MAMA MWENYE MIAKA 27 ARUSHA AJIFUNGUA MAPACHA WANNE WA KIUME, MADAKTARI WASHANGAA "NISAIDIENI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 531

  • @happyfaniabatromeo8010
    @happyfaniabatromeo8010 11 місяців тому +11

    Honger Sana 🔥🔥🔥❤️❤️❤️Mungu Ni waajabu sanaaa watu wa 4 kwenye tumbo moja mwanamke aheshimiwe sanaaa🔥🔥🔥🙌

  • @EvaYohana-yr6id
    @EvaYohana-yr6id 11 місяців тому +72

    Hongera sana MAMA . MUNGU awalinde watoto wako .sisi wakwetu wamekuwa MUNGU alitupa mapacha watatu.tunamshukuru MUNGU amewakuza

    • @leoniadaniel9446
      @leoniadaniel9446 11 місяців тому +7

      Amen. Na mm Mungu anijaalie mapacha jaman

    • @pendo8082
      @pendo8082 11 місяців тому +3

      Ameen god I deserve 🙏

    • @stephenlushinge4076
      @stephenlushinge4076 11 місяців тому

      Hongera mama mie nilipoteza 3

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 11 місяців тому +1

      Mungu walinde na kuwatunza Amina❤

    • @EliceMwagala
      @EliceMwagala 11 місяців тому

      ​@@stephenlushinge4076pole sana

  • @judithkirenga9977
    @judithkirenga9977 11 місяців тому +17

    Tuseme pia Hongera kwa madaktari waliofanikisha mama na watoto wake kuwa na afya njema. Mungu akujalie afya njema mama uwalee watoto wako vyema ❤❤❤❤

  • @SilasStanwell
    @SilasStanwell 11 місяців тому +107

    Mungu nikumbuke mimi na mkewangu tupate watoto sisi niwako mungu watoto wako tunaomba utuondolee upweke aminaa

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 11 місяців тому +33

    Rais wetu anapenda watu waishi maisha mazuri fanya jambo kwa huyu mama

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 11 місяців тому +12

    Jamani Hadi raha❤❤. Sema miaka 27 bado mdogo sma maisha yanafny aonekane mkubwa snaa... Ila hongera wengine wangewatelekeza hospital 🥂

    • @mwajabually5321
      @mwajabually5321 11 місяців тому

      yan n mdogo ila anaonekana mtu mzma

  • @mkeganibhaya2598
    @mkeganibhaya2598 11 місяців тому

    Hongera sana DC, Allah atakulipa !! Mngepatia hata ajira ya usafi tuu katika Ofisi ya Serikali kama ilivyokuwa zamani mzazi akipata watoto wengi anapatiiwa qjira ilii apate urahuisi wa malezi.

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 11 місяців тому +9

    Hongera sana mama, Mungu awalinde wakawe watoto wenye kheri na baraka ktk makuzi yao na awajaalie Afya njema🙏🙏Hongereni hospital kwa kazi nzuri🙏❤️💐

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 11 місяців тому +7

    Nitoe hongera na pongezi nyingi kwa hiyo hospital kwa walicho kifanya ❤❤❤❤

  • @TinaLena-gu5sm
    @TinaLena-gu5sm 11 місяців тому +2

    Congratulations mama nipee uyo mume wako anipe mapacha wanne km ww natamani sana mwenyezi mungu nijalie na mm nipate mapacha mnsaidie kwa maombi nkipata mimba nizae mapacha wanne ama watatu mwenyezi mungu skia maombi yangu🙏🙏

  • @annaemmannuel2101
    @annaemmannuel2101 11 місяців тому +1

    Hongera sana dada, Mungu awatunze watoto nanyi wazazi pia. Pia Mh DC ubarikiwe sana sana kwa moyo mzuri, Mount meru hospital mbarikiwe pia kwa huduma nzuri kwa dada huyu

  • @esthermsimbwa1812
    @esthermsimbwa1812 11 місяців тому +3

    Tunashukuru sana manesi na madactari wahuko Arusha,ingekuwa kule Handeni sijui ingekuwaje !! ,Mungu Baba awalinde na kuwakuza watoto wetu na mama Yao.Amina

  • @peterchristian-rv6xo
    @peterchristian-rv6xo 11 місяців тому +6

    Mungu na Mimi ninaomba uzao wangu wa kwanza unipe mapacha. Hongera sana dada angu na mungu awaidie

  • @barakalukeha6184
    @barakalukeha6184 11 місяців тому

    Hongereni sana wazazi kwa kupata watoto 4 kwa wakatimmoja,Pongezi za pekee ziwafikie madaktari na watumishi wooooooote wa hospitali hiyo mnajituma saana nanyi pia mnastahili shukrani kwa namna yoyote hata kwa kupewa zawadi au motisha angalau muendelee kuwa committed,,Mungu awabariki

  • @sharifanyumayo6314
    @sharifanyumayo6314 11 місяців тому +3

    Hongera Sana mama na nakuombea Kwa mungu awajalie watakuwa TU Kwa uwezo wake , Hongera pia madactar na menesi na ww baba wa watoto nakupa hongera na mvumilivu pia

  • @judithcalist4153
    @judithcalist4153 11 місяців тому +9

    Hongera Sana dada Mungu akutunze ww na watoto wako, Eeeh Mungu nakuomba na mm Kama hawa 🙏🙏🙏

  • @deusgervas4676
    @deusgervas4676 10 місяців тому

    Asantee sanaaa serikalii kwa kuonyeshaaaa utuuu mwemaaa na mm Mungu anipee mapachaaa

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 11 місяців тому +3

    Mungu ni mkuu kuliko wote. Amen. BARIKIWA SANA MAMA na Watoto wako. Hao madaktari wabarikiwe sana. Mungu mkuu AWABARIKI WOTE WALIYO USIKA NA MAMA na Watoto wake.Amen.

  • @estherlemburismollel5901
    @estherlemburismollel5901 11 місяців тому +4

    Mkuu wa Wilaya nakupigia salute, unafanya majukumu yako kwa uadilifu, Dr wetu na wafanyakazi wa Mt Meru Mungu asiwapungukie, na wote mliojitolea Mungu asiwatupe. Hongera wazazi Mungu awasaidie ktk malezi. Mama mkwe hongera sana kwa kujali kwa kwenda kumuona mkuu wa Wilaya kwa msaada, Mungu akubariki mama.

    • @ElizabethJoseph-oj9lj
      @ElizabethJoseph-oj9lj 11 місяців тому

      Mungu akujalie ndugu yangubkwa Iman mungu ameskia maomb yako nakuombeapia upate

    • @BahatiAmani-z2q
      @BahatiAmani-z2q 10 місяців тому

      Hongereni madactari kwa kazi nzuri mungu awatie nguvu

  • @halimamussa8175
    @halimamussa8175 11 місяців тому +2

    Mashaaalah mwenyezimung akusimamie mama namimi napend mapacha jmn Naomb nipate barak kama yako mama inshaalah

  • @YusufLubangula-yn6tq
    @YusufLubangula-yn6tq 11 місяців тому +5

    Ongera sana MUNGU AKULINDE & Awalinde WATOTO Wako😘👍🥰

  • @HalimaMbena-mx6cx
    @HalimaMbena-mx6cx 11 місяців тому +2

    Alhamdulillah Mashaallah Mungu awape afya njema watoto Inshallah na mie Mungu anitunukie mapacha hata wawili napenda sana

  • @barakalukeha6184
    @barakalukeha6184 11 місяців тому

    Mkuu wa wilaya pia uko vizuri nimevutiwa sana kwa namna ulivyo onyesha kujali wenyeshida tangu mapemakabisa hata baada ya mgonjwa kutoka theater pia umejitokeza,,,,,aisee! Wapo watumishi wenye sifa hata za kupanda daraja ili wakatoe maelekezo na kuendelea kuwa vielelezo kwa wengine

  • @khadijakimana8809
    @khadijakimana8809 11 місяців тому +23

    Congratulations mama, Niwatakie afya njema kutoka kwa Almighty

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي 11 місяців тому

    MashaAllah Mwenyeez Mungu akukuzie hongera madaktar na wauguzi kwa juhudi zetu Mwenyeez Mungu

  • @najmamgallah8154
    @najmamgallah8154 11 місяців тому +2

    Aki nimetowa machozi, mwenyez mungu anisameh dhambi, anajalie uzazi wa watoto km wako, Nina mimba Kwa sasa

  • @MapeKhamis
    @MapeKhamis 11 місяців тому

    Mash allah .
    Dadamungu amemchagua ni baraq kubwa sanaa japo kimaisha yetu nikuungaunga ila wataishi kwa amani tu .
    Yote yanamungu na rizq itakuja dada kipenz afya ikujae na watt insh allah

  • @halimamremi5375
    @halimamremi5375 11 місяців тому +3

    MAASHALLAH!! MUNGU AKUKUZIE WANAO INSHAALLAH!!! NI FURAHA KUBWAA MUNGU ANAKUPENDA!!!❤❤❤😂😂😂😂

  • @fatihiyadossa375
    @fatihiyadossa375 11 місяців тому +1

    Mashallah hongera san mungu akawalinde awakuze salam awaepushe na maradhi na mimi naomba mungu uzao mwingine unioe mapacha wakiume inshallah

  • @MachageMarigo
    @MachageMarigo 9 місяців тому

    Hongereni sana Mungu ni mwema,Mola awatunze watoto wenu

  • @BATSEBAKESSI-ti5ci
    @BATSEBAKESSI-ti5ci 11 місяців тому

    Hongereni sana Mt meru hospital na serikali kwa jumla kwa kumjali huyu mama. Sijui ingekuwaje angekutana na watumishi wasio waadilifu Kama wale wa hospitali ya kabuku mama anapoteza maisha kwa kukosa 150000

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 11 місяців тому +12

    Honger sana Mama. Amina namm siku moja nipate Mapach

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 11 місяців тому +1

    Mungu akujalie afya mama mwenzetu ,hongera Kwa baraka hiyo. Mungu atakukuzia mie wangu wamekuwa mapacha wawili mungu ni mwema

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 11 місяців тому +1

    Safi sana mkuu wa wilaya pia na wauguzi kwa kazi nzuli sana mungu awabariki wote walioguswa na hawa watoto na mama, wote waliojitowa mungu awazidishie walipo towa, huu ndio upendo wa kweli kumsaidia mtu asiojiweza maana watoto 4 sio kazindogo.

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 11 місяців тому +2

    Mwenyezi Mungu akikupa, ana sababu. Mwenyezi Mungu awalinde wakue vyema insha Allah

  • @aminielimushi8709
    @aminielimushi8709 11 місяців тому +1

    Hongera sana mama wanne,,watano kwa jumla,,,hapo umasikini kwaheri,,yaani katika watu watakaoishi maisha mazuri kwa Mrombo miongoni mwao ni wewe,,sasa wewe na fundi hapo tumieni kitakachopatkana kwa umakini sana,,Mungu awalinde awatunze

  • @AlbertHussein-ni6qz
    @AlbertHussein-ni6qz 11 місяців тому +16

    Ongera sana mama,mungu awabariki watoto wakue salama

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 11 місяців тому

    Hongera sana Mkuu...
    Na Madaktari wote.
    May God bless you.

  • @danielelikana2615
    @danielelikana2615 11 місяців тому

    Hongera sana Mkuu wa Wilaya ya Arusha kwa kujitoa kwenye hiyo familia....wewe ndo kiongozi haswaaa!!!

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 11 місяців тому +1

    Madaktari na mkuu Wilaya Mungu awape nguvu na watanzamia tunawashukuru sana kw kujali afya ya mama na watoto hao wenye wazazi maskini mungu awape nguvu

  • @emmaa403
    @emmaa403 10 місяців тому +4

    I tap into this blessing 🙌 congratulations 🎊

  • @MagrethCostantine
    @MagrethCostantine 11 місяців тому +15

    Hongera mama mungu akukuzie watoto wako

  • @RaelSabinah
    @RaelSabinah 11 місяців тому +3

    Mungu ni mwema ,,,, mungu akupe afya njema pamoja na watoto wote

  • @daliahmachendenice8543
    @daliahmachendenice8543 11 місяців тому +13

    Hongera mama mwenyezi Mungu walinde watoto wako

  • @BahatiAmani-z2q
    @BahatiAmani-z2q 10 місяців тому

    Hongera cna mama mungu akukuzie watoto mapacha hao mwenyenzi mungu atashusha riziki amina

  • @تتغتا-س6ش
    @تتغتا-س6ش 10 місяців тому

    You are blessing mum hongera kwa jitihada Mungu awatie nguvu.

  • @تتغتا-س6ش
    @تتغتا-س6ش 10 місяців тому

    Wahudumu hongera mungu awabariki kwa kazi njema.

  • @festongonyani152
    @festongonyani152 11 місяців тому

    Mungu azidi kupewa sifa na utukufu...hongera dada yngu

  • @FrEvaristMakembe
    @FrEvaristMakembe 11 місяців тому

    Hongera sana Mama, Kwa kweli wastali pongezi: Ila mwaandishi siyo mapacha tena tutafute neno liningine.

  • @OliverMinja-v3n
    @OliverMinja-v3n 11 місяців тому

    Hongera sana mpendwa Mungu Awakuze na kuwalinda kila Iitwapo leo, Nami nilipata wawil nikakosa mmoja, kwa sasa anamiaka 10

  • @AnethDaniel-u3f
    @AnethDaniel-u3f 11 місяців тому

    Honger sana mama mwenyez Mungu akujalie maisha maref uwalee watot wko vyema pia pongezi kw madaktar na maness kwa kuwa na wew bega kwa begaa pia hosptali jamani kwa ujumla pongezi San kwa mkuu wa wilay ya hapo meru ingekuwa kijijini kwetu tunaongea menginee

  • @HendryLema
    @HendryLema 11 місяців тому

    Ubarikiwe na watoto Mungu usinipite hapa katika upakohu Amen Napokea

  • @zulfaissa7814
    @zulfaissa7814 11 місяців тому

    Hongeren kk na dd kwakupata watoto nne Allah awakinge wanga wawogope

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 11 місяців тому +4

    Hongera serikali yetu kwa kuona mama huyu ,mungu akamfanyie wepesi na watoto wake Amiin

  • @JohnKotikash-g8y
    @JohnKotikash-g8y 8 місяців тому

    Congratulations mama ❤. Glory to God who protect and provide

  • @hamisaLbsi
    @hamisaLbsi 9 місяців тому

    Mashaallh mungu na mm nijaalie nipate Macha japo wa 2 wote wawe wa kiume nataman sana

  • @getrudengani8376
    @getrudengani8376 11 місяців тому

    Hongera saana mwanamke mwenzetu
    MUNGU ANAWEZAAA

  • @rosenoah2190
    @rosenoah2190 11 місяців тому +2

    Mungu n mwema hongera sna mama. Watakuwa na mungu aliekupa hao watoto anajua wataishi

  • @OmegaNelson-ho1no
    @OmegaNelson-ho1no 11 місяців тому

    hongera sana janeth Mungu akupiganie wewe na wanao

  • @StarMerinyo
    @StarMerinyo 11 місяців тому +2

    Safi sana serikali,mungu aendele kuwawezesha watoto wakue vizuri Na hongera sana mama mungu akujalie Faya njema

  • @agathakomba8133
    @agathakomba8133 10 місяців тому

    Hongera Sana mama na familia yote
    Mungu ni mkuu Sana ,tunamshukuru Sana Mungu Kwa kuwajalia baraka kubwa Mungu aliyewapa watoto anajua pia namna watakavyokua
    Hongereni serikali Kwa kutimiza wajibu wenu ktk hilo

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 11 місяців тому

    Mama hongera Sana kwa kuongeza waume za watu.... Oooh wanaume sikuhizi hadimu haya Sasa mmeletewa robo dazani hapo WANAWAKE NDO HADIMU SIKUHIZI JAMANI, nimeamini WANAWAKE SAHIZI NDO HADIMU SAN A

  • @faithkaganda-k3s
    @faithkaganda-k3s 11 місяців тому

    Hongera mama na naomba nami Mungu zawadi hii unipe kwa kupata watoto mapacha 3🤲🙏🙏

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 11 місяців тому +1

    Wote mungu awabariki Sana kwa huruma na upendo mkubwa,nasema asanteni,mama mungu akuoe nguvu ya kulea wanao na akukuzie vitoto vyako,binafsi nimeturahi mno,hakika allah Kareem

  • @WaydaeliHaali
    @WaydaeliHaali 11 місяців тому +2

    Waooo hongera sana mdogo wangu mungu awabariki watoto wako na awape maisha marefu

  • @thuraiyathuraiya401
    @thuraiyathuraiya401 11 місяців тому +2

    Mashaallah dada mungu akulelee naakulindie nimefurahi sanaaaa ❤😊😊😊

  • @SalimKhan-p3r7b
    @SalimKhan-p3r7b 11 місяців тому

    Haya sasa mnaotoa mimba mnajisikiaje? Mwenzenu kazawadiwa wtt 4 Tena makamanda wote hongera sana mdg wangu mungu akubariki ww na uzao wako awape afya njema

  • @MariamMamuu-u1l
    @MariamMamuu-u1l 11 місяців тому +2

    hongeraaaa sanaa mama unaweza na nina imani watakuwa hongera sana mungu akutie nguvu

  • @jenesalethkanjanja3405
    @jenesalethkanjanja3405 10 місяців тому

    Hongera san mam mungu awatunze na kuwalimda wew na wanao amina

  • @robertcyriacus208
    @robertcyriacus208 11 місяців тому

    Hongereni sana mke na mme kupata watoto 4mapzcha,mungu awakuze!

  • @DOMINIKAMALIYA
    @DOMINIKAMALIYA 11 місяців тому

    Ee Mungu wetu tukumbuke na Sisi Hongera Nana Mama Mungu akuponye

  • @damianpaul6104
    @damianpaul6104 11 місяців тому

    Hongereni sana Mungu awakuze watoto wenu na wawe na afya njema

  • @StellaPaul-z9y
    @StellaPaul-z9y 11 місяців тому

    Yaan mtoto mmoja tu tumbon saraks kama zote vip kuhusu 4 Mungu awakuze katika jina la yesu

  • @evalyinesalama2535
    @evalyinesalama2535 11 місяців тому +1

    Hongera sana dadangu Mungu. Akutie nguvu

  • @dainessjosephat-ii5xe
    @dainessjosephat-ii5xe 11 місяців тому

    Kila mtot anakuja na baraka zake hawa nao wamekuja na baraka zote katika familia hii Mungu awalinde awaepushe na hila zote za ulimwengu Mungu awe wa kwanza katika maisha yao yote na ambao hatuja Mungu atukumbuke na sisi 🙏

  • @YakoboNtibhashoboka
    @YakoboNtibhashoboka 9 місяців тому

    Honger dd mungu akulinde na watt wako amina

  • @halimaoman8726
    @halimaoman8726 11 місяців тому +1

    Alhamdulillah tumtangulize mungu ongera sana ndugu yangu mungu akukuzie wanao wawe wema

  • @annaally8100
    @annaally8100 10 місяців тому

    Ongera sana,nami Mungu nibariki nipate mapacha 3

  • @anastaziamwahalende4601
    @anastaziamwahalende4601 11 місяців тому

    Hongera kipenz Mungu atawalea usijali maana yeye ndiye aliyekupa❤️❤️

  • @AminaAmine-v4m
    @AminaAmine-v4m 11 місяців тому +8

    Mungu namie nijalie mapacha jamani

  • @GeorgeMbandwa
    @GeorgeMbandwa 11 місяців тому +3

    Mungu akubariki sana dadangu,awalinde watoto hao

  • @FloraKidudu
    @FloraKidudu 11 місяців тому +1

    Hongera sana dada,mungu atawalinda watakua kwa uweza wake,nawe akupe afya njema

  • @sauda4505
    @sauda4505 11 місяців тому +1

    Hongeraa mungu akukuzie mpaka rahaa jamanii natamani wawe wangu

  • @DeeLizy
    @DeeLizy 11 місяців тому +2

    Hongera dada Mungu awatunze watoto wako na akutunze pia❤❤❤

  • @lennyNovath-bt7vt
    @lennyNovath-bt7vt 11 місяців тому +2

    Hii ndiyo maana halisi ya kila mtoto huja na riziki yake NIMEAMINI🙌

  • @JokhaJokhaabla
    @JokhaJokhaabla 11 місяців тому

    Hongera sana dear yaarab nijaalie na mm nipate mapacha wakiume wenye kheri na mm

  • @MaryFrancis-k4d
    @MaryFrancis-k4d 11 місяців тому

    Upalikiwe pamoja na watoto wako Pia wewe mungu akupe ngufu amen

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 11 місяців тому +5

    Hongera Sanaa Mama. Mungu akukuzie na awabariki.

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 11 місяців тому +4

    Hongereni wazazi mama na baba Mungu awatunzie inshaallah

  • @shanidaloiti6618
    @shanidaloiti6618 10 місяців тому

    Hongera sana .hakika mwanamke aheshimiwe ila yote kwa yote mungu awape afya njema mama na watoto wako

  • @JoyceKalago
    @JoyceKalago 11 місяців тому

    Hongera sana jamani Mungu akukuzie wanao ,mbona nawaona watano hapo

  • @allyndabe2458
    @allyndabe2458 11 місяців тому +2

    mwwnyezi mungu akutangulie mama na awajalie watoto wako kua nimiongoni mwa watoto wema✍️💐

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 11 місяців тому +2

    Mashallah tujazae wote mapacha 🎉

  • @aminamassawe1768
    @aminamassawe1768 11 місяців тому

    Hongera sana sana jamaan.. namm nataman mapacha Mungu nisaidie.

    • @YohannaCharles
      @YohannaCharles 11 місяців тому

      Hongerasana mam were nikabilamama yangu

  • @nedmonad1175
    @nedmonad1175 11 місяців тому

    Mungu wa mbingun akawakuze vyema hongera Sana ,, MUNGU akatupe nasi japo mmoja😢

  • @PaskiiSlaa
    @PaskiiSlaa 10 місяців тому

    Mungu awatangulie jmn, awajalie na wenye uhitaji wa watoto

  • @neemamlawa7184
    @neemamlawa7184 11 місяців тому

    Daah mama hongera saaana mungu akupe nn.watakuwa kwa neema ya mungu

  • @mariamuodila4132
    @mariamuodila4132 10 місяців тому

    Mungu atawazidishia zaidi yahapo utapta vingi sna 🙏🙏🙏

  • @matronashirima1489
    @matronashirima1489 11 місяців тому

    Hongera Sana Mama na Baba watoto !. Naipokea hiyo Baraka na mimi jaman..

  • @tinaminja5500
    @tinaminja5500 11 місяців тому +1

    Mungu akulele watoto wako jaman❤ hongera sana