MAREHEM MAALIMU SEIFU ALIFUNGUKA MAZITO KUHUSU HAYYAT NYERERE NA MUUNGANO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
    #Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi
    #Muuminina​ #Dida​ #Juhuditz​ #Al​-Muuminin #Adila​
    #Mwanacha​ #Afnania​ #Stumai​ #Zuchu​
    #muminina​ #Qadiria​ #zanzibarqaswida​ #AFNAANIA​ #DIRECTORONE​.T #Future​ Tz #Wasafi​ Media #Z​MASTORY #Juhuditz​ #JUMA​FAKIH #Zanzibar​Qaswida #AQAZ​Studio #Al​-muuminin #Yas​mediaTv #stumai​ #zbc #tbc #futuretz #youtubeislife #subscriber #youtubeguru #youtubecontent #newvideo #subscribers #youtubevideo #youtub #youtuber #youtubevideos #youtube #youtuber #youtubechannel #revolutionreal #blacksmokeyeye #smokeyeye #glow #glowingskin #discoverunder5k #discoverunder10k

КОМЕНТАРІ • 51

  • @AbdallaJuma-tx5ck
    @AbdallaJuma-tx5ck 4 місяці тому +8

    Maalimu mungu akujaalie mahala pema.tunakukumbuka sana mtetezi wa wazanzibar hatutokusahau milele

  • @takdirmahmoud
    @takdirmahmoud 4 місяці тому +12

    Allah akurehemu Mzee wetu, hakika ww ndie uliekua tumaini Letu Zanzibar,, bado utaendelea kubaki kwenye mioyo yetu..

  • @SuleimanChief
    @SuleimanChief 23 дні тому

    Allaah akusamehe madhambi yako na siku ya malipo akuingize peponi .Amiin Yaarabil ghalamiin.

  • @AliAbdalla-lb8su
    @AliAbdalla-lb8su 4 місяці тому +7

    Mungu amsamehe makosa yake na amuingize peponi kwa rehma zake yy Allah

  • @user-ck7zi2rq8h
    @user-ck7zi2rq8h 3 місяці тому

    Allah akusamehe madhambi yko mzee wetu

  • @abdulsaid1015
    @abdulsaid1015 4 місяці тому +1

    Kwa sisi wazanzibari tunakuombea maghfira ,baba,mungu akuondoshee maudhi kaburini kwako ,aaamin

  • @Hilali-ff5ul
    @Hilali-ff5ul 4 місяці тому +3

    Ishaalah Zanzibar ni ytu 2025 ita kavo kuwa ishalah amin ,, mung akulipe kila la kheri maalim haturudi nyuma marahii

  • @hamadimussa2119
    @hamadimussa2119 4 місяці тому +1

    Allaah akurehemu Mzee wetu na Rais wa wazanzibar mtetezi wakweli

  • @Marjeby
    @Marjeby 4 місяці тому +8

    Mie ni Mbara pure sina hata chembe ya uzanzibari lakini kila siku huwa nasikitika sana dhulma ya Bara juu ya zanzibar na huwa simuelewi kabisa Mzanzibari anaeyeunga mkono na kutetea muungano aiseeee.
    Halafu swala la Zanzibar kuwa sio Nchi ni sehemu tu ya muungano hata Mahakama ya Tanzania ilishatamka hilo kwenye kesi ya Shekhe Mohamed Nassor Abdallah Vs Republic (Reginal Commissioner) kesi ya mwaka 1985.
    So mie wazanzibar wanaounga mkono Muungano na mapinduzi hakuna jina lingine la kuwaita zaidi ya machizi tuu

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 місяці тому

      Hapana acha kila mmoja abaki na maoni yake. Siku ya malipo kwa Mungu inasogea. Huyu Maalim Seif ndie aliyemtilia figisu Mzee Jumbe alipotaka kurekebisha Muungano. Huyu Maalim ndie alikuwa Makamo wa Mwenyekiti kama Waziri Kiongozi kwenye tume ya mabadiliko ya makubwa ya Katiba 1984.
      Kuhusu nyongeza ya mambo ya Muungano ilitokana na mabadilko ya dunia hasa kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Anamsema Rais Mwinyi ambae ndie Rais bora kabisa Tanzania aliipokea nchi ikiwa hali ngumu kabisa na akaivusha salama. Ni kweli 100% vyama kuwa vya Kitaifa hili liangaliwe upya haliko sahihi.

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 4 місяці тому

      Shukran kwa ku2unga mkono

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 4 місяці тому

      ​@@hajihassan5433ww hujui ki2 mpaka uone Maalim alichofanya kuhusu uyo Jumbe hujui kilicho tokea ww ni mbinafsi sn

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 4 дні тому

      Ni kweli au stori za vijiweni za kumchafua mtu ,ili aonekane hana uchungu na Zanzibar na anataka kulita mpasuko hali ya kuwa sio kweli.anayemfanyia hadaa mwenzake katika ushirika ndio mkorofi na ndie mbaguzi kwa mshirika mwenzake.

  • @Newchange25
    @Newchange25 4 місяці тому +4

    Allah akulipe mema ma'alim kwa kutuelewesha. Allah atusaidie tuondokane na dhulma hii🤲 Aamiin

  • @samuelmuthui4699
    @samuelmuthui4699 4 місяці тому

    Best Politician ever. Allah amrehemu... From Kenya.

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 4 місяці тому +1

    Allah amrehem maalim huko aliko kamwe hatutorudi nyuma kuhusu ukombozi wa znz

  • @user-tw5ls9eg3s
    @user-tw5ls9eg3s 4 місяці тому +1

    😢 Allahummaghfirlahu warhamu walmaskanat filjannat!Ameondoka mtetezi apa wa kweli

  • @modrikabdallah
    @modrikabdallah 2 місяці тому +1

    Muungano sizani kama utavunjika kti ya Zanzibar na Tnganyika,

  • @Khmediy3241
    @Khmediy3241 7 днів тому

    Weux wenzangu zanzibar mxijidanganye xx watanganyika ndo ndugu zenu mkitengana nasi mtatukumbuka mtabaguliwa na takataka za kiarabu apo zanzibar mpaka mkome!

  • @Khmediy3241
    @Khmediy3241 7 днів тому

    We xio mzanzibar ww mwarabu nyau we rudi bara lakoo

  • @RayyanLule
    @RayyanLule 4 місяці тому +1

    Mola akurehemu

  • @user-rz2ek3qw3h
    @user-rz2ek3qw3h 3 місяці тому +1

    Huyu ni bora alivyokufa kwa maana ni mjinga angeleta mgawanyiko katika Tanzania yetu, wakazi halisi wa zanzibar wote ni watanganyika, karume mwenyewe ni mnyamwezi wa tabora hao wenye asili yake yeye Seif ni waarabu kutoka Oman n.k ni mzanzibar gani mweusi ana ndugu Oman? Wa zanzibar amkeni mtaburuzwa tena na waarabu kama Maalim Seif.

  • @SalehRashid-zz7dc
    @SalehRashid-zz7dc 4 місяці тому

    Dah😂😂😂😂😂😂 kweliiii chema hakidumu Mungu akulaze mahali pema peponi na wale wote wanaotukumbusha uliosimamia kidete kuikomboa ZANZIBAR maadui bado hawaja tuwacha

  • @user-xt3pq4hb2r
    @user-xt3pq4hb2r 4 місяці тому +3

    Kaenda umeenda tutaenda atajibu yote kwa muumba wetu

  • @geey7893
    @geey7893 4 місяці тому

    Anatuthibitishia kwamba Karume alikua Boya muoga au?

  • @frimatuslupimo2031
    @frimatuslupimo2031 3 місяці тому

    Uliwahi kuyasema haya Nyerere alipokua hai?

  • @MohdHaji-us2rr
    @MohdHaji-us2rr 4 місяці тому

    Come zanzibar mmetusalit

  • @Soon815
    @Soon815 4 місяці тому

    Muungano oyeeeee

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 4 місяці тому

    Zanizbar inaaadui watatu, adui wa kwanza yumo ndani ya nchi na Adui wa pili yupo jiran na nchi na Adui wa watatu yupo mbali na nchi hawa ndio wanaojaribu Zanzibar

  • @MohdHaji-us2rr
    @MohdHaji-us2rr 4 місяці тому

    Com zanzibar mmetusalit

  • @AbdalahMtambuka-rh1dp
    @AbdalahMtambuka-rh1dp 4 місяці тому

    Allah amlaze maali pabaya moton

  • @yasserahmed9420
    @yasserahmed9420 4 місяці тому

    Zanzibar kwanza

  • @mohamednyuni2631
    @mohamednyuni2631 4 місяці тому +1

    Chuki yake si zanzibar lakini waislamu na uislamu lakushangaza waislamu wenyewe ndio walio muweka huyo mkatoliki uongozini!

  • @user-pn7fk7xx5x
    @user-pn7fk7xx5x 4 місяці тому

    Umeondoka duniani umeuacha Muungano Zanzibar ni Tanzania na wabaguzi wote mtaondoka mtaiachq

    • @jayjayokocha5463
      @jayjayokocha5463 4 місяці тому

      Zingatia kinachokutoka kinywani mwako. Kuondoka kwao hakumaanishi ni kwa sababu wao walifanya makosa. Kila mmoja yupo kwenye njia ile ile waliopita. Mimi na wewe sote tupo njiani. Huenda tutatofautiana muda tu.

    • @abbyozil4265
      @abbyozil4265 4 місяці тому

      Ww utabaki milele dunian

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 4 місяці тому

    Tutapa wapi kiongozi kama huyu

  • @hamadali5062
    @hamadali5062 4 місяці тому

    Ukupiga tarumbeta zanzibari mpaka maziwa makuu wanacheza. Huu msemo ulikuwa wakati wa utawala wa kisultani zanzibar kabla ya hayo mapinduzi unayosema. Mapinduzi gani unayosema. Hayakuwa mapinduzi ilikuwa ni mauwaji ya kuwauwa waislamu na kuwanyanganya Mali zao. Warabu walitunga minyororo. Minyororo gani warabu waliwafunga? Minyororo mumefungwa na mzungu na wakala wake mtanganyika 😂😂😂😂😂 alafu jinsi mlivjo kuwa munakataa haki mpaka Leo mashuleni munafundishwa kuwa mwarabu katufunga minyororo.

  • @mrdaslam301
    @mrdaslam301 4 місяці тому +1

    Chuki tuu zimewajaa

  • @user-ob2ik5gy1b
    @user-ob2ik5gy1b 4 місяці тому

    We yako yashaaisha huo ni unafiki kwani toka ujana wako ulikuwa naye.