Duuuh hakuna kitu kibaya dunian kama ex wamtu kwani yee hurudi kwania moja tuu nayo nikuomba nakuvunja familia na kuimaliza furaha ya ex wake nakumwacha akiwa amefarakanisha nakuitenganisha famila bila kujali na kukaa kando aiangalie inavyoteketea
hongera san dada kwa uvumilivu kwenye ndoa yako pia hata huyi mume nae alikuwa na akili alijua kakosea wap akabadilika na kulud kweny ndoa yake wachache san wanaojilud weng wao wanaendelea na maxzao na kumuona mke c lolote
Mwambie mumeo hakueshimu sana na tena hasikukosee hata siku moja maana hatakuja kupata mwanamke mstaalabu kama wewe❤❤❤mungu awaBariki kwa kweli 🎉🎉❤❤😅❤.
Mama mkwe mzuri kweli na mvulia kofia.
Hongera sana kwa Storry nzuri za ku sisimua
Hadith nzuri ,hongera sana na inafunza big up.
Tunashukru sim,mx hiyi simulizi ninzuri inafunza ira imeisha hatugupewa vire mume wadada arianguka mumikono yamucepuko😁😁😁😁😁😁😁😁😁
I like your voice ni saut nzr npnd ukisumulia we
Loooo pole sana dada Kwa mapito uliyopitia na hongela sana Kwa simlizi lako🙏🙏 NAMI nimejifiza kitu Kwanye simlizi lako🎎🎎☑️☑️☑️
Pamoja bi dadayetu 👊👊 burudani safi na mafunzo tele 💛💛💛
Ahsanteni dada Mungu akusaidie kwa mafunzo ya simulizi❤❤
Hongera ndugu yangu Mungu akiongezee utaalam zaidi na pia imekataliwa na sauti
Woow❤mashaallah n nzuri ajjab next please🙏
Nimeipend ni nzuri sana ♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Ongera sana dada kwakupata mama mkwe na kupata mume boraa mungu awape maisha maarefu
Aiseeee story nzuri sana dada angu mungu awabaliki kwa simulizi nzuri
Shukuran dear
Pole sana dada kwamapenzi yalio kujaa moyoni mwako
Mngu ndimwemwa sana ansate sana ❤❤❤❤❤
Duuh pole sana Dadaangu ila nimekupenda sanaa ❤
Waw simulizi nzuri sana kwa Wana ndoa shukran
Pole sana Dada yangu changamoto ni nyingi katka ndoa na hongera kwa kupambania ndoa yk ndivyo wanawake tunatakiwa tuishi katka ndoa zetu
Hongera sana❤❤❤
Nakupa hongera kwa kutoa lesson la uvumilivu na kusamehe ktk ndoa na pia kuenda mahali sahihi pa kusolve tatizo
Simulizi mzuri sanaaaa ❤
Wooow rashda hongera sana na pole sana❤❤❤🎉
Polesa my mungu awabariki
Swadaqta siz nice story
Wow nimeipenda saana simulizi yako ninzuri saana
Kweli ni story ya kweli au miyeyusho
Hongela Sasa dada na kaka
Simuluz zulisana mwaya❤❤❤
Very nice story
Very nice my dear, Good bless you
🎉
Jamani simulizi nzuri sana nimeipenda jamani❤❤❤
Simulizi hii ninzur, nimeipenda mno
P
Mungu aibarki ndoa yenu na muishi kwa amani.
😊
Hongela dada kwa uvumilivu❤
shukrani victoria kwa kazi safi mnayo tupa kila leo ukishirikiana na simulizi mix
Amen
Mashaallah very nice
Simlizi nzuri sn jaman mama mkwe apewe maua yake
Simulizi nzuri
Asante mrs kharifa.
Nimefulai na nikalia pia
Nzr sana❤❤❤❤
Kaaaali
Hii simuliz ni nzuli jaman
Duuuh hakuna kitu kibaya dunian kama ex wamtu kwani yee hurudi kwania moja tuu nayo nikuomba nakuvunja familia na kuimaliza furaha ya ex wake nakumwacha akiwa amefarakanisha nakuitenganisha famila bila kujali na kukaa kando aiangalie inavyoteketea
Ni nzuri nimeipenda
Hongera mway
Nimependa sana huyo mama mkwe nikiboko sana hongera pia dada kwa uvumilivu wako
Polee sana dada pia hongeraa sana kwa ujasir
Honger san nimepokea kitu
hongera san dada kwa uvumilivu kwenye ndoa yako pia hata huyi mume nae alikuwa na akili alijua kakosea wap akabadilika na kulud kweny ndoa yake wachache san wanaojilud weng wao wanaendelea na maxzao na kumuona mke c lolote
Jaman ninzur sanaaa🥰🥰🥰
Nmependa simulizi hiii❤❤
Ni nzuri na inafundisha
Firefire😅😅😅😅😅😅😅
Ashukuliwe mama mkwe Kwa hekima yake ❤
Wawo nzurii sana😂
Ashukurue mamkwe kwa kukutetea ndoa yenu ❤
❤❤❤❤dad umetisha sana e
Asante kwa mafinzo yako
My habari usiku mwema ❤
Ukweli mtupu naifurahia sana hii simulizi
Hi nimeipenda
Part 2❤❤
Good voice🎉
Kitu ambacho mlikosea ni kutanguliza mchezo kabla ya ndoa maana hili tendo nje ya ndoa ni dhambi nene, but msizoee tna
Store nzuli daaaa
Ongela sana dada kwa sauti nzuli na story nzuli ya kusisimua
i love it
Nzur nimeipenda
Unasimulia hadi nasisimkwa yaani ilibaki kidogo nilie kwa simulizi hii hongera sana bint unajua.
Very nice
Mwambie mumeo hakueshimu sana na tena hasikukosee hata siku moja maana hatakuja kupata mwanamke mstaalabu kama wewe❤❤❤mungu awaBariki kwa kweli 🎉🎉❤❤😅❤.
Wow😊
Dh hii simuliz nzuri san pia pole san dada angu kwa changamoto kuanzia mwanzo mpk mwisho
Pole sna mylove na hongera sana bby❤
kwakweli simulizi pambee
Nikweli ulimpata mamamkwe mzuri mwe ye marezi Bora mchamu gu
Nzur Sana nmeipenda
Hongera nimeipenda rashda ❤❤❤
We 💕 be uko wapi 😅
Jaman mbona hajasimulia nn kilisababisha ambadilikie mkewe na Yule mtoto ni wa nan Khaa haijakaa sawa
Nimeipenda sana
good story
Very nice story.
Sitori nzuri ila inauzuni sorry dada angu 🙏
MBONA JINA RASHDA LA KIISLAM KISHA SIMULIZI RASHDA MWENYEWE KAMA MLOKOLE
Sio mbaya akiwa mlokole😂😂😂😂😂
@@user-yz5zn4tr6iis
Mashaallaah
story nzuri
Dada ukovizul kwasimuliz
Pole
😂😂😂jina la Beny liliishia wap????
Very stor so much 💖 I❤
Huyo Mama mkwe nampenda sna Kama asinge kuwa Mama mkwe hiyo ndoa haikuwa ndoa Tena Nani Kama Mama!
VIc mbkhguaase
So sad 😭
Asante kwa simuli nzur yakufunza naku elimisha piya
Asante kwa simuli nzur yakufunza naku elimisha piya
dah nimejifunza vingi ktk hii story wanawake tizameni sana 😮
Wow
Hii imependa
Ongela zako
Nmeipnda❤
Jamani mbona nw tushabadilika hatukeketwi
Nimeipend san jmn dahhh
Hakik umetupa somo zuri san
Taaaaam❤
Moto wako nanta anatabia kama zakwako
8:42 haha mwende