MAAJABU: MATUNGURI YAKUTWA KANISA "WAUMINI WANACHAPWA VIBOKO"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 308

  • @macklinanicolaus5110
    @macklinanicolaus5110 5 років тому +21

    Watu wangu wanaangamizwa Kwa kukosa maarifa HOSEA 4:6

  • @barakakings
    @barakakings 5 років тому +20

    Hapo tatizo ni
    1.Elimu
    2.Ukosefu wa Huduma za Afya
    ###

  • @missfa4650
    @missfa4650 5 років тому +12

    Maskini..Proud to be Muslim kama wewe in muislam gonga hapa na tuseme Allahu Akbar

    • @ednantabalwa1118
      @ednantabalwa1118 4 місяці тому

      Waislam si mnaongoza kuwa waganga wa kienyeji au hyo am proud vepe waislam hamna dhambia au?😂

    • @mayraamon8965
      @mayraamon8965 4 місяці тому

      Mungu nifunge kinywa nisiseme kitu juu ya hili

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 Місяць тому

      Allahhu akbar

    • @JudithNjovu-zt9sn
      @JudithNjovu-zt9sn Місяць тому

      😂😂😂😂unachekesha na SHEHE YAHAYA mlio kua mkimnadisha yule alikua dini Gani?

  • @eligiusvitalis3504
    @eligiusvitalis3504 5 років тому +28

    Tatizo hapo inaonekana hapo hamna huduma za Hosipitali , Serikali ijitahidi iwapelekee huduma muhimu.

    • @manyotaskipper5765
      @manyotaskipper5765 5 років тому +2

      tatizo Elimu Wananchi hawana elimu inayoweza kujitambuwa

  • @officialmatambi5550
    @officialmatambi5550 5 років тому +6

    Sukuma ndani hao wana dhalilisha Ukristo

  • @abelkipege3930
    @abelkipege3930 5 років тому +4

    Mungu awa linde viongozi wangu mlio lishikilia hilo

  • @MichaelMwakibolwa
    @MichaelMwakibolwa 5 років тому +2

    Asante DC, Fanya yako!

  • @lawijosephezekieli1078
    @lawijosephezekieli1078 2 роки тому +2

    Umasikini kilasiku tunasema serikali badirisheni maisha kwa watanzani viongozi wengi co wazarendo wakishapata waoo wengine wanawaona kama wanyama ninaimani walikuwa wanajuwa ila kwakuwa walipata ujila wakala kmy

  • @kenerdodera3567
    @kenerdodera3567 5 років тому +5

    mw/wakijiji afisa mtendaji wa mtaa balozi wanyumba 10 wote wanahusika ktk upuuzi huo tiandani wote hao hawana maana

  • @rastonmwakifuna8583
    @rastonmwakifuna8583 5 років тому +2

    Mnawalaumu tuu hao raia... DC anasema wapo hapo zaidi ya miez sita, sasa DC na mtendaji walikuwa wapi miezi yote hiyooo? Picha ya haraka hapo inaonesha hakuna hospital hayo maeneo ndio maana wahunii wamejitokeza kuanzisha makanisa..... Daaah very sad yaan then mwenyekiti anakamatwa huku afisa mtendaji ameachwaa!!!!!!

  • @nelsonandanyi
    @nelsonandanyi 5 років тому +1

    Poleni tiyari Mungu kashawaonekania...

  • @denniskado3990
    @denniskado3990 5 років тому +7

    Tatizo hapo ni Elimu tuu

  • @abdallahmussa5566
    @abdallahmussa5566 5 років тому +5

    Swali la msingi, Je waumini wanauelewa kiasi gani juu ya imani zao?

  • @natyvan4071
    @natyvan4071 5 років тому +2

    Mungu ebu tuokoe baba yangu nakupenda .wachungaji gani hawa

  • @kassimjuma8713
    @kassimjuma8713 5 років тому +7

    Mh. mimi nakutaalifu kunalingine La Mwamposa na Mwingira na Rwakatare . Yani haya ndo matapeli makubwa

  • @drrahaburubago6303
    @drrahaburubago6303 3 роки тому +1

    Hapa kuna shida kubwa ya Elimu, elimu ya kiroho, umasikini uliyokithiliwa, shida ya hospitali. Yaani hapo hakuna wa kukwepa lawama. Wananchi wenyewe wenye uelewa na wasiyo na uelewa, hao waganga wa kienyeji, lakini kikubwa ni Selikali na hasa uongongozi wa maeneo hili ni lazima wawajibike. Wameshindwa kusimamia jamii na huenda wanakula rushwa kwa hao waganga. Mungu atuhurumie KIZAZI HIKI.

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 Місяць тому

    Uko ni wapi

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 5 років тому +2

    waganga wa kienyeji wamekuja kivingine.

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 Місяць тому

    Eh bhana eh 😢😢😢😢😢

  • @kelvinkimisha5518
    @kelvinkimisha5518 5 років тому +9

    Na hasa Dada zetu ni wepesi mno, oo nimeokoka njo kwenye kanisa la fulan uombewe

  • @annemlay11
    @annemlay11 Рік тому +1

    Tanzania yetu ina hali mbaya sana ya usalama.Watu wanafanya vitendo vya kipuuzi na kwa muda be mrefu bila serikalikujua.Hii ni hatari sana.

  • @edwinjohn2226
    @edwinjohn2226 5 років тому +26

    Wajinga ndio waliwao,Waacheni hao watumishi wapige dili, mbona dar kuna wasomi lakini wageuzwa kama chapati mchunga akisafiri waumini wanawekewa CD ya maubili,mchungaji akipata kashfa waumin wanamtetea kwa nguvu zote?

  • @abdubabu4944
    @abdubabu4944 5 років тому +2

    Endeleeni tu maana kila tukiwaambia kanisa sio mpango wa mungu mnajifanya mmeziba mskio sasa ngoja mkomeswe

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 5 років тому +2

      Acha ujinga wewe kanisa ni mpango wa Mungu ila kuna baadhi ya watu wanaharibu sifa za kanisa ni sawa na mganga wa kienyeji kutumia msaafu so tuseme nini hapo?

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 5 років тому +6

    Hizo shilingi kumi kumi na shilingi tano tano hivi bado zipo tanzania maan toka afariki baba wataifa ndo naziona leo dah kweli hao waumini ni wahenga

  • @NelsonJackson-z7r
    @NelsonJackson-z7r Місяць тому

    Mungu ametupa dawa za mimea km izo, watafute waliobaka na sio mtu anatumia mitishamba.

  • @zubedasaid5962
    @zubedasaid5962 5 років тому +2

    Tatizo Serikali imeekeza huduma muhimu katika miji na kuzarau vijiji, hii ndio impact yake, ELIMU ELIMU ELIMU ndio mpango mzima

  • @joanjimmy3672
    @joanjimmy3672 5 років тому

    Hongera sana mh Dc makanisa ya aina hii ni mengi,MTU badala ya kwenda hospital kupata matibabu anadanganywa aende kuombewa,mauti ikimfika watu wanasema mapenzi ya Mungu,sasa ya shetani ni yapi?

  • @user-hx9ev6rk7o
    @user-hx9ev6rk7o 5 місяців тому

    Jamani mbona uzalilishwaji kanisa?😢😢😢

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 років тому +2

    Yaani kutokuwa na elimu jmn, Ni hasara. Siwasemi vibaya lakini nimeamini elimu ni ufunguo wa maisha.

    • @kilengawanamwinyikambihuss5730
      @kilengawanamwinyikambihuss5730 5 років тому

      tatizo sio kutojua imani hao ni mawakala wa shetwani sijawahi kuona kanisa au msikiti umekuwa wodi ya wagonjwa duh

  • @manstego2983
    @manstego2983 5 років тому +5

    😂😂😂 2:06 nimeona shilingi 5,10,20 . Zilipendwa kumbe bado zinatumika.

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania 15 днів тому

    Ila ndio maana mtatizo hayatuachi 😢

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 5 років тому +1

    Tumtafute YESU jamani la sivyo tutapotea.Tusidanganyike tutaishia motoni.Mungu ninayekuamini fire kwa wanaokutania.

  • @cymone6159
    @cymone6159 5 років тому

    Hongera Mh DC

  • @hamzahaji175
    @hamzahaji175 5 років тому +3

    Mkome

  • @aishatumbo9369
    @aishatumbo9369 5 років тому +2

    subuhan llah

  • @issahsaid373
    @issahsaid373 4 роки тому +1

    sukuma ndani uyo

  • @kelvinkimisha5518
    @kelvinkimisha5518 5 років тому +25

    Nina hasira nao mm hawa wachungaj uchwara mtu akijua mstar wa biblia tu anasumbua mtaan ,kumbe ndo wachawi wakubwa

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 Рік тому

    Ni wapi huku jaman

  • @tecnokitkat2586
    @tecnokitkat2586 5 років тому +1

    DC hilo kanisa liliniponya 2010 nikiwa form 2 Leo maisha yangu ni bora

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 12 днів тому

    Piga ndani wote peleka mahakamani wezi hao

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 5 років тому +1

    Pumbavuuuuu hawa ndio wanaharibu jina LA Bwana

  • @theserengetivalley9596
    @theserengetivalley9596 5 років тому +6

    Serikali mtusaidie makanisa kila mahali kelele usiku kucha hatulali.

  • @elineemamsuya8057
    @elineemamsuya8057 5 років тому +6

    Mimi mkristo serikali kuna haja ya kuangalia upya leseni za hayo makanisa yafungwe kama Rwanda walivyo Fanya ..maneno matakatifu yana sema binadamu wangu wana angamia kwa kosa marifaa

  • @onlinemovie8580
    @onlinemovie8580 5 років тому +4

    Dahh dunia 🙌🙌🙌simama mie nishuke nitembee mie🚶🏼🚶🏼🚶🏼

  • @mbingaheaven9899
    @mbingaheaven9899 5 років тому +3

    Hao wananchi hawana tatizo bali serikari iwapelekee elimu

  • @ramadhanjuma610
    @ramadhanjuma610 7 місяців тому

    Kiti Cha Enzi kipo kanisani Wacha kanisa liendele kufanya kazi yake kwakua shetani yupo kanisani 😭😭

  • @johnsway459
    @johnsway459 5 років тому

    Dah!polen sana ndugu zangu Mungu awasaidie tuu...huyo mchungaji akamatwe na kufungwa maana huo ni unyanyasaji mkubwa mno

  • @abdubabu4944
    @abdubabu4944 5 років тому +8

    Nabado tutashuhudia makanisa mengi yahovyohovyo maana yesu alisali msktni

    • @givasmwananzumi5941
      @givasmwananzumi5941 5 років тому +1

      Abdu Babu Muhammad ndo mkiristo kijana endeleen kujifunga vitambaa kama mnaenda kuzimu

    • @mariakayuni5782
      @mariakayuni5782 5 років тому

      Mbona na misikitini yanatokea mengi kama juzi tuuu nimesikiliza KTV shekhe alitaka kumlawiti kijana msikitini nae mkristo au hiyo nitabia ya watu wachache sio dini hiyo nitabia yamtu ata uislamu wapo watu wachache wanao haribu

  • @mwahejaporongdt1766
    @mwahejaporongdt1766 Рік тому

    Toba🙆‍♀️

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 років тому +4

    Duuh Makubwa,Madogo Yana Nafuu,

  • @eliudijustinyindi5939
    @eliudijustinyindi5939 Рік тому

    Watanzania wengine bana majanga kwelii

  • @CetribeaBurundibwiza-tz5le
    @CetribeaBurundibwiza-tz5le 5 років тому

    Wow

  • @annarutareka3212
    @annarutareka3212 2 місяці тому

    Jaman wanatibu Tena vizur

  • @jacksongidion5170
    @jacksongidion5170 2 роки тому

    7

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 5 років тому

    Mmmmhu jamani yaani siku hizi watu wamezidi kumdhihaki Mungu waganga wa kienyeji kujifanya wachungaji duuuu Mungu tusaidie.

  • @anethachengula1258
    @anethachengula1258 Рік тому

    Serikali irudishe vipindi vya DINI mashuleni kuanzia Shule za msingi ili wapate elimu ya kuwasaidia ktk maisha yao. Wasidanganyike kiasi hicho.

  • @wtvwastarabutv6874
    @wtvwastarabutv6874 5 років тому +1

    Allah abkar, msiba huu...

  • @anisiamedard3775
    @anisiamedard3775 5 років тому

    Maajabu kweli

  • @alexchungu9505
    @alexchungu9505 5 років тому +1

    Magufuli bado anakazi kubwa sana

  • @fauahamisi1097
    @fauahamisi1097 5 років тому

    Kwa nn usiulize ichi ni nn mbna unasema dawa umejuaje Mkuu?

  • @edgaremmanuel9820
    @edgaremmanuel9820 5 років тому +1

    Akna mama sijui nani kawaloga? Mama nyie ndio vipaumbeke wakukimbilia wachungaji .

  • @desderymakoi6595
    @desderymakoi6595 5 років тому +3

    Vihiyo!Uganga tupu na uchwara wa uganga

  • @hajiramadhanihaji355
    @hajiramadhanihaji355 Рік тому

    Huko makanisani Kuna Mambo.

  • @bibukaelias2722
    @bibukaelias2722 5 років тому +3

    Tazama watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, ni kheri mtu asisali kabisa ila akaamini kuwa Mungu yupo na akaafanya mambo ya kumpendeza Mungu kuliko kupoteza muda huko.

    • @kosoelmbu1096
      @kosoelmbu1096 5 років тому

      Hujafanya chochote sali na akili mana yesu alisema kwamba watakuja manabii was uongo kwa hiyo uwe na msimamo usitangetange

  • @captenndunga2102
    @captenndunga2102 5 років тому +12

    Hilo Ndilo tatizo kubeba imani bila akili..

  • @daimavlog
    @daimavlog 5 років тому +1

    Karagwe mulige. Lakini mnajua matibabu ni bei watu wanakosa ela wanaenda kufia kwa watu. Warungi nao wanalaza watu tangu Niko mdogo wanalaza wagonjwa

  • @princesinko4073
    @princesinko4073 5 років тому

    Kweli hawa wanachafua jina la Mungu

  • @vestinarichard1100
    @vestinarichard1100 5 років тому

    big up ayo TV kwa habr za kwel

  • @NelsonJackson-z7r
    @NelsonJackson-z7r Місяць тому

    Mitishamba

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 7 місяців тому

    Hilo sio kanisa ni genge la shetani.kanisa la YESU halipo hivyo

  • @leahsamson9354
    @leahsamson9354 Рік тому +1

    SAFI SANA DC , KOMESHA KABISA

  • @angelahmoraa5472
    @angelahmoraa5472 5 років тому

    Watu tujiombee wenyewe mungu atatusikia Mambi yetu

  • @happykipeya8516
    @happykipeya8516 5 років тому

    Eeeh Mungu baba 😢

  • @leonoramnabwiru6997
    @leonoramnabwiru6997 5 років тому

    namuona mheshimiwa nsena

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 5 років тому +3

    Sasa hizo shillingi kumi, shilingi tano na shillingi ishirini, wamezipata wapi kwanza??

    • @danieljoseph6309
      @danieljoseph6309 5 років тому

      Zipo bhna 😂😂😂nyingi tu

    • @theresiakaruhanga1169
      @theresiakaruhanga1169 5 років тому

      Edwin Alexander jamani Karagwe nyumbani mbona tumeingiliwa?? huyo mambo hayakuwepo kabisa... abanyambo twafa baba be tata😥😥😥

  • @selemanally126
    @selemanally126 5 років тому +1

    🌝😂😂😂😂 baba paroko oyeeeeeeeeeee mchungaji akamatwe na atafutwe kama lambo

  • @suziemichael4338
    @suziemichael4338 Рік тому

    Hilo sio kanisa ni mganga huyo mchungaji wao

  • @hillwilltv6781
    @hillwilltv6781 5 років тому

    Imani ya kikirsto iko wazi na inaeleweka sana, elimu,elimu,elimu bado watu wapo miaka ya 1990 hadi shilingi 20. huko kwao ipo,

    • @marrychomola1828
      @marrychomola1828 5 років тому

      Hao niwaganga wakienyeji ila wameamua kujificha kwenye kumvuli cha kanisa na mganga kuwa nahizo shilingi ni kawaida Sana

  • @ibraringi8072
    @ibraringi8072 5 років тому +4

    Dah ingekua msikitini tunfeambiwa magaidi tunafuga majini ila kanisani wanabembelezana to wenyewe ni watu wema hawakoseagi.

    • @wahidawahida6675
      @wahidawahida6675 5 років тому +2

      Umejuaje kaka sisi ndo tunaonekan tunaongoza kwa kufaga majin ila mungu atalete kheri ktk iman yetu

    • @ibraringi8072
      @ibraringi8072 5 років тому

      @@wahidawahida6675 hawa hamaaa wenyewe wanajiona wemaa sanaa

  • @linahsemindu9575
    @linahsemindu9575 4 роки тому

    waacheni bwana,wenyewe hata wakidhurika watajua wenyewe😂

  • @mommary2424
    @mommary2424 5 років тому

    Hawa wanahangaika tu na dunia,Mungu ututetee

  • @animalchannel4391
    @animalchannel4391 5 років тому

    Hvi karagwe ndo wapi

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 5 років тому +4

    Watu hawataki kufanya kazi wanabaki kuamini amini hadi watu wamekua kama mataila. Me nafikiri wapigwe Tu si wanataka wenyewe.

  • @ngwanafabian7532
    @ngwanafabian7532 4 роки тому

    Mkoa wa Kagera umevamiwa na wahamiaji haramu wengi

  • @shezzykezzy975
    @shezzykezzy975 5 років тому

    Waaahh

  • @wilfredwilson9058
    @wilfredwilson9058 5 років тому

    duuuh,ni Tz?

  • @divozeko7944
    @divozeko7944 5 років тому +1

    Huyo mchungaji hn kosa,,km amna huduma ya afya,,,elimu duni,,,mazingira ovyoo

  • @athumanhassan9360
    @athumanhassan9360 5 років тому +10

    Hakika Allah ni ndy mweza mnajizalilixh xn na din zenu hz

    • @emmanuelmkeba7901
      @emmanuelmkeba7901 5 років тому

      We unauhakika ktk dini yako hamtumii mitishamba

    • @athumanhassan9360
      @athumanhassan9360 5 років тому

      Emmanuel Mkeba miti shamba ipo je ma2nguli hayo ni ya nn na hz sarafu ni za nn???

    • @emmanuelmkeba7901
      @emmanuelmkeba7901 5 років тому

      Ulimbukeni wa kuongea kwa watu fulani wa dini fulani ni hatari hakuna dini ya Kikristo inasema hata Biblia hakuna sehemu imeandika kuhusu matunguli utahangaika sana kwa kuhukumu dini kwa kufuata watu wanaokengeuka utadhani wengine ktk dini yako huwaoni?!

    • @athumanhassan9360
      @athumanhassan9360 5 років тому

      Emmanuel Mkeba kwny din yng me cjawaon ila kaka ww umewaon niwekeee crips niwaoneeee

    • @emmanuelmkeba7901
      @emmanuelmkeba7901 5 років тому

      Nikikuomba clip ya dini yangu utanuwekea hii basi niwekee ilipita

  • @abdubabu4944
    @abdubabu4944 5 років тому +3

    Njooni kwa allah mje mumsujudie mngu wa kweli

    • @SAM_163
      @SAM_163 5 років тому

      Humjui mungu wa kweli ww!!!

    • @SAM_163
      @SAM_163 5 років тому +1

      Imeandikwa Wajinga ndio waliwao

    • @SAM_163
      @SAM_163 5 років тому +1

      Biblia ipo wazi

    • @wahidawahida6675
      @wahidawahida6675 5 років тому +1

      Hawawezi kukubali kaka achan nao ila wanaaangamia ukisachi neno hili (dini yangu) utapat kujua mengi juu ya dini yao wanahangaika sana ila mpk sasa hawajapata nuru ya kweli wapo gizani

    • @givasmwananzumi5941
      @givasmwananzumi5941 5 років тому +1

      pumbaf zenu wauaji wakubwa,majini ndo mmekamatia,mauaji haaa waislam laaana tupu

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 5 років тому

    duuuh dunia imeisha watu wanamuamini binadam mwezao kuliko mungu

  • @kramsjunior4447
    @kramsjunior4447 4 роки тому

    Hakika Dunia iko ukingoni

  • @zulfaabdallah3217
    @zulfaabdallah3217 5 років тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂sehemu ya asili nani kasikia

  • @abuuazhar3738
    @abuuazhar3738 5 років тому

    Nyinyi Kama serekali mmefanya jitihada gani za kujenga Hospital jirani na hao wananchi..? Serekali nyinyi ndio mnao sababisha yote hayo

  • @vitalisanthony743
    @vitalisanthony743 Рік тому

    VIP wahaya hawa

  • @mengimussa2022
    @mengimussa2022 5 років тому

    Nkweli wadau MNA comment mambo MENGI lakini rejeeni maandiko Yesu mwenyewe alisema nyakati za mwisho wataibuka wa chungaji wa bongo ,manabii wa ungo so chaajabu nini acheni maandiko ya time ili atakapo rudi watu wawe wameshuhudia yote aliyo sema.

  • @allymbaruku6930
    @allymbaruku6930 5 років тому +1

    waganga wa kichawi hao

  • @jameskilasa759
    @jameskilasa759 5 років тому +3

    Dawa sio uchawi bana
    Kwann mnaamin dawa za wazungu kuliko dawa zetu za kiafrica

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 5 років тому

      Sukuma ndani wote anzia mchungaji visha bangili naomba serikali iangalie sana haya makanisa feki wachawi wauaji ondoa na yako karibia tanzania k

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 5 років тому

      Sukuma ndani wote anzia mchungaji visha bangili naomba serikali iangalie sana haya makanisa feki wachawi wauaji ondoa na yako karibia tanzania k

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 5 років тому

      Sukuma ndani wote anzia mchungaji visha bangili naomba serikali iangalie sana haya makanisa feki wachawi wauaji ondoa na yako karibia tanzania k

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 5 років тому

      Sukuma ndani wote anzia mchungaji visha bangili naomba serikali iangalie sana haya makanisa feki wachawi wauaji ondoa na yako karibia tanzania k

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 5 років тому

      Sukuma ndani wote anzia mchungaji visha bangili naomba serikali iangalie sana haya makanisa feki wachawi wauaji ondoa na yako karibia tanzania k

  • @Youth-for-Jesus
    @Youth-for-Jesus 5 років тому

    😅😅😅😅😅 mpigwee tu hamna namna yani mnaacha njia ya wokovu mnaishia fimbo

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 5 років тому +14

    aibu gani hiyo mkiambiwa sikuzote mnadanganywa hamskii hakuna miujiza pambaneni na akili zilizosalimika

    • @ethanuk9437
      @ethanuk9437 5 років тому

      Miiiujiza ipo Mingi ..ila kuna wahuni piaah

    • @amanibwire4423
      @amanibwire4423 5 років тому

      @@ethanuk9437 ndo nyie mnaopumbazwa Mungu kaleta madaktari,mitishamba na wauguzi kwa kazi hizo

    • @ethanuk9437
      @ethanuk9437 5 років тому

      @@amanibwire4423 Yesu sio kuponya vipofu na viwete tuh pia alifufuwa wafu ...so nani bwege ?

    • @amanibwire4423
      @amanibwire4423 5 років тому

      @@ethanuk9437 alifanya hivyo kwa nyakati hizo sasa miujiza ya leo ni feki,tafuten ufalme wa Mungu kwanza

  • @lauworony1452
    @lauworony1452 5 років тому +1

    hao ni ndugu zake ebitoke