Alikiba kwasasa anaendesha gar la Mercedes benz gle coupe 2023- 2024... Ambayo inauzwa 147.000$ sawa na 400,428,000 za hapa bongo, watangazaj nyie ndo mpo karibu san na wasanii ila kuna mengine amjuw 😂😂😂 Milad ayo na Mwijaku wamesha ipost hiyo gari ni nyekundu iv
Hivi hizi dubu zinaisemaga wa kwanza leo afu wanafatish na emoji ya 😂 hivi hamna namna yaku wa block wasi comment kabisa yani haman kero kama kufungua comment unakutan na ujing ujing2
Mimi mwenyewe siwezi kumpa Gali Wala njumba labda awe mke wa ndoa napia awe amenizalia ndio Nampa Gali na njumba ila mpenzi tu siwezi ata nilogwe siwezi upuuzi kabisa 😡😡😡😡
Iv ukiskia jirani kampa mtoto wake jina linalo fanana na jina la mtoto wako unaweza badilisha jina huyo mtoto wako , sidhani kama itakuwa vyema kubadiki nashauri jin libaki kuwa hivyo hivyo tu.
watanzania kingereza mnachojua ni Like, ndomaan kila msanii akiwa anahojiwa Like like zinakuwa nying hata hao watangazaj utasikia wanajaza like like, Tumbafu saana

jikaze mtoto.wa.kiume
@@mwisukulu1 endelea ufirwa mtoto wa kike 😂😂😂
Ushauri wenu, nina mpango wakuzamia Norway kabla hatuja gonga January 😊
Kwnn uzamie Norway wakati ww ni mwafrika mzalendo?
@@rumdeesonsoa1811 ni mzarendo ndio ila likija swala la kusaka life, hapo sina mipaka mzee
Zamiaa tu mambele mwanangu
Saka life... ni Ndot zang pia iz🎉
@@Don.26Alien pamoj mkuu
@@AFRICA_D669 ukifanikiwa unicheki.. na mm unipe formation
Sns niwakumbushe mondi ana pia Mercedes-Benz sprinter van
Jamaa mbinafsi sana et labda moyo tuuuu aiseeee
Hata mimi siwezi, labda mke wangu tu .
I have an idea as you have suggest to go to Serengeti, ninawazo zuri litakafaidisha watu woote, please let get in touch.
Reviews show.... Will be a better name
Hii imebamba
Alikiba ana tembelea benz now
Wanacuki na rayvany sana awa
Angelina ngoma nikubwa sana ila awa jamaa awataki kuona washamba nyinyi
Wa kwanza Leo kutoka Toronto 😂😂
umasikin mbaya sana jamani we mwamba huna hela hamo amenunua mbili
Mngekuwa mnaenda dip mnaonesha picha za hayo magari mnasema majina tu,wengine hata hatujui mkisema jina na picha ingependeza sana,
Waache wanunue magari tuuu!!!! Mimi nitapanda Bodaboda zangu mpaka muwaloge!!!!
Hivi hizi dubu zinaisemaga wa kwanza leo afu wanafatish na emoji ya 😂 hivi hamna namna yaku wa block wasi comment kabisa yani haman kero kama kufungua comment unakutan na ujing ujing2
king kiba no 1
Kutoka 254 Gikombaa Kanairo
Iye mzee
Githurai 44😅
@@JosephevansLyimoo Loli aba
@@hamisitsuma-rc2ej 💪
Samaaa
Mimi mwenyewe siwezi kumpa Gali Wala njumba labda awe mke wa ndoa napia awe amenizalia ndio Nampa Gali na njumba ila mpenzi tu siwezi ata nilogwe siwezi upuuzi kabisa 😡😡😡😡
MBONA LEYVANNY HAMJAMTAJAA
Sio msanii wa bongo tena ni wa kimataifa au hukumsikia mwenyewe alivosema
Ametajwa
+254 ianze mwanzo 😅
Mi kila siku naulizaga je v8 ni aina ya gariiiii au ni aina ya injini(ukubwa wa injini😂) naomba jibu jameni😁😄😂
One Dunia
Nashauri mnavyotaja hao mastaa na magari yao mjitahidi kuonesha sura za hao wasanii na picha za hayo magari ili kufanya kipindi kiwe real nasio theory
Sasa rangeee inazidimoyowako ndugumutangazaji?
Hawa jamaa hawana ata data za bei za magarii wanatumalizia bando tuu
nilikuwa nakupenda lakin hapana hakuna mpenzi hapo
Iv ukiskia jirani kampa mtoto wake jina linalo fanana na jina la mtoto wako unaweza badilisha jina huyo mtoto wako , sidhani kama itakuwa vyema kubadiki nashauri jin libaki kuwa hivyo hivyo tu.
Monyo2😂😂😂😂 hufaikabisa
Nissan nikari kali pia
jacob beautiful voice, but stinginess 😂😂😂 Never 😂
baadala ya Recap tumieni
RUN-DOWN
watanzania kingereza mnachojua ni Like, ndomaan kila msanii akiwa anahojiwa Like like zinakuwa nying hata hao watangazaj utasikia wanajaza like like, Tumbafu saana
Nyingine sio zao, wanakodisha na nyingine wanapewa tu waendeshe kwa muda ziko kwenye mikataba, nyingine za washikaji zao
oya diamond ana benz,kaiandika simba 3,kaongeza na range rover pia
Wekeni view ya gari usika please
THE RUNDOWN
No 1 king kiba
Nyooooooo
@@warrenkilimber4013 tulia
Mumemubagua Niffer
Afu nyie nimecheka 😂😂😂😂
Zinazo BaMba
Jacob jmn 😂😂
Rayvany amewakoseaka nini awa jamaa
Wewe usha wai ona parking ya rayvany
Ile ya Kiba ni Benz nyekundu
🤣🤣ila Jaco😅
Sasa kwa nini mnazungunzia vitu ambavyo hamna uwakika navyo
RECAP to THE SESSION
Jina la kipindi: Run-through with SNS, The Review with SNS
Medeck Jacob 😅 naungana na wewe
DAI MUNGEMTOA TU APO....GARI YA B 2,,FA MCHEZO,,,YANI ANANUNUA MAGARI YA WENZAKE WOTE NA CHENJ JUU
THE SKIPPING SHOW
Iteni summary itakaa poa tu
Do research before you come on air to report guys. Acheni kusema nadhani, nadhani, sijui kama.. such a shoddy work
Benzi
Ya pddd😂
Overview
Rolls Royce kama hile inaanza Dollas laki mbaka laki 180$ Mbaka na Ushuru maybe dolla laki 2 fanya sasa hiyo B3 inafikaje?
Jitaidini wakati mwingine kuilezea gari si kuitaja tuu kimkato