Mashaallah mashaallah hongera sana kwa washiriki wote hakika nyinyi ni washindi wote❤ Allah awatangulie ktk maisha yenu yote na awajaalie mwisho mwema inshaallah 😘🙏 Quran ni tiba
Mashallah mtoto anaishi marekani na kahifadhi Quran halafu utasikia ulaya watoto wanaharibika mtoto umleavyo tu haitegemei anaishi wapi ALLAH atuongolee vizazi vyetu tuwe na watoto waopenda Quran ameen
Ma sha allah sumaiya Allah akuhifadhi na akubariki Allah akakuvishe taji na wazazi wKo akhera Kama ulivyvisha taji holo ktk hii funia allah akuruzuku akuvalishe taji skhera Aaamyin
Takhbirrrrrrr? Washiriki wote na waandaaji malipo yenu mtayakuta kwa Allah,tunaomba inshaalah ht tinaotazama na kutoa pongezi Mungu atupe kheri pia atuwezeshe kuisoma quraan kadri tulivojaaliwa na tuendelee kujifunza,,,❤❤❤
Bint mzur mung akupe elimu zaid na sis atupe uzao kama wako mashallah wazaz wako wanajivunia wew sumaiya kipenz jina lako tu linaruhus kuwa mtot mzur mung akuepushe na kuipenda dua na akujalie kupend aghera yako natam wengekuwa ata bint yangu kipenz wew ni pekee mung akulinde na mambo ya dunia
Kule kuna wasomali wengi na alhamdulillah hii kwa wao ni mila kabx nasikia kijana wa kisomali ambaye hajahifadhi kwenye koo zao ni aibu bali adiye weza kusoma qrn kbx huyo ndio balaaa
Masha AllahSumaiyya walah anaa mafunzo ya dini tazama anavoinamisha uso ,ndivo bint wa kiislam atakuwavyo kuonekana jmn ,,,swadakta,mwalimu amuendeleze mwakan atazif kuwa juu,Inshaalah
Sumaiyya usiwe na wasiwasi umeshinda kwani nyuma yako wako wengi amewashinda wanawake na wanaume mashindano bado yapo mengi kuna ck na wewe utakuwa wa kwanza inshaallah
Uislamu ni imani kma imani zigne hakuna ndini ilie juu ya ndini zigne imani zote zimeazishwa na watu tu saix naona imani zinataka kuwa mashindano ya simba na yanga kw mungu hakuna mashindano hata cku moja hapo do utagudua kuwa hizi ndini zimeazishwa na watu tu
Ukipimwe akili. Kuoga janaba hujui ka some kwanza halafu ndio ukosoe. Hao wte wamesoma kwanza ndio wakafanya. Dhalika lkitabu laaraibafy hudall muttakeem
Masha AllahSumaiyya walah anaa mafunzo ya dini tazama anavoinamisha uso ,ndivo bint wa kiislam atakuwavyo kuonekana jmn ,,,swadakta,mwalimu amuendeleze mwakan atazif kuwa juu,Inshaalah
Mashaallah mashaallah hongera sana kwa washiriki wote hakika nyinyi ni washindi wote❤ Allah awatangulie ktk maisha yenu yote na awajaalie mwisho mwema inshaallah 😘🙏 Quran ni tiba
❤❤ Jordan Masha Allah..kuna mti kule ulio mfunika jua kipenz chetu Mtume Muhammad (s.a.w). The only living swahab..
Hapana tusiingize vitu visivyo na ushahidi
@@Kim19onlinetv kwani ule mti upo nhi jigani
Waislamu tumeshinda sote. Akishinda wetu au wa marekani au Algeria au popote wote ni Ndugu zetu.
Swadakta
Naam ila akishinda wa nyumbn nyoyo zinafurahi zaidi asikwambie mtu
Hakika
🎉❤❤❤
Kabisaa
Mashallah mtoto anaishi marekani na kahifadhi Quran halafu utasikia ulaya watoto wanaharibika mtoto umleavyo tu haitegemei anaishi wapi ALLAH atuongolee vizazi vyetu tuwe na watoto waopenda Quran ameen
Maashaalla mtoto wetu mzur umefanya vizur sumaya ongeza bidiii
Ma sha allah sumaiya
Allah akuhifadhi na akubariki
Allah akakuvishe taji na wazazi wKo akhera
Kama ulivyvisha taji holo ktk hii funia allah akuruzuku akuvalishe taji skhera
Aaamyin
Masha Allah sumaiya mungu akubariki kwani ni mshindi mungu akuwekeeeeeee
Takhbirrrrrrr? Washiriki wote na waandaaji malipo yenu mtayakuta kwa Allah,tunaomba inshaalah ht tinaotazama na kutoa pongezi Mungu atupe kheri pia atuwezeshe kuisoma quraan kadri tulivojaaliwa na tuendelee kujifunza,,,❤❤❤
Naam !!! Site waislam ni ndugu aloshinda ni mwanetu,🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Mashaallah wazanzibar hatupo nyuma Allah atuzidishie
Allah Akbar
Mungu awabariki viongozi wetu
Nawashindi wetu
Bint mzur mung akupe elimu zaid na sis atupe uzao kama wako mashallah wazaz wako wanajivunia wew sumaiya kipenz jina lako tu linaruhus kuwa mtot mzur mung akuepushe na kuipenda dua na akujalie kupend aghera yako natam wengekuwa ata bint yangu kipenz wew ni pekee mung akulinde na mambo ya dunia
Ammina ya rabbill allamin allhuma kwa sote so beautiful thamaiyya mashallah ana sauti mzr pia anasoma vzr
Licha ya ubabaifu ila Quran inapasua Anga Marekan MAASHAALLAH 🤲
Kule kuna wasomali wengi na alhamdulillah hii kwa wao ni mila kabx nasikia kijana wa kisomali ambaye hajahifadhi kwenye koo zao ni aibu bali adiye weza kusoma qrn kbx huyo ndio balaaa
👌
Mashaallah ❤❤❤❤❤allah atujaalie nass tufk hp au vizazi vyetu pia
ALLAH akuhifadh mwanangu
Usihuzunike kwa hakika hio n rehma na Allah SW Kila KIUMBE kakiwekea RIZKI yako kwa hakika kesho inshaalah na ww utakuwa wakwanza
Asihuzunike kwa maaana iko siku atakua ni wa kwanza " inshallah " yote hayo ni rehema tu kutoka kwa Allah
Maa shaa Allah sijui Mhe Rais kamwambia nn maana amefurahi baada yake ingawa hakua na furaha mwanzo
Uislam una raha sana❤,mtu akishinda anapewa ushindi wake bila ubabaishaj.Pongezi ziende kwa wote waliofanikisha hili,ALLAH awalipe.
Masha AllahSumaiyya walah anaa mafunzo ya dini tazama anavoinamisha uso ,ndivo bint wa kiislam atakuwavyo kuonekana jmn ,,,swadakta,mwalimu amuendeleze mwakan atazif kuwa juu,Inshaalah
Natamani na mm ningelikuwa na mtoto wangu angelihifadhi Quran . Allah hakunibariki namshukuru Allah alhamdulillah
Mashaallah mama Allah atakujalia na ww
ربنا هب لنا من ازواجنا وذرياتنا كرة أعين واجعلنا للمتقين إماما ❤ آمين ياربي @@HamidaKhamis-x2z
Ammina ya rabbill allamin allhuma
Allah atakufurahisha leo na.kesho akhera tumshukuru kwa kila hali
Maskini pole kwani umeshazeheja sana zaifi ya mkewake nabii Ibrahim?
Mungu mwema paka marekani ❤❤❤❤sema Amina mkewangu umetisha sanaaa🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏🙏🙏kwa ushindi jina kubwa
Mashaallah Allah atufanyie wepes kwasote pamoya
MashAllah Tanzania Allaah alibariki
Mshindi toka Zanzibar tu ndo amekbatiana na chura! Mashalla
Allah awababriki nyote, na atujaalie kheir waislamu wote
Masha Allah
Wameshinda wrote barakallah
ما شاء الله اللهم اجعلنا من اهل القرآن الكريم
Ongeza biidii mtto mzur Allah akuhifadhi
Masha Allah 💖💖💖
Hogera sana mdogo wetu sumaya moha akujaze rehema
Mashaallah mashaallah mashaallah Allah awalinde na mahasidi na awafungulie vifua vyao hifadhi Yao idumu na isipotee
Mnawazaga hasidi tu jamani
@@annamussa185 hatuwazi hasidi tunawaombea kwa Mungu awalinde na hasadi na hasadi ni mbaya
Huyo wa 5 nmemtaman 🤲🤲❤️
Umemtamani tena shehe😅😅
Sumaya hongera sana umejitahidi sana
Sumaiyya usiwe na wasiwasi umeshinda kwani nyuma yako wako wengi amewashinda wanawake na wanaume mashindano bado yapo mengi kuna ck na wewe utakuwa wa kwanza inshaallah
Duh yaan uislam ni mtam sana
Mashallah
Mashaallah binti😊
Mashaallah mola a wahifathy
Mashaallah tabarakallah😢😢😢
Maashallah tqbarqkallqh
Masha Allah 🤗🇹🇿💓🤲🤲🤲
Kuna mshindi wa Tanzania na mshindi kutoka zanzibar makubwa
Mashaallah rahaa❤❤❤❤
حسبنا الله ونعم الوكيل.
Mashalla 🥰🥰🥰🥰
Sheikh hao ni wasichana sio vijana pili Tanzania bara na Zanzibar
Kesho mtamuona slaa ataongea alivyo hasid na mdini
Tanzania ,zanzibar
Hizo ni nnchi mbili tofauti kati ya tz,na znz,naomba jibu
Yes, ni tofauti sana, Zanzibar ilikuepo kabla ya Tanganyika kupewa hilo jina achilia mbali Tanzania. @user-tc9vi3ow3n
Zanzibar ni nchi ilopotrza uhuru wake
Mashllah ❤❤❤❤❤❤
Usiuzunike ongezabidii
Kwaio zanzibar sio Tanzania mbona maajabu
Ndio hizo ni nchi mbili tofauti
Majaji shuhuli walikua nayo maaana kila msomaji alikua hodari haswaaaa
Mashallah
Kabisa 🙏🙏🙏
Sanna
UKOLONI MAMBO LEO😂😂😂
Huku hapakuhusu,unaweza kuendelea na ukafiri wako tu
Huyu hana akili anaingilia mambo ambayo hayamihusu kabisa na asubiri j2 aende akaombe msalabani
Zanzibar sio Tanzania🤣🤣🤔
Tanganyika na Zanzibar
Ndio sio tanzania😂😂😂😂
Ndio zanzibar ni ulaya
Mbon mama hawakumbatii hao wengine kamkumbaitia mzenji tu
Fitna imelala usiiamshe.@@fatmamsiliwa8485
Uislamu ni imani kma imani zigne hakuna ndini ilie juu ya ndini zigne imani zote zimeazishwa na watu tu saix naona imani zinataka kuwa mashindano ya simba na yanga kw mungu hakuna mashindano hata cku moja hapo do utagudua kuwa hizi ndini zimeazishwa na watu tu
Wacha maneno wewe😂 leta maandiko utetee hoja sio mdomo tu kwahiyo umeumbwa kula raha tu dunian eti
Kama mtu ameumia pooolee....
Kina tena😂 kisha ni Aisha
😂😂😂
Mmefanya quran kuwa kitabu cha mashairi watu wanaimba kama mashairi
Choko kabs unajielw wewe au unarobk walikuwa unatak waimbe mziki ili ucheze jitabue
Wivu mbaya sana.
Ukipimwe akili. Kuoga janaba hujui ka some kwanza halafu ndio ukosoe. Hao wte wamesoma kwanza ndio wakafanya. Dhalika lkitabu laaraibafy hudall muttakeem
@@ibrahimame9805 kabisa huyo choko nd wale janaba wiki mbili anatembea na janaba looh
Sikushangai ndivyo mlivyo watu wanajidi
Masha AllahSumaiyya walah anaa mafunzo ya dini tazama anavoinamisha uso ,ndivo bint wa kiislam atakuwavyo kuonekana jmn ,,,swadakta,mwalimu amuendeleze mwakan atazif kuwa juu,Inshaalah