FAIDA NA HASARA ZA KUNUNUA HISA | Happy Msale

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • Kwenye Video hii tunaongelea faida na hasara za kununua hisa.
    Miongoni mwa faida za kununua hisa ni:
    1. Ni rahisi kununua
    2. Inaweza kuongezeka bei
    3. Unaweza kupata gawio
    4. Unaweza kukopa kwa kutumia hisa
    5. Unaweza kuzitoa kama uridhi
    6. Ni njia ya kuwekeza / kuweka akiba
    Miongoni mwa hasara za kununua hisa ni:
    1. Unaweza kupoteza mtaji wako
    2. Wanahisa wanalipwa wa mwisho kampuni ikifilisika
    3.Zinaweza zisiuzike mapema
    4. Bei ya hisa huwa inapanda na kushuka
    5. Huwa unatumia muda mwingi
    ---------------------------------------------------------------------------------------------------------
    NAPATIKANA PIA:
    ❤ Instagram: / happymsale
    -----------------------------------------------------------------------------------------------
    TAARIFA NYINGINE
    ❤ Camera Iliyotumika: Canon G7x Mark 2

КОМЕНТАРІ • 16

  • @kalvinmichael9848
    @kalvinmichael9848 2 місяці тому

    Mtoto mzuri kama faida za isa😊😊❤❤

  • @mercilornajonathan7188
    @mercilornajonathan7188 3 роки тому +1

    Kazi nzuri. Keep it up dear

  • @presstv7700
    @presstv7700 3 роки тому +1

    Umependeza

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Рік тому +1

    Asante Kwa ushauri, makampuni gani Ni mazuri Kwa kununua hisa Tanzania

    • @happymsale
      @happymsale  6 днів тому

      Unaweza kuongea na madalali wa soko la hisa hapa wakupe ushauri na namna ya kuwekeza: dse.co.tz/dealing/members

  • @sophiamrimi4444
    @sophiamrimi4444 4 роки тому

    👌👌👌

  • @isiaka7930
    @isiaka7930 5 років тому

    Following each series and episodes in this chanel👌

  • @marymaimu216
    @marymaimu216 Місяць тому

    Happy, hao madalali nawapata wapi?

    • @happymsale
      @happymsale  Місяць тому

      Wanapatikana hapa: dse.co.tz/dealing/members

  • @ChristopherKusila
    @ChristopherKusila Рік тому

    Kampuni ikifirika inakuaje

    • @happymsale
      @happymsale  Місяць тому

      Unapoteza kiasi ulichowekeza

  • @bahebemagai991
    @bahebemagai991 3 роки тому

    Excuse me, Madam, katika faida za kununua hisa ulieleza nyingi kama Saba hivi, ila hiyo ya kuwa "naweza kuitoa kama urithi" hapo kwenye description hujaieleza kwenye video. Nilitamani kujua ni kwa namna gani

    • @happymsale
      @happymsale  3 роки тому

      Unaweza kumpa mwanao uridhi wa hisa, kama unavyoweza kumuachia nyumba, viwanja n.k

    • @bahebemagai991
      @bahebemagai991 3 роки тому

      @@happymsale ooh thanks., kama kijana nimeelimika walau kwa kiasi fulani kuhusu hisa.