Yaani umenifulaisha San jins ulivyo mfundisha mume anavyo pembejewa wako wengi wanazarau waume zao kiss yeye mzur naakare uzuri wake mbele una baya shoshootu mungu hakutunze kristo hakuatamie Amen "
Hongera sana dada nimependa chamusingi watunze vizuri hao watoto ni wa kwako safi sana na ubarikiwe saaaaana hata mimi ili nitokea hiyo high sana kwa mumeo alie kusiamia kama mwanaume safi teeeeeeeenaaaaaaaaa!
Hamujambo dada kwa kweli maneno unayo ongera ao maisha ulio pitia ni funzo kwa wanawake wanao olewa wfuate munzo hayo n'a wewe kwe'ye ulitaka kuharibu kuimba mtumishi nyimbani wamama asheni tabiua ya kuweka watumishi ndani ya ndowa zenu acheni uvifu wa kufanya kazi za nyimbani. Akisante
Hongera Kwa story Yako nzur dada ila unatakiwa uwe na mapenz ya dhati Kwa kaka yetu siunajua sisi ndo wanaume wenyewe hivyo hatupend kuumizwa kabisa nafikir unalijua Hilo sister Thanks.
Jamani mungu akubariki my sister maana kama ndo kiwango hicho mwambie mungu akusimamie ili wale wanao kuonea Maya washindwe na waregee maana hapo Kuna wengine wanaona tu simriz yako wanachukizwa ko washindwe
Hiyo story aina utofauti na yakwangu,,, na mm bosi wangu sasaivi namuita baba hugo, kiukweli watu tunatoka mbali mnoooo ila ukimwamini Mungu nguvu ya msamaha na uvumilivu huwa inatoka kwa Mungu mwenyewe,,,😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 ahsant Mungu kwakunifikisha hapa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kunawanawake wasiojua dhaman ya ndoa zao kwakweli mitatizo kubwa mnohasa kwetu wanaume daah Ila mungu katupkazi kubwa Sana an polesana nifundisho kwawengine
Hongera dad kwasimuliz nzuri Sana nimepend sauti yako
Story nzuri yenye funzo bigup kwa sauti nzuriii ynye kueleweka
Pole Sana dada angu kikubwa mungu akupe maisha marefu
Pongezi kubwa sana dada kuwa na Histiria nzuri
Yaani umenifulaisha San jins ulivyo mfundisha mume anavyo pembejewa wako wengi wanazarau waume zao kiss yeye mzur naakare uzuri wake mbele una baya shoshootu mungu hakutunze kristo hakuatamie Amen "
Mungu amjalie Prince na protest wapate mke kama mama yao na princess kama baba ake
nzuli Sana maadamu unajua simulizi upo vizuli sana
Hongera sana dada nimependa chamusingi watunze vizuri hao watoto ni wa kwako safi sana na ubarikiwe saaaaana hata mimi ili nitokea hiyo high sana kwa mumeo alie kusiamia kama mwanaume safi teeeeeeeenaaaaaaaaa!
Nivizurii mwayaaa
hta mmi nimeipenda istoriya Yako imenikusa mungu akupe wepesi hakusaidie Kila jambo
Amazing ❤
Wauu very nice story ❤❤❤
Daah!! Ahsante sana kwa simrizi
Hii simulizi ni nzuri sana pia ni fundisho kwa jamii
simuliz ni nzur sana na inafundisha
Sauti yko2 mie inanikosha jmn!! Napenda kukskiliza Sana
Nakubali sanaaaa dada angu😊😅😮 10:56 🎉❤
hadisi iko vizuli Sana inafundisha ukiwa na mwenza usimzalau
Asante sana dada urifanya vizuli sana 💯❤️💕
Jamanii story is so amaizing🎉🎉🎉
Pole sana dada vumilia ni mipango ya mungu ni bahati yako hiyo
Pole sana dada dunia ndiohivyo ilivyo
onger sister kwa saut yako na simuliz nzur
Hamujambo dada kwa kweli maneno unayo ongera ao maisha ulio pitia ni funzo kwa wanawake wanao olewa wfuate munzo hayo n'a wewe kwe'ye ulitaka kuharibu kuimba mtumishi nyimbani wamama asheni tabiua ya kuweka watumishi ndani ya ndowa zenu acheni uvifu wa kufanya kazi za nyimbani. Akisante
Sio uvivu,Kuna vitu vyengine haifai kuachia dada wa kazi, mwana ume afaa ahudumiwe na mkewe sio dada wakazi
Vraiment hiyo nifundisho
Banamuke benye kua na ile tabiya basikiliye pale
@@neemakarisa1496 Neema we ni wife material 🥰🥰😋😋❤️
Asante sana dada kwa simlizi nzuli
Mungu hakupe mahixha marefu kwenye ndoa yako
daaaaaa❤🔥❤🔥❤🔥
Daah. Hongera kwakumpata akupendae
Mmhhh hongera kw kweli, allah akuzidishie kw kila la kheri ktk ndoa yko ok .
❤daah nzur san nimenjoy
Nimeipenda sana dada maua yako 🌹🌹🌹🌹
Aiseeeeeee kwa kwel nimeipenda hiyo ina mafunzo mengi
Thank you my dear story nzur San pia inafundisha wadada weng wakaz kama hzo
Umefanya vizuli sana dada nakupenda❤❤
Wow nimeipenda iyo bie sana
Hongera ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Aisee hongera kwa simulizi nzuri dada🎉🎉
Nzuri sana hii simulizi
Nakupenda sna dada❤
Mungu atupe nguvu za kujilinda
Story yako nzuri dada
Mmmh hongera hapo watot mliwaacha wapi
Wow I have loved ur story it was mistery ever ❤
Mwanaume anatakiwa kuheshimiwa, kipaumbele na utulivu wa nafs asante dada kwa story yako nzur
😅😅😅😅😅😅😅😅
Nimeipenda sana emungu namm siunijalie mwenzangu mwenye upendo kama hiv
Etv@@user-um8lt3vx3u
@@joykukome3680see 3
Waaaaa😊😊ddd
Its Amazing very interesting story be blessed my dear.❤
E
.
Hii kali xana, short and clear.
Hongera kupata mume bila kuhangaishwa na wavulana
It's amazing..,. Nzur kinouma
Allow
Asata sana kwa Historia nzuri
Stori nzuri
Kweli kabisa dadaake mungu akubariki sana angekua wanawake wapo hivyo wote jmn engekua dunia niutulif kabisa mungu akupe ujasir saidi kpz
ASANTE MADAM KWA STORY MZURI SANA 🇹🇿🇬🇷⛴⚓
Hongera daa
Amazing story ❤
Nika zuri kabisaaa❤❤❤
Hongera Kwa story Yako nzur dada ila unatakiwa uwe na mapenz ya dhati Kwa kaka yetu siunajua sisi ndo wanaume wenyewe hivyo hatupend kuumizwa kabisa nafikir unalijua Hilo sister
Thanks.
mungu akujaliye namoyo uouo allah atakufanyiya wepesi inshaallah
Dah story nzuri dada ❤❤❤❤❤❤❤
Simuliz nzur sana na inafundisha
Nmeipenda hyo simuliz I
Asante Sana kwa simulizi hii ata mm nimepata somo kiasi
😂😂😂😂heeee wengine Hua tunakosea wapi jamaniii 😂😂simulizi tamu sana❤
Sitory nzr sana inafundisha
Fire my dear sister ❤❤❤❤❤
Asante kwasimulizi fun🙏🙏🙏
Jamani mungu akubariki my sister maana kama ndo kiwango hicho mwambie mungu akusimamie ili wale wanao kuonea Maya washindwe na waregee maana hapo Kuna wengine wanaona tu simriz yako wanachukizwa ko washindwe
Hongera sana wanawake n wengi sana ila wanaojua majukum yao kwa waume wao n wachache sana😮😮😊
Simulizi zuri sana, na asante kwa unyenyekevu wali. Sasa dada mwezi miwili jamani hauja mupa mweziwe, wakati sisi uku wiki mbili tu ta yari.
Jamaniii dada nimependa story ako mngu akubalik
😂😂😂 ety wiki tatu tu tiari huo wote ni wivu wa kuogopa kuibiwa na wadada wenzako nje ss huku wanawake wanamaliza miezi 3 ndani bila kuguswa 😂😂
Dada kwel stor yk inafdsh huyo. Mwananme hanabaht
Eejamanii tena
Ee dada pole sana
Ongera sana dada!
Waaaah Kabisa inanigusa
Umebarkiwa penda sanass❤
Dada sauti yako nzur yaipamba simulizi kweli. ❤️❤️❤️
❤😂
😂 Ila wabongo
Asante kwa story
simulizi hi Dada inafundisha Sana kwa wale wanawake wanaozalau wanaume wao katika ndoa wakipata TU wanaume wasnje wanazalau I
Hongea sana
Pole dada🇲🇿🎆🇲🇿
Ahsante kwa stori nzuri
Salam alekum kweli kabisa
❤❤❤
Hiyosimulizi nivigumu sana kuikatisha njoani ,maana inampeleka mtu yenyewe hadi mwisho.
Asate Dada komaa na dowa 🎉
❤
Simuliz imenoga hatar ❤
Pole Dada nimejifunza mengi sana❤
Wanawake mpo twende na wakat mnajisahahu sana Kwa ninyi mlio bahatika kuolewa
Hujaolewa kwanini?
Wee dada nakupenda sana❤❤❤❤😂
Jamani pole dear ila wanawake wengi wapogo ivyo yan ila wanawake wenye ndoa zenu mjifunze
Asante Kwa story mzuri
😂😂😂😂Eti unajikuta unakojowa adi upepo mweeh🙆
Apa naminimecheka upepo
Kwel hii kiboko
😂😂😂😂 jamani simuluzi tamuuuu.......sasa boss wako unamuita baba ....evaaa
Hiyo story aina utofauti na yakwangu,,, na mm bosi wangu sasaivi namuita baba hugo, kiukweli watu tunatoka mbali mnoooo ila ukimwamini Mungu nguvu ya msamaha na uvumilivu huwa inatoka kwa Mungu mwenyewe,,,😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 ahsant Mungu kwakunifikisha hapa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kikubwa ni kujifunza jaman tubadilike.
Wow asaten ❤❤❤❤❤🎉🎉
Story nzr sana dada inafundsha
Nzuri
Kunawanawake wasiojua dhaman ya ndoa zao kwakweli mitatizo kubwa mnohasa kwetu wanaume daah Ila mungu katupkazi kubwa Sana an polesana nifundisho kwawengine
Pole dear❤
Asante saan dada
Polee sanaa❤❤
A nice story. Very educative.
Aka mungu akubari🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hongeraa dada
Nimependa
❤❤❤noma Sana uko vizuri
Ooo sawa