MAKONDA HACHOMOKI | TUHUMA ZA SHAMBULIO DHIDI YA LISSU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 29

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 2 години тому +12

    Hao wanaojiita wasiojulikana watajulikana tu na wanaowatuma watajulikana tu kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu.

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 Годину тому +3

    Lunch time😂😂😂 mi naomba hii kesi iishe before uchaguzii watu matako yatapungua bila diet😅😅😂😂

  • @esthermakelemo2864
    @esthermakelemo2864 24 хвилини тому +1

    Yani Salim kikeke wetu kabisa CHADEMA,paka Raha,Yani akiwa anaongelea maslai ya Wana CHADEMA,hata tukiwa tumeonewa,Yani anaonekana kabisa ameguswa,me nampenda Sana mwandishi wangu wa miaka yote SALIMU KIKEKE,mitano tena

  • @LusiaThom
    @LusiaThom Годину тому +1

    Uyo mwogo kabisa mara maadamani mara iki tumechoka nae mweed

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Годину тому

    Makinda ana nyota kali sanaaaa huyo atadumu sanaaaa

  • @amouromar6943
    @amouromar6943 2 години тому

    Tuko sawa

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 2 години тому +1

    Asiyejulikana

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Годину тому

    Lisu anakwenda kupumzika Chadema imechemka na bado wataobdoka wote waluobdoka mwanzo Ccm oyeeeee kazi inaendelea

  • @TadeiMwende
    @TadeiMwende Годину тому

    😂😂😂😂 kwenye kamera mmetishaa wazee

  • @eliasmedutieki7578
    @eliasmedutieki7578 33 хвилини тому

    Aisee nyie hapo mmnamaliza watu

  • @LusiaThom
    @LusiaThom 2 години тому

    Liogo ilo

  • @eliahbukukumwaikuju7403
    @eliahbukukumwaikuju7403 2 години тому

    Alisema ,kumbukeni nimemtaja mala3,

  • @saluuhans
    @saluuhans Годину тому

    Camera camera 😂😂😂😂

  • @LovelyBrain-wz7si
    @LovelyBrain-wz7si 25 хвилин тому

    Aende mahakamani kwani wasndishi wa habari ndo mahakama?

  • @LovelyBrain-wz7si
    @LovelyBrain-wz7si 27 хвилин тому

    Makonda anadharau akili za lisu mwehu akikimbia na nguo zako ukimkimbiza wewe ndo mwehu

  • @mwanaidchande9180
    @mwanaidchande9180 2 години тому +2

    Mti wenye,matunda ndiyo unapigwa mawe.

  • @lovenesdickson1824
    @lovenesdickson1824 Годину тому

    Ivyo waliompiga lisu risasi ,walipatikana hata mmoja?

    • @MicahGhloloj-bs4cy
      @MicahGhloloj-bs4cy Годину тому

      Walichoma watu moto ndani ya gari wamepatikana Ila wale walimpiga lisu aaaaaah😂😂😂😂

  • @OmarSeafood
    @OmarSeafood 2 години тому

    Siku likikukuta

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 2 години тому +3

    Makonda ataendelea kuwa Makonda mpaka Mungu amchukue maana yeye ndo alimpa Afya,Akili na vyeo anavyovipewa kwa sasa

  • @MasterTulo
    @MasterTulo 2 години тому +3

    😂😂bila kujua anampandisha nyota makonda maana kawaida mtu akiongelewa sana hata kwa mabaya nyota inawaka

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j 2 години тому +2

      Hakuna nyota inayowaka kwatuhuma namajaribio yakutoa uhai wamtu niswala muda jinai haiozi

  • @YHWHYAHWE
    @YHWHYAHWE 2 години тому +3

    Lissu hana sera, kwa kifupi ni mfa maji tuu,

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 години тому +8

      Ndio lkn haimaanishi washambuliwe hii tabia ya kushambuliaa kuteka na kuuwa hii inaonesha madhaifu ya Chama na serikali! Kama waoga hivi ktk siasa,kuteka kuuwa siungi mkono itumike ktk siasa zetu, Vyama vijiamini tu

    • @Gdjn974
      @Gdjn974 2 години тому

      @@aairraahseif5648 yan watu washnde ushnd wao lakn si kuuwana wala kutekana af hak pia itendeke huyu lissu walitka afe iyo sio hak ni mungu pekee mwenye uwezo wa kuamua uish au ufe na s mwanadam apo CCM walifel

    • @zainajirani5296
      @zainajirani5296 2 години тому

      Hongera una akili timamu ​@@aairraahseif5648

    • @FrankNzombo-k3j
      @FrankNzombo-k3j Годину тому +3

      Lisu ni Simba wa taifa

    • @juliusmix
      @juliusmix Годину тому

      Kuna wakati unashindwa hata kuelewa kuwa watu wana akili mbovu kiasi gani. Mtu alipigwa Risasi mchana kwenye eneo maalumu... Leo hajatajwa hata mhusika mmoja halafu unasema ni mfa maji?