DSE MOBILE TRADING PLATFORM / DSE HISA KIGANJANI.. WEKEZA KIDIGITALI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • DSE Mobile Trading Platform / DSE Hisa Kiganjani ni mfumo unaowezesha kufungua akaunti ya uwekezaji "CSD Account", kuangalia mwenendo wa Hisa katika Soko, kuhuwisha taarifa kutoka analogia kwenda digitali, kununua na kuuza dhamana (hisa / hatifungani) zilizoorodheshwa

КОМЕНТАРІ • 5

  • @samuelseverua
    @samuelseverua 3 місяці тому

    Nimenunua hisa 10 za CRDB tangu mwaka ana Jul 23, 2023, 6:02:12 PM ila mpaka leo, order yangu ni pending. Hapo ndio ................?

  • @achu9890
    @achu9890 4 місяці тому

    Yani hamna video ....inao onesha jinsi ya kutumia hio app ...ananunua vp ....unauza vp ..... Kaz ya different buttons ...please ekeni hio

  • @lusakobarnabasmwangende
    @lusakobarnabasmwangende 7 місяців тому

    The application is worse, nothing is working, you can't do nothing, it doesn't even open 😢 please fix