Wanaokumbuka movie ya Den of Thieves mnakumbuka ile scene 50 cent akamuita boyfriend wa mtoto wake ili amsalimie kidogo akampeleka ndani gym kwa masela wale kama hivi. Sema Joti ume modify kidogo
Iyo team joti naipenda sana walai wana shine sana natamani siku moja mje na series walai,ila joti alismaill apo baada ya kumaliza kuchanwa msamba😂😂nawapenda wote na naomba like plz #kenya
Shikamo kaka jott huna hata chembe ya wizi hicho ni kipaji chako unajua unajua tena shikamoooo utafuka mbali❤❤❤❤❤❤❤❤❤
KAMA UNAMKUBALI JOTI GONGA LIKE
Ba mkwe kama ba mkwe😂😂😂😂hataki mchezo 😂lazima ahakikishe mwanae yupo mikono salama😂😂
Hapo kwenye nyimbo nyumbani kwao wamezidia ukaliii mie mpaka leo nilijua nyumbani kwao wamezidia ugalii. Mwingine nani? goga like hapa tujuane🤣🤣🤣🤣
HAdi mimi😂😂😂
Dah😅😅
Eti ashakaria mpaka chupa, Nishai, Mtombangile Kitwango, Mikazo, Miguno, Misuguano😊😊😅😅😮😢😢😮😮😅😊
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hizo majina n balaa 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Leo kabadilisha viatu allstar😂😂😂😂 adidas imeisha nin😂😂😂
Ile haiwezi kuisha 😂😂😂
Na kavaa pensi 😂😂😂😂
Yale maguo yake yameisha😂😂😂
🤣
Leo kajuwa kupendez Joti 🤣🤣🤣🤣
Hapo kwenye Hereni kukuchoma ukiwa ukweni mmmmh😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂Nilijua tu akiigiza nishai lazima alie mwishon 😂😂😂😂
mpiga gitaa ndyo kaachwa nje jaman sijapentaa🤣🤣🤣
Lingevunjwa hilo gita tu,asingeachwa pale kwa mama na mtoto
Kazi yake imeisha
Hajaachwa nchi, bali kaagwa kaambiwa watakutana nyumbani 😂😂😂😂
Nawaza jot akipata upenyo atakavyokimbia hapo😂😂
Hivi tunzo ya wasoma coment inatoka lini😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mpiga guitar mwishoni ndio kanivunja mbavu zaidi, wimbo na kisanga alichokipata Nishai ndani vinaendana kabisa🤣🤣🤣🤣
Huyu mzee sio p Diddy kwel😀
😂😂😂😂❤❤ ila joti jamn, sijuh utakuwa lini yaani kama katoto kila siku 😂😂😂😂
Habibi welcome to Dubai 😅
Asiye penda video za JOTI siyo mwenzetu 🎉
Nilijua anamwita akaangile muvi kama alivyoitwa Mwambino😂😂😂
hahahaha aisee nimecheka kwa sauti eti kama dame sivo,,,,,,ebwana joti unajua sana kuigiza masha ALLAH
Nammiss kiboga
😂😂😂😂😂😂 dah usijali mama sisi tumeshakalia mbaka chupa 😅😅😅
Joti nimefurahi sana kumwona huyo dogo wa gitaa, umefanya vizuri
Leo nimewahi nimekuwa wa 86😂😂😂 haya KWA BABA MKWE KUNANI TENA 😂😂😂TUNAANGALIA SASA😂
Shadia weeeeeee, umekuwa wa 86 leo mimi nimekuwa wa 164, 😂😂😂😂😂
@@SadatiRajabu ndiyo kipenzi
Ilo vibe la joti ss😂😂😂leo umebadilisha lile shatii lakoo la blue😂😂umenog kwl
Hãtàrï eti nishakalia adi chupa 😂😂😂😂😂
😂😂😂 Hiyo hereni imetoboa kunako joti chizi
Nishai ilo pande la suruali umenunua wap nakukbali
Kashonesha
Daaah nimecheka sanaa 😂😂😂
Wa moko leo, nipeni likes zangu 😊
Mwambie mama ako
Nenda kwa P Didy anagawa like bure
Dume zimaaa linaomba likes 😂😂😂😂
0:03 wa kwanza apa naomba like 50 tu 🥹
Mbona namuona kama Joseph Guede apo
Joti unajua mpaka unakera😂
Namba moja tz hakuna kama braza jot
Hahahahah kuingia tu kwanza kapata pini ya makalio😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Hapo sasa😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂weeeweee
Aisee😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wewe noumer sio kwa vionjo ivi
nishaiii mtomba ngwile kitwango mikazo misuguano🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂 jotii nakupenda Sana kwa kweliii you make me happy
Mpiga git katisha ila jot 😂😂😂😂 kapig magoti na kurudi rivse kwa magoti
😂😂😂😂😂
Nimejikuta nacheka kama fala
😂😂😂😂😂 ijumaaa nmetenga kama siku yang ya kucheka.........Nishai bana
Njoo tusalimiane ndan😂😂😂❤🎉.
Oooh dada me kwanza Bado Msicha.....
Aaah kwenye msichana apo😂
😂😂😂😂eti nshakalia ata chupa nimecheka sana ila joti😂😂😂
ILAA JOTI DAAH WEWE MZEE NOMA MPENGO WAKO 😂😂😅😅😁😁🤣🤣
Joty mimi nimefrahi Sana umebadilisha lile Buti kako umekula kitu staa
Napendaga za nishai agize nanani anae penda kama mm za nmishai gonga like apa😅😅😅
nifanye nin ili wazazi wake waweze tlia nachoka kabisaaa
Yaani nikikwangalia Joti Nachekaga tu ata kama nina mawazo
Your mom she's good in English or swahili ooooh swahili much much
😅😅😅leo nimefurahii sanaa
Limwanaume limevaa kaa kishoia hapana mimi😅
NIMECHEKA MBAVU ZINATAKA KUTOKA
King matingisa nakubali mwamba
Chichwa hichoo kwa hapa bongo hakuna
😂😂😂😂 da nimeondoa stress leo.
Zuu amepedeza sana mashaalah ❤❤❤
Ila nishai Huna mfano 😅😅
😂😂😂😂 utobolewe na elen matakoni ukweni alafu ulie kama jot ayaaaa ubidue kishundu ili utolewe elen matakoni Wallah jot ni mwehu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Never disappoint jotiii 😂😂😂😂
huu wimbo kali sana
yaitwaje ama msanii yupi kaimba huu wimbo
Ngoma ya zamani hiyo rangi ya chungwa iliimbwa na nyenyembe jazz ya tabora
Nishai umetisha👊
Leo mwanangu kabadilisha viatu😂😂
Ila angevaa vile na hizi nguo angetisha zaidi😂😂😂😂
😂😂😂😂😂🎉joti ila
Nawatafuta wakuta like hapa😂😂😂niangushe kombora langu
Wanaokumbuka movie ya Den of Thieves mnakumbuka ile scene 50 cent akamuita boyfriend wa mtoto wake ili amsalimie kidogo akampeleka ndani gym kwa masela wale kama hivi. Sema Joti ume modify kidogo
Watu atulali tunasubir kitu kipya kutoka best comedy
Hii nyimbo inaitwaje malengend😂😂😂
Rangi ya Chungwa
mchekeshaji wa kimataifa Number1 @JOTI😂😂😂🥰🥰🥰💚💛🧡❤️💓💞💖💝💖
Unatali sana sema nipe jina aloimba iyo nyinbo
Wimbo unaitwa " RANGI YA CHUNGWA"
Et usijali ss tulisha wahi kalia mpaka chupa 😅😅😅
Nimewahi nishai Kwa kunifurahisha from pemba
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.... Nishai mtombakngile.mikazo miguno misuguano Ahahaha... Tumekalia adi chupa....💥👑👑👑👑👑
Cku nikijua kupiga gitaa ntanunua ya kwangu nyie napenda sana gitaa cjui nani atanifundisha
Ii ya 50 cent SEMA mwamba kaongeza mbwembweee🎉❤😂😂😂....
Mm huwa nacheka kabla niangalie move ya joti 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
hii script imeigw kutoka kwenye movie ya DEN OF THIEVES part 1
Baba mkwe kama PIDIDI, nishaï maskini wawatu.
Like commenti yangu kama nawewe uko congo
Hahahahaha Hii umenimaliza brother nimecheka kinoma😂😂😂
Hahahahahahaahahaa😂😂😂😂😂
Hivi joti kujua huku kweli au na yeye alienda kwa p Diddy 😂😂😂😂
Utafkiri kaingizwa chumbani kwa diddy😂😂😂
Zito zito zito!nmekuira mara 3 😂😂 unavua shati ili iweje??😂😂
Tuliorudia hiyo sehemu ya uimbaji na gitaa❤🎉🎉🎉🎉
10:00 we msenge utaniua kwa kucheka. Ile ngumi umeikunjaje? Teh teh teh! Falaaa! Nimecheka balaa.
Mwamba kanunua raba mpya adidas ipo likizo 😂😂😂Bwana Miguno misuguano 😂
Iyo team joti naipenda sana walai wana shine sana natamani siku moja mje na series walai,ila joti alismaill apo baada ya kumaliza kuchanwa msamba😂😂nawapenda wote na naomba like plz #kenya
WA Kwanza
P Diddy huyo mbona anakuita CHUMBANI
Bro umevaa nguo za Airtel mtandao supa
Nani anakataa vitunguu pembeni yangu. Jamani nimecheka hadi kucheka tena😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 eti mpaka vifaranga naua 😂😂😂😂 joti ntakupigia...
MAMA MKWE HIYO NGUO KENYA 🇰🇪 NI YA WAFUNGWA JELA .
GOOD WORK JOTI 👍👍👍
Joti code umeuwa mwenyewe ume match na na ua lako mwenyewe 😂❤
Zuu kanenepa 😢
unatisha tajili weninomaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
yaaaan Jotii katikaa comedy uliwahiii kufanyaa fanatastic hii kibokoooo babuu @joti
Niko na madam wangu nimejikaza zangu nisicheke😂😂Ila wapi
❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas jotii88iiiiii babaaaaaas 😊😅😮😢🎉😂❤❤
Nishai mtombangire kitwango mikazo miguno misuguano
Jotiiiiiiiii uko poa nikiwa Kenya unanifurahisha nilitulia chukua like zangu
Hii umechukua DEN OF THIEVES
Kwaiyo joti umeshindwa kukaza😂😂
😂😂😂mtombangile kitwango mguno msuguanoo😅😅😅😅