Shekh kaongea vizuri ssana,kutaja baadhi ya vitu vinavyochukiza mazikoni si ujinga Bali ni ufundi wa kulingania jamii yenye mchanganyiko wa Rika,we uliyemtukana shekh,nakuusiya,kwamba"MAISHA hayataki hasira yanataka UELEWA"
Dah mawahabi mnatabu sana yani nyinyi ni shida mtu anamtaja Allah kuliko wewe muhabi mmekalia badaa bidaa mbona, mkienda maka kwenye viwanja vya arafa mnakaa kwenye matenti ila si bidaa mbona halo hamlioni nahamsemi bidaa, acheni mamboheni, mtu anamtaja Allah na Mtume wake msimfuate bidaaa😳 astakh firullah, mungu awanusuru nyinyi
Mucmfuate huyu twariqa hii co dini wale c mwenendo wa mtume wala maswahaba itakuaje azikiwe chumbani ?kesho yake mnakwenda kuomba kaburini make hiyo shirking.
Assalam aleykum Nilikuwa napendelea unijuze kama una habari hiyo niulizao Kwani wakati Ahlul Tariqa, walifanya mnakasha ( mjadala ) na wahabi, sijui kama una Taaarifa yeyote kuhusiana na mjadala wowote unijuze
Mashaallah huu ni Mti mkavu kweli, SHEIKH Wangu Allah akupe Afya njema na Mwisho Mwema,
MaashaaAllah sheikh zetu allah awapekheri na Baraka
Shekh kaongea vizuri ssana,kutaja baadhi ya vitu vinavyochukiza mazikoni si ujinga Bali ni ufundi wa kulingania jamii yenye mchanganyiko wa Rika,we uliyemtukana shekh,nakuusiya,kwamba"MAISHA hayataki hasira yanataka UELEWA"
ALLAAHU AKBAR '
aliyesikia umejikunja kama wawu, tugonge likes
Innallilah Wainaillah Rajiun 😢 Mungu akuweke peponi sh mti mkavu kwenye darja firdaus 😢😢 Ww ni alama ya wanazuoni wema
Aaamin yaa Rabby🤲🤲
Shukran shariff kwa kalima ya kuingia nyoyoni
Maashaallah m/mungu akupe umri mrefu,olmatejo ungalmited,umejikunja km wawu
NAMUOMBA ALLAH AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI AMIN
YARABI MPELEKE PEPONI SHEIKHE HUYU.WENGI TUNAMLILIA.AMIIN.
Allah atuhifadhi na upigaji ramli na shirk
Allah akujalie Sheikh wangu afyaaa
Masha Allah
Allah Amuweke Mahali pema peponi
Allah akuongeza utubie asife na imani hizo za kishirikina
Mzee hapo alipo bado ana abudia watu pamoja na wafuasi wake
Wao mashaallah
Mashallah lakini nimecheka kauli zinginne.allah akupe umri murefu yarabi
Allah atujaze kheri
Mungu akuweke kwenye daraja la kwanza la peponi
Maalm zungwe naombea emungu mtoleemchanga wamacho muekemahri pemapeponi amina
Mti mkavu lazma ukitowa mawaiza yako watu wacheka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣... Yaan ndivyo ulivyojaaliwa.... MashaAllah..
Inalillah waina illah rajiuun
Inna lillah waina illayh rajioon
Upumzuke kwa Amani mbele yako nyuma yetu MZEE Salim Darlwesh
Mwenyezi mungu amuaf
Mola akupe umri na afya njema Sheikhna
Gogooo hilooo maashaallah
Asalaam aleykum kakangu. Mm nampenda marhum sheikh Sungu masange.
Asante sana caroline
Daah! Nikweli ata Mimi tulimpenda sana tu lkn mung kampenda zaidi
Zawadi kubwa imetuondokea kwa kweli
Sana mungu atupe na sisi kifo kama hichi tufe tukiwa radhi na watu kama hv
Nikweli kbs dada angu
Aslm tuwaoijiye duwa matii wety sababu tusmehe
Eh mungu
Yarabi blaze pema pepon shekh wang
Allah akbat
الله اكبر ety umejikunja kama waw
MashaALLAH
Yaaala tujaalie mwisho mwema
Allah akbar
Muslim nduguyake muislam ajuae thawabu za mja ni mola wake tuombeni mwisho mzuri
Kad dhahaba nnaasu
Mgaharan
Dah mawahabi mnatabu sana yani nyinyi ni shida mtu anamtaja Allah kuliko wewe muhabi mmekalia badaa bidaa mbona, mkienda maka kwenye viwanja vya arafa mnakaa kwenye matenti ila si bidaa mbona halo hamlioni nahamsemi bidaa, acheni mamboheni, mtu anamtaja Allah na Mtume wake msimfuate bidaaa😳 astakh firullah, mungu awanusuru nyinyi
Subahanallah
Wallah shekh aongea vitue vikumbwa Sana
Subhanallah
Wewe
🤣🤣🤣mtimkavu tumbu pipa tumbo debe 🤣🤣🤣unachekesha
Mucmfuate huyu twariqa hii co dini wale c mwenendo wa mtume wala maswahaba itakuaje azikiwe chumbani ?kesho yake mnakwenda kuomba kaburini make hiyo shirking.
Mzuka
mwamba wa Arusha Nina kumbukumbu ya picha yako tulipiga pamoja
Assalam aleykum
Nilikuwa napendelea unijuze kama una habari hiyo niulizao
Kwani wakati Ahlul Tariqa, walifanya mnakasha ( mjadala ) na wahabi, sijui kama una Taaarifa yeyote kuhusiana na mjadala wowote unijuze
Hovyo
Kwenda
hovyo kivp atujakuelewa
hana wazee kwao
Naona haujitambui😳
Unamaana gn? Naona jina au ni jina tu!
Una chekesha ila point unayo.
Anchekesha Nani
Huyu mzee ni mtihani mtupu,
Kwenye mazishi ambayo Ndio sehemu ya ibra NA mazingatio,
Anakwenda kutaja mavi NA ushuzi.
Hakuna mtihani
Maneno ya masheikh wa aina hii inahitaji utulivu sana kuwaelewa.
C wote wa kumuelewa haraka inshitaji uende naye Aste Aste
Mhhhhh tuwe na adabu kwa mashekhe zetu
Mwamba
Shukran shariff kwa kalima ya kuingia nyoyoni
Masha Allah
Allah akbar