SIMULIZI MPYA- UMRAA..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2023
  • Umraa ni binti anaeishi kijijini na wazazi wake, ni familia ambayo ilikuwa inapitia hali ya umaskini, lakini kutokana na tamaa ya Babaake anamuozesha Umraa kwa mzee mwenye watoto zaidi ya 30 na yeye akiwa ni Mke wa nne kwa mzee huyo... changamoto alizokutananazo kwanza alisingiziwa yeye ni mchawi na pia aliishi maisha ambayo wake wenza walimfanyia vituko kila kukicha.... ni simuliz tamu sana na kusisimua... ungana nami LUCAS LUMBASI mpaka mwisho
    Kama umependa simulizi zangu usisahau ku subscribe katika channel yangu kwa simulizi zitakazo kukuburudisha, kuelimisha. Pia Tembbelea kurasa zangu za mitandao kajamii
    INSTAGRAM: / lucaslumbasi_tz
    FACEBOOK: / mrlumbasi
    TIKTOK: / lucaslumbasi
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 81

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 7 місяців тому +6

    Wazazi washenzi sana hawa,wanatawaliwa na tamaa mbaya ya kuuza binadamu,ndiyo maana naulaani sana utaratibu wa mahari unaoleta mateso makubwa kwa baadhi ya wanawake,ni sawa na utumwa uliokuwako kabla ya kupata uhuru,wanaotetea haki za wanawake hawaoni mambo yaliyo muhimu wanatetea upumbavu kibao tu

  • @user-tn3ti5rs5k
    @user-tn3ti5rs5k Місяць тому +1

    Next

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 7 місяців тому +5

    Tunakupenda ❤ lukas Lumbas,, has a kicheko chako jmn jmn

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 5 місяців тому +1

    Lucasi lumbas again

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 7 місяців тому +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤mob love to mr lukas lumbasi kwasimulizi nzuri❤❤❤❤

  • @catherinekazeze167
    @catherinekazeze167 7 місяців тому +2

    Daaaaa to sad pole umraa🥹🥹

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 7 місяців тому +2

    Pole sana Umraa! C'est domage! Much love from🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 7 місяців тому +3

    Pole sana umraa masikini imepitia mengi kwa umrii mdogo 😂😂😂ila ningekua mimi nisngerudi hata kwa uchawi khaaa

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 7 місяців тому +2

      So kurudi tu hata huko kuoleka kwa libabu kwa shinikizo ya wazazi nisingeoleka hizo ng'ombe mbona wangejua jinsi ya kuzilipa aaah 😀😀😀

  • @nellylewa4457
    @nellylewa4457 День тому

    Asante sana ❤❤❤❤

  • @anithahalicy2715
    @anithahalicy2715 7 місяців тому +2

    Nimemiss simurizi zako brother Asante sana ❤

  • @ajiliamosi9102
    @ajiliamosi9102 7 місяців тому +10

    Lucasi kaka angu natafuta kwanguvu najitahidi hata kwa kidogo nichangie kifaa chako najisikia vibaya kukaa siku nyingi hivyo bila kukusikia

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 7 місяців тому +2

    Shukran kaka Lucas

  • @omerrashed9080
    @omerrashed9080 7 місяців тому +3

    Watatu pamoja sana Lucas lumbasi ❤❤❤

  • @AsiyaMangaza54-qr1kk
    @AsiyaMangaza54-qr1kk 7 місяців тому +2

    Courage kaka na merci kwa yote🙏

  • @MohammedAlhabsi-ji4ux
    @MohammedAlhabsi-ji4ux 7 місяців тому +2

    Wapili🎉🎉

  • @user-xy8jg3ry2d
    @user-xy8jg3ry2d 5 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 7 місяців тому +3

    Wakwanza jamqni naomba like zenu jamani

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART 7 місяців тому +1

    Tupo hapaa 😂😂 thenk you sir Luca 🏃🏃🏃🏃

  • @user-im3xr5ru7c
    @user-im3xr5ru7c 7 місяців тому +1

    Waooo shukran sana ❤❤❤😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉😢😢

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 7 місяців тому +2

    Shukra ndugu Lucas ulipotea lakini sasa umerufi mungu akubariki amin ❤❤❤

  • @tabiasalum3381
    @tabiasalum3381 7 місяців тому +1

    Nimewai❤❤❤

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 7 місяців тому +2

    So sad UMRAA

  • @omanss268
    @omanss268 7 місяців тому +1

    Tamu sana usicherewa mwendereza maua yako lukas🎉🎉🎉🎉🎉

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 7 місяців тому +1

    shukrani Lucas kwa kazi nzuri na wenye mafunzo mengi

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u 7 місяців тому

    Daah pole yake Yani nishida sana aswa kuolewa namtu usie mpenda ❤🇴🇲

  • @user-ug6df5kg7n
    @user-ug6df5kg7n 7 місяців тому

    Daaah inasikitisha saana yaani mwanamke anatumika kama kitega uchumi daaah balaa....ila simulizi nimeipenda saana🎉🎉🎉🎉🎉

  • @aminanuranassor660
    @aminanuranassor660 7 місяців тому +1

    Very stor so much ❤❤

  • @aishapogwa2916
    @aishapogwa2916 6 місяців тому

    Pole umraa

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 7 місяців тому +2

    ❤❤❤❤

  • @emilianamagala-wj7jc
    @emilianamagala-wj7jc 7 місяців тому

    Nzuri mwendelezo tafadhali

  • @user-np8ol7bd4r
    @user-np8ol7bd4r 7 місяців тому +1

    To day I'm 11 ❤❤❤❤

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 7 місяців тому +1

    Thank youuuuuuu so much 💞 mungu akubariki sana twashukuru sana kaka yetu Lucas Lumbasi mjengoni ❤❤🎉🎉

  • @anithahalicy2715
    @anithahalicy2715 7 місяців тому +1

    Please part 2

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 7 місяців тому +1

    Usitucheleweshe sana basi mr

  • @MacrinaSalama
    @MacrinaSalama 6 місяців тому

    Interested story ❤❤

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 7 місяців тому

    Pole sana jamani kweli roho hiziyo kwa na huruma kwa mtoto wa mtu

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 7 місяців тому +1

    Tumalizie mapema jmn

  • @NishaMussa
    @NishaMussa 7 місяців тому +1

    ❤️❤️❤️🎉🎉

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 7 місяців тому +1

    Afu wanaume sijui ni vile hawajui utungu wa labour ndo maana huwa wanasapot upuuzi,nyie nyie wababa subirini siku yenu yaja, anyway thanks Lucas kwa kutukumbuka waiting 4 de next episode ❤❤🎉🎉

  • @user-pr8gq5mo3w
    @user-pr8gq5mo3w 7 місяців тому +1

  • @aaq9812Bintksaim
    @aaq9812Bintksaim 7 місяців тому +1

    ❤❤❤🎉

  • @mwanasiti83sete63
    @mwanasiti83sete63 7 місяців тому +1

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @GraceBakari-wo8ly
    @GraceBakari-wo8ly 7 місяців тому

    Asante kaka

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 7 місяців тому +1

    Hadithi tamu lkn huo mlio kwenye background unakera jamani. Acha simulizi iwe simulizi ndio inapendeza. Tuna masikio mawili tu. Sauti yako Anko Jay inatutosha

  • @user-hp6kd7sh1h
    @user-hp6kd7sh1h 6 місяців тому

    Umura😂😂😂😂😂 jmn

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 7 місяців тому

    ❤❤❤

  • @JuwairiyaRamadhan-cu9xu
    @JuwairiyaRamadhan-cu9xu 7 місяців тому

    🎉

  • @user-xh8kx9ks3q
    @user-xh8kx9ks3q 5 місяців тому

    Junia Zima wanakula siku mbili😂😂😂😂

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 6 місяців тому

    Waxaxi wengine bn yani mali mbele kuliko hata utuu tena mtoto wenu jamani

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 7 місяців тому

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 7 місяців тому +1

    😢😢😢😢😢❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 7 місяців тому +2

    So mchezo unatambulishwa mke 4 imejin kwa mzee ana watot 30😢😢😢😢

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 7 місяців тому

      😂😂😂😂watoto 30 dear ukadhani ni wengi bc?kijiji kimoja krb na kwetu kuna mzee alikuwa na watoto 200 na wake saba sasa sijui ndo alikuwa anatafuta sifa maana ni Maasai na wengi wao husema mifugo,mashamba,wake na wtt ndo utajiri kwao

  • @user-so4gw1wz9b
    @user-so4gw1wz9b 2 місяці тому

    😅😅😅😅😅😅😅

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 7 місяців тому +1

    Maisha ya watu wenye tamaa na mali ni mabovu mnoo ila siku zote MUNGU hajawahi mtupa mja wake tena ili ufanikiwe mitihani nilazima ukumbane nayo

  • @user-vg5sf7kh2s
    @user-vg5sf7kh2s 7 місяців тому

    😢😢😢😢

  • @lizzygabriel9601
    @lizzygabriel9601 7 місяців тому

    Yaani watu waliokuuza unatoroka unarudi tena pale unaakili kweli? Hata kama hujasoma hata akili za kujiongeza jamani 😮😮😮hapa mtunzi umefeli kwa kweli

  • @josianekwizera3809
    @josianekwizera3809 7 місяців тому +1

    😢😢😢😢😢😢😢😮😮😮😭😭😭

  • @user-cw4mv3kw7y
    @user-cw4mv3kw7y 7 місяців тому +1

    Nice story

  • @SHIJA_
    @SHIJA_ 7 місяців тому +1

    LUMBASI UNAUPIGA MWINGI SANA

  • @candidekaneza8587
    @candidekaneza8587 7 місяців тому

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @AnithaArakaza
    @AnithaArakaza 7 місяців тому

    ❤🎉🎉

  • @user-lv5iw6wn6q
    @user-lv5iw6wn6q 7 місяців тому

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉