Ili Baridi la hivi lipo eneo fulani hivi linaitwa Njiapanda ukitokea Singida Mjini kuelekea Katesh, Aisee Kile kipande kipo kama hivi ukungu mzito baridi sana na huo ilikuwa ni mwezi wa 3, sasa sijui sasa hivi kukoje🙌🏽🙌🏽 Aiseee balaa
Mwaka 2014 nilichaguliwa kwenda kusoma form 5 Njombe high school (NJOSS) kutoka Musoma to Iringa nikalala usiku Makambako mjini baridi ya pale nikaambiwa hii ni cha mtoto subiri kesho yake huko Njombe mjini. Asbh yake nilitua njombe stand saa 5 asbh kuna jua lakini baridi ni hatari. Niliishi pale miaka miwili ya masomo yangu nilijuta sana kutokuoga siku 5 hata wiki kwa mwanafunzi ni kawaida kbsa😅 barafu na ukungu unapiga kama ulaya, na hapo ni njombe mjini sasa tukawa tunaambiwa balaa kubwa lipo wilaya ya makete mkoa huo huo wa njombe🙌🙌
Duuuuh hiii ni hatari sana, Najaribu TU kuwaza vipi mtoto mchanga anaezaliwa KATIKA hiyo hali anawezaje kuhimili?? Kikubwa naendelea kuwapongeza Millard Ayo tv hasa Kwa kutoa taarifa halisi na pia camera zenu ni supper HD. Safi sana Millard Ayo tv, you are the best of all UA-cam channels!!!
@@haldinkiope9753 Ila Mungu ana maajabu yake kwakweli, Maana Kwa Mimi ambae sijazoea hiyo baridi nikifika TU basi siku ya pili unatangazwa msiba. Nashangaa sana kuwa watoto wachanga wanazaliwa huko na wanahimili hiyo hali ya baridi Kali.
@@haldinkiope9753 😂😂😂 daaaah hatali sana. Na Kwa hiyo hali lazima watu watakuwa na urafiki na tendo la ndoa kama Moja ya NAMNA ya kujiimalisha dhidi ya mashambilizi ya baridi.
Nimezaliwa wilaya ya makete kwa kweli nishda ...... apa nawaza iv ingekuaje pangekua na sheria ya kila mtu abak mkoa alozaliwa hakika watu wa njombe tusingejua kama Dunian kuna joto na jua kari
Mbona makambako m nimezaliwa apo nimesoma shule ya msingi mpk olevel miaka 11 lakini tulizoea mweeee haahahahhaa sema njombe ni hatari sana bora makambako
Sijawahi fika Njombe ila natamani sana nifke uko asa asa kipindi kama hiki cha baridi hili nikajionee, mimi nipo Dar na kwa kweli Dar baridi ni kali sana yaani joto lote kwiiiiiiiisha
Sema na pia sisi waafrika kwa ujumla tuliopo tropical hatujawekeza sana ktk vitu kama hivi kwa hali ya hewa sababu hiyo 5degrees ya joto njombe kwa ulaya ni baridi ya kawaida sana sana kwanza tuseme sawa na HAKUNA baridi watu wanatoka out kabisa kwa sababu kuanzia nguo, heating system za majumbani, kwny magari yao yako kulingana na hali ya hewa, ila huku kwetu ni shida utajikuny'ata ukiwa chumbani sababu huna heater za joto ya ndani nadhani ni wakati muafaka sasa kuwa na matumizi hayo
Tatizo ni kuvimiliki hivyo vitu.. kupata sweta au koti ni mafanikio makubwa sana na havipatikani kirahisi kwa baadhi ya watu.. hakuna anayependa baridi ila maisha yanamfanya awe hivyo. Ndo maana tukijaaliwa awasaidie na wengine ..kugawana baraka ni mafanikio makubwa
@@nantaembanusurupia5674 Tanga kubwa ww !hachana na huo ukanda wa bahari lazima hali ya hewa zifanane !Njoo huku rushoto ndo utajuwa anachozungumzia jamaa au Tanga hamuijui nyie ?!!
WE MMPUUZI NINI, NA HUKO ULAYA WATU WANAFANYAJE?. HEBU TOKA HUKOO HILI BARIDI LIMEAANZA MWAKA HUU? NJOMBE NI NJOMBE HATA HIVI MIAKA HII KIDOGO IMEPUNGUWA UKILINGANISHA NA ZAMANI WAKATI MAJENGO YALIKUWA MACHACHE. NENDA MBINGA HUKO JUUU KALISIKIE HUKO NALO HILO BARIDI.
Ili Baridi la hivi lipo eneo fulani hivi linaitwa Njiapanda ukitokea Singida Mjini kuelekea Katesh, Aisee Kile kipande kipo kama hivi ukungu mzito baridi sana na huo ilikuwa ni mwezi wa 3, sasa sijui sasa hivi kukoje🙌🏽🙌🏽 Aiseee balaa
Safi sana Tanzania wapendabaridi karibuni njombe
Apo ujafika uwemba
Ninaenda baridi balaa😋😋
@@halimakilonzo4018 😂😂mbona kwetu Uwemba kuna baridi la kawaida
Nakumbuka miaka 4 iliyopita nilifika njombe.wakat nipo kwenye gari naelekea makete kufika Ikonda nikapoteza faham kwa barid.sitasahau maishani mwangu
Suberscber🙏🙏🤦
Njombe na makete ndio sehemu ninazo zipa salute kwa baridi,kwengine ni maigizo tu.
Nenda na mafinga uone baridi lake
Unakujua Lushoto mkuu?
@@TheMouser1985 nko Lushoto na ni mkazi WA njombe . Ila Lushoto na Arusha bado Hali ya huku haitii timu Njombe Tena hususan makete duu Hadi 1 c degree
kilimanjaro ulishawahi kufika
arusha, kilimanjaro rushoto aioni ndani aiseee kwa makete we usiku ukiend cjoon ukirud kulala sehem yako unahis kama wamemwaga mabarafu
Duuh Ndugu yangu Sayll The One Ndio Upo ukoo!! Pole
Tulikuwa tunapita hapo kuelekea au kutoka songea. Tunaambiwa usinywe chai, unaweza kuhisi ya baridi kumbe ya moto balaa. Eti unaweza kukatika ulimi
Haukatiki ulimi ila utaungua bila kujua ukifika kwenye joto ndio utakuwa
Huchunika ngozi mdomoni Hadi kwenye ulimi
Subhannahllah
@@fadhilaongezaongeza226 🤣🤣🤣🤣
Mwaka 2014 nilichaguliwa kwenda kusoma form 5 Njombe high school (NJOSS) kutoka Musoma to Iringa nikalala usiku Makambako mjini baridi ya pale nikaambiwa hii ni cha mtoto subiri kesho yake huko Njombe mjini. Asbh yake nilitua njombe stand saa 5 asbh kuna jua lakini baridi ni hatari. Niliishi pale miaka miwili ya masomo yangu nilijuta sana kutokuoga siku 5 hata wiki kwa mwanafunzi ni kawaida kbsa😅 barafu na ukungu unapiga kama ulaya, na hapo ni njombe mjini sasa tukawa tunaambiwa balaa kubwa lipo wilaya ya makete mkoa huo huo wa njombe🙌🙌
😂😂 unaweza unuke na usijijue km unanuka
Hahahaha kumbe umesoma pale
Wazee wa msitu wa ndovu ,kihesa nyamagana
Sasa sisi tunaishi nayo🤣🤣
@@rehemamkalawa3801
Huwezi kunuka kwa sababu ni ya baridi mimi nakaa hadi mwezi.
Home sweet home,,,,nakumbuka olevel mwalimu akifundisha kipindi Cha asubuhi peni inateleza Ani haishikiki,,,,adi uvae groove,,au ufikishe mikono ipate joto uandike,ikipoa unapasha tena😭
Duh ase kwel uko kuna baridi Dom apa linakung'uta tunasema ni barid kumbe huko ndo kabisa
Haha
Watu nawaambiaga barid liko njombe hawaelewi
Nikikumbuka nilisoma huko miaka miwili asee najihisi sio mm 🙌 sitaki kurudi💔😐
Huwaga nawaza sana ikiwa Dar es Salaam saiv Kuna baridi Njombe inakuwaje Dah!!!aisee poleni ndugu zangu😌
Juzi hapo ilikuwa hatar mpka tulishindwa kutaiti bert maana hata kushuka kwenye gari inshu
Daaaah ninavyopajua hapo hiyo bado maana vinatokaga hadi vibarafu kuna baadhi ya sehemu
Njombe kuna baridi *mpaka miti inatamani kuota moto*
😂😂😂😂😂😂😂😂 hapana chea baridi limekwenda shule
Dawa ya barid nikuoa tu😂😂
Faida ya kuoa ucku mchana unafanyaje kazi ukiwa kazini mke yupo nyumbani
Kwasasi wadada dawa yabaridi nikuvaa upendeze watu wakuone wakusifie husikii baridi kabisa
Kwahiyo muda wote nikaamukambatiana wenyewe😂😂
Kwahiyo muda wote mmekumbatia
Hata hao manao waoa nao wamekuwa wabaridiii🤣
Duuuuh hiii ni hatari sana,
Najaribu TU kuwaza vipi mtoto mchanga anaezaliwa KATIKA hiyo hali anawezaje kuhimili??
Kikubwa naendelea kuwapongeza Millard Ayo tv hasa Kwa kutoa taarifa halisi na pia camera zenu ni supper HD.
Safi sana Millard Ayo tv, you are the best of all UA-cam channels!!!
Watt wapo na wanaish
@@haldinkiope9753 Ila Mungu ana maajabu yake kwakweli,
Maana Kwa Mimi ambae sijazoea hiyo baridi nikifika TU basi siku ya pili unatangazwa msiba.
Nashangaa sana kuwa watoto wachanga wanazaliwa huko na wanahimili hiyo hali ya baridi Kali.
Mazingira tu kwanza uku hakuna jua la utosi
@@haldinkiope9753 😂😂😂 daaaah hatali sana.
Na Kwa hiyo hali lazima watu watakuwa na urafiki na tendo la ndoa kama Moja ya NAMNA ya kujiimalisha dhidi ya mashambilizi ya baridi.
Usipime
Mwl Nyerere dar es salaam angeipelekaga tu huko hiyo baridi ingeshapotea na msongamano wawatu na viwanda😂😂
Ni kwet iringa nakupenda sanaaaa lkn baridi Sasa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
huko ndio kwa kuishi mimi..mpenzi sana wa baridi
Hili ndo lenyewe Sasaaa Baridi yenyeweeee
Nimezaliwa wilaya ya makete kwa kweli nishda ...... apa nawaza iv ingekuaje pangekua na sheria ya kila mtu abak mkoa alozaliwa hakika watu wa njombe tusingejua kama Dunian kuna joto na jua kari
Suberscber🙏🙏🤦
Sisi mbeya tunalia baridi ila njombe mmetuzidi
Makambako, njombe , Iringa, Mbeya izo sehem hatarii kwa baridii nililia nilipokuwa makambako mmh haisikii kitu
Mbona makambako m nimezaliwa apo nimesoma shule ya msingi mpk olevel miaka 11 lakini tulizoea mweeee haahahahhaa sema njombe ni hatari sana bora makambako
@@priscamlyuka5531 makambako upepo wa barid
Njombe is more like cold apocalypse/ new ice age in the making 💀😭🤣🙌
Sema mm nikivaa nikapendeza ili watu wanione sisikiagi baridi kabisa 😂
Ata mmi nikiulamba sivalii mikoti Tena Shep wataiionaje
@@aminamussa7632 kweli kabisa mama
😂😂 jamani tujiandaee na joto kali baadae AKA 2020 imejirudia tena.😂
Iyo baridi ni noma. Arusha tu tatizo baridi. Boymanda nilienda kulikua na baridi kali nikasali Mungu mkuu akaleta jua. Poleni njombe.
Ikifikia hadi dar kuna baridi huko lazima mnaganda
Kama kunamtu mweupe uko mniite mbwa niko nimekaa apo
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
🤣🤣🤣
😄😄😄😁
😄😄😄
Home sweet home
Sijawahi fika Njombe ila natamani sana nifke uko asa asa kipindi kama hiki cha baridi hili nikajionee, mimi nipo Dar na kwa kweli Dar baridi ni kali sana yaani joto lote kwiiiiiiiisha
If you have sensitive respiratory conditions, please don't ever think of staying there😭🤣
Duh! Mjombe kama ulaya bac
🤣 🤣
Naipenda Njombe ndonyumban
Suberscber🙏🙏🤦Suberscber🙏🙏🤦
Naitamani hiyo baridi oman joto linatutesa sana
Hahahah fanya uende ty
samahan upo sehem gn dada oman ??
@@adamally6 nip mussanah
Hivi hari hii mfano ndio cku ijeitokee ukanda wa pwani na baadhi ya maeneo kusini watu wengiwataasilika
Naupenda mkowa wangu wa NJOMBE...
My home tushazoea
Home Sweet Home❣️❣️❣️
Hatari mzee baba
Suberscber🙏🙏🤦
Ukimtoa mtu dar umlete njombe afu awe hajawahi kuishi njombe atajuta
Acha kabisa
😂😂😂 kweli mim niliend ilivyofika mwez wa 6 nikaona hapan nitafia uku nilikuw kila siku nalia mpk nikarudishwa
Kule njombe hakufai
5 degrees, ni kama baridi ya hapa ulaya winter
yani huko kama capetown poleni sana
Suberscber🙏🙏🤦
Sasa timu zitakazo cheza kimataifa mkazoee MAZINGIRA huko katika kipindi Cha PRE SEASON
Hahahaaa kati kati ya mechi watu wanakunywa chai badala ya maji
Nyanda za juu kusini ni habari nyingine. Acha kabisa.
Kwetu Makete ndio mara2 ya hapo Njombe
Nchi za wenzetu kiongozi hapo anajiuzuru Hali ikiwa hivyo 😃😃
Serikali iwafanyie wepesi wananchi waweze kununu hita za joto Kama nchi nyingine moshi Arusha iringa baridi ni kilio kwao
Suberscber🙏🙏🤦
Ni kudinyanaaaa tuuu . Qmmk 😂
Igeli nilitorokaga shule nikatokea igeli da maisha aya
Mhhh kweli kuna baridi
Hadari poleni,ila msilale na majiko ya mkaa ndani yanaua sana
Duuh poleni sana
Hellow Wana wa ikonda
baridi sio mbaya tuache kuita baridi kuwa MBAYA
Baridi mpaka kuongea kipengele 😂
🤣
mi napenda sana baridii
Uko sio barid uku hatari
Barid yao zaidi
@@ilynpayne7491 hata theruji haidondoki? hiyo yakawaida tuu
@@kakabaraka1058 duuh we jamaa unaishi mkoa gani?
@@ilynpayne7491 Mi Mbeya.
Nliona mbeya Kuna barid kumbe kunasem ukungu wakutosha na barid kali
Heeeeeeee kumbe hivooo mimi sijiitena ilikuwa nasafari yakujahuko baridi hiyo nitazimia buree labda sikuza mbele kama nikiwa hai
Iyo baradi ingekuwepo zanzibar tungeect kama tupo ulaya
Suberscber🙏🙏🤦Suberscber
Iyo baridi ingekuwepo tungeect kama tupo ulaya
Sema na pia sisi waafrika kwa ujumla tuliopo tropical hatujawekeza sana ktk vitu kama hivi kwa hali ya hewa sababu hiyo 5degrees ya joto njombe kwa ulaya ni baridi ya kawaida sana sana kwanza tuseme sawa na HAKUNA baridi watu wanatoka out kabisa kwa sababu kuanzia nguo, heating system za majumbani, kwny magari yao yako kulingana na hali ya hewa, ila huku kwetu ni shida utajikuny'ata ukiwa chumbani sababu huna heater za joto ya ndani nadhani ni wakati muafaka sasa kuwa na matumizi hayo
umeongelea future
Hamia ulaya
Umeshasema ulaya
Kwanza Usha Sema magar Yao yapo kulingana na hali ilivyo😁
Njombe nimeona mtu kwa tv ana fire place kama wenzentu ulaya sasa hii ni kama tu unauwezo wa kuiweka kwa nyumba yako!
N kuna mtu anatakiwa kazini kila siku asubuhi 🤣🤣
Suberscber🙏🙏🤦Suberscber
Likizidi mpaka 1°C, mtaanza kuungua 😂😂
Selikali ifanye nn hapo😳
Hajaend ulaya hhh achen kushangaa jombe nenda norway wakati wa barid ndo utajua njombe kuna joto
Duh natamani nihamie huko
Mama samiha tusaidie jamani
Suberscber🙏🙏🤦
Hkn ajabu apo
Tunakufa jmn, ni baridi sana limezdi kiukwel
Mwanadam hanaga shkran,ikija joto atalalamika likija Baridi atalalamika,
Nyumbani kweli baridi lkn nakupenda sana
Jamani huku kuna balidi🥺🥺🥺🥺
Mtihani poleni
Kalibuni njombe tunaishii kwenyee friji 🤣
Huko ni shida!! Magogo ya moto kila mahali! Ila kuna watoto utawakuta njiani hawajavaa chochote kifuani na wako ok kabisa!!
😔 Mungu anawapigania
Tatizo ni kuvimiliki hivyo vitu.. kupata sweta au koti ni mafanikio makubwa sana na havipatikani kirahisi kwa baadhi ya watu.. hakuna anayependa baridi ila maisha yanamfanya awe hivyo. Ndo maana tukijaaliwa awasaidie na wengine ..kugawana baraka ni mafanikio makubwa
Safi sana!!
Eti na sisi mwanza tuna joto kweli😂😂😂😂😂
halafu chuga wanasema kuna baridi
mm sipawezi huko
Suberscber🙏🙏🤦
Hainatofauti na hapa kwetu maisara
Hatariii sana
Huku Dodoma pia tuna lia baridi
Duh ni hatari sana
Daah ni nyoko aseee
Harafu selikali inabidi ipeleke kambi za jeshi vijana wakaivie huko
Msije mkaomba msaada serikali baridi kali msaidiwe wana njombe
Suberscber🙏🙏🤦
Mmi ukosiwez ishi nimuogasan wa baridi
Pigeni kazii Raia acheni miyeyushoo 5°c tuu mnalialiaa tu watu wanaishi mpaka -0°c
🙄
Hometown
Njombe ndo mkoa wenye baridi Kali Tanzania, ikifuatiwa na mikoa ya nyanda za juu kusani na Kanda ya ziwa, pamoja na mikoa ya Tanga, moshi na Arusha.
@Raso Pro Tanga kubwa inategemea upo Tanga ipi kama ni mjini sawa !njoo rushoto Mlalo kama hiyo fen utaitumia utajuwa hujuwi
Tanga,Dar na Zanzibar hali ya hewa zinafanana!!
@@nantaembanusurupia5674 Tanga kubwa ww !hachana na huo ukanda wa bahari lazima hali ya hewa zifanane !Njoo huku rushoto ndo utajuwa anachozungumzia jamaa au Tanga hamuijui nyie ?!!
Jaman na pale kinda je itakuwaje
@@adaboychibu1659 kama ni ushotoo sawa bwa shee
Duuh!!kumbe bora yetu huku arusha akii
Kabisa Bora chuga
WE MMPUUZI NINI, NA HUKO ULAYA WATU WANAFANYAJE?. HEBU TOKA HUKOO HILI BARIDI LIMEAANZA MWAKA HUU? NJOMBE NI NJOMBE HATA HIVI MIAKA HII KIDOGO IMEPUNGUWA UKILINGANISHA NA ZAMANI WAKATI MAJENGO YALIKUWA MACHACHE. NENDA MBINGA HUKO JUUU KALISIKIE HUKO NALO HILO BARIDI.
Ndo sweet home
Afu sisi wenyeji tunaona poa tu
🤣 🤣 Kabisa
Mnaogopa nn mbona ni baridi la kawaida tuu hilo
Ulaya ya africa
Europe ndogo hiyo
Polen
Suberscber🙏🙏🤦
Waache ujinga waje dar waone baridi lake
Sasa masika huko kunakuwaue aisee
5c duh
Apo mm ciogi na nilivyo muoga wa maji,du!!!!! Ntajitaidi nioge kwenye sikuku2
Huhuhuhuhuhuhuhuuuu we kibookoo