Happy Msale
Happy Msale
  • 137
  • 63 788
Uwekezaji wa muda mfupi Tanzania
Leo tunaongelea uwekezaji wa muda mfupi Tanzania i.e Uwekezaji wa chini ya mwaka mmoja:
Licenced Fund managers Tanzania: dse.co.tz/fund/managers
UTT Amis wanapatikana hapa: uttamis.co.tz/
Tanzania Securities wanapatikana hapa: www.tanzaniasecurities.co.tz/
0:00 Mwanzo
01:08 Dhamana za Serikali za muda mfupi
02:43 UTT
03:27 Tanzania Securities Ltd
04:36 Mwisho
---------------------------------------------------------------------------------------------------------
NAPATIKANA PIA:
❤ Instagram: happymsale
-----------------------------------------------------------------------------------------------
FAQs
❤ Camera used: Canon G7x Mark 2
❤Editing Software: Wondershare Filmora
Переглядів: 118

Відео

Mambo yanayokufanya uwe maskini
Переглядів 39414 днів тому
Leo tunaongelea mambo yanayofanya uwe maskini: 0:00 Mwanzo 0:19 Hauwekezi 1:45 Kukopa hela kwa ajili ya mambo yasiyo na umuhimu 3:06 Hatujifunzi elimu ya uwekezaji 4:10 Hatujiendelezi kielimu 5:37 Matumizi mabaya 8:01 Kuridhika na kipato chako 9:03 Kuishi maisha ambayo sio ya uhalisia 10:11 Mwisho NAPATIKANA PIA: ❤ Instagram: happymsale FAQs ❤ Camera used: Canon G7x Mark 2 ❤Editi...
Jinsi ya kuwekeza shilingi Laki moja
Переглядів 26428 днів тому
Leo tunaongelea jinsi ya kuwekeza shilingi laki moja: 0:00 Mwanzo 0:29 Kuwekeza UTT 01:18 Mfuko wa Timiza 2:15 Kuwekeza kwenye Hisa 2:59 Kuanzisha biashara 3:47 Jiwekezee / Invest in your self 4:59 Mwisho Napatikana pia: ❤ Instagram: happymsale FAQs ❤ Camera used: Canon G7x Mark 2 ❤Editing Software: Wondershare Filmora
Mfuko wa Timiza ni Nini? Niwekeze kwenye huu mfuko wa Timiza?
Переглядів 89Місяць тому
Leo tunaongelea kuhusu Mfuko wa Timiza. Mfuko wa Timiza ni nini na je, niwekeze kwenye huu mfuko? 0:00 Mwanzo 0:27 Mfuko wa Timiza ni nini? 3:14 Kipande ni Nini? 4:36 Ni nani anaweza kuwekeza kwenye huu Mfuko wa Timiza? 7:54 Uwekezaji wa Mfuko wa Timiza 12:04 Upimaji wa kiwango cha ufanisi 14:06 Gharama za uendeshaji wa mfuko 16:29 Je, niwekeze kwenye huu mfuko wa Timiza? 20:37 Mwisho Napatikan...
UTT ni nini na niwekeze kwenye Mfuko upi wa UTT
Переглядів 9202 місяці тому
Leo tunaongelea kuhusu UTT. UTT ni nini na Niwekeze kwenye mfuko upi wa UTT? 0:00 Mwanzo 0:12 UTT ni nini? 0:54 Kwa nini niwekeze kupitia UTT? 3:30 Mfuko wa Umoja wa UTT 5:31 Mfuko wa Wekeza Maisha wa UTT 8:17 Mfuko wa Watoto wa UTT 10:32 Mfuko wa Jikumu wa UTT 12:42 Mfuko wa Ukwasi wa UTT 13:57 Mfuko wa Hatifungani wa UTT 15:27 Mwisho Napatikana pia: ❤ Instagram: happymsale FAQs...
Ninafanya nini kila mwisho wa mwezi kuhusiana na fedha
Переглядів 3012 місяці тому
Leo tunaongelea mambo 6 muhimu ya kufanya kila mwisho wa mwezi. Karibu. 0:00 - Mwanzo 0:23 - Bili gani za kulipa mwezi huu? 1:00 - Mfuko wa dharura 1:48 - Malengo ya kuwekeza 2:26 - Bajeti ya mwezi 3:45 - Malengo ya mwezi 4:19 - Kupanga malengo ya mwezi unaofuata 4:48 - Kufurahia mafanikio 5:42 - Mwisho Napatikana pia: ❤ Instagram: happymsale FAQs ❤ Camera used: Canon G7x Mark 2 ...
Karibu kwenye channel yangu ya YouTube | Happy Msale
Переглядів 732 місяці тому
Karibu kwenye channel yangu ya UA-cam LET'S CONNECT ON SOCIAL MEDIA TOO: ❤ Instagram: happymsale FAQs ❤ Camera used: Canon G7x Mark 2 ❤Editing Software: Wondershare Filmora
Jinsi ya kuishi kulingana na kipato chako
Переглядів 1712 місяці тому
Kuna umuhimu wa kuishi kulingana na kipato chako, kwa kingereza tunasema Live below your means 0:00 - Mwanzo 1:03 - Kipato changu ni kiasi gani? 1:55 - Je una bajeti? 3:07 - Fuatilia matumizi yako 3:58 - Toa matumizi yasiyo ya lazima 4:33 - Kuwa na malengo ya kifedha 5:22 - Punguza madeni 6:47 - Kuwa na mfuko wa dharura 8:50 - Mwisho Napatikana pia ❤ Instagram: happymsale FAQs ❤ ...
Kwa nini mpaka leo hii haujawekeza?
Переглядів 2072 місяці тому
Leo tutafakari. Kwa nini mpaka leo haujawekeza? 0:00 - Mwanzo 1:00 - Kuwekeza ni kwa ajili ya watu wengine, sio wewe 1:40 - Elimu ya uwekezaji 2:32 - Unasubiri uwe na hela nyingin 3:22 - Unataka uwe tajiri haraka 4:50 - Unadhani mapato yako hayatoshi kuwekeza 5:54 - Haufanyi maamuzi 8:28 - Unaogopa hasara 10:41 - Mwisho Unaweza kunipata pia: ❤ Instagram: happymsale FAQs ❤ Camera ...
Jinsi ya Kutengeneza Mfuko wa dharura
Переглядів 1503 місяці тому
Mfuko wa dharura ni mfuko wa fedha zilizotengwa ili zikusaidie ukipata dharura / au shida ambayo hukuitegemea 0:00 - Mwanzo 0:07 - Mfuko wa dharura ni nini? 1:08 - Kuwa na malengo 1:50 - Fanya utafiti 2:52 - Kuwa makini na makato 3:22 - Je, uweke kiasi gani? 3:56 - Haba na haba, hujaza kibaba 4:26 - Tumia kulingana na mpango 5:20 - Angalia maendeleo 5:43 - Usieke zaidi 6:25 - Weka na hela usiyo...
Malengo ya Fedha ya kuweka mwaka huu 2024
Переглядів 1123 місяці тому
Malengo mbalimbali ya Fedha unayoweza kuweka mwaka huu wa 2024 0:00 - Mwanzo 0:08 - Mfuko wa dharura 0:55 - Kuwekeza zaidi 1:40 - Lipa madeni 2:20 - Kuongeza mapato 2:50 - Kupunguza matumizi 3:35 - Panga manunuzi ya vitu vikubwa 4:30 - Rahisisha LET'S CONNECT ON SOCIAL MEDIA TOO: ❤ Instagram: happymsale FAQs ❤ Camera used: Canon G7x Mark 2 ❤Editing Software: Wondershare Filmora
TIPS FOR FIRST TIME CAR BUYERS
Переглядів 1582 роки тому
Welcome back! I'm sharing some lessens that I learnt when I was buying my first first car, that you might consider if you are thinking of making your first car purchase. LET'S CONNECT ON SOCIAL MEDIA TOO: ❤ Instagram: happymsale FAQs ❤ Camera used: Canon G7x Mark 2 ❤Editing Software: Wondershare Filmora
The Magic of Compound Interest | Happy Msale
Переглядів 1832 роки тому
Welcome back! Today, we talk about Compound interest LET'S CONNECT ON SOCIAL MEDIA TOO: ❤ Instagram: happymsale FAQs ❤ Camera used: Canon G7x Mark 2 ❤Editing Software: Wondershare Filmora
5 MONEY lessons from the tinder swindler
Переглядів 542 роки тому
5 MONEY lessons from the tinder swindler
How to STOP Procrastination | Happy Msale
Переглядів 622 роки тому
How to STOP Procrastination | Happy Msale
Welcome to Happy Msale's YouTube Channel
Переглядів 1992 роки тому
Welcome to Happy Msale's UA-cam Channel
Financial goals that you can set in 2022| Happy Msale
Переглядів 1062 роки тому
Financial goals that you can set in 2022| Happy Msale
HOW TO ACHIEVE YOUR 2022 FINANCIAL GOALS | Happy Msale
Переглядів 612 роки тому
HOW TO ACHIEVE YOUR 2022 FINANCIAL GOALS | Happy Msale
SHOULD YOU INVEST IN GOVERNMENT BONDS? | Answering your question.
Переглядів 1512 роки тому
SHOULD YOU INVEST IN GOVERNMENT BONDS? | Answering your question.
How to save TZS 1 million in 2022
Переглядів 2512 роки тому
How to save TZS 1 million in 2022
MY BANK IS FRUSTRATING ME! Money mistakes I made during the holiday | Chit-Chat time| Happy Msale
Переглядів 822 роки тому
MY BANK IS FRUSTRATING ME! Money mistakes I made during the holiday | Chit-Chat time| Happy Msale
HOW I INVESTED IN MYSELF IN 2021 | Happy Msale
Переглядів 1392 роки тому
HOW I INVESTED IN MYSELF IN 2021 | Happy Msale
HOW I BALANCE MOTHERHOOD AND A CAREER | Happy Msale
Переглядів 792 роки тому
HOW I BALANCE MOTHERHOOD AND A CAREER | Happy Msale
6 CAREER LESSONS LEARNT IN 2021 | Happy Msale
Переглядів 812 роки тому
6 CAREER LESSONS LEARNT IN 2021 | Happy Msale
5 Investments you can make with TZS 100,000/= | Happy Msale
Переглядів 1,1 тис.2 роки тому
5 Investments you can make with TZS 100,000/= | Happy Msale
Why you should take the CFA Program | Happy Msale
Переглядів 922 роки тому
Why you should take the CFA Program | Happy Msale
HOW TO EVALUATE YOUR FINANCIAL HEALTH
Переглядів 602 роки тому
HOW TO EVALUATE YOUR FINANCIAL HEALTH
KENYAN PRODUCTS/ THINGS I LOVE
Переглядів 1352 роки тому
KENYAN PRODUCTS/ THINGS I LOVE
FINANCIAL MISTAKES THAT HINDER PROGRESS
Переглядів 772 роки тому
FINANCIAL MISTAKES THAT HINDER PROGRESS
HOW TO CALCULATE YOUR NETWORTH
Переглядів 452 роки тому
HOW TO CALCULATE YOUR NETWORTH

КОМЕНТАРІ

  • @mbwanajangwa
    @mbwanajangwa 6 днів тому

    Elimu nzuri saana hii ambayo hatukuwahi kuipata tulipokuwa shule. Nina maswali mawili. 1. Je mtu mmoja anaweza kuwekeza kwenye mifuko zaidi ya mmoja? 2. Ninapojiunga kwenye mfuko mmoja kisha baada ya muda ya labda miaka kadhaa nikajitoa, kisha nikakaa kwa muda, Je ninapotaka kurudi tena kwenye mfuko uleule nalazimika kujiunga up ya au natumia akaunti ileile? Ahsante.

    • @happymsale
      @happymsale 5 днів тому

      Asante. Nadhani hapa unaongelea mifuko ya UTT. 1. Kwenye swali la kwanza, Ndio unaweza kujiunga mfuko zaidi ya mmoja 2. Kwenye swali la pili, sina uhakika sana, ni vyema ukawauliza UTT

  • @kalvinmichael9848
    @kalvinmichael9848 10 днів тому

    Mtoto mzuri kama faida za isa😊😊❤❤

  • @joelkipilipili7976
    @joelkipilipili7976 17 днів тому

    💯👍

  • @furahasweya7433
    @furahasweya7433 18 днів тому

    Hongerasana happy nimejifunza mambo jioni ya leo.

    • @happymsale
      @happymsale 18 днів тому

      Asante

    • @bernadetaalex1434
      @bernadetaalex1434 17 днів тому

      Dada naomba no yako nijifunze zaidi kuhusu uwekezaji​@@happymsale

  • @faridbinjumaonlinetv9258
    @faridbinjumaonlinetv9258 18 днів тому

    Duh nahtaj sana msada ktk hil jambo sjuw nakpataj

  • @norahmajaliwa3841
    @norahmajaliwa3841 27 днів тому

    Happy holi somo zuri

    • @happymsale
      @happymsale 27 днів тому

      Asante

    • @amanmichael1351
      @amanmichael1351 26 днів тому

      Nimeelewa vizuri,naomba link ya free online training ambayo wanatoa certificate

  • @gibbs1320
    @gibbs1320 27 днів тому

    Nina amini nita jifunza zaidi kuhusu UTT na Government Bonds toka kwako. Great video .......

  • @romstatistics2194
    @romstatistics2194 28 днів тому

    Kiwango cha chini cha kuwekeza Kwenye Hisa ni HISA 10 Tu, siyo 100.

  • @daudimalele7505
    @daudimalele7505 Місяць тому

    Kwamfano nikiweka milioni kumi gawio kwakila mwezi ni ngapi nataka kujua

    • @happymsale
      @happymsale Місяць тому

      Kwenye vipande huwa inategemea unanuna kipande bei gani na kuuza bei gani. Ongea na UTT watakupa majibu zaidi ya gawio unaloweza kupata. Wanapatikana hapa: uttamis.co.tz/contact-us

    • @msamgunda7684
      @msamgunda7684 26 днів тому

      Shukran​@@happymsale

  • @Lolo_makota
    @Lolo_makota Місяць тому

    Mimi nina mfuko UTT na faida fund, Ivi would you advise me niwekeze pia huku au hizo mbili zinatosha?

    • @happymsale
      @happymsale Місяць тому

      Nadhani inategemea malengo yako ni nini. Pia unaweza kuangalia utendaji ya hiyo mifuko uweze kufanya maamuzi sahihi

  • @ZuhuraShabani-th7dw
    @ZuhuraShabani-th7dw Місяць тому

    Asante sana mpenzi nitafanya hivyo naamini nitamaliza madeni yote Mungu akutunze zaidi mpenzi

  • @ElizabethKimambo-gb1jm
    @ElizabethKimambo-gb1jm Місяць тому

    Hongera sana mwanangu

  • @AnsuliaJarouf
    @AnsuliaJarouf Місяць тому

    Mambo

  • @AnsuliaJarouf
    @AnsuliaJarouf Місяць тому

    Mambo

  • @Lolo_makota
    @Lolo_makota Місяць тому

    I have a question, if I buy the 25 years BOT government bond and let’s say I want to sell after 10 years will it be possible ?

    • @happymsale
      @happymsale Місяць тому

      Yes, you can sell it via the Dar es Salaam Stock Exchange

    • @Lolo_makota
      @Lolo_makota Місяць тому

      @@happymsale Thanks for the reply

  • @ZianaKangalawe
    @ZianaKangalawe Місяць тому

    Nawapenda Sana utt mko vzr mnahudumia wateja vzr na kwa haraka hata benk waje wajifunze kwenu huduma

  • @Lolo_makota
    @Lolo_makota Місяць тому

    Hello dear unaweza kuongelea mfuko Mpya wa timiza fund by zan securities

    • @happymsale
      @happymsale Місяць тому

      Sawa. Asante

    • @happymsale
      @happymsale Місяць тому

      Nimeongelea Mfuko wa Timiza hapa: ua-cam.com/video/hK_OZUHWQvM/v-deo.htmlsi=mHASRKaKnc3zP51x

  • @Lolo_makota
    @Lolo_makota Місяць тому

    Thanks for the videos, this is my third video watching but I’ll go through all your videos. Thank you for sharing all this helpful information

    • @happymsale
      @happymsale Місяць тому

      Thank you for watching

  • @christinemsale3856
    @christinemsale3856 Місяць тому

    Umetupa madini ya kutosha. Nimeonahii just in time for the new month.

  • @zulfahemed4770
    @zulfahemed4770 2 місяці тому

    Shukran🫡🫡🫡

  • @TedySisty
    @TedySisty 2 місяці тому

    Ilianza 2003 siyo 2013

  • @ElizabethKimambo-gb1jm
    @ElizabethKimambo-gb1jm 2 місяці тому

    Hongera sana

    • @happymsale
      @happymsale 2 місяці тому

      Asante ❤️❤️❤️

  • @rashyramy8066
    @rashyramy8066 2 місяці тому

    Valuable Content.

  • @comicbooksgalore8582
    @comicbooksgalore8582 2 місяці тому

    I enjoy the positive energy in your videos. :)

  • @ProtaisCIZA-oh8tx
    @ProtaisCIZA-oh8tx 2 місяці тому

    Asante

  • @jiverkasigara6504
    @jiverkasigara6504 2 місяці тому

    Happy uko poa

  • @wilsonmatunda4937
    @wilsonmatunda4937 2 місяці тому

    Mmmmm!

  • @ElizabethKimambo-gb1jm
    @ElizabethKimambo-gb1jm 2 місяці тому

    Hongera mom!

  • @clearsight2485
    @clearsight2485 3 місяці тому

    Ni afadhali umefanya hii kwa kiswahili, unaweza kurudia ile ya money market fund kwa kiswahili?

  • @romstatistics2194
    @romstatistics2194 3 місяці тому

    Sis jitahidi kuboresha sauti

  • @fredmwaipopo3387
    @fredmwaipopo3387 4 місяці тому

    VERY GOOD TEACHINGS ON SAVINGS

  • @divinndikumana8038
    @divinndikumana8038 7 місяців тому

    Kama hauwoni njia,yakupata uwezo,yakulipa

    • @happymsale
      @happymsale 2 місяці тому

      Sijaelewa. Una maanisha nini?

  • @joelkipilipili7976
    @joelkipilipili7976 10 місяців тому

    Kwa mfano nikiweka 500000 kwa mwezi napata faida % ngap?

    • @happymsale
      @happymsale Місяць тому

      Inategemea na riba muda huo unapowekeza

  • @peterchula1990
    @peterchula1990 10 місяців тому

    Dada samahani hujaolewa? Nataka nikupose

  • @user-vb3bl1ej5z
    @user-vb3bl1ej5z Рік тому

    Kampuni ikifirika inakuaje

  • @emmyjimmyK
    @emmyjimmyK Рік тому

    Thank you for sharing dia

  • @user-wf2xv8tz1w
    @user-wf2xv8tz1w Рік тому

    Dada mambo

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Рік тому

    Asante Kwa ushauri, makampuni gani Ni mazuri Kwa kununua hisa Tanzania

  • @achilleuskigala6929
    @achilleuskigala6929 Рік тому

    video hii ipo pa umejishaua shaua kidogo

  • @rajabuabubakari3054
    @rajabuabubakari3054 Рік тому

    Safi sana

  • @MansaKimani
    @MansaKimani Рік тому

    Thanks. With interest from 🇰🇪

  • @amanipaulonsabi6641
    @amanipaulonsabi6641 Рік тому

    Naomba uchambue kitabu cha who will cry when you die

  • @lauralema23
    @lauralema23 Рік тому

    Interest rate zake zikoje?

  • @eddyology7304
    @eddyology7304 Рік тому

    Thanks for sharing such a great knowledge

  • @panafrican.nation
    @panafrican.nation Рік тому

    What did you study in university, prior to your CFA?

  • @zertifiziertNI
    @zertifiziertNI Рік тому

    🇩🇪🌹Für MAHSA AMINI & WORLD WIDE WOMEN 🌪🌍 بدون امید ما هیچیم ua-cam.com/video/SSm_LJNc7nE/v-deo.html ✊🏿

  • @tushiyakey9677
    @tushiyakey9677 Рік тому

    THANK YOU SO MUCH

  • @worldwideinspiration.6842

    Road to 1k subscribers. Let’s get this lovely girl to this…🙌

  • @Terrencetulani
    @Terrencetulani Рік тому

    Where did you write from

    • @happymsale
      @happymsale Місяць тому

      Nairobi and South Africa

  • @JapaDollar
    @JapaDollar Рік тому

    Na kupenda sana