UMRAA - PART 02

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Umraa yupo katika wakati mgumu na kuamua kufanya maamuzi ya kutaka kujiua, lakini kuna mtu anakuja kumsaidia na kwenda nae mjini, huko mjini anapata kazi kwenye familia ya kitajiri sana, kumlea kijana ambae ana matatizo ya akili, kwabahati mbaya wanajikuta wakivunja sharti ambalo Baba wa huo mji alimtaarifu Umraa mapema saana, kitendo hicho kikasababisha miradi yoote ya hiyo familia kuteketea ndani ya lisaa limoja... Je kwanini alipewa hilo shariti? na kwanini baada ya kulivunja hilo sharti miradi yoote ya familia ikateketea? adhabu gani atakayopewa Umraa??
    Ni simuliz tamu sana na kusisimua... ungana nami LUCAS LUMBASI katika sehemu hii ya pili mpaka mwisho
    Kama umependa simulizi zangu usisahau ku subscribe katika channel yangu kwa simulizi zitakazo kukuburudisha, kuelimisha. Pia Tembbelea kurasa zangu za mitandao kajamii
    INSTAGRAM: / lucaslumbasi_tz
    FACEBOOK: / mrlumbasi
    TIKTOK: / lucaslumbasi

КОМЕНТАРІ • 95

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 8 місяців тому +6

    Jaman njoon huku kitu kimetoka tusikilize Asante lucas maua yako mapema🎉🎉🎉🎉

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 8 місяців тому +4

    Asante Lukas kwaajili yako tunaburudika, Mungu abariki kazi yako

  • @user-el1rx9ei1o
    @user-el1rx9ei1o 2 місяці тому +1

    Histoire nzuri

  • @kimzymamy6594
    @kimzymamy6594 8 місяців тому +4

    Wapili nimewai❤🎉🎉🎉

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 7 місяців тому +2

    Kaxi kweli bibi watatu nabado unaoa tuu hata nguvu zakiume zimeisha lkn kuchafua mtuu jamani sikuxote wake wakubwa wengine wako nautu naalijua huyu dada ataangukiia mume mxuri tuu nahisi nihuyo kijana tairaa

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART 8 місяців тому +4

    Kusema ukweli hii,simulizi sielewi kabisa,yaenda mbele ikirudi nyuma,mwanzoni ilikua ikieleweka,Alafu umraa usichokielewa nn hapo,na uliolewa ukiwa na 15 yrs

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  8 місяців тому +1

      Pole Rose ni mistake kidoogo ya mwandishi... lakini inaeleweka vzr tu mumy... swala la miaka lisikuchanganye kwenye kisa cha simulizi

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 8 місяців тому +3

    😂😂😂😂😂😂 uwiii umasikini mbaya yani unalea jitu alafu unaambiwa mtoto khaaa😂😂😂😂

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u 8 місяців тому +1

    Daah Yani tamu hii simulizi Pamoja sana anko Lucas ❤❤❤tuko pamoja

  • @divinahonduso9591
    @divinahonduso9591 3 місяці тому +1

    Makubwa nimeyatimba😂😂😂😂😂😂😂😂😂duuuuh

  • @catherinekazeze167
    @catherinekazeze167 8 місяців тому +13

    Wa kwanza leooo like zanguuu

  • @user-im3xr5ru7c
    @user-im3xr5ru7c 8 місяців тому +2

    Waooo shukran sana ❤❤❤😂😂😂😢😢😢😢🎉🎉🎉🎉

  • @user-ug6df5kg7n
    @user-ug6df5kg7n 8 місяців тому +1

    Wow nimependa jinsi ulivyoimba hio birthday song.....tamu saaana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mkasijuma8970
    @mkasijuma8970 8 місяців тому +2

    Umràa kavunjaa Mikoo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Imenogaa Shukran sanaa Brother Lucas

  • @zuhramwavyoni8400
    @zuhramwavyoni8400 Місяць тому +1

    ❤❤❤

  • @user-xq5vs9it5k
    @user-xq5vs9it5k 7 місяців тому +1

    Hongera kaka simlizi zko zasisimua ❤❤❤❤

  • @omerrashed9080
    @omerrashed9080 8 місяців тому +2

    Lucas lumbasi nice job ❤❤

  • @halimahaji3856
    @halimahaji3856 8 місяців тому +2

    Maskini umraa❤simulizi kali jamani ❤

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 8 місяців тому +2

    Shukran ndugu Lucas kwa muendelezo wetu we love you ❤❤❤❤

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u 8 місяців тому +1

    Duuh mtukasha balehe kbc siatari hyoo umraa mbona kazi unayo😂😂😂❤🇴🇲🇴🇲

  • @elizabethmahenge2481
    @elizabethmahenge2481 8 місяців тому +2

    nzur jaman na inamafunzo

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 8 місяців тому +1

    Mali ya shatani si halali hari kuwa na mungu Lakini si shatani asente Sana Lucas lumbasi pendo la mungu kwako

  • @MacrinaSalama
    @MacrinaSalama 7 місяців тому +1

    ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @anithahalicy2715
    @anithahalicy2715 8 місяців тому +2

    Tayari muzigo ❤️

  • @user-ro7xv7bk3y
    @user-ro7xv7bk3y 8 місяців тому +2

    Kweli huyu binti mjinga hajielewi maskini uoga utakuponza

  • @shammyomary489
    @shammyomary489 8 місяців тому +3

    Jamani hii simulizi hata sielewi part 1 alipofikisha miaka kumi na saba alivyunja ungo kabla ya mama vodi kufariki pale alipomwambia ndo mda wa kuondoka pia alipokuwa akinenepa na kupanuka sasa inakuaje huku ajavuta ungo bado eti ana miaka kumi na sba wakati nyuma aliolewa akiwa na miaka 15 na amekaa miaka miwili kabla ya mke mkubwa kufariki sass inakuaje huku ana miaka 17 au ndo hadithi muandishi anajisahau 😂😂😂😂

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  8 місяців тому +1

      Shammy jaman hiyo ni mistake tu ya mwandishi🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹

  • @user-yu4jk5vu2n
    @user-yu4jk5vu2n 5 місяців тому +1

    Ndio nikwasababu yahayo mapenzi yaliyo fanyika

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 8 місяців тому +1

    Jamani UMRAA kavunja sharti na baba mwenyenyumba alimwambiya, ila arifanya vizuli kuwaumbuwa ngoja tusubiliye part 3 ili tujuwe itakuwaje, chezea mashariti wewe looooooh wameyakoroga haswaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART 8 місяців тому +2

    Crack ndio utajiri wenyewe 😂😂 hilo ndio zindiko lao,umraa kashalivunja,by the way amefanya poa,hapo kamkomboa crack kwenye matatizo

  • @dhuhasaid636
    @dhuhasaid636 8 місяців тому +1

    😂😂Baba c alimuweka mwanae kitega uchumi😂😂wamevunj sharti

  • @user-xh8kx9ks3q
    @user-xh8kx9ks3q 7 місяців тому +1

    Jamani nimecheka Hadi machoz analia Kama mtoto wa miaka5 eti nimeyatimba jamani si kwa kutuchekesha huko

  • @dainessmichael
    @dainessmichael 8 місяців тому +2

    Waoooooo❤❤❤❤❤

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 8 місяців тому +1

    Duuh mzee amepatikana 😂

  • @user-fu6ew1jb6e
    @user-fu6ew1jb6e 8 місяців тому +1

    Umrah kushaharbu mashart ushatia wtu umaskin hlfu unakimbia 😅😅😅😅😅crack atazid kuw kichaa

  • @OuruMartha
    @OuruMartha 8 місяців тому +2

    🔥🔥🔥🔥

  • @user-he3uz9qm4f
    @user-he3uz9qm4f 8 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤❤kwa kweli hii ni zur sana🎉🎉🎉🎉

  • @shammyomary489
    @shammyomary489 8 місяців тому +1

    Kwa kweli ni nzuri mnoo

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 8 місяців тому +1

    Utamu juu ya utamu wallah

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 8 місяців тому +1

    Mzee kimemramba aibu unamtumia mwanao kufanya zezeta ili utajirike SubhannaAllah

  • @sabrinarashid7990
    @sabrinarashid7990 8 місяців тому +2

    Asante lucas

  • @Mercymariki2017gmail
    @Mercymariki2017gmail 8 місяців тому +1

    makubwaaa nimeyatimbaaa😅😅😅😅😅😅

  • @rechokizumbe7314
    @rechokizumbe7314 8 місяців тому +1

    Ndo naanza kusikiliza ila natamani vodi aondoke nae Ummy

  • @user-br6en2pb8c
    @user-br6en2pb8c 8 місяців тому +1

    Nmependa hapo mwisho😅😅😅

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 8 місяців тому +1

    Pengine huyo crak alikua akifanya mapenzi wana filisika basi usitucheleweshee

  • @dorocasndunge1829
    @dorocasndunge1829 8 місяців тому +1

    Umraa amearibu kila kitu kwa kufanya mapenzi na kitenga uchumi chao

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 8 місяців тому +2

    Kuna kipande kimerukwa kusomwa,inaonekana huyo Crak alifanywa kuwa hivyo makusudi ya kupata utajiri kwa sharti la kutofanya mapenzi na mwanamke najaribu kuwaza tu

  • @catherinekazeze167
    @catherinekazeze167 8 місяців тому +2

    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @jenipherisaya684
    @jenipherisaya684 7 місяців тому +1

    Kiukweli huku mwisho lucas sielewi mbona simulizi inaenda mbele na kurudi nyuma

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 5 місяців тому +1

    Ila kweli Dikckson ni shida zaidi ya shida yaani hata kweli walio sema kuwa ni heri kumfadhili mbuzi kwani utakunywa supu kuliko kumdhamini mwanadamu hawakukosea kwani kama mzee maula alimsikia mkewe haya yote hayangemkuta wala kumfikia ,pia Rania nae dharau zimemponza na atajutia mnoo kwa maamuzi yake kumdharau Rashidi kwa mali na hela alizo nazo ,Ila sio kitu kwa mwanamke kuwa ndie mwenye kipato kikubwa kuliko mwanaume kwani mwanaume huwa kama umbwa tuu mlangoni ila sio mme

  • @cyinesteve-qp1qb
    @cyinesteve-qp1qb 8 місяців тому +1

    Asante lukasi ila ckuiz unaruka ruka vipengele,unachanganya vpengele😢

  • @nahimanahawa
    @nahimanahawa 8 місяців тому +2

    Leo ni 11😅

  • @fatmaomar6741
    @fatmaomar6741 8 місяців тому +1

    Sababu yote ni umraa kufanya mapenzi

  • @ashwaqhasni
    @ashwaqhasni 8 місяців тому +1

    Mbona Luca unachanganya changanya vingine hata havieleweki

  • @rechokizumbe7314
    @rechokizumbe7314 8 місяців тому +1

    😅😅😅

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 8 місяців тому +1

    Nice story be blessed my wetu kipenzi twakupenda pia tena sana atutakosa,wewe tena kwa uwo utaaamu unaotulisha chakula cha ubongo sauti taamu tukose aisee ni ngumu kukosa simulizi zako ubarikiwe sana kaka yetu Lucas Lumbasi tuko pamoja ❤❤❤🎉🎉

  • @jacklinebundi8213
    @jacklinebundi8213 8 місяців тому +3

    Kitendo cha Umraa kufanya mapenzi na Clark ilienda kinyume na masharti ya mganga kuhusiana na utajiri yao. Can't wait sehemu ifuatayo.❤❤❤❤

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  8 місяців тому

      Jack jaman nani kakuambia umwage mchele kwenye kuku wengi😅😅😅😅😅... anyway umeBet tu... sawa usikose kesho kwa uwezo wa Mwenyezi-Mungu

    • @josephineuwizeye8250
      @josephineuwizeye8250 8 місяців тому

      Much love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @saumunyadzua
      @saumunyadzua 8 місяців тому

      @@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI inshallah

  • @user-lx3bs3iq8t
    @user-lx3bs3iq8t 8 місяців тому

    Nzir San ii jamn❤❤❤❤

  • @user-xh8kx9ks3q
    @user-xh8kx9ks3q 7 місяців тому +1

    Sasa wewe Imraa ulisahau Kama Kuna kamera

  • @dhuhasaid636
    @dhuhasaid636 8 місяців тому

    Hay Santee mkaka mwenye sauti yake town ❤❤haichoshi ❤

  • @Salma-zi6hn
    @Salma-zi6hn 8 місяців тому

    God bless 🙌 🙏 ❤️ 💖 ✨️

  • @aminanuranassor660
    @aminanuranassor660 8 місяців тому

    Very stor so much ❤❤

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 6 місяців тому +1

    Hao wazaz wajinga nae umraa mpuuzi sana anashindwa kutoroka kwenda mbali

  • @josianekwizera3809
    @josianekwizera3809 8 місяців тому +1

    🤔🤔🤔😳😳😳❤❤❤

  • @sarakahidi6348
    @sarakahidi6348 8 місяців тому

    Pia mm nimefika mapema

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 8 місяців тому

    Nice

  • @nancybendera9011
    @nancybendera9011 8 місяців тому

    🎉🎉❤

  • @omanss268
    @omanss268 8 місяців тому

    Asante lukas❤❤❤❤

  • @kingbtz.8752
    @kingbtz.8752 8 місяців тому

    sangp jamn inaendele

  • @fatumahaji-ei5hk
    @fatumahaji-ei5hk 8 місяців тому

    Asante luka wetu

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 8 місяців тому

    Walimueka crack kiti Cha majini asilale na mwanamkeiliwapate utajiri Sasa kitendo chakulala na Umraa ndio kikasababusha Mali zao kuharibika

  • @aaq9812Bintksaim
    @aaq9812Bintksaim 8 місяців тому

    ❤❤❤❤❤🎉

  • @rechokizumbe7314
    @rechokizumbe7314 8 місяців тому

    Kijijini kule sialivunja ungo jamani ndo akaanza kupewa dawa au sijasikiliza vizuri

    • @scollamwanisisi2739
      @scollamwanisisi2739 6 місяців тому

      Ndio namim nikiskia hivyoo au skuskia vizur pia, hapo kajichanganya mwandish ila nikaz ngumu sana wanajitaid hata ivo

    • @user-lx2hg9mh2t
      @user-lx2hg9mh2t 3 місяці тому

      Ungo kavunja mara mbili 😂

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 Місяць тому

    Clack alitolewa kafara...
    Na hiyo sex Ndio imevunja ma sharti

  • @user-iu6if9bg6f
    @user-iu6if9bg6f 8 місяців тому

    Walimtowa kafara Sasa mashart yame vunjila

  • @kingbtz.8752
    @kingbtz.8752 8 місяців тому

    inamaanish hata hiyo hali ya mtoto wao nikwasababu ya mali

  • @GraceBakari-wo8ly
    @GraceBakari-wo8ly 8 місяців тому

    Asante 🎉❤

  • @vitorinoantonioali648
    @vitorinoantonioali648 8 місяців тому

    Tuma araka

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 8 місяців тому

    Ndio sex ili coast hasara kubwa ila kama MUNGU kaamuwa kumponya crack kupitia ummra basi hata wafanye nini haeataweza kuwatenganisha

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 8 місяців тому

    Ilisababishwa na sex 😅😅😅❤❤🎉🎉🎉

  • @user-sp9tq8mq6q
    @user-sp9tq8mq6q 8 місяців тому +1

    ❤❤

  • @user-xy8jg3ry2d
    @user-xy8jg3ry2d 4 місяці тому +1

    ❤❤❤❤

  • @nellylewa4457
    @nellylewa4457 Місяць тому

    ❤❤❤❤

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 8 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @mwanasiti83sete63
    @mwanasiti83sete63 8 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-cw4mv3kw7y
    @user-cw4mv3kw7y 8 місяців тому

    ❤❤❤❤