KOCHA RAMOVIC AKIWA NA CAPTAIN MWAMNYETO WAZUNGUMZIA MCHEZO WA KESHO DHIDI YA FOUTAIN GATE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 31

  • @ShabaniDagila-d3r
    @ShabaniDagila-d3r 18 днів тому +3

    Mungu ibariki yanga❤❤

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 18 днів тому +2

    In sha Allah tunaomba kesho mpate ushindi kwa.uwezo wa mwenyezimungu nawatoto wetu mwenyezimungu awalinde mcheze mtoke salama bila mtihani wowote mwenyezimungu atawahifadhi Aamiin

  • @godfreysimoni4270
    @godfreysimoni4270 18 днів тому +6

    Tupo na nyinyi wapambanaji wetu kwa Kila hali tutawaunga mkono nyinyi na viongizi wote Daima mbele nyuma mwiko 💚💛💚

  • @jumanneenos2481
    @jumanneenos2481 18 днів тому +3

    Sasa ivi ukienda kwenye interview unasoma kabisa na first 11 yetu ili wapinzani wajifiche hatuna mashaka na yanga, good coach at right time😂😂😂😂😂😂

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 18 днів тому +4

    Daima mbele nyuma mwiko nawatakia ushindi mnono mechi ya kesho inshaallah

  • @unclegmihale455
    @unclegmihale455 18 днів тому +3

    Mungu awe nasi katika Ushindi muhimu

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 18 днів тому +1

    Tunacho omba mfanikiwe kupata magoli mtakayo pewa na mwenyezimungu mjitahidi kila nafasi muitumie vzr In sha Allah..gusa achia twendkwao

  • @saidilindukwa
    @saidilindukwa 18 днів тому +3

    Bakari nakuona unarudi ktk level yako,nakurudia Tena unacheza km isihaka Hasan Chukwu,akili nyingi kuliko nguvu,Ila Kwa Sasa ongeza fujo yaani utundu meaning utemi.sio kupiga watu Ila km Baka au job wanavyofanya,undava uingize ktk uchezaji wako utatisha mwanangu,nakuombea Kwa Allah urudi ktk form yako au zaidi.in shaa allah

  • @nimrod_sk199
    @nimrod_sk199 18 днів тому +3

    🔥🔥

  • @ndulatv2373
    @ndulatv2373 18 днів тому +1

    In Sha Allah

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 18 днів тому

    Daimambelenyumamwiko
    Kila la kheri our very Giant team #timuyawananchi

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 18 днів тому +8

    Point 3 muhimu wapambanaji wetu umakini unahitajika na msimdharau mpinzani wenu pia washambuliaji wawe watulivu magoli mengi wanakosa kwa kukosa utulivu na umakini na wajitahidi kupunguza makosa na kukaba na kuzuia kwa usahihi pia mahamuzi ya haraka wakati sahihi nawasiache kujaribu kufunga pia magoli ya mbali na wasiridhike na magoli wawe katili langoni nakuendelea kushambulia

    • @kiswantatv3817
      @kiswantatv3817 18 днів тому

      Yani kama magoli yote yanaingia... minimum tungekuwa tuna mpiga mtu 7..8..10

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 18 днів тому +2

    Kila la kheri inshallah matokeo mazuri tunawaombea

  • @jumanneenos2481
    @jumanneenos2481 18 днів тому +2

    Yanga top on the league before 2025😂😂😂😂😂

  • @joelbussa6903
    @joelbussa6903 18 днів тому +3

    Yanga nikubwa

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 18 днів тому

    All the best champions 💪🔰🟢💚💛🖤

  • @AlmachNestory
    @AlmachNestory 18 днів тому +1

    Ikawe heri kwa wachezaji wote na benchi la ufundi kuelekea mchezo wetu dhidi ya Fontaine Gates.

  • @AthamanRamadhani
    @AthamanRamadhani 18 днів тому +2

    Kila la kheri timu yangu hapo kesho

  • @innocentmmandago3029
    @innocentmmandago3029 18 днів тому

    Good luck!

  • @MariamZanzibari
    @MariamZanzibari 18 днів тому +1

    Kila la kheri yanga yetu

  • @brycesonmathias6112
    @brycesonmathias6112 18 днів тому +2

    Pacome Apache mbwembwe na cheyo miongoni mwao utoke

  • @EmmaMwalongo
    @EmmaMwalongo 18 днів тому +1

    machine saa10:00pm

  • @CatherineAntony-h5y
    @CatherineAntony-h5y 18 днів тому +2

    Hivi mechi ni saa ngapi?

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 18 днів тому

    Kila la lheri leo

  • @killingmleke1810
    @killingmleke1810 18 днів тому

    Mechi saa kumi jion kmc ground