 місяці тому +2

    CCM mlitaka kumuua huyu msukuma sialikuwepo bungeni mbona hatukusikia mkimtetea kuhusu matibabu yake kama mnaupendo simlikua mnapiga makofi kila alilosema ndugai kuhusu tundulisu atendewe, acheni unafiki

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 2 місяці тому

    Hiyo ni siasa za divide and rule imepitwa na wakati...

  • @yassinkimolo2943
    @yassinkimolo2943 2 місяці тому +2

    Ongeeni mambo yanayo husu wanachama wenu Lisu chadema Mlitaka kumuua leo mnajifanya mnampenda? Huu ni unaffiliated ulio pitiliza eti watu pia walivyo hawafikiri kwa makini hivi mmesahau Lisu sasahivi ni mlemavu nani kamtia ulemavu
    Mimi nikiangalia hawa CCM hatamtu akikuita CCM ni kama anakutukana

  • @samwelizetii4479
    @samwelizetii4479 2 місяці тому

    Msigwa huna sela za kuuza tofauti na kila siku chadema chadema

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 2 місяці тому +1

    MSIGWA NAKUKUBALI SANA WEWE NI MKWELI

  • @fanuelkitembe7404
    @fanuelkitembe7404 2 місяці тому +1

    Hiyo ni njaa yako tu,ulimkejeli Sana Raisi wetu,hasa swala LA utalii mnafiki hupewe cheo chochote

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 2 місяці тому

    Hamtaweza kwa Mbowe nyie ni watu wa ajabu

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 2 місяці тому

    hata riasasi mlipigana wenyewe kwa wenyewe chadema mkamsingizia magu yani malaana sana wanachadema madhambi yenu mnasingizia magu Mungu hatowasameh hadi mtubie kwa Mungu na kwa wana nchi mliowapotosha wakawaamin

  • @SephaniaMsigwa
    @SephaniaMsigwa 2 місяці тому

    Wewe sio mchungaji labda unachunga madem

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 2 місяці тому

    Tatizo la ccm kila mtu ni ombaomba kitendo hicho hakiwezikutuletea maendeleo sisi ni usani tu.

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 2 місяці тому

    Naye analalamika

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 2 місяці тому

    Msigwa uelewa wako mdogo sana

  • @elsonmwita2978
    @elsonmwita2978 2 місяці тому

    Msigwa msichana akiolewa hana stori za Baba yake na Mama yake wala ndugu yake kweni ndoa isikugombanishe na wakwenu,umeenda ili ufanikishe kuvunja ndoa ya wazazi wako huo ni ujinga,Jenga kwako my friend

  • @Gilbertnyanda
    @Gilbertnyanda 2 місяці тому

    CCM TUMEWACHOKA JIBU MTALIJUA TU BAADA YA UCHAGUZI

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 2 місяці тому

    Msukuma debe tupu haliachi……

  • @nizigiyimanaibrahim2329
    @nizigiyimanaibrahim2329 2 місяці тому

    Nja inakusumbua

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 2 місяці тому +1

    Pumbavu zenu mbowe amekuwa ni mtu hatari kwa CCM mnaacha kutumikia wananchi mnapambana na mbowe.

    • @EliasPaul-qs2ib
      @EliasPaul-qs2ib 2 місяці тому

      Ccm haiwezi kuumiza kichwa Kwa mbowe, jitambue

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 2 місяці тому

    👇🏿
    #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍️🏿

  • @ElishaLaizer-d8s
    @ElishaLaizer-d8s 2 місяці тому

    Wewe ni shetani sio Paulo acha kumudhiaki mungu wewe umeshiwa sera Sasa wewe ukisimama unakosoa chadema wakati umeiacha Sasa inakuhusu nn ya chadema hata kama ni mafisadi hatuhami ngo'

  • @piusmaduka
    @piusmaduka 2 місяці тому

    haka Nako kanaongea nin

  • @nizigiyimanaibrahim2329
    @nizigiyimanaibrahim2329 2 місяці тому +1

    Inajua pariria mchicha upate kutia mkono kinywani

    • @sadickissa1600
      @sadickissa1600 2 місяці тому

      Msigwa na msukua ni sawa tu domo kaya na elimu ya memkwa

  • @ElishaLaizer-d8s
    @ElishaLaizer-d8s 2 місяці тому

    Mbn Kila cku unaongelea neno moja tu wewe ndio huna sera kabisa

  • @AYUBURUGOYE
    @AYUBURUGOYE 18 днів тому

    Siyokweli

  • @YesuKristu-y5w
    @YesuKristu-y5w 2 місяці тому

    Omba,posho ,za ufisadi,,magu aliweka mipango sawa ya nchi

  • @StevenNyanguye
    @StevenNyanguye 2 місяці тому

    Wewe njaa itakuuwA

  • @pwaniseries
    @pwaniseries 2 місяці тому +1

    Msukuma hanaga konakona jamani ananyooka akiona kasoro

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 2 місяці тому

    Waongo kumtuhumu mboqe msigwa acha umbea

  • @regnaldymambaly9880
    @regnaldymambaly9880 2 місяці тому +1

    helkopta ina beba watu wangapi? itawezekanaje kuwabeba wote kwenye helkopta moja?embu tusubiri kampeni zianze tuone ka ma ccm wote watakuwa wana panda helkopta

  • @AlbertTenga
    @AlbertTenga 2 місяці тому

    Sasa hapo anasaidia wananchi au anajikomba msigwa hufai popote hao wanaokushangilia wanakuchora huko ungepata uongozi ungeyasema hayo?

  • @AlouiseNgenDanDumwe
    @AlouiseNgenDanDumwe 2 місяці тому

    Msukuma nenda kwanza shule dalasa la saba africa tuko wajinga sana tena zaidi ya sana kumbe hata mkulima anaweza kuwa mbunge njoo marekani uone kama utapata hata ualimu subutu

  • @Dyllan-q8t
    @Dyllan-q8t 2 місяці тому

    Mbona mnaenderea kukopa kama hela nyingi mnaingiza mnamsifia tu rais uongo mtupu nyoo

  • @fanuelkitembe7404
    @fanuelkitembe7404 2 місяці тому

    Shida ni shule

  • @ElishaLaizer-d8s
    @ElishaLaizer-d8s 2 місяці тому

    Utabaki ukipiga tu kelele

  • @samwelizetii4479
    @samwelizetii4479 2 місяці тому

    Mchungaji njaaa tu wewe

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 2 місяці тому

    Unanena ya moyoni Msigwa uko sawa sana.Chadema ni waongo na wapenda kiki za kitoto.

  • @levissanga8867
    @levissanga8867 2 місяці тому

    Speak your own

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 2 місяці тому

    Mimi binafsi nilikuwa Chadema lakini baada ya kubaini unafki wa Mbowe niliamua kurudi ccm ys MAMA SAMIA ANAUPIGA MWINGI TUNAONA MAENDELEO ANAYOYAFANYA.CCM OYEEER.MAMA SAMIA OYEERE.JUU JUU JUU ZAIDII.