MUFTI AMWAGA MACHOZI AZUNGUMZA MAZITO KWA DARUWESH MTI MKAVU - MSIKITI WA KICHANGANI DSM
Вставка
- Опубліковано 12 вер 2024
- MUFTI AMWAGA MACHOZI AZUNGUMZA MAZITO KWA DARUWESH MTI MKAVU
Follow Us On:
INSTAGRAM: / miladu_tv
FACEBOOK: / babdeo miladu/
TIKTOK: www.tiktok.com...
UA-cam: / @babdeomiladu
Maneno mazuri mh.mufti!!kweli mti mkavu ilikua ukimuona unaona uislamu ule unapita!! innalillah wainna ilayhii rajiuun
Kabisa shekh alikuwa ni yeye na dini tu Allah amrehemu shekh wake shekh wangu
Allah amsamehe Kila alipokosea alifanye Kaburi lake kuwa viwanja miongoni mwa viwanja vya peponi
Amin
Innalillahi wainna ilaihi raajiuun. Alikua ni mcheshi na mkarimu sana nilibahatika kumtembelea kwake nilistafidi sana. Allah amrehemu sheikh wetu
Allahuma Amin
Allah msamehe sheikh wetu na umpe pepo sheikh wetu
Allahuma Amin 🤲🤲
Allahu Akbaar 😢 Inna lilLah wainna ilahi rajiun YaalLah atujaalie tuwe miongoni mwao Yaarab Aamin Yaarab 🤲
Inna lilah wainalilah rajuun Allah ampe kauli thabiti na Allah amsamehe makosa yake na tunamuomba Allah awarehem wanavyuo wetu walio tangulia mbele ya haki Allah ajalie makaburi yao yawe miongoni mwa mabustani ya peponi amin amin.
Inalilah wainailah rajiun Allah ampe kauli thabiti kaburini mwake inshallah 🤲🤲🤲😥😥
Aamina yaa Rabby
Innalillah wa innailahi rajiun....ila masha Allah nmemuona Checkbudi
1:00
Inalilahi wainah lilahi rajiun shehe wetu mti mkavu Allah amuwek pema peponi
Subhanallah allah akbar. Allah atupe mwisho mwema
Innalillahi wa Inna ilayhi rajiuun Allah amsamehe makosa yake 😢
Innalilah wainna ilayh rajiuun Allah ampe kauli thaabit sheikh saalum
ALLAHUMMA GJFIRLAHU WARHAMHU.ShukranMufti maneno yahoo mazito.ALLAHUMMA AAMIIN
Inalilahi wainnahi rajoon allah amlaze mahala pema peponi 🤲🏻🤲🏻🤲🏻
Inna Lillah Wainna Ilayh Rajiun
Allahuma Fiighlahu Warhamhu Waaskunu Filjanna🙏🏽
5:46 Mzee Magoma
INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAAJIUN
Innalillahi wainna ileyhi rajiun.Allah sw amjaalie jannatul firdaus pamoja na mtume wetu Muhammad S.A.W.
Innalilaahi wainnaailayhir Raajiun
INNA LILLAH WAINNA ILAYHI RAJIUUN
Innalillahi wa innaa ilyhi raajiuun😢😢😢
shukrani sana kwa pamoja inshaallaah
Innallillahi wainnallillah rajgh uun mwenyezi mungu kampenda zaidi
Allah amrehemu shekhe wetu
Inna Iillahi wainnna ilayhi rajiun
Allahuakbar allahuakbar😂😂😂,mufti wetu unanitia imani sana kwa maneno yako allah akulipe
Imani gani, usipate Imani inaposomwa qur'an tukufu, eti maneno tu ya mufti yakutie imani? Huo ni unafiki miongoni mwa unafiki
Allah Andika kwa herufi kubwa Allah
Shukran
@@MansourKabuhayaKwakweli watu wapumbavu kama nyie kwisha ni taabu sana maana mnazaliwa kila kukicha. M'Mungu mwenyewe kasema kumbusha kwa hakika ukumbusho unawafaa waumini. Sasa mufti kakumbusha na mtu kawaidhika sijui hata umetokea wapi kenge wewe kuja kumtukana huyu mtu.
Aamin Ya Rabbal Aalamiina ALLAAH atamueka peponi
I naa lillah wainnaa ilayhi raajiuun😢
😢 poleni sana Wana arusha pamoja na matejo ngarenaro yote
Asante
Mwenyezimungu ampe kauli thabit sheikh wetu 😭😭😭
Innalilahi wainnailayihi rajiun 😭😭
Innalillah wainnailahi Rajuin, Allah amsamehe pale alipokosea
Harunery, hata kama una chuki nae, Fanya hekima angalau kufariki kwake, alianzia iblis kutokumuheshimu nabii adam
إنا للّة وإنا إلية راجعون
Innalillah Wainna Illahi rajiuun😭Allah ampe kauli thabit huko mbele za haki
Mbona muft amekuwa mwarabu hivyooo 😮😮. Au anakunywa maji mengi😮😮
umenitangulia kuuliza swali hilo
Inna lilahi wanna inalayhi rajighuni 😢
Amina
Innalilah waina ilah rajiun
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جنانك
Wallah inna lilah wainna ilayh raajiuun ,
Huyu anapakaa Nini usoni 🙄🤔😳Dah mtihani mkubwa ,Cream za Nini? Mumgu amekuumba vizuri Leo mpk midomo imekuwa meusi 🙏
Innalilaah wainna ilaih rajiun
Inna lillahi wa Inna ilaihi rajiun
Innaalillahi wainnaa ilayhi raajiuj
INA LILH WAINNA ILAIH RAAJIUUN MUNGU AMLAZE PHALA PEMA PEPON SHEH WETU
Shekh mti mkavu alikuwa mtu wamaana sana yeye kamsomesha shekh husein wamduli nashekh husein kamsomesha shekh wangu
Innalillah wainna ilayh rajioun😢😢
Inalillah wainalilah rajuun
INNALILAHI WAINA ILAYHI RAJIUUN.
Allah ampe kaul thabit ampeleke Janet fildaus
Binafsi Ndio Kwanza Namsikia Leo Huyu mti mkavu
Huyo ndio Bahari ya Elimu wa Tz.
Inalillah wainailayh raji'gun
Inalillah wainalilah rajiun
Sheikh Mkuu naomba nguzo ya 3 yaani Zaka muifanyie kazi hizo ni haki za watu. Zaka ilianza wakati wa Mtume Muhammad SAW ilipofika wakati wa Umar ibnu Abdiaziz kila mtu alikuwa akitoa zaka hakuna aliyepokea zaka la zilifanya mambo ya maendeleo.
innalillahi wainnailaihi raajiuuuna
Innalillah wainailaih rajighun
Inna Lillah wainailaih rajiuun
Inalilah wainalilah rajughun kwakweli nimelia San tu
Kuwa muft raha mpk maiki unashikiwa? Mpk hotba ikiisha hyo mbaba mkono utakuwa na ganzi🙄🙄🤔
Acha husda,
Nww somesha wanao wafike hapo
Àmina
😂
Inauma asikwambie mtu
Mashekh wasasa pesa tu
Vipi tena shekhe anasafirishwaa kweli masufi shida.
Huji fahamu unatakiwa kusoma ujue
Mshamba huyo hana ata elimu ya mwanafunzi wangu wa mwisho
yani hawa wahabi ujinga umewakaa wanataka kukosoatyuu
Huyo hakuwa mwanachuoni bali alikuwa DARUWESHI AU MTU MWENYE QARAMA
Kwan nini maana ya mwanazuoni
Wanachuoni wa kisufi hakuna faida yyte toka kwao,Allah awasamehe walioyangulia na awaongoze nyinyi mlokua hai kuifaham tauheed na sunna
اذكروا محاسن موتاكم ama hii hadithi huijui ama ni chuki za nafsi na ushabiki.waislamu amkeni badala ya haya ya kuingiliana manhaji zenu angalieni yatakayo saida umma. Wewe ushawaingilia masufi hapa jiulize je watawacha. Sidhani sababu hayakuanza leo haya na hata baada yako yatakuwepo kwa hivo wewe fanya wajib wako wakutafuta kusema mema na kuacha kuingilia watu na yao sababu hautabadilisha chochote.من كان يؤمن بالله و اليوم الاخر فليقل خيرا أو ليصمت
Hakuna faida vipi??
Hawafundishi elimu ???
@@naimasheikh3055 hatufundishwi kuwa na adabu mahali pa msiba mtu anaongea yasohusu msiba Allah asitufishe tukiwa na utovu wa adabu na wenye kedi
Mawahabi Nanyi Hakuna Faida Yoyote Zaidi Ya Kufosi Majambo Yenu Twariqa Ndio Mpango Mzima Nadunia Bila Twariqa Hamuna Chenu Zaidi Ya Nusu Vikanzu Nakufuga Yasio Fugika
Innalillahi wainna ilaihi raajiuun. Alikua ni mcheshi na mkarimu sana nilibahatika kumtembelea kwake nilistafidi sana. Allah amrehemu sheikh wetu
Amina
Inna lillahi wa inna ilaihi rajiuun
Innaa lillahi wainnaa ilaihi rajiuun
Innalillahi wainna ilayhi rajiun😢😢😢
😂
Innalillahi wainna ilaihi raajiuun. Alikua ni mcheshi na mkarimu sana nilibahatika kumtembelea kwake nilistafidi sana. Allah amrehemu sheikh wetu
Innalilahi wainnalyhi rajuun
Innalilahi wainnalyhi rajuun