Poleni sana , me sister and I went through same shit and the Gov #Mahakama Did nothing and bad thing Baba yetu was among the Gov and CCM top officials it sad to see things zinakuwa zina flow side ways halafu those who could stand for you wanawageuka . poleni sana
Wazazi ni vyema kuandika mirathi kwa watoto wenu. Kibongo tunafikiri ni kujichulia lakin ni Security kwa watoto wenu na yoyote unayemlenga. Ndugu ni wema wazazi wakiwepo ila wakiondoka ni mwiba.
Tatizo la wanaume wengine wakiwa na Mali ukiwambia andika urithi ili watoto wako waje wanufaike wanaona labda utapata ww kumbe wanakuja kudhalilika watoto wake baadae ndio kama haya
Wote mmeongea point vijana mungu awasimamie msikate tamaa kwa maneno ya watu simameni mali zenu zirudi kwenye mikono yenu mungu alie juu asimame nanyi mpate haki yenu amen😢🙏
Dogo uko vizuri Ila hawa ndugu kwanini sheria zisiwekwe ilali wawe wanakula viboko serekali iko wapi tls niwaombe wasaidini hawa watoto ndugu ni hatarii sanaa
Kwa wale mnaowakumbatia ndugu mkidhani kuwa watakuja kusaidia familia yako pindipo utapokufa msijidanganye. Unapopata nafasi iweke familia yako yaani watoto na mke mbele kuliko wale uliozaliwa nao matokeo tunayaona kila siku ndugu wa baba ni nyoko sanaa
Poleni jamani Ila kuna umuhimu wa Wazazi kuwaelezea ukweli kuhusu mirathi,mikopo na biashara kwa ujumla maana kesho aujulikani,ili kuepuka madhila kwa watoto
Acha matusi kwa Raisi ndugu, hayo ni mambo ya kijinga Kila jambo kumtukana Raisi, Kama yeye ni kunguru basi we Mbwa mbwekea ndege. Uwe na adabu unantukana Raisi kwenye issues za kifamilia za watu. Baada ya kumlaumu Marehemu kushirikisha watoto wake Kama waindi unantukana Raisi.
Ww kweli akili Huna unataka Raisi asikilize mirathi za familia , yaani aache kazi za nchi aje mahakamani kutetea mirathi za kila mwananchi. Kazi ya RAISI sio iyo
Kusema la ukweli,mababa wengi wenye uwezo hawawapi kabisa taarifa sahihi ya utajiri watoto wao ,wanaamini watakua na afya mpaka wawe vizee lakini wanapokufa ghafla watoto wanateseka .
Kama hawa watoto ndio wasimamizi wa mirathi iweje tena watu wapewe ela bank bila idhini yaoo Pili kwenda mahakaman ni vzr sana ila mbona hawataji nani anaye koba bila idhin yao ili nae haojiwe
Hii Dunia kama wewe ni bilionea watoto wako wakikua warithishe mapema Incase ukifa Kila kitu Kiko free coz siku hizi ukifa tu wajanja wanatengeneza madeni feki Mali zinapigwa. Mabilionea husisheni watoto wenu kwenye Mali zenu kabla hamjafa
Hapa ina tengemea kwa wazazi hawa wali waweekaje watt juu ya mali walizo tafuta Na ukiona mpaka wana kosa ada bas mama wenda hayupo au mama kalewa sehem
@@user-zy5sx2qb1z lakini ujue kua undercover,lazma uwe share holder, then unaiona issue ya ada ina make sense kweli? hata kwa jina Tu la mzee? hao watoto wanasoma shule gani hizo mpaka hata Ada ikosekane kiasi cha hata waiombe selikali?je huo ni msaada wa Ada Tu au mirathi kiujumla? au AYO kajichanganya?
Ww fala kweli ss baba yao alitafuta kwa ajili ya nani au ww unatafuta kwa ajili ww kaa na roho yako ya umaskini inaelkea baba yako hta shati hkukuachia
Huyu bonge hakak kipndi Mzee Yuko hai ulijenga mwil kw kudeka sas shoo Kali imeanz baada y Mzee kuondok pia Hof lazm iwepo mana kutoka bonge had mbao mbao duuu....😂😂😂😂
Poleni sana , me sister and I went through same shit and the Gov #Mahakama Did nothing and bad thing Baba yetu was among the Gov and CCM top officials
it sad to see things zinakuwa zina flow side ways halafu those who could stand for you wanawageuka . poleni sana
Poleni sana Abel, Amon na Amos mungu awapambanie uncle zach aliwapenda sana
Wazazi ni vyema kuandika mirathi kwa watoto wenu. Kibongo tunafikiri ni kujichulia lakin ni Security kwa watoto wenu na yoyote unayemlenga. Ndugu ni wema wazazi wakiwepo ila wakiondoka ni mwiba.
Mzee aliandika mirathi ila ndugu na mwanasheria tu ndy wanajua ,na Cha kusikitisha nasikia hao wote wameungana kuhujum Mali za watoto.😢😢
Kweli
My poor former students at FIS 😢 dah! Poleni sana Abel and siblings, This too shall pass
FIS alumni 🙋♂️
Tatizo la wanaume wengine wakiwa na Mali ukiwambia andika urithi ili watoto wako waje wanufaike wanaona labda utapata ww kumbe wanakuja kudhalilika watoto wake baadae ndio kama haya
Dah! Poleni sana ,Kuna cha kujifunza apo
Daah poleni, ndugu wabaya sana
Dah!
Umeongea vizuri Mungu atawasimamia
Wote mmeongea point vijana mungu awasimamie msikate tamaa kwa maneno ya watu simameni mali zenu zirudi kwenye mikono yenu mungu alie juu asimame nanyi mpate haki yenu amen😢🙏
If they are over 18 they hv right to know how much their father is worth....
😂 huyo bonge hajui kitu
Bonge anachowaza ni kula tu😂 asilimia kubwa mabonge huwa akili kisoda.
Wazazi andikenu Usua muwaandikevwatoto wenu.
Mungu wangu imeniuma namwomba mungu mama alione hili
Poleni Sana ......ila dunia hii kuna muda mtu unaona Bora tume zaliwe kwenye familia ya kimasikin ata wazazi wakifa Una rithi jina la ukoo bac
😂
Ndugu wamekuwa weziii cjui ulafi huo unatoka wapi na watoto wao wananenepeana kwa mali za marehemu hanspop😢😢
Duuuuuu kweli baba akifa ndugu wanafuraia
Pesaa uishaa salimia watuu😢😢
Kwnn ndugu wanakuwa ivi 😢
Mtegueni msimamizi wa miladhi
MUNGU awatie nguvu, na awapiganie. Mungu awatetee. Watu ni wabaya sana jamani
Dogo uko vizuri Ila hawa ndugu kwanini sheria zisiwekwe ilali wawe wanakula viboko serekali iko wapi tls niwaombe wasaidini hawa watoto ndugu ni hatarii sanaa
Kwa wale mnaowakumbatia ndugu mkidhani kuwa watakuja kusaidia familia yako pindipo utapokufa msijidanganye. Unapopata nafasi iweke familia yako yaani watoto na mke mbele kuliko wale uliozaliwa nao matokeo tunayaona kila siku ndugu wa baba ni nyoko sanaa
Inauma Sanaa ninajua maumivu ya hiyo Hali, ndugu sio wakuwaamini kabisa pia serikali iwasimamie Hawa watoto usiombe hii Hali hikukute
Inauma sana kuona mali zinazokuhusu zinaliwa na wengine, lakini waafrika tunafeli kwenye kuandika wosia wa mirathi.
Poleni jamani Ila kuna umuhimu wa Wazazi kuwaelezea ukweli kuhusu mirathi,mikopo na biashara kwa ujumla maana kesho aujulikani,ili kuepuka madhila kwa watoto
Narudia Tena inauma Sanaa hiyo Hali kunamdaa unaweza amua maamuzi mabaya
Kibonge kaongeaa points tupuuuu!!😕
Kosa la mzee mitoto moikubwa lkn akuifundsha njia zake ili wasmamie ofc
Hapo ndio tunapofeli
Kawaida saana kwenye familia zakiswahili wazazi nivyema kutengeneza misingi inayolinda familia
Angekuwepo uncle Magu, angefanya straight reasoning na kupata haki zenu, ila kumtaja huyu kunguru mvaa ushungi mwekundu kama jini, mmmh mmeulamba ,yaan aache kuzurura nnje aje awasaidie ..mhhh
Acha matusi kwa Raisi ndugu, hayo ni mambo ya kijinga Kila jambo kumtukana Raisi, Kama yeye ni kunguru basi we Mbwa mbwekea ndege. Uwe na adabu unantukana Raisi kwenye issues za kifamilia za watu. Baada ya kumlaumu Marehemu kushirikisha watoto wake Kama waindi unantukana Raisi.
Ww kweli akili Huna unataka Raisi asikilize mirathi za familia , yaani aache kazi za nchi aje mahakamani kutetea mirathi za kila mwananchi. Kazi ya RAISI sio iyo
Duuuuhhhhh aisee dunia hii
Hiii ndio shida wa wengi wanapo kuwa na uwezo wawaachi husia wala kulisisha mali
Kusema la ukweli,mababa wengi wenye uwezo hawawapi kabisa taarifa sahihi ya utajiri watoto wao ,wanaamini watakua na afya mpaka wawe vizee lakini wanapokufa ghafla watoto wanateseka .
Sio kama mnaomba masaada,ni haki yenu,correct hiyo ni haki yenu.
Ila ndugu hawa dah
Wanahoja hawa madogo wasaidiwe
Ushenzi wa huyo hans mimi sits ufanya mali zangu za wa nangu .wosia lazima
Kama hawa watoto ndio wasimamizi wa mirathi iweje tena watu wapewe ela bank bila idhini yaoo
Pili kwenda mahakaman ni vzr sana ila mbona hawataji nani anaye koba bila idhin yao ili nae haojiwe
Naunga Mkono hoja yako..je Ni wajomba au Mama zako wengine au ni Nani hasa anachukua Mali zao ...Kuna haya y kurudiwa hii interview
Kwan ela zte zile ziko wapi
Kwani alikuw hawashirikishi watoto wake unaona sasa mambo ya hawa wazazi wetu eeeh
Kwaza hao ni watoto wa uyo shombi shombi kweli
Kumbe nduguuu nduguu nduguuuuuiuu
Hao ndugu ni wakutia lock up tu
Mbn mnaongea hampo serious
Ulitaka walie?
Hii Dunia kama wewe ni bilionea watoto wako wakikua warithishe mapema Incase ukifa Kila kitu Kiko free coz siku hizi ukifa tu wajanja wanatengeneza madeni feki Mali zinapigwa.
Mabilionea husisheni watoto wenu kwenye Mali zenu kabla hamjafa
Duuh, jengo lingine lipo Iringa pale
Kwn huyomzee hakua namwanashelia napia hakuacha mandishi ya mirathi big mengi
😢😢🙏🙏🙏
Huyo kibonge apo kama haelewi chochote ivi😂
Nimejifunza kitu hapa
Mwenye mali akitoweka hali huwa tete
Huyo mtoto bonge akipewa msosi tu anaacha na hayo mambo ya kudai miradh
@@Jamallyabdallah 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Fala wewe 😂😂😂😂😂😂 khaa
Miradh ni nini? Mbona una haribu kiswahili.
Dah 😂😂😂
😂😂😂
JIONGEZENI
Wajiongeze vipi?
Mali za ulidhi mzee ziliwai kunitoa jino nusu kukufa soo kuweni makini na muombeni sana mwenyezi mungu
😂mimi natafuta zangu kakazangu nusu kukatana mapanga😢
😂😂Hatari. Ni bora kujitafutia,ukifanikiwa andika wosia mapema watoto wasipitie uliyoyapitia.
Ila huyo anayekula hizo hela ana laana
So sad
Waende Simba.
Akili yako iko matakoni
Apambane kijana kama yy ndy mkubwa wa familia
Ilo linene limekula pesa nyingi
Taratibu, don't judge the book by its outer cover
Wabongo banana .. akikonda .. akinenepa 😢😢
Wahuni wanaiba mali
Mtafuteni kibatala tu
Kwenye kutoenda shule hapo hapana , waseme wanataka mali za baba yao
Vipi unawafahamu vizuri?
Bigi amejishibia broira apo alafu mnalalamika😂😂
Huyu
Mwingine.kanenepaa tu.asee msipo simamaa.na ujasir.kazi ipo ndugu.hapanaa
Anawalipa TRA ndiyo aulizwe jaman hadi watoto wakose ada😢
NILIKUWA SIJUI KAMA ALIFARIKI! 😢POLENI SANA. MALA NYINGI MSIMAMIZI WA VITU AKIFA NA VITU/HUDUMA HUFA😢
Huyo BIG hakuna cha maana alichoongea zaidi ya kulalamika na kumtaja 🧭💯 tu
😂😂😂😂 uko vizur sikuerewa ety
Hakikisheni huyo B,I,G munampa.menu ya kutosh wal hatokuja ten kweny media
Honestly mali hua ni za mama na Baba, sjui Mzee aliachaje hii situation kwa kiwango kile cha akili Napata shida kidogo kuamini hili
Hapa ina tengemea kwa wazazi hawa wali waweekaje watt juu ya mali walizo tafuta
Na ukiona mpaka wana kosa ada bas mama wenda hayupo au mama kalewa sehem
@Zuleajuma-q5n hapo sawa but we still need a straight answer, kwani Mzee alikua na mke zaidi ya mmoja?,then who is the mother of these kids?
Tatizo hawajui kama Hasspopu alikua cover watu wengi walijificha kwenye hizo compun
@@user-zy5sx2qb1z lakini ujue kua undercover,lazma uwe share holder, then unaiona issue ya ada ina make sense kweli? hata kwa jina Tu la mzee? hao watoto wanasoma shule gani hizo mpaka hata Ada ikosekane kiasi cha hata waiombe selikali?je huo ni msaada wa Ada Tu au mirathi kiujumla? au AYO kajichanganya?
Tafuten pesa Vijana sisi tupo kusota mje pia. mali ni za Baba yenu sio zenu🧨
Aseee.vijana bado wadogowatasomaje sasa eeeeh mungu.
Ww fala kweli ss baba yao alitafuta kwa ajili ya nani au ww unatafuta kwa ajili ww kaa na roho yako ya umaskini inaelkea baba yako hta shati hkukuachia
@ajiaally3269 umemjibi.vizur
Mjinga wewe
Nimekuhisi vibaya Sana huko kwenye ukoo wenu watoto wa Kaka zako wachukue tahadhari na wewe
Huyu bonge hakak kipndi Mzee Yuko hai ulijenga mwil kw kudeka sas shoo Kali imeanz baada y Mzee kuondok pia Hof lazm iwepo mana kutoka bonge had mbao mbao duuu....😂😂😂😂