Hivi Ndivyo Unaweza Kununua Hisa za Vodacom Tanzania PLC

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Unaweza kununua hisa kupitia mawakala walioidhinishwa na Mamlaka ya Masoko na Mitaji (CMSA), Benki ya NBC au kupitia M-Pesa kwa kubonyeza *150*36#. Tembelea vda.cm/vodacomshares kufahamu mawakala hao na kupata maelezo zaidi.
    *Ununuaji na uuzaji wa hisa una changamoto mbalimbali. Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana na mshauri wako wa kifedha.

КОМЕНТАРІ • 18

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 2 роки тому

    Safi

  • @oman1418
    @oman1418 3 роки тому

    Habari zenu nishida naombeni msaida wenu kuna namba hazipatikani

  • @itsposhly_tz6185
    @itsposhly_tz6185 3 роки тому

    Io *150*36# aifanyi kazi

  • @newbornhaule1635
    @newbornhaule1635 4 роки тому

    Nyonyom hamueleweki

  • @zanzibaronlytv3470
    @zanzibaronlytv3470 7 років тому

    naweza kununua hisa kama npo zanzbar na je ata hisa ya bei ya chini kabisa ni bei gani

  • @songela5
    @songela5 2 роки тому

    Namna ya kununua hisa za Vodacom kutumia simu ya mkononi

  • @zanzibaronlytv3470
    @zanzibaronlytv3470 7 років тому +1

    vpi mda wa kuuza hisa ushamaliza?? mana nmenunua ila cjajuulishwa chochote

  • @staruniverse_movies4029
    @staruniverse_movies4029 3 роки тому

    Mbna io *150*36# aikubali

  • @charlesanthony7170
    @charlesanthony7170 6 років тому

    Sasahivi kipande kimoja cha hisa za Vodacom ni sh ngap

  • @tecklamgomberi4253
    @tecklamgomberi4253 3 роки тому

    Hisa za Vodacom hamueleweki nataka hela yangu tu

  • @rajabukakore9666
    @rajabukakore9666 7 років тому +1

    Je nabado huduma ya kununua hisa bado inaendelea ?

    • @thomaslulu6723
      @thomaslulu6723 5 років тому

      Vodacom walituuzia hisa moja kwa sh. 850, la kusikitisha wanatoa gawio ndogo sana kwa mwaka, leo ukitaka kuuza hisa moja ni sh. 800. Ukitaka kiuza mabroca wanababaisha.

  • @ibrahimmfinanga2878
    @ibrahimmfinanga2878 4 роки тому

    Mm nateseka sana na laini yangu kwenye enternet 0756742430

  • @iam_epa
    @iam_epa 4 роки тому

    Vodacom hizi comment hazifui kabisa fanyeni utatuzi ... Mnaharibu wenyw